Wallaah ust juma faki Mashallah unajuw san Allah akulind na hasad akuzidishie kipaj chako kizid kukuw zaid ya hapo Mashallah aqaz kw ujumla bila kumsahau kiongozi faki mbarouk
MashaAllah Ustadh keep it up kwa ujumbe,,,Qaswida zafaa ziwe za mafunzo na sio masimango na mafumbo kama waimbaji wengine,,,we appreciate Qaswida zote zenye mafunzo mema❤❤,,Allah akuzidishie kipaji chako ndugu yetu Amiin 🤲
Eeh mashallah mashallah Allah awatangulie katika kaz zngne nzuri
Wallaah ust juma faki Mashallah unajuw san Allah akulind na hasad akuzidishie kipaj chako kizid kukuw zaid ya hapo Mashallah aqaz kw ujumla bila kumsahau kiongozi faki mbarouk
Ghulam vipi kwema??
@@princesaha3262 kwem ndgu yang mamb vp lkn
Salama tuu!!!
Za wapi cku hzi!!!
@@princesaha3262 nip dar cjakujuw lkn
Mashaa Allah Ustadh Juma Fakih Allah Akulinde Na Shari Za Walimwengu Na Umri Mrefu Wenye Kheri Nawee
Kazi nzuri sana kiogozi juma faki kaswida nzuri sana hii naipenda hii hatari na kadiriya zima naipenda
Nimeipenda Allah awape nguvu Sisi sote
Shekh juma hii kaswida heshima pongezi zifike kwako
Ustadh Juma mashaallah hapa umeisoma vzuri kuliko uliyoitowa record
Aah ostadh ongeza bidii Ivo ivo mi mwenyew nakukubali sana Allah akuzdshie kipaji chako inshllh amiin
❤❤😂😂😢😢😮😮😊😊nakukubali ustadhi faki mana yote unayo yaongea ni yakweli.hasbuna aallah waneimall wakiim. Nawapenda nyote❤❤
Ustadh juma faki nakupenda sana Kwa ajili ya Allah, mashallah kaswida zako ni nzuri sana
Mashallah qasweda nzuri saana hongera mwalim Juma na Aqaz nyote,,mliupiga mwingi saana
Asant sana
Maashaallah!! Imetulia Allah awape tawfiq na nguvu zaidi.
Mashallah ckuizi nazipata zikiwa🔥🔥 nazimetuliaa Allah awap umr mref make twajifunza kit kupitia hiz kasda
Hiii kasda ninzr Sana'a Maas hall ala
Masha Allah maalim juma umeupiga mwingi sana naghma kam zote upo vzr sana na imetulia kbisa 100+
Asant kiongozi wangu
mnatakiwa mujengewe sanamu kumbukumbu pale kisonge
Mashaaaallah hongeren xaana
Mwalim mm sina manno katik kazi zako zaidi ya kukupongeza hii meitendea haki wallah salam pia kwa chidi zungu
Ahsante sana kiongozi
Mashaallah Allah awabariki
Nikwelyi hongereni saana
Mashaa Allah Mwalim Juma, Allah akufanyie wepes Kila penye uzito in Shaa Allah.
Ustadhi juma masha allah nakukubal sana kasda zako uko vzr sa nnn
Yan hii kazi hatar.. Sn faky mburk.. Hp atasubir sn honger malim juma faky
Hongeren xaan
Mashallah tabaraka Allah. Baraka Allah fik.
Ramadan Kareem 🎉
MashaAllah Ustadh keep it up kwa ujumbe,,,Qaswida zafaa ziwe za mafunzo na sio masimango na mafumbo kama waimbaji wengine,,,we appreciate Qaswida zote zenye mafunzo mema❤❤,,Allah akuzidishie kipaji chako ndugu yetu Amiin 🤲
Ahsante sana
Mashaallah 👏 👏 sana kaka Allah aijaze kheir kazi yenu.amiin🤲🤲🤲
Hatar sana wallah qadiria muachiwe tu nyirr
Mashallah kiongoz kaz ipo sawa
Qadiria mnajua sana hakuna zaidi yenu
Yaan mm sn ata sijuw niambiwe nn kwa aqaz nnavyoipenda mno Yaa n mungu awpe mri twawil man napenda kaswida za aqz
Tunaendelea kuwapongeza vita 🔥
Vijana wamefanya balaa ❤
Mashaallah maalim Jumaa saut ya dhahabu
Shukran sana kaka tupo pa1
Maasha Allah maasha Allah
Yaan malim juma mm unanikosha asa
Team upendo team faraja team busara mashaallah
Tupo pa1 kaka
Maalim juma kazi nzur Allah akuzidishie aamiyn.
Mashaallhaa❤❤
Umeiptia ila mwenyewe fakih mbarouk ndo imetulia vizuri
Safi sannna jembe langu
Hii ndio imetulia sana🤗🤗
Asante Sana kiongozi
Mashallah ❤
Mashaallah
Imepangika sauti hadi mashairi na kisa kimeeleweka
Nakubal ila aswa bora ingekua ile ile ya jembelangu
Lkn siku izi mmetuboa sana Qadiria, kwannn hamtoi Album?
Mashallah
ruclips.net/video/6dpD8yhW7To/видео.html
BONYEZA LINK HII KUPATA VIDEO YA KACDA MPYA YA RAMADHAN YA JUMA FAKI 🔥
❤
Nimekua wakwanza leo
Asante sana kaka
أين فقيه مباروك؟
Wapi hii Tumbatu au
Tumbatu
@@jumafaki1697 ooo okay. Ndio Kuna sura nmeziona hapo. Alaf hii kasida aliwahi kuisoma faki na kumbuka cndio
Mashallah sh juma
Ustadhi juma masha allah nakukubal sana kasda zako uko vzr sa nnn