Nakupenda sana unavyo wapenda wengine nakuombea sana uingie mbingun kwa garama yoyote maana kaz umeifanya mungu iangalia kaz yako usiku na mchana amina
Nawapenda sana mm nawaombea sana mana nafaham katika ulimwengu wa roho japo mwilin mm nawafaham ila niny hamnifaham ila bado kitambo kidogo mtanifaham maana MUNGU ataniketisha pamoja na ninyi ndugu zangu
Huu wimbo umenitia nguvu sana nimekua na wakati mngumu sana ki kazi 😭😭😭. natazama mbali nikitumai MUNGU atasimama nami asante sana siz martha, please someone kiss my comment i will be back shortly. Listen from Kenya 🇸🇸
Hakaika my dear Mungu ampe heri nyingi huyu dada anatubaria sana na nyimbo xake.. Katika yote napitia wacha nipite,,But Natazama mbali mahali ambapo wengine hawawezi kutazama..
I'm surely agreeing....this lady is called to music industry....her presentation, her music is not only touching but humble... I love her music from this end of advnetist
Martha when they meet with Bukuku they make things happen. It appears Martha leant from Bukuku... Their message hits differently as an Adventist, I love their cool music....
Que Dieu te bénisse m'a sœur belle chanson me regarde maintenant ta tenue que Dieu te lèves et que Dieu te bénisse richement ma sœur Martha mwaipaja que Dieu te protège par tes'enemi
Si je Tiens debout dans la foi c'est parceque parfois Dieu utilise cet instrument qui est Martha mwaipa pour me fortifie dans le moment difficile que Dieu t'utilises encore plus maman va plus loin avec Dieu .
Mfalme WA Amani natazama mbali. Ni bariki na Kisha Niheshimishe mbe le ya Adui zangu. Dada Martha nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu azidi kukunehemesha na kukuinua Kwa kazi nzuri.
Barikiwa sana mamangu kwa ministry yako ya uimbaji hakika nyimbo zako zina mafundisho mazuri sana .Umenitia moyo sana kwa safari ninayoenda najua nitafika kanani.Mungu atanifungulia milango kwa ajilia ya naisha yangu kupitia wimbo huu.
MY GOD I HAVE GREAT VISION UPON MY LIFE HELP ME LORD TO REACH MY ALL KINDS OF DESTINY, CHRISTIANITY, RIGHTEOUS AND FINANCIALLY 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 LET'S SUPPORT OUR SISTER
Hata ni wekewe vikwazo vingi sana, na endelea mbele maana ndipo alipo nimtazamae. Naye ni Mungu mwenyewe. Asante YESU. Martha ubarikiwe n'a Mungu. Mimi ni mKongomani. Ijapo mauaji yame zidi sana huku kwetu, twamtazamia Mungu tuu.
My sister Martha Mwaipaja..huu wimbo sijui unaniguza aje...tangu jana hadi leo nikiingia youtube lazima nisikilize😭😭😭im in Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦wacha nimwangilie Yesu tu😭😭
Waah!! Mtumishi what a song!! Wish i can physically meet you and hug you!! Such a blessing God bless you my Sister in Christ and expand your territories 🙏🙏
Nzambe apambola yo apesa yo bomoyi molayi Martha Mwaipaja na loyembo na yo na mongongo ya kimya oyo Nzambe apesa yo okitisaka mitema ya bana Nzambe , bazua banso libiki🙌
we believe in our Christ Jesus the far we go he cuddles us and feel energised let who ever watches this video it's a message that proves to us he didn't bring us this far to forsake us but we need to look far up to the mountains where our helps comes form Amen Amen waooooh am blessed
Naupenda wimbo huu Sana, Wanikumbusha maisha niliyopitia kwa neema yake na upendo wamungu Naishi vyema 🙏🙏🙏Asante Mungu, bado natazama mbali nisaidie 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
What a touching song,healing a lot of souls. It's really a encouraging song.NATAZAMA MBALI. Thank you so much for the good work of the Lord that you are doing Martha. That's what we call ministering through song. May God continue to use you to to deliver His messages to the people🙏 Be blessed in Jesus name..
Napenda sana unachofanya mama Angu Martha nyimbo zako nyingi zinanifundisha katika maisha yangu nayopitia una ni inspire sana katika maisha yangu kwa kupitia nyimbo zako sina cha kukupa ila nakuombea kwa Mungu tu azidi kukubariki
Natiwa moyo sana kila wakati naposikiliza nyimbo za huyo mtumishi wa Mungu Martha Mwaipaja Endelea na kazi nzuri woman of God..... God is using you to change many souls in this end times 😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Huu wimbo umefanya nitiririkwe na machozi kwa maono nilio nayo na Mungu.Naamini atanitimizia kulingana na mapenzi yake.Mniombee niweze kuwainua wengine pia
Ubarikiwe mdogo wangu mungu akutunze sana, Endekea mbele tuko pamoja nakupenda
Nakupenda pia Dada Angu ❤
Nakupenda sana unavyo wapenda wengine nakuombea sana uingie mbingun kwa garama yoyote maana kaz umeifanya mungu iangalia kaz yako usiku na mchana amina
Nawapenda sana mm nawaombea sana mana nafaham katika ulimwengu wa roho japo mwilin mm nawafaham ila niny hamnifaham ila bado kitambo kidogo mtanifaham maana MUNGU ataniketisha pamoja na ninyi ndugu zangu
@@marthamwaipaja4725 Dada, wimbo huwu umenitia nguvu sana, Mungu akubariki dada🙏
nakupenda piya
Wakenya wanaopenda mziki wa Martha wapi likes 🇰🇪
Kazi smart sana
@@GraceIbelia-xy5gu amen
Huu wimbo umenitia nguvu sana nimekua na wakati mngumu sana ki kazi 😭😭😭. natazama mbali nikitumai MUNGU atasimama nami asante sana siz martha, please someone kiss my comment i will be back shortly. Listen from Kenya 🇸🇸
Unamwambia nan
@@joycekaguo8476 be nice plz 😂
@@tabithasimaloi3362 wzesk
never give up
Mungu wetu ni Bwana wa vitaa akutetee..kutoka 15:3...zaburi 46:1::: 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I'm always inspired by this lady's songs,,,her voice is soo melodic,,,
Who else loves her beautiful vocals❤
❤️❤️❤️✋✋✋✋✋✋✋
Me
🖐🖐🖐🖐❤💕💕💓
Same here 🤗🤗
@@BrianSimiyu-ew9pv ogela mama uko vizuni
Kazi nzuri Martha listening from Nairobi Kenya...Wapi likes za wakenya jameni kazi nzuri hii
Tuko hapa dear
Tukose tuchekwe 🙏🙏🙏tamu Sana God bless u mama
😂😂😂unataka kufika mjini
Tuko hapa
Amen Amen nikifikiria maisha ya gulf mungu anajua nitafika mbali😢
Best Gospel Artist East and Central Africa. Wapi likes za Martha Jamani. Love from Texas USA. 🇺🇸
Huu wimbo umekuja wakati moyo wangu na maisha yangu yanautaka saana ohhh my 😭😭😭 what a massage to my soul.
JEREMIAH 29:11 MUNGU AKO NA MIPANGO NZURI KWA MAISHA YAKO JIPE MOYO UTASHINDA,MAJARIBU NDIO KIPIMO CHETU TUNAO ITANISHWA NA JINA LA MUNGU
Hakaika my dear Mungu ampe heri nyingi huyu dada anatubaria sana na nyimbo xake.. Katika yote napitia wacha nipite,,But Natazama mbali mahali ambapo wengine hawawezi kutazama..
Edithawino, may God grant your heart's desires
@@rosewoiemitau8376 asante saana mum
@@getrudecharles8689 saana 🙏
The vocals ,,,,the instruments oooh my ,,the song is hitting deeply 😭😭😢😢the Kind of worship I need everyday 🙏🙏🙏🙏💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kazi nzuri sana Mungu akuzidishie kipawa
❤❤❤❤🏌️♂️🏌️♀️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝💯💯💯💯Mbali imekubali ❤❤❤❤
This song is hitting vi different 😭😭😭.
Ananielewa huyu yesu.
Natazama mbali mtu aniguzie hii comment ndio ni view mara kwa mara
Nous vous aimons beaucoup maman MARTHA .🇨🇩 Is love 😍 you
Even in my next life I'll follow this lady😊😊Her music hits different
And finally she did it again 🙏🏻🙏🏻So touching
Wow, very nice indeed, you're a blessing to me, very strong dear
I'm surely agreeing....this lady is called to music industry....her presentation, her music is not only touching but humble... I love her music from this end of advnetist
@@mission94 Her songs has this powerful touch that even when you're about letting go you find a reason to keep you moving. I just love her
Martha when they meet with Bukuku they make things happen. It appears Martha leant from Bukuku... Their message hits differently as an Adventist, I love their cool music....
Que Dieu te bénisse m'a sœur belle chanson me regarde maintenant ta tenue que Dieu te lèves et que Dieu te bénisse richement ma sœur Martha mwaipaja que Dieu te protège par tes'enemi
Si je Tiens debout dans la foi c'est parceque parfois Dieu utilise cet instrument qui est Martha mwaipa pour me fortifie dans le moment difficile que Dieu t'utilises encore plus maman va plus loin avec Dieu .
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Soon God is going to give me wealth
Wakwanza nipewe like zangu
❤❤❤
@@derickmaginamukhwana286 very nice ❤️❤️
Shida unazo pitia zisikufanye umusahau mungu....yote Huwa ni mapito ma usikate tamaa. Asante sana dada Martha hakika nimebarikiwa
I will be here to represent Uganda 🇺🇬 in thanking God for every inspirational and soul soothing message you bring ❤️ 🙏
😢I ama Ugandan too I
Love her ❤ 💕
good
Very true love the message in this song
@@kennedykalanda1587 am here represent Zambia
Martha ana imba vizuri kabisa
Mfalme WA Amani natazama mbali. Ni bariki na Kisha Niheshimishe mbe le ya Adui zangu. Dada Martha nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu azidi kukunehemesha na kukuinua Kwa kazi nzuri.
❤I feel this song! That's me right now😢. Yesu, najitajidi kwa kuwa ipo Neema. Natazama mbali🎉. God bless you Mom❤
MUNGU akubariki uzidi kukua ukimpendeza Mungu katika huduma yako 🙏
Napenda uimbaji wako m piah Ni muimbaji Ila bado mdg sana kamahutojali unaweza nisaidia hata kuandaa wimbo niimbe
Ni dada mzuri mno
Nyimbo zake na sauti Mungu ametoa kibari
nitafurahi siku moja nikumuona uso kwa uso
Barikiwa sana mamangu kwa ministry yako ya uimbaji hakika nyimbo zako zina mafundisho mazuri sana .Umenitia moyo sana kwa safari ninayoenda najua nitafika kanani.Mungu atanifungulia milango kwa ajilia ya naisha yangu kupitia wimbo huu.
Nimebarikiwa na wimbo huu. Mungu azidi kukutumia kama chombo Kwa ajili ya kazi yake njema ufanyayo.
Mungu Ni Wa Vyote Natazama mbali Nakupenda sanaaa mama Natamani Siku Moja Niimbe Nyimbo Moja Na Wewe Naomba sanaaaa 🙏🙌🙌❤
Amen, natazama mbali katika huduma yangu,mungu akiwa mbele yangu ninajua nitafika ,barikiwa sana
Aaaaw mashaAllah 🎉🎉🎉God 🙌 🙌 🙌 mimi nikimsikiliza shusho najiskia karibu na Mungu for real..
Eeh Mungu aendelea kutuinua,tumaini letu lipo kwako
Amen Amen powerful song 🙏🙏 wimbo umenitia nguvu Sana love Martha from Kenya🇰🇪
Wimbo umenigusa Moyoni mwangu mungu aanikumbatie anipe faraja ya Moyo natazama mbali mungu ayakubali maono yangu
Aiseeee! Dada yangu unajua sana! Huu wimbo umekuja kwa ajili yangu... kabisa Jamani!🙏
Huo wimbo wani fariji sana, niishiwapo nguvu wani tiya nguvu. Hata naurudisha mara kwa mara niki lia. Ni Mungu pekeake atuelewae.
MY GOD I HAVE GREAT VISION UPON MY LIFE HELP ME LORD TO REACH MY ALL KINDS OF DESTINY, CHRISTIANITY, RIGHTEOUS AND FINANCIALLY 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 LET'S SUPPORT OUR SISTER
Hata ni wekewe vikwazo vingi sana, na endelea mbele maana ndipo alipo nimtazamae. Naye ni Mungu mwenyewe. Asante YESU. Martha ubarikiwe n'a Mungu. Mimi ni mKongomani. Ijapo mauaji yame zidi sana huku kwetu, twamtazamia Mungu tuu.
Huu wimbo umenigusa moyo wangu dadaangu mwenyezi mungu aendelee kukubariki🙏🙏🙏
My sister Martha Mwaipaja..huu wimbo sijui unaniguza aje...tangu jana hadi leo nikiingia youtube lazima nisikilize😭😭😭im in Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦wacha nimwangilie Yesu tu😭😭
❤❤
HALLELUJAH NIKO HAPA KUISIKIA KILA SAA KILA WAKATI🛐🛐🛐🛐🛐SITACHOKA KUSIKIA...HUU WIMBO KUNA MAHALI UNANIGUZA
Vraiment gloire à Dieu que mon Dieu vous bénis cette chanson Me fortifiée vraiment gloire à Dieu
Aman Mungu awazidishiye nguvu
Literally,nobody understands me but God clearly does cz i needed ths encouragement cz life has been so unbearable..thankyou Martha🙏
Soo powerful uko na sauti njema Sana, na Mungu aendelee kukupa Neema yake🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waah!!
Mtumishi what a song!!
Wish i can physically meet you and hug you!!
Such a blessing
God bless you my Sister in Christ and expand your territories 🙏🙏
Huu wimbo umeniguza jamani,nkumbuke mungu kw wakati huu mgumu be blessed my sister Martha
Mbele Iko Mungu mwenyewe,Yesu wangu Yuko na Mimi na watoto wangu.nisaidie kutazama mbele Mungu wangu
Kazi nzuri sana hapo iongezeke chemistry ambwene kwenye corus
iNSPIRED. Thank you for this masterclass piece.
Mungu azidi kukubariki,wengine tunamuona Mungu kupitia nyimbo hizi...
Blessed artist. Tanzania 🇹🇿, you’re blessed to have such a lovely elegant gospel musician.
God bless you Martha. 💓💓💓
Nzambe apambola yo apesa yo bomoyi molayi Martha Mwaipaja na loyembo na yo na mongongo ya kimya oyo Nzambe apesa yo okitisaka mitema ya bana Nzambe , bazua banso libiki🙌
Nyimbo zako hunitia nguvu kila mara nikiwa mnyonge #listening from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
If you are inspired by this lady's songs kiss this comment tukisonga🥰🥰🥰she never disappoint❤barikiwa sana dada Martha🙏🙏🙏
She's just so amazing!! I never stop listening to her music even though i don't understand Kiswahili..........God bless you 4eva
I relate too
She says focus on the narrow path
Focus on God
Focus far and believe God will give you
Those despising you don't know the plans of God over your life
She's encouraging us to press on as we fix our eyes on God.
Wimbo mzuri lakini watumishi muwe makini mnavyolitangaza neno la Mungu mvae nguo zenye utukufu.
Wimbo zako zinanibariki mungu azidikukuinua
Wow... Your songs they inspire me anytime I am low.Glory be to God for this new one
we believe in our Christ Jesus the far we go he cuddles us and feel energised let who ever watches this video it's a message that proves to us he didn't bring us this far to forsake us but we need to look far up to the mountains where our helps comes form Amen Amen waooooh am blessed
Barikiwa mtumishi wa Mungu huwa unanivusha saana kwa nyimbo
This song has alot of peace, thank you lord , natazama mbali
L heure vient et elle est déjà venue où les vrais adorateurs adoreront le Père en esprit et en vérité ❤❤vous êtes une vraie adoratrice 😢
Tunasubiri kubarikiwa na dada yetu katika christo
Naupenda wimbo huu Sana, Wanikumbusha maisha niliyopitia kwa neema yake na upendo wamungu Naishi vyema 🙏🙏🙏Asante Mungu, bado natazama mbali nisaidie 🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
My favourite gospel artist such a soothing voice
Mwaipaja hii wimbo aah wacha tu natazama mbali nimwone mungu asanda uinuliwe sana
Congratulations 🎊 my best gospel singer Martha you're a blessing to many souls. Keep up the spirit 🙏🙏🙏
Natazama mbali,nina imani neema na kibali cha Mungu kiko juu yangu, na karibuni nitapata ushuhuda mzuri juu ya maisha yangu
Huu wimbo ni kwa ajili yangu... have been through a lot but since the release of audio am encouraged an now the video am better now am healing❤🙏🙏
Kazana kuomba mpendwa cjui kama ninachokiona wengine wanakiona kwako Mungu akusaidie na roho mtakatifu awe mshauri wako kwa kila jambo
What a touching song,healing a lot of souls.
It's really a encouraging song.NATAZAMA MBALI.
Thank you so much for the good work of the Lord that you are doing Martha.
That's what we call ministering through song.
May God continue to use you to to deliver His messages to the people🙏
Be blessed in Jesus name..
Vp
🎉🎉🎉🎉🎉
Napenda sana unachofanya mama Angu Martha nyimbo zako nyingi zinanifundisha katika maisha yangu nayopitia una ni inspire sana katika maisha yangu kwa kupitia nyimbo zako sina cha kukupa ila nakuombea kwa Mungu tu azidi kukubariki
Nazidi tu kubarikiwa Na nyimbo zako Mungu akubariki sana mchungaji Kwa kipaji na kazi njema 🙏🙏🙏
wow👏👏👏
I call her a sister from another mother
Lovely🤗🤗🤗
Hallelujah 🙏🙌🙌 😢😢 mbali na tazama mbali👉👉 you're mentor Marth ❤❤❤❤❤
Mum nakupenda 2 sana nyimbo zako hunijenga kama nimepoteza matumaini ya maisha
Kweli kabisa Mungu akubariki ma sœur napenda sana uyu mwimbo sana
Wimbo huu pamoja na maswali mingi but God gives more comfort be blessed alot dada
Am getting blessed with this song ....thank alot sister Martha,,,all the way from Arabs country
Amina, wimbo unanitia nguvu. Baraka Tele kutoka juu
Mother,a mentor to many , continue with the ministry, your songs are very powerful
Good song,,,nyimbo y tumaini naona tumaini kupitia huu wimbo...Najitahidi kutazama mbali ambapo Mungu ameniweka... from Kenya
Vraiment ma sœur martha Dieu ma béni avec cette chanson
Natiwa moyo sana kila wakati naposikiliza nyimbo za huyo mtumishi wa Mungu Martha Mwaipaja
Endelea na kazi nzuri woman of God..... God is using you to change many souls in this end times 😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wow our Martha again 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤more love our mom England 🏴 ❤❤❤❤❤
Nimesikiliza huu wimbo nikajikuta nalia mm mwenyewe Kwa jinsi ulivonigisa, barikiwa sana dad Martha Kwa kunitia moyo Kwa huu ujumbe 🙏🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo umefanya nitiririkwe na machozi kwa maono nilio nayo na Mungu.Naamini atanitimizia kulingana na mapenzi yake.Mniombee niweze kuwainua wengine pia
Soit béni petite sœur je t aime beaucoup que Dieu te protège te garde et su il t aide au nom puissant de Jésus Christ. Amen
I thank God for you my sister, this song encourages me allot,may the Lord continue to use you in Jesus mighty name
This song brought tears to my eyes. Haki Mungu akubariki zaidi na zaidi. Nitazidi kutazama mbali sana!
Hata mimi napatamani kufika kwa Baba,,🎉nakaza mwendo nami kwa neema ya BWANA
Sauti Mungu alikupea endelea kumsifu 🙏 . God bless you dear sister for this beautiful song 🙏.
Martha mwenyezi mungu akujalie hitaji la moyo wako unaimba kwa hisia Kali kweli mungu ndio anajuwa hitaji la moyo wako
I feel this song,,Martha nakupenda sana ju ya nyimbo zako huniguza sana 🥰🥰🥰🥰
Natazama mbali...Namuona Mungu Wangu...Barikiwa
Je vois l'image ma sœur sa viens vraiment du cœur dada Martha suis touchée avec tes chansons soit béni vraiment
Mkenya kama mm atachwa wapi powerful message
Ni ule wakati mgumu sana kwa maisha lakini huu wimbo umenitia moyo. Nimebarikiwa. Mungu wangu ni wewe tu nimebaki naye. Uniangazie
merci pour cette chanson sa vient au moment ou j'avais besoin d'ecouter tout se parole ...be blessed
Unanitia moyo mama, nitakaza mwendo hadi nifike hatima yangu... Yupo Mungu kutusaidia.
Vp
Always a vibe... Listening to you takes me an inch closer to God... Always be blessed mom.. From Kenya
Such an encouraging Song. Thanks God for blessing us with such Musicians on Earth.
Blessed song ❤️ Naona mbali to the world 🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍 gonga like tukisonga 💯 much love from Kenya 🇰🇪🙌💯
May God bless you....nyimbo zako hunitia moyo Sana🙏🙏😍
namuona Mungu anaongea na mimi kupitia wimbo huu.....asante Yesu wangu.
Mwenyezi MUNGU aendelee kukuinua zaidi mama angu binafsi mimi mwanao na barikiwa sana na kipaji chako. MBALI🙏
been at my lowest today but just listening to this song I must pick up my pieces and carry on till the very end❤
Yani huu wimbo ni ibada tosha sana umenitia nguvu 🙏
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu