This is so eye-opening.....we need more contents like this...learning from our own very brothers is easier because the conversations are candid. Thank You @Fredrick Bundala for this...#ijumaayenyemwangaza
Habari Dorice! Je, wewe unamiliki digital currency yoyote? Kama sivyo tafadhali angalia channel yangu. Nimenunua Doge coin baada ya kauli ya Rais Samia
Hapo katika faida mmeongelea habari za kusafiri na kuingia sehemu ambazo hamjaingia, sasa hizo ni personal, tunataka faida ambazo anaweza pata kila mtu. Kuhusu kufundisha sio kila mtu atafundisha. Hiyo 30 mpaka 8000 je ni yauhakika au bahati na sibu?... Nashauri kabla ya kujiunga hakikisha unajua ukweli na unaelimu. Watu wanapigia sana promo kuliko kusema ukweli... hasara zipo nyingi ila hamjaziongelea kwa ukubwa wake ili watu wachukue tahadhari.
Kiukweli cryptocurrency haina hasara sema mtumiaji ndo inambidi awe makini na awe na uvumilivu pale crypto znapokua znashuka sana. Uoga na ufinyu wa maarifa ndo unatufelisha. Ila forex hasara zipo unahitaji elimu kubwa sana kuiendesha.
Nimeona kwenye comments za watu wanasema forex ni utapeli na wizi lakin hiyo sio sahihi kusema hivyo maana mm nimefanya kwa muda Wa miaka 10 sasa na nimeingia hela nyingi lakin ni baada ya kusoma forex vizur na kuielewa na nikaingia demo account nikawa nafanyia mazoez nikaja kufungua real money account na nikawa napata hela nyingi sana na nimefundisha wanafunzi wengi sana na wanapata hela nyingi sana na mpaka sasa hivi wana trade
Kwakwel mm nashindwa kuelewa watu wengi hawajui kumuelezea mtu akaelewa maana wamekariri kitu wengi wanazungumzia Bitcoin, cryptocurrency, block chain kwa jujuuu au kwa kile walichokariri ila kwa mtu kbx ambaye hajui chochote kuusu Internet hawez jua
Ni interview tu wanaongea lakini ukiwatafuta kwa akaunti zao hawajibu tena kiustarabu tu ukiwauliza kuhusu bitcoin hasa huyo john jackson haina haja wao kutoa namba au kaunti zao ikiwa ukiwatafuta ili ujue progrmu za bitcoin hawajibu
Sitaiongelea kwa undani hii biashara,Lakini kuna mtu mmoja nimesoma nae hapo namfahamu vizuri na alitaka kuniingiza King kwenye Forever Living. Kwahiyo vijana wenzangu tuwe makini, inawezekana ikawa kweli lakini tuwe makini sana.
Haieleweki na haitokaa ieleweke kwani hii ni taasisi ya .... 😂 ni ujanja ujanja fulani hivi wa kuongea harakaharaka na kutupia vijineno vya kiingereza halafu unawachwa kiaina kama umeelewa kumbe hujaelewa chochote. Hapa ni mjini.
@@josemastery955 huu ni usanii, nimewafuatilia kitambo hata kabla hamjaingia you tube. Mpaka group za WhatsApp nilianza kuuona huo utoto. Wapo watakaojigongeza wapokeeni .. sio mimi.
Achana nao then jaribu ku-google lakin pia RUclips fuatilia mafundisho yake kutoka watu mbalimbali, ila kwa ushahid zaid mim bnafsi nimefundishwa darasani na mwalim wa International Financial wakt najiandaa na mitihani ya CPA, Labda kwa kukusaidia ni kwamba huo ndo mfumo mpya wa KIFEDHA ujao, baada ya MFS. So its Real
Hamjui lecture mnambwela tu,,tunataka KUJUA cyptocurency Nini?? Bitcoin NI Nini??brokchain Nini Nini?? Naanzaje kufanya hiyo ?? Sasa mnapiga romoniiiii
Wekeza kwenye biashara uliyoilewa mzunguko wake, hakikisha kuna usalama wa fedha yako, yaani kwamba endapo kukitokea shida kwenye uwekezaji wako unamuona nani? Mfano ukinunua hatifungani bank unajua moja kwa moja bank wanawajibika. Je wana makazi yanayojulikana( physical location)? Je wanalipa kodi? Je wamesajiliwa rasmi na mamlaka husika za kiserikali? Hata hivyo, tukumbuke kupiga kazi
Vitu unavyoongelea Ni centralized .. most ya crypto Ni decentralized Ina factor zake tofauti na zenye mantiki, hii project imeanzishwa kutokana na weakness zilizopo kwenye centralized unavyoongelea ambayo kwa comment yako inaonesha hata hujui disadvantage zake
Pesa inapatikanaje ? Hapo ndio utajua mnaingizwa chaka. Rudia hii video hata x 100 hawatakufafanulia ni vp utapata pesa. Watakuzungusha na misemo mingi na mifano tu lakini hawana majibu. Ni Matapeli hawa. Bundala waombe watu radhi kwa kuwatangazisha hawa watu katika Online tv yako. 😃😃😃😃😃
Cryptocurrency is the future. Invest now and youll never regret
Sahihi kabisa 👏👏👏👏👏👏
This is so eye-opening.....we need more contents like this...learning from our own very brothers is easier because the conversations are candid. Thank You @Fredrick Bundala for this...#ijumaayenyemwangaza
Habari Dorice! Je, wewe unamiliki digital currency yoyote? Kama sivyo tafadhali angalia channel yangu. Nimenunua Doge coin baada ya kauli ya Rais Samia
Well done guys @fredrick Bundala
@@danielisojiq5569 hahaha Mbona umechelewa sana
@@GMTProx nimechelewa nini?
I like presentation of John Jackson,,,#cool and understandable
Hawa jamaa wako vizuri sana
Nashukuru sana Mungu Cryptocurrency ilinifungua akili, na ilinibadilishia maisha kwa kiwango fulani.
Ikoje
@@giventv6244 ni somo pana. Jifunze utajua
Kama Una mwalimu naomba namb zake@@Jirhley
Thank you so much sns for an enlightening interview.
John Jackson, Gidi and sky be blessed men.
Asante sana kutoka 🇰🇪
I appreciate you brooz 🚀🚀🚀 crypto is much good
We need more content like this japo hakutakuwa na views wengi
Very true
Mkuu fuatilia channel yangu. Niliamua kununua Doge coin baada ya kauli ya Rais Samia. Pia kuna vitu vizuri vya kujifunza
👏👏👏
So deep
Naitaji ujuz
Interesting
Nitawapataje
Safi sana Bundala kweli huu mwaka 2025 wa kutoboa hawa ndugu nawapata wapi kwa muongozo zaidi?
dahh jmn leo nimewai..nipeni like zangu 🤣🤣...love sns
ARE YOU FOR REAL?
Habari kaka
Mashaallah darsa nzuri sana
Cryptocurency
Asante Sana Dr Bundalla kwa tupa tia uelewa
Naitaji elimu
Crytopcurrency iko poa sana
We Jana unani inspire
Mkuu tazama channel yangu uone nikinunua Doge coin
Cryptocurrency ni pesa kubwa sana
Kuna namna sky anaweka industry ya habari music kiutofauti,i think wengine kuna kitu wanatakiwa waoge. THANK YOU ALL BROTHERS
❤
Block chain hatari sana
Hapo katika faida mmeongelea habari za kusafiri na kuingia sehemu ambazo hamjaingia, sasa hizo ni personal, tunataka faida ambazo anaweza pata kila mtu. Kuhusu kufundisha sio kila mtu atafundisha. Hiyo 30 mpaka 8000 je ni yauhakika au bahati na sibu?... Nashauri kabla ya kujiunga hakikisha unajua ukweli na unaelimu. Watu wanapigia sana promo kuliko kusema ukweli... hasara zipo nyingi ila hamjaziongelea kwa ukubwa wake ili watu wachukue tahadhari.
Asante kaka hawaongelei hasara
Kiukweli cryptocurrency haina hasara sema mtumiaji ndo inambidi awe makini na awe na uvumilivu pale crypto znapokua znashuka sana. Uoga na ufinyu wa maarifa ndo unatufelisha. Ila forex hasara zipo unahitaji elimu kubwa sana kuiendesha.
Ongelea tu na wewe uonyeshe hasara zake kwa upana unaoona wewe bro.
Jifunze crypto utaelewa
Nimeona kwenye comments za watu wanasema forex ni utapeli na wizi lakin hiyo sio sahihi kusema hivyo maana mm nimefanya kwa muda Wa miaka 10 sasa na nimeingia hela nyingi lakin ni baada ya kusoma forex vizur na kuielewa na nikaingia demo account nikawa nafanyia mazoez nikaja kufungua real money account na nikawa napata hela nyingi sana na nimefundisha wanafunzi wengi sana na wanapata hela nyingi sana na mpaka sasa hivi wana trade
Bro naomba no yak nataka kujifunza forex plz🙏🙏
Hello
Forex Ni centralized .. ukijua risk ya centralized, utaelewa faida zake si kivutio pekee Bali consistent ..
Kaka m me nataka nijifunze kutrade nafanyaje o nakupataje
Uhuni
Block chain
"Hold and forget but never forget the password"
Brother samahani nawezaje kuingia kwenye biashala ii
Somo.gumu sana mnaloongea hapo
Kwakwel mm nashindwa kuelewa watu wengi hawajui kumuelezea mtu akaelewa maana wamekariri kitu wengi wanazungumzia Bitcoin, cryptocurrency, block chain kwa jujuuu au kwa kile walichokariri ila kwa mtu kbx ambaye hajui chochote kuusu Internet hawez jua
Kajifunze
Hapo Muda hautoshi wa Somo...unapewa tu Brief!! Kama unataka kuelewa zaidi utatafuta tu namna
Sijui ni kwanini, lkn kuna kitu ndani yangu inaniambia huyo kijana alievaa miwani si mtu wa kumuamini maana pia hoja zake zinaruka ruka sana!
😂😂😂 Motivated
Kweli block chain muhimu kwanza kwa tz
Ni interview tu wanaongea lakini ukiwatafuta kwa akaunti zao hawajibu tena kiustarabu tu ukiwauliza kuhusu bitcoin hasa huyo john jackson haina haja wao kutoa namba au kaunti zao ikiwa ukiwatafuta ili ujue progrmu za bitcoin hawajibu
Sio lazima uwatafute wao majukwaa na watu wakufundisha n wengi sanaa
Wameeleza kuwa wao ni kama Smart Class tu
Sitaiongelea kwa undani hii biashara,Lakini kuna mtu mmoja nimesoma nae hapo namfahamu vizuri na alitaka kuniingiza King kwenye Forever Living.
Kwahiyo vijana wenzangu tuwe makini, inawezekana ikawa kweli lakini tuwe makini sana.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Next time mtuletee na jinsi watu wanavyopiga ela kwenye KUBET maanaa watu wanatajirika Sana mitaani ili vijana waweze kuitumia Kama fursa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sana
🤣🤣🤣
Mbona mkipigiwa simu hamupokei
Mimi mgumu kuelewa nitawapataje
Nawapataje ili nijifunze darasa please naomba mawasiliano
Hata huyo Bundala hapo hajaelewa kitu ila amewekewa imani fulani kuwa atakuja kuelewa.
Hahaha
Mkuu angalia channel yangu ninaelezea vizuri. Na mimi mwenyewe nimenunua Doge coin
666 imeingia sasa
Broh ombi langu kwako ni mualike mwalim wa cryptocurrency atuelekeze vividly on how exactly we could invest on cryptocurrency
Ooh ndg yangu karibu tufundishane toa mawasiliano utafikiwa
Mkuu tazama channel yangu uone nikinunua crypto currency #Doge
Cr
The coin he is talking about is Dogecoin
Bundala umeamua kuwaleta hawa jamaa hapa ambao ni hatari. ...
Hapo sky hujaelewa kabisa. Hawa majamaa wanajua Ila tu hawajui ku explain
Tazama channel mimi nime invest kwenye crypto
Nilikua natafuta mtu alieongea Mawazo yangu.....this is it....wanarukaruka sana, hawaeleweki
Hawa ni kama smart class hawawezi kukuelezea huku vizur wanataka uwatafute wapige hela through their first rule on how to invest on Crypto
Tutengeneze Coin yetu tuiite SARAFU
Wazo zuri
Kabisa
Toeni maelezo ninajiungaje???
Sky nisaidie namba ya gid please
Na royal q ni nini
Fred upo vixur
YANI SIJAELEWA CHOCHOTE HAPA. YANI SIJAJUA CRYPTOCURRENCY NI KITU GANI, NA SIJAJUA UFANYAJI WAKE KAZI.
mmmh
Mama Samia naomba utufungulie PayPal watu tuishi
Inakua vipi ile brooo
Bro sky naomba msaada nipate namba yako ili nilielewe vyema swala hili nashindwa kulifanya vyema kwa kukosa uelewa
0784983586
Mkuu angalia channel yangu mimi nime invest kwenye crypto currency #Doge coin
Hawa Jamaa hawajui wanasema nini hakuna blockchain developer anaweza kukufafanulia zaidi, hawajui smart contract unaweza kubadilisha
Dear wanajua wanaongea nini ila hawajaweza kukuelezea ukaelewa ila trust me they know what they are doing ..
Haieleweki na haitokaa ieleweke kwani hii ni taasisi ya .... 😂 ni ujanja ujanja fulani hivi wa kuongea harakaharaka na kutupia vijineno vya kiingereza halafu unawachwa kiaina kama umeelewa kumbe hujaelewa chochote. Hapa ni mjini.
Hapa akili kichwani mwako! Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
😂muanzilishi mawenyewe wa bitcoin hajulikani sasa awa jamaa wa tz wenzetu ndo watatueleza tuelewe !!😂
amna bro tafta knowledge, many people hapa hapa tz wanafanya crypto, so it's real, fighting 💪😀
@@josemastery955 huu ni usanii, nimewafuatilia kitambo hata kabla hamjaingia you tube. Mpaka group za WhatsApp nilianza kuuona huo utoto. Wapo watakaojigongeza wapokeeni .. sio mimi.
Achana nao then jaribu ku-google lakin pia RUclips fuatilia mafundisho yake kutoka watu mbalimbali, ila kwa ushahid zaid mim bnafsi nimefundishwa darasani na mwalim wa International Financial wakt najiandaa na mitihani ya CPA,
Labda kwa kukusaidia ni kwamba huo ndo mfumo mpya wa KIFEDHA ujao, baada ya MFS. So its Real
.
Hamjui lecture mnambwela tu,,tunataka KUJUA cyptocurency Nini?? Bitcoin NI Nini??brokchain Nini Nini?? Naanzaje kufanya hiyo ?? Sasa mnapiga romoniiiii
👆👆👆👆
CONTACT HER FOR DETAILS ABOUT BITCOIN INVESTMENT AND START EARNING LIKE OTHERS 👍
Hakuna wachokijuwa
Tuelekeze wewe unaejua.
Wekeza kwenye biashara uliyoilewa mzunguko wake, hakikisha kuna usalama wa fedha yako, yaani kwamba endapo kukitokea shida kwenye uwekezaji wako unamuona nani? Mfano ukinunua hatifungani bank unajua moja kwa moja bank wanawajibika. Je wana makazi yanayojulikana( physical location)? Je wanalipa kodi? Je wamesajiliwa rasmi na mamlaka husika za kiserikali?
Hata hivyo, tukumbuke kupiga kazi
Vitu unavyoongelea Ni centralized .. most ya crypto Ni decentralized Ina factor zake tofauti na zenye mantiki, hii project imeanzishwa kutokana na weakness zilizopo kwenye centralized unavyoongelea ambayo kwa comment yako inaonesha hata hujui disadvantage zake
Pesa inapatikanaje ? Hapo ndio utajua mnaingizwa chaka. Rudia hii video hata x 100 hawatakufafanulia ni vp utapata pesa. Watakuzungusha na misemo mingi na mifano tu lakini hawana majibu. Ni Matapeli hawa. Bundala waombe watu radhi kwa kuwatangazisha hawa watu katika Online tv yako. 😃😃😃😃😃
Jinsi ya kupata pesa kuna coins TwT 8200 Kwa bei ya $50 nimekuja kuuza Kwa $ 8,000 within year
Tafta elimu kwanza mm ni beginner kwenye forex tu 10000per day kawaida sana usiwe na haraka na Jambo boss