Jinsi ya kuweka Pesa kwenye Binance / jinsi ya kununua coin . KUBADILI TSH KUWA USDT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии •

  • @manding4683
    @manding4683 2 года назад +3

    Kazi nzuli.kaka

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 2 года назад +2

    Kazi nzuri brother keep working 🙏🙏🙏

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      Pamoja

  • @limo_7
    @limo_7 11 дней назад +1

    Natengenezaje faida ili kuvuna?

  • @manding4683
    @manding4683 2 года назад +2

    Bwana mkubwaa.tengeneza bac aprication yakuseti vide ringtone when incoming call

  • @xaviermsakahabarii5279
    @xaviermsakahabarii5279 2 года назад +1

    Big up sanaa mzee✊✊✊

  • @shabanitewa5674
    @shabanitewa5674 2 года назад +2

    Naomba namba yako
    Cjaelewa jinsi ya kubadilisha USD & TZS

  • @nyauclassictv805
    @nyauclassictv805 Год назад

    nice

  • @mrdavidfunny
    @mrdavidfunny 2 года назад +1

    Nisha weka

  • @malikijuma2759
    @malikijuma2759 2 года назад +6

    kaka haimaanishi hatuoni video zako.hapana tunaziona ila tunazotazama nizile zinazo ongelea maswala ya pesa.

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      duh , hata me naona

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 2 года назад +1

    Unajua sana mzee

  • @godloveurio4236
    @godloveurio4236 2 года назад +1

    Naomba nitumie namba yako ya WhatsApp mbona inanileta mapicha picha siewi

  • @AmashaKandido-cl3pk
    @AmashaKandido-cl3pk Год назад

    Naomba namba yako kunakpengele naitaji usaidizi

  • @MustafaKhamiss
    @MustafaKhamiss 5 месяцев назад +1

    Kiwango kipi cha chini unaweza kununua usdt kwa wakala ?

    • @Vinei
      @Vinei  4 месяца назад

      Mara nyingi wenge huanzia 10

  • @niyongabojulias5848
    @niyongabojulias5848 Год назад +1

    Bro nakupataje inbox ili unisaidie?

  • @johnnyaulingo6053
    @johnnyaulingo6053 2 года назад

    Na kwa system ya bank

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 Год назад +1

    Kaka mbna kwenye app hayo mambo sioni

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      Weka pro mode

  • @alzajawiy
    @alzajawiy Год назад +2

    Namba za whatsappy naomba

  • @Lokambaluhata
    @Lokambaluhata 3 месяца назад

    Kaka Asante lakini Video yaho iko incomplete, unge onyesha hatua zote hadi kuzituma hizo pesa kwa mtandao, pia umechukua dakika mengi kufafanua mambo ungeweza kuongeya kwa dakika 3

    • @Vinei
      @Vinei  3 месяца назад

      @@Lokambaluhata hakuna asie jua kutuma ela , pia maelezo mengi ni kwaajili ya wasio jua , video sio kwaajili ya wataalam kama wewe

    • @Lokambaluhata
      @Lokambaluhata 3 месяца назад

      @@Vinei Mimi si mtaalam, nimeonatu ulichukua muda ku repeat the samethings. NI shauri tu kaka don't take me wrong, mimi siwezi kumtumia wakala kupitia Mpesa, ndio maana nimekuja kufuata video yako. Ikikupendeza next time , Jua, wanao fuata video yako no watu ya category Gani na itawasaidiaje

  • @marianaandrea8543
    @marianaandrea8543 2 года назад

    Nisaidie nili deposit from trust wallet to earn wallet kwenye Binance bila kupita spot nafanye nili invest Usdt flexible

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      Sawa

  • @Kassimlimocrs
    @Kassimlimocrs 2 года назад +1

    Mbn haijamaliza

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      Pita kwenye channel pale

  • @rboysimba
    @rboysimba 2 года назад +2

    So yeye ata kutumia moja Kwa moja sio

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      ndio

  • @samwelmayiku3938
    @samwelmayiku3938 Год назад +1

    NAOMBA UTUONYESHE NAMNA YA KUNUNUA KWA CREDIT CARD AU WIRE TRANSFER DIRECTLY KAMA IYO NJIA IPO

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      sawa kaka

  • @26life98
    @26life98 2 года назад +1

    Tunafunguaje account ya binance

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      nilisha elekeza hapo 👇👇
      ruclips.net/video/_PMcAfhqvJs/видео.html

  • @obahmediatech
    @obahmediatech Год назад

    Vp kuusu Bitcoin

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      Unafanya tu ku swap kutoka coin moja hadi nyingine au unaweza chagua Bitcoin kisha uka deposit badala ya USDT kama nlivyofanya

  • @hamisimohamedi7979
    @hamisimohamedi7979 8 месяцев назад +1

    Kiongoz naomba contact yako

    • @Vinei
      @Vinei  8 месяцев назад

      0624741607

  • @mudymuzungu3388
    @mudymuzungu3388 2 года назад +1

    Unauza usdt

  • @RebecaIsdory
    @RebecaIsdory 5 месяцев назад +1

    Naomba namba yako ya WhatsApp plse

    • @Vinei
      @Vinei  4 месяца назад

      0624741607