Najuanganisha na maombi ya vijana Mungu atusamehe atuongoze katika njia tuipasayo Mungu turehem mioyo yetu inakupenda YESU turudishe kwako pale tulipo enenda tofauti na mapenzi yako tusamehe Mungu usituache tuoneshe njia eBwana tunatamani kubwa watumishi wako Mungu tuokoe turehem dhambi zotezinao kufuata za uasherati tuokoe Mungu tuoneshe njia Yesu tusaidie tunatamani kuenenda sawasawa na sheria yako lakini shetani ametufunga😢😢😢😢 YESu tuokoe tunalia mbele zako tuweke huru kimahusiano tuoneshe njia itupasayo kufuata sheria zako ila wewe YESU kutishika mkono atuwezi tufungue na damu yako Yesu changamoto zakifenza imekua kikwazo kufikia mapenzi yako tuokoe tunaamini kwako inawezekana namuombea apa pia kijana naamani Thomas Mbughi Mungu muonyeshe njia Mungu mfungulie milango ya kutimiza sheria zako leo kwa damu ya yesu nafungua ivyo vifungo vya kutofanikiwa kwenye maisha yake kwa damu ya Yesu ninamuomba moyo walimpenda Mungu leo kwenye maisha yangu pia Yesu niokoe tembea nami ktk kila hatua na jambo linalomfanya na vijana wote wenye changamoto kama zangu Mungu tuokoe kwa pamoja mama tuna kiu yakifunguliwa kwa imani Yesu naamini utaenda asante Yesu kwa msamaha wako tunakuitaji maishani mwetu maana bila wewe hatuwezi akina asante yesu tuokoe Tanzania iokoe islael tusaidie Yesu
Baba ktk jina la mwanao Yesu nirehemu mimi NA kizazi changu. Univue jambo lolote ambalo ukilitazam sio la kwako. Ukanivike utayar NA usikivu wako. Amen Amen
Eee mtumsi wa mbwana Mungu akubari

😢😢😢😢😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
Mungu ambariki sana mwl Mwakasege
Baba ktk jina la mwanao Yesu nirehemu mimi NA kizazi changu. Univue jambo lolote ambalo ukilitazam sio la kwako. Ukanivike utayar NA usikivu wako. Amen Amen
Yesu nisaidie niwe na utayari
Mungu akupe Maisha marefu na yenye baraka tele Mwl Christopher Mwakasege
Mwalimu Mungu mwenyezi akulinde na family yako na watumishi wenzako Mungu awabariki 🙏
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akubalik mtumich wa mungu Kwa kuja ilingaa
Asante Kwa neno
amen mwalimu wetyu
Mungu turehemu kwa kutofanya wajibu wetu malezi ya vijana.
Mungu tusaidie ktk nyakati hizi tumaliz mwendo salama
Mungu utusamehe vijana na utuongoze katika njia sahihi
Ee Bwana utuhurumie, utusamehe sisi vijana wa Tanzania utusamehe Ee Mwokozi😥😥
Amen 🙏
Mimi na familia yangu tunamwinua YESU.
Ameeen
Tumfurahie Bwana
Shyrose, Chantal, steffi,Agnes, Devota na innocentia
Ameni Tena ameni
Aminaa
Amen
Njombe
Aminaa
Amen
Amina