DAKU LA TENDE [Madikodiko, Beka Ruga, Mzee Majid na Bujra]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 83

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 8 месяцев назад +3

    Mafundisho ya mzee nakubaliyana nayo kula tendee na maji au maziwa game over. Allah awabariki sana katika Ramadhani hii. Madikodiko, I love you from uk london.

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 8 месяцев назад +6

    Mashallah kiukweli twafaa kula tende na maziwa au na maji au kukiwa kimebakia kile Cha futhuru mle kwa daku sio ibaki iende kwa taka Kisha daku mwapika nyengine no hii mlio fanya ni Sunnah ya mtume (s.a.w) Ramadan Kareem ❤ila bekar 😂😂😂

  • @meselemanihamisi3905
    @meselemanihamisi3905 8 месяцев назад +4

    MashaAllah mzee yuko na mafunzo mazur beka embu tulia

  • @ShebaDele
    @ShebaDele 6 месяцев назад +1

    Dope cna beka hio luga ndio ykufanya uwe juu zdisha coz wwe ndo qamwanzo kufanya hio luga iweze u tube or jimbo midia big up 🎉👍

  • @AbusalimButchery
    @AbusalimButchery 8 месяцев назад +1

    Mzee majid nakupenda kwa ajili ya Allah mau yako hayo mzee 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @RamaKahindi-vw4oz
    @RamaKahindi-vw4oz 8 месяцев назад +5

    Yes nimewahi leo big up sana watu wangu

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 8 месяцев назад +5

    Kwa kweli huyu mzee yuaishi ma sunnah za mtume wetu S.A.W

  • @MahmudAbbas-ub1lg
    @MahmudAbbas-ub1lg 8 месяцев назад +5

    Beka na mzee majid mnaweza snaaa👍mnatupa mafunzo

  • @AbusalimButchery
    @AbusalimButchery 8 месяцев назад +1

    Mnyooshe huyo beka hanaadabu mzee nawapenda nyote❤❤

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 8 месяцев назад +4

    Beka mzee aondoki mpaka ramadhani iishe mashaaAllah kula chuma hicho 😂😂😂

  • @aligodah3622
    @aligodah3622 8 месяцев назад +1

    Weeeeh!!ama kweli life is a conflict😂😂😂😂😂ila si hpa kwa beka na mzee majid...!!

  • @DaudiMakame-j2f
    @DaudiMakame-j2f 8 месяцев назад +4

    Tende na maziwa zuri Sana wakati wa daku pia hupotenza kiyu

  • @Feisal-hamad
    @Feisal-hamad 8 месяцев назад +5

    Zo tende nazo zitaka enye taqwa mana uchizirya chidigo kujezajeza saa tanhu tu chembembe chinaasa😂😂

  • @ramasadaka7320
    @ramasadaka7320 4 месяца назад +1

    Beka uwa wanivunja mbavu na kucheka bigup bro😂

  • @MaherHamid-hz3wb
    @MaherHamid-hz3wb 8 месяцев назад +1

    Beka wanifurahisha

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤ undauya rini. Kaya mzeee 😅😅😅😅😅

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 8 месяцев назад +1

    Weee beka mzee majid haodoki mpka ramadhan iishe upo😅😅😅😅

  • @MahmudAbbas-ub1lg
    @MahmudAbbas-ub1lg 8 месяцев назад +3

    "Aah nkawaida iyo life is a conflict"😂😂😂hii nimerudia mara kumi

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂Me nimeskia hiyo tu hizo zingine nimeacha

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 8 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnaniuwa mm 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣beka 🤣🤣🤣

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂beka anaamba daku mpaka niryee ugaliii

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 8 месяцев назад +1

    Warudi lini majego😂😂😂😂

  • @mahirmahir2407
    @mahirmahir2407 8 месяцев назад +1

    Nilisema mm mutamueleza nn beka ?😂😂😂😂😂😂😂

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 8 месяцев назад +1

    Mzeee majid na beka kula chuma hicho😅😅😅😅

  • @mumsboy
    @mumsboy 8 месяцев назад +1

    Hii kofia ya mzee majid ni futi ngapi😂😂😂

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 8 месяцев назад +6

    Mashaallah mzee mwenye busara huyo beka adabu zake ndogo sana lakini nikatika mafunzo mzee hawashi uka waka mzee huzima nafurahi sana kwa anavyo fanya mzee

    • @MbaniAbdallah-g4j
      @MbaniAbdallah-g4j 8 месяцев назад

      Huyu Beka ana Majibu Mabaya. Haya yake simafunzo mazuri

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 8 месяцев назад +4

    Hii noma sana🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @FatumaAthman-zf6lm
    @FatumaAthman-zf6lm 8 месяцев назад +1

    Beka anataka sima na samaki 😂😂😂😂😂😂

  • @Dani1-fw9dw
    @Dani1-fw9dw 8 месяцев назад +2

    Wow mzee majidi here weeeh you 😂😂😂😂😂😂😂 Allah awazidishie kipaji inshallah

  • @citykibonge2999
    @citykibonge2999 8 месяцев назад +1

    Heheheee eeeh you😂😂😂

  • @UmuSuleiman-m3b
    @UmuSuleiman-m3b 2 месяца назад

    😂😂😂ni kawaida life it's a conflict 😭 umri mrefu mzee Majid Insha-Allah

  • @saidmwakinyezi1360
    @saidmwakinyezi1360 8 месяцев назад +4

    Beka safari hii atajifunza mengi kutoka kwa mzee majidi

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 8 месяцев назад +2

    Ikushike ndani isikushike ndani😂😂😂😂 🙌 🙌 🙌

  • @luckyzamu1358
    @luckyzamu1358 8 месяцев назад +1

    Beka! Beka! 😂😂😂😂😂😂 taphana sima rero

  • @abdulazizshadau8082
    @abdulazizshadau8082 8 месяцев назад +1

    Beka kajipikie sima acha vurugu ama kaowe upikiwe sima na mkeo😂

  • @NanaaCutee
    @NanaaCutee 8 месяцев назад +1

    Ila beka napenda ongea yako😅😅

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 8 месяцев назад +2

    Sophia yuko wapi mbona simuoni.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 8 месяцев назад +1

    Ma funzo Mazur kweli mzee

  • @ramasarai7875
    @ramasarai7875 8 месяцев назад +1

    Beka😂😂ugali n samaki

  • @rashidmbimbi3091
    @rashidmbimbi3091 8 месяцев назад +2

    SOPHIA YUKO WAPI????

  • @MialiiMohamed-m9l
    @MialiiMohamed-m9l 8 месяцев назад +3

    Beka amepatikana 😂😂😂😂

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 8 месяцев назад +2

    😂😂😂 sitaki kucheka beka jamani

  • @mickyhazard1152
    @mickyhazard1152 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 beka

  • @ZuhuraAbdulrehman
    @ZuhuraAbdulrehman 8 месяцев назад +1

    Wee beka unapenda kula

  • @LameckMangwenje
    @LameckMangwenje 3 месяца назад

    Big up bro Beka yni hua part yko lazma nicheke😂😂

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 8 месяцев назад +3

    Hey you

  • @MirajHamzaNdaro
    @MirajHamzaNdaro 8 месяцев назад +2

    Beka usiku pia unanenesa jaman😂😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 8 месяцев назад +2

    Kivuruge hicho😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 8 месяцев назад +2

    We Beka wamwambia mchawi baba wa mwenzio😢😢

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 8 месяцев назад +3

    Beka umenishinda tabia 😂😂😂😂😂

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 8 месяцев назад +1

    Beka 😂😂😂😂😂❤

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 8 месяцев назад +4

    Madikodiko umechapa😂

  • @saidhmuhammad5567
    @saidhmuhammad5567 8 месяцев назад +2

    Bujra wafeli kwa beka...

  • @MishiMwambaji
    @MishiMwambaji 8 месяцев назад +2

    Beka utapigwa😂😂

  • @SaidiMutti
    @SaidiMutti 8 месяцев назад +2

    😂🤣😂🤣😂Beka Unaweza Kubisha

  • @emmynoby9806
    @emmynoby9806 8 месяцев назад +2

    Sofia Yuko wap

  • @MwanasaadaAsha-es6ov
    @MwanasaadaAsha-es6ov 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂beka ataka daku la sima na samaki

  • @AminaaAgnes
    @AminaaAgnes 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂beka

  • @miselemanmwasipho5486
    @miselemanmwasipho5486 3 месяца назад

    😂😂😂😂kibz kazi unayo si kwamaneno ayo ya beka

  • @emmynoby9806
    @emmynoby9806 8 месяцев назад +2

    Mbna haonkani

  • @haisamseif2744
    @haisamseif2744 8 месяцев назад +3

    Beka watia hasira una gubu wewe dah!!

  • @ADILIMWASHEE
    @ADILIMWASHEE 8 месяцев назад +3

    Beka kiboko wake ni huyu mzee

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂❤

  • @hamisihalfan3100
    @hamisihalfan3100 2 месяца назад

    Mashallah

  • @saummwakumbo.4926
    @saummwakumbo.4926 8 месяцев назад +2

    😂😂❤

  • @aishaswaleh7166
    @aishaswaleh7166 8 месяцев назад +2

    Mashaallah 😂😂

  • @Mabangi123
    @Mabangi123 8 месяцев назад +2

    ❤🔥🔥🔥🔥

  • @ADILIMWASHEE
    @ADILIMWASHEE 8 месяцев назад +2

    Lete nione atakaekufa nnani

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 8 месяцев назад +3

    Beka😂😂

  • @aishaali8319
    @aishaali8319 8 месяцев назад +2

    daku😂

  • @JumanneHunda
    @JumanneHunda 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂bekaaaa

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😅

  • @AsiaAli-l4q
    @AsiaAli-l4q 8 месяцев назад +2

    Hahahahs

  • @bintmwarema3915
    @bintmwarema3915 8 месяцев назад +2

    😂😂😂

  • @sikudhanifaiz
    @sikudhanifaiz 8 месяцев назад +2

    Weeh you😂😂

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b 29 дней назад

    😂😂😂❤❤

  • @khaymaapink8966
    @khaymaapink8966 8 месяцев назад +1

    😂😂

  • @rukiagambere8050
    @rukiagambere8050 8 месяцев назад +2

    😂😂😂