Kapaso Bkp - Penzi Jipya(Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 11

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic Год назад +1

    J4d sound
    Shiiiii Beberu
    Adasco m2 mbad
    Atupashagi viporoo Atupashi makabichi
    Tukiachana tumeachana haina ku go back
    Atumezi matapishi haturudigi reverse
    Yaani tukiacha tumeachana haina ku go back
    Sawa ndio tuliishii tukaishia
    Kwani hamsini zako sinilikupatia
    Sijui kipi unang'ang'ania
    Na bado unamtangazia bwana ako anakibamia
    Ngoja nikuambie ukweli
    Sasa hivi nina penzi jipya
    Kwa huyu mshenzi nilie nae
    Ndio ana wivu wa kuua
    Acha nikuambie ukweli
    Sasa hivi nina penzi jipya
    Kwa huyu mjinga nilie nae
    Ndio ana wivu wa kuua

    Aaaah

    Yaani usiombe upende usipopendwa
    Mpenzi wako awe na mtu mwingine
    Ufanye chumio mwenzako ndio anapendwa
    Unaeshare nae ndio ivyo uumjue
    Niliachana nae japo nilimpenda
    Kwa uchungu nateswa navidonda
    Potelea pote mawazo mwanakwenda
    Najipa moyo naamini
    Nitapendwa ipo siku
    Haikupita siku nzima bila kunitambia
    Eti mpenzi wake anakali ndinga
    Hakujali maumivu mimi ninayopitia
    Kwa Mungu hakuna kikubwa chini ya anga
    Hakujua
    Ngoja nikuambie ukweli
    Sasa hivi nina penzi jipya
    (Oooh sasa hivi napenzi jipya)
    Kwa huyu mshenzi nilie nae
    Ndio ana wivu wa kuua(wakua wakuua)
    Acha nikuambie ukweli
    Sasa hivi nina penzi jipya
    (Sasa jipendekeze akuumize akuumize)
    Kwa huyu mjinga nilie nae
    Ndio ana wivu wa kuua
    Shii wa kuua
    Oya BKP BRAND BIGBOSS RASS
    OYA KAIZAER LARDEN we ndio ndugu yangu
    Wakali wa road nyi ndio chafu zangu
    Oya mwanangu Taso we ndio ndugu yangu
    Mia tatu thelathini na tatu oya nyi wanangu
    We shamtecheda we ndio chafu yangu
    Baraka Mkande we ndio Kazi yangu
    kumi na tano ishirini na tano checheee
    We kinyani
    Kapaso hapa geneius from Tanzania
    Sura ya baba miaka ya babu
    Mbuzi ang'ati

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Год назад +1

    Penzi jipya 🔥🔥🔥 kapaso BKP

  • @youngcrisstz72
    @youngcrisstz72 Год назад +1

    Beberuu

  • @OfficialbabumusicTz
    @OfficialbabumusicTz Год назад +1

    Oy baba hunabaya hapo

  • @khalfansaid5962
    @khalfansaid5962 Год назад +1

    Aina kurudi reverse 😂🔥🔥🔥

  • @omariondesmart9426
    @omariondesmart9426 Год назад

    Hit mzee beberuuuuuu

  • @MbarakaSultani
    @MbarakaSultani Год назад

    Sio poa hili goma familia yangu

  • @omariondesmart9426
    @omariondesmart9426 Год назад

    Utengwe mzeee

  • @AirtelMobigo2-x6v
    @AirtelMobigo2-x6v Год назад

    Bila kuchoka

  • @mussadesgner9211
    @mussadesgner9211 Год назад

    Show kaliiii

  • @mussadesgner9211
    @mussadesgner9211 Год назад

    Aujawai kupoa