Chine - Aniue (official audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 282

  • @Tonee_Tuber
    @Tonee_Tuber 4 месяца назад +91

    Tulio letwa ma Chado masta tugonge like apa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 месяца назад +44

    Chine umetisha sana waloupata huu wimbo kupitia chado tujuane❤🎉

  • @HappyShaba
    @HappyShaba 5 месяцев назад +108

    Tulouskia kwenye movie ya chado tukautafuta gonga like❤

    • @husnatjh5969
      @husnatjh5969 5 месяцев назад +2

      Mie hapa yaani nimeutafuta sana

    • @HappyShaba
      @HappyShaba 5 месяцев назад

      @@husnatjh5969 💕💕

    • @faykassim7210
      @faykassim7210 5 месяцев назад +3

      Ehhh mi nimeutafuta nakupenda mno❤

    • @Queen-h3z
      @Queen-h3z 4 месяца назад +1

      Usinichoke dear

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 4 месяца назад +1

      Na mm nliutafuta sana

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 5 месяцев назад +103

    Daa chado masta kitengo umefanya mpaka niutafute huu wimbo

    • @hoodlandtanzania
      @hoodlandtanzania 5 месяцев назад +6

      nadhani wengi chado ndo katuleta hapa maana ile cover so poa aisee imeikanyaga ad original

    • @IreneIsambi
      @IreneIsambi 5 месяцев назад

      @@hoodlandtanzania kwakweli siyo pow

    • @muddyhamza9606
      @muddyhamza9606 5 месяцев назад

      😂ata me

    • @Abdulazizi-c1h
      @Abdulazizi-c1h 5 месяцев назад

      Serious

    • @IreneIsambi
      @IreneIsambi 5 месяцев назад

      @@Abdulazizi-c1h Yes serious

  • @faykassim7210
    @faykassim7210 5 месяцев назад +30

    Ehhh mission impossible imefanya nitafute huu wimbo mzee chado anyway chine keep up bro unajua na unajua tena❤❤❤❤

  • @wegoromasinde6170
    @wegoromasinde6170 Год назад +51

    Wacha Niache comment angu nirudi hapa mara zote ukilike 💯

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 Год назад +7

    Wow ucjuli Sawa ❤️❤️❤️😛👏👏🖐️🖐️🖐️👌👌🥰🥰🥰🔥🔥🔥

  • @yuromillionaire_ke
    @yuromillionaire_ke Год назад +13

    Big up bro, umeuwa😭 🙌🙌🙌 kuanzia Beat✔ Uandishi✔ Sauti✔ Melodies ✔ yani hatari 🔥🔥🔥😭😭😭

  • @mamiemasha1911
    @mamiemasha1911 Год назад +6

    Keep going broo utafika inshaallah this song walai naiskiza Mara mbili mbili my favorite artist ❤

  • @AbdiiAdow
    @AbdiiAdow Год назад +7

    Big love FROM KENYA MOMBASA 🇰🇪🇰🇪chine Love

  • @saadhome3791
    @saadhome3791 Год назад +7

    kali sana bloody🔥🔥🔥🔥

  • @GodfreyTemu-qj2hk
    @GodfreyTemu-qj2hk Год назад +11

    Diamond platnum hichii kichwaaaa bd ujakionaaa jmn❤

  • @AntarSalim-vc3yw
    @AntarSalim-vc3yw 4 месяца назад +21

    Data kitengo nimeitafuta kwa sababu Yano kitengo

  • @HemedyMeddyyoungking
    @HemedyMeddyyoungking 4 месяца назад +5

    Kaka chine unajua balaa 🙏 god bless you utafik mbal

  • @denniserick9078
    @denniserick9078 Год назад +6

    Bless sana bro keep it up inshaallah one day watajuanga nini unafanya wa Tz we ni 🔥🔥🔥🔥

  • @mussahaji230
    @mussahaji230 Год назад +6

    Kazi NZURI

  • @vegas-bwoy9325
    @vegas-bwoy9325 Год назад +5

    Nakubalii sanaa Kaka aiseeee🔥🔥💯💯💯💯

  • @ramjiyussuf5789
    @ramjiyussuf5789 2 месяца назад +2

    Lazima mjue Kaka Chado ndo kanileta hapa 👏🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @annaki318
    @annaki318 4 месяца назад +13

    Tulioutafuta huu wimbo baada ya kuona interview ya chado masta tujuane❤❤❤

  • @BibiTale
    @BibiTale Год назад +2

    Waoo umetishaa sana yan mungu atkusimamia utafika malengo❤❤

  • @williamruto4030
    @williamruto4030 9 месяцев назад +6

    When you're happy, you enjoy the music but when you're sad, you understand the lyrics.
    🥺

  • @ablamymussa5556
    @ablamymussa5556 Год назад +6

    Ladhaaaaaaaaa hii ndio flaver yenyewe

  • @makakajolewiramba5092
    @makakajolewiramba5092 Год назад +5

    I swear hii ngoma vibe💥💥💥

  • @Abby_media_Group
    @Abby_media_Group Год назад +4

    Very talented Sana.....Tz

  • @ZuleyaIdrss
    @ZuleyaIdrss 2 месяца назад +1

    Nomaaaaa kamaaa umpetiaaa kama uuh wimbo unavyxem tujuaneee aisee

  • @zuheilarama6233
    @zuheilarama6233 Год назад

    Uko sawa brother yngu.., Mwenyezi Mungu akufikishe bali

  • @muslimhamza5044
    @muslimhamza5044 Год назад +6

    Unyama mwingi 🔥

  • @neemablasto2665
    @neemablasto2665 4 месяца назад +4

    Chado masta thanks maan sio poa😢😢 ngoja niidanload kesho cku nzima yasikilizwa humu ndan

  • @NaahmwasonMwasoni
    @NaahmwasonMwasoni 2 месяца назад +1

    Jamani aka kawimbo katam sio powa😍😍

  • @abbyharzdhivecailerabbycai9313
    @abbyharzdhivecailerabbycai9313 3 месяца назад +1

    Am here from mission impossible Chado 😢😢😢❤❤❤❤❤....Chine you should put this on Spotify and tiktok too❤❤❤🎉

  • @AllyDegea-jt3rx
    @AllyDegea-jt3rx Год назад +5

    Chine lov upo vzuri mdogo wng inshaallah mungu atafanya wepesi nass tutaenda mjini

  • @khamismsauz-uo6nj
    @khamismsauz-uo6nj 3 месяца назад

    Oya kitengo sio poa ulimpata wapi huyu jamaa ni Moto congratulation🎉🎉🎉🎉

  • @FATMASADY-m9z
    @FATMASADY-m9z Месяц назад

    Chado umefanya hii iwe my fav songs always thanks mwamba

  • @qpperboy1381
    @qpperboy1381 5 месяцев назад +10

    Imebidi Nije kuitafute na Mimi hii nyimbo 😢😢 nimepigwa tukio

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 4 месяца назад +2

      Naona round hii matukio n mengi acha mungu atusimamie😢😢😢

  • @zollax_tz4164
    @zollax_tz4164 Год назад +3

    Best all time am proud of u broo🎉

  • @EstherNdaga-n4q
    @EstherNdaga-n4q 24 дня назад

    Chado kanileta ukuu lahaulaaaah😍

  • @zuwenasaleh4693
    @zuwenasaleh4693 Год назад +2

    Mashallah good talent😮

  • @JosephMatandiko-n1j
    @JosephMatandiko-n1j 2 месяца назад +1

    Ni chado masta na najma kidem jau ❤❤❤❤❤❤❤❤ your song

  • @ABDULMakinga
    @ABDULMakinga Год назад +2

    Umetisha kaka

  • @Bassam_KE
    @Bassam_KE 4 дня назад

    Goma Kali kwa wauguzi kma sisi❤

  • @beatuskamanyisa7611
    @beatuskamanyisa7611 4 месяца назад +1

    Daah ira chado masta 🌹🌹

  • @musicaltana1251
    @musicaltana1251 Год назад +4

    Kazi safi

  • @omaryfrank8340
    @omaryfrank8340 2 месяца назад +2

    tulio husikia kweny movie ya chado tujuane♥️

  • @sonkotouchez1
    @sonkotouchez1 Год назад +4

    Keep shine bro❤❤🔥🔥🔥🔥

  • @MwajumaSalum-u4s
    @MwajumaSalum-u4s 16 дней назад

    Nakupenda uu wimbo❤❤❤❤❤

  • @KiduBoyJr.
    @KiduBoyJr. 6 месяцев назад +1

    😢😢inauma hisia kali sana big fan from +254🇰🇪🇰🇪

  • @De_Busso_Gang
    @De_Busso_Gang Год назад +3

    Ananioneaaaa 🔥🔥🔥🔥

  • @harrismalone5455
    @harrismalone5455 Год назад +2

    Kizazi sana🔥Kila Atua Dua

  • @morisoniJagwani
    @morisoniJagwani 4 месяца назад +2

    Chado masta kitengo ndo kafanya mbaka today niutafute ❤ Oyaa kidemu jau yupo kwerri Ametixha xana mle mpe hai Chado masta

  • @sonkotouchez1
    @sonkotouchez1 Год назад +3

    My best favorite artist❤❤🔥🔥🔥🔥

  • @dulamvuon
    @dulamvuon 5 месяцев назад

    Aniue so amazing melody 🎉❤

  • @umumohamed8032
    @umumohamed8032 4 месяца назад

    My all-time fav song 🥳

  • @HassanSaid-r8u
    @HassanSaid-r8u 3 месяца назад

    Nakukubali sana mwanangu kitengo 😅

  • @zainabujaphary3593
    @zainabujaphary3593 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤ from mission impossible

  • @batulisaleh-zb4yw
    @batulisaleh-zb4yw 27 дней назад

    Chine kaz nzur 🎉🎉🎉🎉

  • @SajaliAmri
    @SajaliAmri 4 месяца назад

    Chando uta2toa roho yaani 2memtafuta adi chine daah respect for you chado masita

  • @nellya2059
    @nellya2059 4 месяца назад +2

    Imenibidi nitafute wimbo huu❤❤❤❤

  • @nahoolalbosaidi6665
    @nahoolalbosaidi6665 5 месяцев назад +1

    Nimeitafuta sanaaa daah

  • @Nashbeib
    @Nashbeib 4 месяца назад +1

    Chado amefanya nitafute Hii nyimbo Nani mwengine ❤❤

  • @khamismsauz-uo6nj
    @khamismsauz-uo6nj 3 месяца назад

    Very good my friend🎉🎉🎉🎉

  • @EagerBeachCoast-mv4sd
    @EagerBeachCoast-mv4sd 3 месяца назад

    Jaman Kaka anaimba ❤❤❤❤ nimekupenda but😘😘😘

  • @SalmaKhmees
    @SalmaKhmees 12 дней назад

    Jamani hanajua sana ❤

  • @AlishajayAlishajay
    @AlishajayAlishajay Год назад +2

    Dis song mashaallah hasbiallah tabarakallah Mungu akuzidishie kipaji Chalo weeeeh kaka unaimba bnaaaa jmnyyy Ngoma hatari ❤❤❤ especially Kwa Sisi tuloachwa jmny kawimbo katamu hiviiiii

    • @chineTz
      @chineTz  Год назад +2

      Jamani Asante sanaa

    • @AlishajayAlishajay
      @AlishajayAlishajay Год назад

      Naeza ipata ikwa kwenye music kwngu juu nataka Ku download Ila nashindwa siipati Kwa music downloader

  • @imuh.
    @imuh. Год назад +2

    🔥🔥🔥

  • @FurahaLindondo-i8s
    @FurahaLindondo-i8s 16 дней назад

    Chado umefanya hadi nimekapa aka kawimbo❤❤️❤️

  • @mariammohd-i6y
    @mariammohd-i6y 5 месяцев назад

    Mungu akujalie utow
    e wimbo mzur kuliko huu mana umenigusa

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 2 месяца назад +1

    Tulioujua kupitia chado tujuaane kupitia like😊😊mission impossible

  • @tausimbulumi503
    @tausimbulumi503 2 месяца назад +1

    Mr kitengo kanileta hapa 👏💔

  • @jamesngeshe7680
    @jamesngeshe7680 Год назад +2

    Naupenda huu mbaya naona nikipinga cover

  • @KimpembeSumail
    @KimpembeSumail 2 месяца назад +1

    Jamani mi nisaidiwe nyimbo ya ooo mahaba yamenizidi sana mimi

  • @IamRaySmartTz
    @IamRaySmartTz Год назад +3

    big up

  • @ibnzizu6996
    @ibnzizu6996 Год назад +2

    Mwamba kama staili yenyewe ndio hii watuuwe kweli

  • @mrsbaryz5851
    @mrsbaryz5851 Год назад +1

    Unajua unajua tenaaaah👍

  • @suhailali-y1w
    @suhailali-y1w 8 месяцев назад

    Watu hawajui tu ila hi nyimbo kali sanaaa😊😊😊😊

  • @MariamuBako
    @MariamuBako Месяц назад

    ❤❤napenda san ❤❤

  • @AshaYassinIddi
    @AshaYassinIddi 17 дней назад

    2:04 duu uwimbo mzur sana

  • @sumayyahmanyasi453
    @sumayyahmanyasi453 4 месяца назад

    Hatimae nimeipata aiseee ❤❤❤🎉🎉

  • @DomsThebesttz
    @DomsThebesttz Месяц назад +1

    Dah huu wimbo unanikumbuxha mbali

  • @uwezogroupcomedy1135
    @uwezogroupcomedy1135 Месяц назад

    Chado Chado ndo umetuleta huku🎉❤

  • @DogopachDogokoba
    @DogopachDogokoba Месяц назад

    Nyimbo Kali sanaaaaa😅😅😅😅

  • @ShajuMusic
    @ShajuMusic 11 месяцев назад +3

    Chine 🔥 wimbo pendw kwang Mimi so poa 🙌

  • @comedian711
    @comedian711 Год назад +1

    Msanii wangu pendwa

  • @Gmoo-tz1
    @Gmoo-tz1 13 дней назад

    Wengi tumekuja baada ya movie ya chado😂

  • @Mudutyga_Tz
    @Mudutyga_Tz Год назад +3

    God project and salute artist and producers joga 💥💥💥💥

  • @Rajoun_Tz
    @Rajoun_Tz Год назад +1

    Acoustic Ndugu Yangu 🙌🏿🙌🏿

  • @KambiHemedi-cv9tk
    @KambiHemedi-cv9tk Год назад +1

    No ah✊✊

  • @MariamKessy-v9l
    @MariamKessy-v9l 4 месяца назад

    one love❤❤❤bc aniuwe

  • @ashaswaleh7587
    @ashaswaleh7587 5 месяцев назад

    Chado master amenifanya nitafute hii song 🔥

  • @JosephWilliam-qk5gd
    @JosephWilliam-qk5gd 4 месяца назад +1

    Kaznzur xana

  • @pinakonk
    @pinakonk Год назад +2

    Lover song from chine

  • @SalhaRamadhani-f3z
    @SalhaRamadhani-f3z 3 дня назад

    Kitengo❤

  • @dodogrouptanzanialimitedto5284
    @dodogrouptanzanialimitedto5284 Год назад +1

    Love uuu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RahimKorongo
    @RahimKorongo Год назад +5

    🎉keeping the good music Alive Chine_Tz Aniue❤

  • @Cheusi01
    @Cheusi01 5 месяцев назад +1

    Hapaa kutoka kwa chado

  • @ShamimuShamimumohamedmisuja
    @ShamimuShamimumohamedmisuja 3 месяца назад

    yaan yote ni chado naipenda sana

  • @MariamuBako
    @MariamuBako Месяц назад

    jaman unajua ❤❤

  • @TumallyLhey
    @TumallyLhey 4 месяца назад

    Chado weeee umetisha wengi tumeutafuta huu wimbo baada ya mission impossible

  • @Cinekidy
    @Cinekidy Месяц назад

    NAWZ KUTUMIA HUU WIMBO WAKO KWENY MOVIE YANG BROO 🙏

  • @RechoReuben
    @RechoReuben 4 месяца назад

    Ananivuruga vuruga moyo ameuvunja vunja... dah htr san😢

  • @goldentifan8231
    @goldentifan8231 Год назад +1

    MashaAllah 🎉🎉🎉🎉🎉😢😢