UNYAKUO WA KANISA - DAY 1 - Rabbi Abshalom Longan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 мар 2024

Комментарии • 26

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 23 дня назад +1

    Amen 🙌

  • @narrowgateglobal
    @narrowgateglobal 2 месяца назад

    Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu

  • @angumbwike6445
    @angumbwike6445 3 месяца назад

    Moyo wangu umefurahi sana,Ubarikiwe sana

  • @PriscaChangoma-jf6tq
    @PriscaChangoma-jf6tq 2 месяца назад

    Barikiwa sana

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 3 месяца назад

    Tuko pamoja

  • @herrykapinga1084
    @herrykapinga1084 3 месяца назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mossesisaack5066
    @mossesisaack5066 3 месяца назад

    Part 2 baba jaman

  • @helenatarimo3643
    @helenatarimo3643 3 месяца назад

    Amina mtumishi wa Yesu kweli hii NI dhahiri kabisa Mungu anipe kusimama ktk kristo Yesu

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 3 месяца назад

    Mungu akubariki mtumwa wake Yesu kutuletea maarifa ya neno la Mungu ili tuweze kujiandaa kwa unyakuo, ubarikiwe sana

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 3 месяца назад

    Tunakuelewa Mtumishi wa Mungu

  • @livebeyond8213
    @livebeyond8213 3 месяца назад

    Nabarikiwa sana na mafundisho haya...
    Tunaomba mwendelezo wa somo hili 🙏🙏🙏

  • @RehemaMatowonambarikisanamungu
    @RehemaMatowonambarikisanamungu 3 месяца назад

    Asante kwa Mungu islael

  • @selemanibalelwa7414
    @selemanibalelwa7414 3 месяца назад

    Asante sana kwa somo bali tunaomba muendelezo. Please

  • @blondyd4256
    @blondyd4256 3 месяца назад

    Natamani uje tena Geita.

  • @yohanaswalo4716
    @yohanaswalo4716 3 месяца назад +1

  • @jonathan_Tz
    @jonathan_Tz 3 месяца назад

    TUNAOMBA MUENDELEZO ,WA HILI SOMO

  • @yohanaswalo4716
    @yohanaswalo4716 3 месяца назад

    🤝🌿

  • @jonathan_Tz
    @jonathan_Tz 3 месяца назад

    PART 02 PLEASE

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 3 месяца назад +1

    Mtumishi wa MUNGU Abshalom uko vizuri Sana kwkweli isipokuwa aambia wanawake wafunike vichwa vyao

    • @oscarkalihamwe1621
      @oscarkalihamwe1621 3 месяца назад +2

      Kufunika kichwa si kitu. Bali kuuacha dhambiii ndo kituuu cha maana dada wafunika kichwa ile hali wewe ni mdhambii hufanyi kitu

    • @johnnguttu9516
      @johnnguttu9516 3 месяца назад

      1Pet3:3_6... Huwezi mpendeza MUNGU Kwa sheria.. inaonekana uko chini ya Sheria ndugu... Warumi 10;4.... Ambaye anajisikia kuvaa acha avae na asiyejisikia kuvaaa Acha awe hivyo Kwa sababu hivyo siyo vitu vitakvyomhesabia mtu haki

    • @cmoshi7014
      @cmoshi7014 3 месяца назад

      Si wewe uwambie. Kwanini unamwambia mtumishi wa Mungu?

    • @lydiajoseph2571
      @lydiajoseph2571 3 месяца назад

      Ila wakrsto wa nyakati hizi Wana shida gani??? Wanapenda waende mbinguni lkn hawapendi kuisikia kweli. Mfano jambo la kufunga kitambaa kichwani wanawake wakrsto wa nyakati hawataki kulisikia, mtu akiwaambia Kila mtu anamjibu vibaya japo sio wote, ila wengi wao wako vivyo. Nisikilize wewe mtoto wa Mungu unaetaka kwenda mbinguni, ukiambiwa kitu ni dhambi, usikurupuke kupinga, nenda kamuulize Mungu wako, je hili jambo nililoambiwa likoje Mungu na Mungu wa mbingu na nchi atakujibu. Usipende kupingapinga mambo. Haya ukifa Leo ukazuiliwa kuingia mbinguni kisa TU hukufunika kichwa chako wakati wa kusali au ktk ibada utasema nini wewe mwanamke???? Utamlaaum nani????? Na niseme TU Kwa kifupi hakuna mwanamke aliyewahi kuingia mbinguni kama alikua hafuniki kichwa anapofanya ibada. Nenda kamuulize Mungu wako juu ya hili pia itakiaaidia wewe utakae kwenda mbinguni.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 месяца назад

    Tafadhali hili somo limekatwa
    Wekeni hilo somo lote

  • @edinahbastard7835
    @edinahbastard7835 3 месяца назад

    Amen 🙏🙏