Hii ni moja ya video zako ambazo zilipindua uamuzi wangu wa kuwacha masomo ya KiSwahili. Ilinifunuliwa vingi ambavyo vilikuwa vinafichika kwangu kuhusu lugha hii, asante!
mwalimu huge tafsiri kiingereza sawa sawa na kiswaili yaani nataka kusema hunavyo rudilia kiswaili mala 4 na kiingereza mala 4 asante mana hunafundisha wa swaili na wa ngereza
Very good articulation
Asante sana! dada yangu ❤️🙏
Karibu 😊
Hii ni moja ya video zako ambazo zilipindua uamuzi wangu wa kuwacha masomo ya KiSwahili. Ilinifunuliwa vingi ambavyo vilikuwa vinafichika kwangu kuhusu lugha hii, asante!
Asnte sana Kuwali. Tunashukuru Mungu kwa hekima na kila kitu anachopotupa. Asante pia kwa komenti.
Asante sana ❤
Karibu Eduardo! Como estas? Y Como va Puerto rico?
mwalimu huge tafsiri kiingereza sawa sawa na kiswaili yaani nataka kusema hunavyo rudilia kiswaili mala 4 na kiingereza mala 4 asante
mana hunafundisha wa swaili na wa
ngereza
Sikueliwi, samahani.
Hujambo
Sijambo! Mambo vipi?
@@SwahiliKingdom sijambo
Nafikiri daima maanake ni always na milele ni forever. Neno daima linahusiana na kitenzi kudumu
Ndio kabisa!!!
@@SwahiliKingdom msemo "kudumu daima" umeundwa kwa hayo maneno mawili, moja kitenzi na jingine nomino, yenye asili moja
@@martymcfly9232 kweli kabisa
inafaa uongeze neno tayari video hii?
tayari. ndio
How do you say "cipher" in Swahili?
Hi, a "cipher" is a "msimbo" in swahili.