Learn Swahili Grammar: Adverbs of Time

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 51

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 Год назад +3

    Asante sana Mwalimu kwa darasa leo. Nijisikia vizuri sana ninaposikiliza Kiswahili. Utamu wa lugha ni pale inapotumiwa kwa ufasaha.
    Sizingatii ngeli za nomino, bali najifunza sentensi nzima kutoka kwa makala mbalimbali. Haba na haba hujaza kibaba na hatimaye jitihada zangu zitazaa matunda.
    Please don't laugh, I'm forcing myself to write Swahili as much as I can, ni muhimu sana kupachika njia ya kuandika lugha ya kigeni katika akili.

  • @dhubadawmuuse6448
    @dhubadawmuuse6448 3 месяца назад +1

    Asante sana mwalimu, mfudisho yako ni bora ziada, jina langu ni abdikani, sasa ni naisha kenya lakini siwezi kuongea kiswahili vizura kama wewe

  • @t-rob2943
    @t-rob2943 Год назад +1

    Asante sana… Keep them coming! (Greetings from the USA)

  • @RehemaSaidi-z6f
    @RehemaSaidi-z6f Год назад +1

    Thank you teacher God bless you

  • @JamesLeo-ui5xz
    @JamesLeo-ui5xz 5 месяцев назад +1

    Jina langu ni James Leo. Kwa sasa ni naishi Zambia lakini kabla ya hapo naishi Tanzania. Natamani kutembelea Dar Es Salaam wakati mwingine.
    At least I've used two or three adverbs of time in one paragraph. Ninajifunza sana 😅💪🏼... Ahsante Mwalimu 🙏🏼

  • @tisamokebulemasubugu6222
    @tisamokebulemasubugu6222 6 дней назад +1

    Good

  • @meriamumeriamu9015
    @meriamumeriamu9015 11 месяцев назад +1

    Ahsante mwalim

  • @miklosprisznyak9102
    @miklosprisznyak9102 4 месяца назад +2

    I find it weird that "hivi karibuni" means both "soon" and "recently". These are not interchangeable and actually they are antonyms: slightly in the future and slightly in the past. So this causes confusion in communication.

  • @errolethattsira3383
    @errolethattsira3383 Год назад +1

    great lesson. thaks sir

  • @theafroviolinist2043
    @theafroviolinist2043 10 месяцев назад +2

    Hello thank you for the lessons. What's the difference between mimi nina…. And mimi hu…. Like in mimi ninapenda and mimi hupenda?

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  10 месяцев назад +2

      Mimi hu- is habitual tense...I useful do...
      Mimi ninapenda is present tense...

    • @theafroviolinist2043
      @theafroviolinist2043 10 месяцев назад

      @@KiswahiliWithAbdulkarim oh makes sense now. Asante 🙏🏾

  • @AyaaSunday-f5l
    @AyaaSunday-f5l 9 месяцев назад +1

    Thanks for lesson but pliz drop for us your video of udogo ,ukubwa,wastani and insha maelezo

  • @Ahmett-2024
    @Ahmett-2024 Год назад +1

    Asante sana Mwalimu jina languni Ahmed Jama Salama in Somalia

  • @BarakaNiyindebera
    @BarakaNiyindebera 11 месяцев назад +1

    Wakati nyingine na maranyingine nitufa uti

  • @griselrosario6367
    @griselrosario6367 10 месяцев назад +1

    Asante sane mwalimu !! 4:01

  • @MohamedAbdulkadirSaid
    @MohamedAbdulkadirSaid Год назад +1

    Jambo mwalimu Abdulkarim

  • @oussenimhamadi5674
    @oussenimhamadi5674 Год назад +1

    HAMJAMBO JINA LANGU OUSSENI MHAMADI. NINATOKA MAYOTTE.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 месяца назад +1

    Grammer kiswahili usiku wa Jana usiku wa manane usiku wa kuamkia Jana
    Usuku wa Jana day before yesterday usiku wa Leo today at night

  • @oussenimhamadi5674
    @oussenimhamadi5674 Год назад +2

    NITAJIFUNZA KISWAHILI KABULA YA KWENDA ZANZIBAR.

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад +1

      Vizuri sana 👏🏽 to
      Kabla*

    • @Teaching356
      @Teaching356 5 месяцев назад +1

      Still/ Not yet.immediatelyRightaway or? And what about "Twice".

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  5 месяцев назад

      @Teaching356 mara mbili/maradufu

    • @Teaching356
      @Teaching356 5 месяцев назад

      @@KiswahiliWithAbdulkarim sasa walimu mnatofautiana kuna aliekuwa anafundisha et immediately na Rightaway ni neno moja.

  • @TOBISTAR-m7k
    @TOBISTAR-m7k Год назад +1

    Thank you

  • @carabowcarab
    @carabowcarab 8 месяцев назад +1

    TransLate to somali asanti

  • @angelikasteuer2777
    @angelikasteuer2777 Год назад +2

    Asante sana kwa darasa leo.
    Does "wakati" also mean time?
    Could you please make a sentence with "bado"? Asante

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад +1

      Bado unasoma- You are still reading
      Bado analala - He/she is still sleeping

    • @angelikasteuer2777
      @angelikasteuer2777 Год назад

      @@KiswahiliWithAbdulkarim Asante sana kwa msaada wako.
      I confused the English word still with the German word still - in English silent.
      Today is not really one of the good days for me.

  • @kassimbakar6514
    @kassimbakar6514 Год назад +1

    Thanks

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Год назад

    Thenxk you Ticher

  • @yousufmohammad5698
    @yousufmohammad5698 Год назад +1

    Teacher give us an exemple using (previously in Swahili)

    • @KiswahiliWithAbdulkarim
      @KiswahiliWithAbdulkarim  Год назад

      Nilikuwa hapo awali - I was here before/previously

    • @yousufmohammad5698
      @yousufmohammad5698 Год назад

      @@KiswahiliWithAbdulkarim but in the lesson you said, previously is kabla ya Hapo in swahili, so why did u use Hapo awali

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV Год назад

      @@yousufmohammad5698
      Excuse me bro, of ourse Swahili language is your native language so can you give me difference between (KABLA and HAPO AWALI)

  • @margaretcarlogridis4644
    @margaretcarlogridis4644 Месяц назад +1

    Can l say Nina hisi njaa. Nita kuwa na njaa

  • @faithMapenzibwanga
    @faithMapenzibwanga Год назад +1

    Kilifi County

  • @mangilucky8081
    @mangilucky8081 Год назад +2

    Mafundisho yako n mazuri sana

  • @BarakaNiyindebera
    @BarakaNiyindebera 11 месяцев назад +1

    Wakati nyingine na maranyingine nitufa uti niambie