Ananias Edgar Kijana wako Volder Bn Byjuka yupo vizuri sana kuanzia matamshi yake na hata utulivu wake pia. Ila jaribu kumtengenezea story nzuri kama zakwak basi ili azid kuwa mtam. Nimewasilisha anaekubalian na mim tulijadili hapa ili Ananias edgar aone
Jamaa yuko pouwa tu, Kuhusu kuwa mtamu sio story kaka, ila ni KILE KITU ambacho kila mtu ana chakwake, hata kama mtakuwa identical twins, still kila mtu ana kitu chake cha tofauti na mwenzake..! Hivo hata akisoma hii story still ataisoma "kivyake" na ndivo inavotakiwa....! Ukjaribu kumuiga Mwenzio unafeli..!
Asante sana kaka mpagaze nilikuomba sana hii story hatimaye umeitoa pamoja sana
Kutoka majengo chunya mbeya nimekubali
Nawe kama umependa ""syo kila mzungu ni adui yako na syo kila muafrika ni rafiki yako """" gonga like hapa
Thanx bro kwel wote ni ndugu Ila sio kila mzungu ni adui na kila mwafrika ni rafiki
Great job Bro. I enjoy listening to your great stuff. Big up. Consider an English version of your work.
From Congo Brazzaville
Jamaaa anajua sna
Kazi mzuri ningetamani uleta historia ya naibu rahisi wa 🇰🇪 ...penda Kazi yako sanaa
Amefanya nini Cha kuimpact maisha ya binadamu mpaka tupewe historian yake,heri ya walio Leta uhuru wa pili
Amefanya nini ya maana, hajapigia chochote
Amefanya nini ya maana, hajapigia chochote
I love the way you bring these stories, he looks like King Mswati
Mungu AKUBARIKI SANA NDUGU 🇨🇩👀👍🏾
Asante kwa kukuwa na tv ya kwako.... kazi njema bwana mkuu
Always you,, Ananias Edgar. Good work bro. From Singapore
Ananias nimefurahi sana. Kusikia amepewa mke na nchi na wazungu. Very emotional words
Safi sana kwa ufafanuzi wako aisee.
Kwa hiyo leo nimekuwa wa mwisho 😤😤😤 big up bro💪✌
Nifer
@@mr.online2872 yoo
You can't be serious
Asante
Viva africa
Voice of Ananias
Ananias Edgar Kijana wako Volder Bn Byjuka yupo vizuri sana kuanzia matamshi yake na hata utulivu wake pia. Ila jaribu kumtengenezea story nzuri kama zakwak basi ili azid kuwa mtam. Nimewasilisha anaekubalian na mim tulijadili hapa ili Ananias edgar aone
Mungu
Akubarik umeongea ukweli
Enhee ni ukweli mtupu
Jamaa yuko pouwa tu,
Kuhusu kuwa mtamu sio story kaka, ila ni KILE KITU ambacho kila mtu ana chakwake, hata kama mtakuwa identical twins, still kila mtu ana kitu chake cha tofauti na mwenzake..!
Hivo hata akisoma hii story still ataisoma "kivyake" na ndivo inavotakiwa....! Ukjaribu kumuiga Mwenzio unafeli..!
Wow fantastic
bro umetisha💪
Kenya mu wapi?
🙏🙏🙏 pamoja Kaka unajua sana
from zanzibar tz
,✌️✌️✌️
From rombo kilimanjaro
Hayau tata massawe
from bukoba kaka unapotea wapi
From Mwanza Rock-City
From Usagara near Mzani 😎
Cheer's
Hodari Sana!! Natazama kutoka 🇺🇸
🙏🙏🙏🙏🙏💚💙💜🤎🖤🤍
Wow 🥰🥰 Edger
Big up bro Ananias Edgar💪
Siku nyingi sijaskia simulizi zako
Kupitia channel hii nmejifunza historia nyingi sana 😊😊
Yaan nakukubali kama bongo fasta kwakweli nyie wababe aiseee🙌
254 iko ndani
Respect
Edgar na Volder 🔥🔥
Uko saw
UKITAKA KUJUWA HII STORY VZURI IPO MOVIE YAKE INAITWA
>A UNITED KINGDOM < NZURI SANA 🙏🙏🙏
Pro trick: you can watch series on flixzone. Me and my gf have been using them for watching lots of of movies lately.
@Maximus Deshawn yea, have been using Flixzone for since november myself :)
@Maximus Deshawn yea, I've been watching on flixzone for years myself :)
Sauti yako tu
Kaka nyie mko vzr sasa mnatishaaa...
Ananis Edgar bhana eti, utajua mwenyewe.
From Dodoma east zoo
From Pemba tz ✌️✌️
Pemba ni wapi
@@minmaxc485 Zanzibar Tanzania
@@minmaxc485 ndani ya tz kuna visiwa viwili ambavyo ni unguja na pemba au kwa jina la ufupi ni Zanzibar
Hivi kuna mtanzania asiepajua Pemba?😲🙄
@@lilyrose7983 wapo
bro mbona unapotea sana
👍
IAN Khama pia ni mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim
2021
Kazi poa sana.endea kutupasha
Hallo
Hi
🤝🤝🤝🤝
Skuiz sfungui tv yako maanasowwe unaehudumia
🇰🇪🇰🇪💪💪
😂😂😂😂😂😂😂nilikuwa nipo makinii kuskiliza waliofunga ndoa na wazungu enzi izoo ghafla ety ananias ananiambia katafute mwenywe bhana tusichoshanee🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Rudisheni ringtone background ya zamani.
Ananias fundi
Hakuna nchi yenye akiba ya dola trilion 20
Nipo hapa uswana sasa.
Afadhali kizito Edger...kujana wako anajaribu ila sauti yako burudani na mtiririko wa historia
MTWARA TZ
Unakuwaga wap
Ndo anisukumie kwenye shimo la mamba
😂😂😂😂
Swali je familia ya mke ili nikubali ao ilikubali kiani tu
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kenya tupo...dr.kalii kitui county
Acha upumbavu kudisi kabila ww
🇨🇩👀👍🏾
FUFUTE tz