Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani. Bofya hapa chini kutuchangia; flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox
Wazungu weziii sana..yaan siwapend kwakuwa wao hawakupi kitu ila mpaka wakuibie chako..wanajifanya wema wakija kwetu tukifika kwao wanatuua..wanatutupia ndizi na kutufananisha na manyani au Magaidi.
Brother ww ni muislam usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho au mambo ya kuhadithiwa hakuna mzungu anayeuwa watu mauwaji ni huko kwetu Afrika chukulia UCHAGUZI Huu Tanzania wangapi wamekufa kule Zanzibar kibao ukifika huko uko salama Sema ALHAMDULLILAH kila haki yako unapata ila kweli huwa wanavamia nchi na KUUWA lakini sio kwao
Asante sana Denis na Edgar kwa kutufahamisha kuhusu historia hii muhimu kuhusu Africa.Kumbe waafrika ni watu wamekuwa na nguvu na akili tangu mwanzo,kinyume na vile wazungu walitufanya tuamini
Ukiona mtu anamsifia mzungu ujue ni mjinga wa kuzaliw maana nilianza kujua kuwa mzungu hakuwa mwema kwetu nikiwa darasa la tano hadi leo namchukia mkoloni ee Mungu ni samehe.
Vizuri sana!!Sasa jambo la mwisho badilisha hilo jina Iitakalo sadifu unachosema…Kwa maana jina linamaana kubwa sana katika namna ya kuishi,lina wakikisha utawala
Hivi Mkuu unaishi wapi? Uelewa wako wa historia ni mkubwa mno. Nikisikiliza simulizi zako nakumbuka kitabu kilichoandikwa na mwanahistoria toka Guyana, Walter Rodney cha How Europe Underdeveloped Africa and How Africa developed Europe. Afrika tunapaswa kutoka usingizini, kukubali na kupenda vilivyo vyetu. Lazima tujipende na wanawake wetu waache ujinga wa kujichubua ili waonekane weupe. Lazima viongozi wetu waachane na misaada ya wazungu ili tupambane wenyewe na kujiendeleza hata kama ni kutoka jasho la damu. Uwezo tunao, tunahitaji tu kujiamini.
Kizazi cha leo Afrika tumeharibikiwa; hatutojikombowa kamwe unfortunately maana hakiri zetu zimekuwa mateka. Mara swag, mara bling bling nakadhalika. Isitoshe sasa, historia yetu hatuijuwi mpaka imefikia hata lugha zetu za asili haruzitamani tena. Ewe Mungu nusuru kizazi hiki. Amina.
Nitafurahi sana kama utatuletea historia ya akina wale walio taka kumpindua Aliyekuwa Raiai wa tanzania Julius Kambarage nyerewre. Na watanzania walio teka ndege
Alafu hatujawahi fundishwa Haya mambo kwenye history wazungu walitumaliza sana kwenye kutufundisha dini trust me maana walijua system yetu tulijengwa kutengeneza wealth and think wealthy hawa wazungu wakatuletea dini mambo ya Kusali na kusahau kazi tumebaki mafala
Siku afrika tukiacha kuoneana wivu kusalitiana sisi kwa sis ndo tutatoboa tunajua tatizo letu lakin tunaliendeleza ata nchi zetu nyingi zinasalitiwa na waafrika wenyewe mwafrika ukimpa v8 ya bure anasaliti na kuuza siri zote za nchi yake 😢😢
Mimi siamini uongo ambayo mnataka ju ujuwe kwa sababu bila mzumgu mu Africa ni bure kabla ya was zungu kuja Africa ma babu zetu walikuwa uchi sasa niambiye nikitu gani wewe unataka sema uongo
@@sadathahmada9066 mpika vitumbua na mandazi Kila mmoja na tofauti yake tatizo simulizi inakua Haina mashiko inabidi mtu akafundishwe Tena kusoma story za kuvutia sio Kama anahadithia watoto
Hii ni process, hata Ananias hakufika hapa mara moja. Nadhani wewe unamfaham Ananias Edga ambae keshajua kusimulia vizuri hujui alianzaje, alibrushiwa vip mpaka ukaanza kuvutiwa na utangazaji wake. Lets trust the process. Na tatizo lako unataka umsikie akitangaza kama Ananias hahahahahahaa
Mtu Kama hafai hafai akajifunze mpaka ajue ndo aje tutampokea vizuri hatii vibwagizo kachumbari bila limao si kachumbari msitulazimishe tumkubali mtu ambaye hatumtaki hamjui so ndo mabosi wenu
Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani.
Bofya hapa chini kutuchangia;
flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox
Brother 👏👏👏👏👏 kwa voice tu utabaki kilelen gonga like kama unamkubali ananias edgar🤝
Anae mkubali jamaaaa agonge like hapa!
Wazungu weziii sana..yaan siwapend kwakuwa wao hawakupi kitu ila mpaka wakuibie chako..wanajifanya wema wakija kwetu tukifika kwao wanatuua..wanatutupia ndizi na kutufananisha na manyani au Magaidi.
Brother ww ni muislam usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho au mambo ya kuhadithiwa hakuna mzungu anayeuwa watu mauwaji ni huko kwetu Afrika chukulia UCHAGUZI Huu Tanzania wangapi wamekufa kule Zanzibar kibao ukifika huko uko salama Sema ALHAMDULLILAH kila haki yako unapata ila kweli huwa wanavamia nchi na KUUWA lakini sio kwao
Denis mpagaze usikae mbali mzee channel inapoteza mvuto sana wengi tupo hapa kwajili yako
Asante sana Denis na Edgar kwa kutufahamisha kuhusu historia hii muhimu kuhusu Africa.Kumbe waafrika ni watu wamekuwa na nguvu na akili tangu mwanzo,kinyume na vile wazungu walitufanya tuamini
Ananias Edgar unanifurahishaga tu kwa sauti yko tamuuuuuuuu
InshaaAllah siku 1 Africa itakua bara tishio
The magic voice with good historical big up bro
Hii saut imekua nadra sn sahiv kuisikia daaahhhh
Bro uko vizuri
Sijui anakwama wap saiv kun ka kijana kweny hi acount lakin hatukaelew
Ukiona mtu anamsifia mzungu ujue ni mjinga wa kuzaliw maana nilianza kujua kuwa mzungu hakuwa mwema kwetu nikiwa darasa la tano hadi leo namchukia mkoloni ee Mungu ni samehe.
Vizuri sana!!Sasa jambo la mwisho badilisha hilo jina
Iitakalo sadifu unachosema…Kwa maana jina linamaana kubwa sana katika namna ya kuishi,lina wakikisha utawala
@@rafathealfa2237 ndiyo…. Nina jina jinga la mzungu pia…. 😓
Munaoanda history hizi nimiongon mwa dhahabu Za Africa "zitunze jaman"
Kudos mpagaze kwa kazi nzuri na ananias kwa simulizi taamu
Hii sauti ya edger imekaa vizuri sana
You are doing a good job,kudos from kenya, kiswahili kitamu sana
The magic voice, magic historical count~down and marvelous presentantion❤❤❤🎉🎉🎉
Hivi Mkuu unaishi wapi? Uelewa wako wa historia ni mkubwa mno. Nikisikiliza simulizi zako nakumbuka kitabu kilichoandikwa na mwanahistoria toka Guyana, Walter Rodney cha How Europe Underdeveloped Africa and How Africa developed Europe. Afrika tunapaswa kutoka usingizini, kukubali na kupenda vilivyo vyetu. Lazima tujipende na wanawake wetu waache ujinga wa kujichubua ili waonekane weupe. Lazima viongozi wetu waachane na misaada ya wazungu ili tupambane wenyewe na kujiendeleza hata kama ni kutoka jasho la damu. Uwezo tunao, tunahitaji tu kujiamini.
Kazi nzuri sana.IN TALENT WE TRUST
Thank you my brother from another mother ✊✊
Edgar get us history of bitcoins in swahili
Brother tuliku mic mnoooooo....unatupa afya ya ubongo
Daaaah Ebhana eeeeh, Ananias Edigar kunywa peps ya barid kwa bill yangu
pepsi utamuua taratibu sababu soda ni sumu
Well done bro if we will put history so clear it will help us
Kizazi cha leo Afrika tumeharibikiwa; hatutojikombowa kamwe unfortunately maana hakiri zetu zimekuwa mateka. Mara swag, mara bling bling nakadhalika. Isitoshe sasa, historia yetu hatuijuwi mpaka imefikia hata lugha zetu za asili haruzitamani tena. Ewe Mungu nusuru kizazi hiki. Amina.
Thank you genius 🙏🙏
Masha Allah 🔥🔥🔥💞💞✊🏾🌍🌍❤❤❤ila nafasibando ipo nikuamk
Nitafurahi sana kama utatuletea historia ya akina wale walio taka kumpindua Aliyekuwa Raiai wa tanzania Julius Kambarage nyerewre. Na watanzania walio teka ndege
Kaka ahsante upo vizuri sana
Nishagundua wazungu ndio waliokuwa wanakufa wazungu toka zamani chakushangaza wao ni wasafi na wasomi lkn ndo wanakufa mpaka leo #AFRIKA_SIMAMA
Nakubali sana makala zako
Nzuri sana kaka
Shukran
Alafu hatujawahi fundishwa Haya mambo kwenye history wazungu walitumaliza sana kwenye kutufundisha dini trust me maana walijua system yetu tulijengwa kutengeneza wealth and think wealthy hawa wazungu wakatuletea dini mambo ya Kusali na kusahau kazi tumebaki mafala
kaz nzuri
merci pour votre recherche grand frère, tu nous donnes le goût de s'unir nous qui sommes africains , je suis de la RDC, félicitations
hongela sana
From congo Brazzaville
@코카콜벳cccb01닷com speak English
Uko vizuri kaka
Mzee baba upo sawa sawa
Nzur sana
👍thanks brother for your insipiration
Hadithu nzuri. Ila matangazo yanaboa
Kaka We,Historia Zako Kuhusiana Na Dunia Uaga Zani Punga Roho Sana
Kwanini Italy!? Kuna mwenye Jibu hapa..!?
@코카콜벳cccb01닷com 🤣🤣🤣 kwaiy ndo umejibu ama 🤔🤔
My brother
Masha"Allah Masha"Allah
Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥
Each one teach one....!!!
Pamoja sana
Appreciate your work Ananias
Hongera sana
Siku afrika tukiacha kuoneana wivu kusalitiana sisi kwa sis ndo tutatoboa tunajua tatizo letu lakin tunaliendeleza ata nchi zetu nyingi zinasalitiwa na waafrika wenyewe mwafrika ukimpa v8 ya bure anasaliti na kuuza siri zote za nchi yake 😢😢
Nanias na mpagaze please msijekuwa kama mtiga na jamali....
Hii sauti adim sanaa
Daah niimiss sana sauti yako
Jamaaa unajuaa sana
SAFI ANANIAS
Zamn kuchinjwa kitu cha kadaiw tuu Eee Mungu hii isije ikarud tena kwa karne hii
Ukielezeaga wewe mwenyewe ndo nasikilizaga
Nimepend unavyosimulia... Lkn unamix historia nyingi...chagua hadith moja mzee
Wajina wangu me mansa j b
MASHALLAH 🔥🔥🔥🔥
Dah tunamiss hiii voice uliyemuachia hata halet raha
Nice
Huu ndio ujinga wetu afrika ety kitu mpaka amri atowe mzungu
Hii chaneli niliipenda sana ila siku hizi mjomba kaingia mitini. Acha kupotea hvyo wewe ndie ulietuleta hapa.
Kweli kaka.
Africa Ni sehemu ya Kipekee Kwa kila jambo
Agiza nakuja kulipa bro.
Huyu sheikh mansa mussa alikua ni billionaire
Namba za simu ni ngapi?
Kuna story hazinogi usiposimulia ww 😈
NAKU HESHIMU XANA KAKA UKO LIVE SANAAAA
Wazungu wasengee sanaa😅😅😅😅mamae zaoooo
Haha...bro mpk umekuwa doctor
Tuna safili kwa ungo na fisi
💪🔥🔥🔥
Mukuuu Ananias
The truth
I just like your content. Its super!!! Please TULETEE story ISMAILA MOMPHA. SCAMMER FROM NIGERIA. Friend to HUSHIPUPPI.
Nikweli tunapelekwa na wazungu kwamfano hapa petu tz kunwatu mungu anawaibua nasayans lakin serekali haiwasapoti kisa hawajui inglish 😂
Ivi kwanini hatufunguki kwA maono haya?
Hilo ndo swali kubwa la kujiuliza. Kwa nini hatubadiliki pamoja na kuelezwa haya?
Namba niulize swali,hivi Swala LA kutahiliwa lilianza mwaka gani na Kwanini tunazaliwa hatujatahiliwa lakini unakuja kutahiliwa?????
ANDIKA STORY YA LUANDA MAGERE
Who else search this after seeing blueprint ya Rosa ree?😂😂😂
KONGOLE!!
Chumvi👌👌👌👌
Sadock
Tuletee siku moja ya mfalme edipode
Nilimis sauti
Sawa kaka
❤️
Wazungu sio watu kabisa
Wao ni panya
Bro umetsha kwakwel
Ananias kwa kwelii ww jembee😅😅😅
ruclips.net/video/LdrZPDokPAI/видео.html Njoo Tujifunze Sasa
Kaka unatisha
Kakaaaa wekibokooooo haupingwiiii
Ulipo nipo
Tukikujee sanamu wap ww
IKO SAWA MANA USHAHIDI NI HUU UGONJWA WA CORONA
WAAFRIKA WENGI WANASUBIRI UKOMBOZI KUTOKA KWA WAZUNGU !
Mimi siamini uongo ambayo mnataka ju ujuwe kwa sababu bila mzumgu mu Africa ni bure kabla ya was zungu kuja Africa ma babu zetu walikuwa uchi sasa niambiye nikitu gani wewe unataka sema uongo
Daaah huruma kwako dhalili
Yule jamaa mwingine anaetupa story msipe Tena Hana mvuto kabisa wewe ndo chuma tunakukubali
We ina maana Ananias akiwa hayupo channel ife? Nadhan anacholofanya no jambo jema kuandaa kona Ananias wengine.
@@sadathahmada9066 mpika vitumbua na mandazi Kila mmoja na tofauti yake tatizo simulizi inakua Haina mashiko inabidi mtu akafundishwe Tena kusoma story za kuvutia sio Kama anahadithia watoto
Hii ni process, hata Ananias hakufika hapa mara moja. Nadhani wewe unamfaham Ananias Edga ambae keshajua kusimulia vizuri hujui alianzaje, alibrushiwa vip mpaka ukaanza kuvutiwa na utangazaji wake. Lets trust the process.
Na tatizo lako unataka umsikie akitangaza kama Ananias hahahahahahaa
Mtu Kama hafai hafai akajifunze mpaka ajue ndo aje tutampokea vizuri hatii vibwagizo kachumbari bila limao si kachumbari msitulazimishe tumkubali mtu ambaye hatumtaki hamjui so ndo mabosi wenu
Kaka nilishaingea hata instagram hatukatai watu wengine wasipate fursa ila basi kidogo atuburudishe yaani yule jamaa hasimulii vizuri kihivyoo