Thank you so much guys, nmesoma comment nyingi sana wengi mnatuombea sana, Inshallah Mungu atatuongoza Na Dua zenu zipo nasi najua, Tunawapenda Sana Team KibzBeka❤️
Ila kaka kusema unaficha mabaya yake unamstiri ukimstri tulia ivo ivo ukisema unamstiri watu wanaezazua story zao kumpagazia mtoto wa watu....ni ushauri tuuh
Mashallay Mashallay mm nawaombe kila lakherii ishalla 🎉🎉🎉😮😮 muishi kwa wema iila beka tuliaa kaka na uyu mtot kbz juu watu uku wanasubiri umuache2 wamchekee so usisikilize yawatu😂😂
maskin namuonea huruma huyu Dada😢 kwa muonekano tu ni mtihani kumbe tena umetoka gulf jaman daah nyie wakaka tuhurumieni jaman weng mnaigiza kutupenda mapenz motomoto watu wakiwa kwenye utaftaji lkn ukirud mkitumia fesa zkaisha bas mapenz yanaontoka 😢😢😢 baadhi sio wote
Wanaume sukuizi wanaloga usijekusubut kumtajia jina halisi na la mamaako basi umekwisha hapo huyo dada hajui ila atakuja kuzinduka tayali pesa zimekwisha hapo hata mumshauli vipi hajali kwasababu ya dawa ngoja dawa zije kuisha yani huyu dada ndugu zake wasipo mchangamkia atakuja kulia kilio kibaya sana
@riziki,,kuhathirika na lugha sio mbaya sababu anaeacha mila atakuwa mtumwa .. Kuongea kiswahi na kuchanganya kizungu kingi pia ni ulimbukeni wakati mahojiano ni ya kiswahili alafu mtu anaanza kizungu mara anaanza kukwama kwama maneno ya yes,no,this,me,you
Mashaallah ❤ Mashaallah ❤nanyie mnao kimbilia kwa comment section polepoleni msikanyagane na hapo mbele kuna mkebe wangu wa mabuyu so msiuangushe mnipromot tukiendelea kubambika😊😊😊😊I love KIBZ MOHA❤ my schoolment🎉🎉🎉all the best in your relationship journey ❤🙏🙏
Hapo hakuna cha MAPENZI hapo ila kutiana MISUMARI ya MOTO Tu - hapo alafu tena huyo MJINGA snakuzarau sana Eti - kitapiga Tu-chenyewe ama kitani - TEXT . Huyo sio RIGHT MAN kwako wewe Dada huyo ni MWEHU sana ,,,
Maa Shaa Allah nawapenda nyote❤lakn Beka haya yasiwe mapenzi ya fulus.Nendeni kwa kadhi muka halalishe...In Shaa Allah kheir
Thank you so much guys, nmesoma comment nyingi sana wengi mnatuombea sana, Inshallah Mungu atatuongoza Na Dua zenu zipo nasi najua, Tunawapenda Sana Team KibzBeka❤️
Kijanaaaaaaa asaivi unakula cha gulf😂😂 Nakukubali damu yangu
Ila kaka kusema unaficha mabaya yake unamstiri ukimstri tulia ivo ivo ukisema unamstiri watu wanaezazua story zao kumpagazia mtoto wa watu....ni ushauri tuuh
Mashallay Mashallay mm nawaombe kila lakherii ishalla 🎉🎉🎉😮😮 muishi kwa wema iila beka tuliaa kaka na uyu mtot kbz juu watu uku wanasubiri umuache2 wamchekee so usisikilize yawatu😂😂
Beka kaka jitahidi umuoe kibz awe mke wako wa halali na mungu atazidi kuwabariki inshaallah
Me to fanyeni muoane mtabarikiwa zaidi zinaa inapunguza rizki
Nakupenda Bure...Beka ruga❤...
Huyu jamaa nilikuwa namkubali lakini kama mshamba ila nimeamini wakenya watu wa drama,hii nchi yetu ya Tanzania ipewe mauwa yake❤Tz
Niko hapa kwa kibzs enjoy ur love mamy❤❤❤❤
Masha Allah mungu awape subra tele na awaepushe na asad mana maneno ya walimwengu ni mengi
MashaAllah hdi raha,,,,, Allah awepushe na shari za walimwengu amiin yarabbi amiin yarabbi amiin yarabbi
maskin namuonea huruma huyu Dada😢 kwa muonekano tu ni mtihani kumbe tena umetoka gulf jaman daah nyie wakaka tuhurumieni jaman weng mnaigiza kutupenda mapenz motomoto watu wakiwa kwenye utaftaji lkn ukirud mkitumia fesa zkaisha bas mapenz yanaontoka 😢😢😢 baadhi sio wote
Muonee huruma sana juu huyo mwanamume nimrongo sana na sijuwi huyo mume Ako na kazi gani but olewa ujionee
Wanaume sukuizi wanaloga usijekusubut kumtajia jina halisi na la mamaako basi umekwisha hapo huyo dada hajui ila atakuja kuzinduka tayali pesa zimekwisha hapo hata mumshauli vipi hajali kwasababu ya dawa ngoja dawa zije kuisha yani huyu dada ndugu zake wasipo mchangamkia atakuja kulia kilio kibaya sana
Ok@@mwanaidiali6166
Yan mm imeniuma sana nmewafatilia san ila huy kaka muongo juz kashikwa na police😢😢😢😢
Yashanikuta haya nanikaolewa kabisa after pesa kwisha nikaachwa😭😭😭😭😭
Naomba nimuudhi kibz...kibz anampa beka pesa😂😂😂😂lol (jocking)
The way anamuangalia uyo Dem wake akiongea means alot❤❤❤❤
😂😂😂😂mashaallah beka eti naam kubz wangu bc usimtende kibz penzi lidumu inshaallah
Hongera mpenzi mungu awajalie mahasidi wasipate lakusema zangu dua🤲🤲
Hii couple imeweza Beka, mshike uyo mtoto ❤❤❤❤
So amaizing❤❤❤
Beka na kibz lafudhi ya kidgo imewaatiri mngeongea tu kidgo
@riziki,,kuhathirika na lugha sio mbaya sababu anaeacha mila atakuwa mtumwa ..
Kuongea kiswahi na kuchanganya kizungu kingi pia ni ulimbukeni wakati mahojiano ni ya kiswahili alafu mtu anaanza kizungu mara anaanza kukwama kwama maneno ya yes,no,this,me,you
😂😂😂
Mashahalla mungu awajaliy inshahallah twasubiri hiyo ndoa sas❤❤❤
Allah awajaalie ndoa soon in sha Allah.....ili Allah azidi kubariki mahusiano yenu...mob love kwenu ndugu zangu....❤
Aamin
Mashaallah Allah awaongoze kwenye kheri inshaallah ❤❤🎉🎉
Mashaallah nawaombea mapenzi yenu ya dumu mpaka muowane kifo kiwatenganishe
Beka polepole na kiswahili broo hahhahaa
Beka tuletee wifi kingwede plz❤❤😂😂😂😂
Beka en kibz congratulations guys
Beka nikisikia umemuacha huyu dada nitakutafuta uniambie n wap amekosea nawaombea uhusiano wenye uvumilivu na baraka kutoka kwa mungu inshallah
😂😂😂😂😂i almost broke my legs running here 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Umbea utakukosti😂😂😂😂😂
@@-RydaJamal26 😂😂😂😂😂nakwambia nimeacha
Hapo kwaharusi jamaa yuwahepa eti alebataar miezitatu kwanzo😅😅😅 muonjaji hanunui
Mashallah mungu awalinde tenà sana wako kweli wanaogea maisha ya beka na kbz ila mungu mbele ❤❤
❤
Kitapiga chanifata iyo kauli siipendi kuitwa na mpenzy wangu 😁😁
Mashallah ❤️ nawatakia kila la kheri InshaAllah
Nawapend San beka n kibz ❤❤❤❤❤
Hongera saana ❤❤❤❤❤mungu awape mafanikio mema inshallah Allah 🙏🙏
MashaAllah 🥰 nawapongeza
Wali waliwa na wale waliwao😮😮😮😮😮😮😮
Natafuta kibz Moha wangu jamani 😂😂😂
😅😅😅
kumekuchaaa.... kumekuchaa😂😂😂
Beka atuonyesha shavu moja tuone dimple hahahahahaah😅
Maasha'Allah Tabarak'Allah ♥️ Allah awatangulie muhalalishe Insha'Allah
Mashaallah 🥰 😊
🥰
Napenda couple yenu kibzbeka muwe na mwisho mwema❤
nice interview boss wngu
😊
Mashaallah ❤
Mungu awajalie maisha mazur inshallah
Amin
Mm nawa love 💘 tu❤
Na uyu mtoto alipatikana lini ikiwa mlipatana mwaka juzi online 😊😊😊 umbea sikazi kazi n kusutwa🙈🙈🙈🙈🤐
Likua alioleka huyo bitwa akaacha mumewe akafata beka
@@sockyaisha 😄😄😄🤣
@@sockyaisha
🤔weh alipewa talaka? Na hapa sioni ndoa naona doa
@@sockyaisha😂😂😂😂😂😂
Nakupenda bure chidada❤
Mashallah Tabaraka Allah inteview nzuri sana 🥰
Thabk yuh
Hongereni kwa msimamo wenu hope n funzo kwa wengne nawapenda🥰🥰
🥰❤️
Jamn snausemi mm niher nyingi 2 nabarka kwenyu Isha Allah lkin da naona ka beka yupo mahaban had macho hayaonekn
Sasa hamjaoana unasemaje ni mkep😂😂😂😂
Mashallha vizuri ❤❤❤❤❤
We beka mambo ya drama kwisha sasa nendeni mukahalalishe insha Allah iwe ya kherii❤
Kitantumia message ama kitapiga😂😂jamani Beka wewe
So amazing 🎉❤
Tx
Anayetaka kuangalia mwezi huku kwetu pia unatoka.😅
Ni makosa kuitana mke na mume wakat bdo mpo nje ya Sheria iliyo ruhsiwa na Allah.
Wallahi Mimi naona kuwa wameoana kumbe Bado?😮😢😢
Hta mm nikafikiri wameoana kumbe bado
Niawara wake lakin sibibiyake..na niharamu kuitana mke namume kama amjafunga ndoa haram haram haram
Masha Allah Allah awajalie mfikie malengo yenu ❤❤muwashinde mahasidi na hasad zisiwapate inshaallah 🥰🥰
Amin on their behalf
Nice
Namuomba mapenzi poa❤❤
FATHUSH FAFA HII IMEENDA UBARIKIWE ....MASHAALLAH ALLAHU BARIK
🥰❤️
Yote tisa muhimu muhalaliyeshe ndugu, twasubiri Nikkah InshaAllah
InshaAllah kila kitu polepole
Mashaallah ❤ Mashaallah ❤nanyie mnao kimbilia kwa comment section polepoleni msikanyagane na hapo mbele kuna mkebe wangu wa mabuyu so msiuangushe mnipromot tukiendelea kubambika😊😊😊😊I love KIBZ MOHA❤ my schoolment🎉🎉🎉all the best in your relationship journey ❤🙏🙏
Tumesikia mpenzi na umejua kunifurahisha 😂😂😂😂😂😂
Beka mbone hajui kiswahili
Mashaallah mwenyezi Mungu awasmamie
Fafa nitkutft dear nikija Kenya 🇰🇪 unifnyie yangu n ex wangu coz tulirudiana❤❤❤❤
😂😂😂😂wewe nae😊
Best couple in town
mashaAllh mungu awataguliye❤❤
😂😂Congratulations guys adi raha❤
Hao n Mario n Paula wakenya ilove the 🎉🎉couple muoane
😂😂😂walai bakari ww unakera wajifanya mpoole apo
Best interview and again its great for you both to enjoy your relationship before getting into something as holy as a marriage
😂😂😂😂😂
🥰❤️
❤❤❤❤❤❤❤
Kiswahili cha kidigo😂😂😂😂shikamooo nalipizwa😂😂😂😂
Hah umeskia kumbe
@@fadya-w5s ndio sz alfu uyo kibz ana sura ya kizee
Uwa chaboesha ila itabidi tuzowee😂😂
Muhimu umeelewa walicho kimaanisha kwenye interview
Ilikua pambe mashaallah❤💃
Senkyuh ❤️
Kila la kher wapendi ❤
😂😂😂😂😂😂mmmmh sawa
Mkoko.hoyeeee😂
Beka kakangu isiwe ni kk mmnataka ndoa 😂
Mbona wanafanana nilijuw dada na kaka
Watu wakipendana mwisho hufanana😅
Na yule mtoto wa Kibz so si wa Beka,nauliza tu
Mashallah aky🎉🎉🎉❤❤
Good luck gays
Mash Allah ❤❤❤good job mommah
Na mm nataka interview na beiby wangu
Hapo hakuna cha MAPENZI hapo ila kutiana MISUMARI ya MOTO Tu - hapo alafu tena huyo MJINGA snakuzarau sana Eti - kitapiga Tu-chenyewe ama kitani - TEXT . Huyo sio RIGHT MAN kwako wewe Dada huyo ni MWEHU sana ,,,
Umesema kweli kbsa dada hpa hkuna mapenz... Coz hcho kischana chnywe kimekosa haya .....chataka u star walazma pia nae....
Mijirasta huku aty kajitanda mimi hata sioni mafunzo yoyote
Harusi na mapema❤
New subscriber nipitieni pia
First to comment thanks Habibty❤
Thanks for watching habibty ❤️
Kwa nn umempost mkoko bac kumbe wampenda
Itakuaje kama kweli huyo JAMAA anakupenda kweli hapo kwa MAHOJIANO anakuzarau namna hiyo na ULIMWENGU mzima unasikiza na kuona - Why ?
Mashaallah nawapnda msisikize ya watu
❤❤❤❤
Hi tutaihifazi😅😅😅😅😅😅
Interview iko poa unajikuta wa smile😊
Nagodza jey rasta mino
Allah awajalie muixh kwa amni wallah nawapenda sna
Amin in their behalf ❤️
🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanimaliza jmn waaaah beka ww
Richa ujinga, waanza uwe ko kurusa
Beka fanya harusi
❤
🥰❤️