HATUJAAMINI TRENI YA MWENDOKASI IMEFIKA MORO, 'SASA TUNAKUWA MATAJIRI', WAKAZI MOROGORO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 50

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x 7 месяцев назад +1

    Magufur mungu akutunze pastor

  • @SmilingCorgi-pr9bn
    @SmilingCorgi-pr9bn 8 месяцев назад +2

    Wowoh hongeraa san serikali kwa ujumla kwa kazi mzury mnayoo turidhishiaa 🤗

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 8 месяцев назад +4

    JPM 😢😢

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 8 месяцев назад +6

    Magufuli mwamba

  • @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld
    @HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld 8 месяцев назад +1

    Ama kweli, hayawi, hayawi. Midomo🥱 ya wapenda kejeli, Imefungwa😂😂😂😂. Sisi wapenda Maendeleo, Tunakuomba Rais na Wasaidizi wake. KAZI IENDELEE

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 8 месяцев назад +5

    Tatizo kunya mnye kwenu kabisa sio unafunga safari ukanyee kwenye treni tafadhalini msituie aibu

  • @luckykessy
    @luckykessy 8 месяцев назад +1

    hatimaye imekuwa hongera kwa kazi njema

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 8 месяцев назад

      Wivu chuki roho mbaya na husda ni maradhi mabaya je likifanyika baya?

  • @mkude
    @mkude 8 месяцев назад

    Hongereni TRC hongera MAMA SAMIA SULUHU

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 8 месяцев назад +5

    Magufuli mwamba.

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 8 месяцев назад +1

    Nyinyi watu wanafiki sana. Kazi hii kaianzisha Magufuli.
    Eti leo kapuku hawa hawa wezi hata kumtaja Magufuli.

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 8 месяцев назад +4

    RIP JPM

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 8 месяцев назад +1

    Vizuri sana serikali

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 8 месяцев назад

    Sagi morogoro oye kweli

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 8 месяцев назад

    Hongera mama umepambana

  • @sulaimanabdullah-qp8vs
    @sulaimanabdullah-qp8vs 8 месяцев назад +2

    Wa.kushukuliwa..wa.kwanza.ni.magufuri...na.hatimae..ni
    Mama.samia

  • @Kokubrm
    @Kokubrm 8 месяцев назад

    the main thing is to make sure they up keep the internal maintenance. if something is destroyed should be fixed or replaced immediately. they should also upkeep the cleanliness of the train, especially the toilets. otherwise as time goes the train will be just like the old ones.

  • @jescajohn6619
    @jescajohn6619 8 месяцев назад

    Hamna jipya hapo iyo ni treni tu , imebadilisha matumizi ya enegy from fuel to electric

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 8 месяцев назад

    Mama Samia Hoyeeeeeee
    Nimekukubali sana Mama safi sana Endelea kupambania nchi yako

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 8 месяцев назад

      Nyinyi watu wanafiki sana. Kazi hii kaianzisha Magufuli.
      Eti leo kapuku hawa hawa wezi hata kumtaja Magufuli.

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 месяцев назад

      @@mimiraia2531
      Kila zama na kitabu chake Magufuli kafanya aliyofanya alifika alipofika
      Mama anafanya sasa yupo katika Utekelezaji tunampa pongezi kwa kusimamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na kuifanikisha
      Sisi tutaendelea kumpa Maua yake
      Kwa uthubutu huu anaouonesha kwetu
      HONGERA SANA MAMA SAMIA ISHI SANA

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 8 месяцев назад

    Naipongeza sana serikali kufanikisha Jambo hilo

  • @Sharifa_Fashion_21
    @Sharifa_Fashion_21 8 месяцев назад +1

    😂😂msipandishe mihogo humu sasa

  • @Mrbariye
    @Mrbariye 8 месяцев назад +1

    Ivi imechukua muda gan from dar moro

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 месяцев назад

    Kwanza hata mjenzi wa miradi na majumba ya makazi ni neema kubwa kunatakiwa ubunifu mkubwa kimaendeleo ndio nchi za wenye akili huwa wanachukua fursa nyingi.

  • @PeterBaton-v9z
    @PeterBaton-v9z 8 месяцев назад +1

    Mbona hiyo treni Tofauti Nahile Ya Mzee Magu A.K.A Baba Jeska🤣🤣🤣Wabongo bhana Eti Hawamini

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 8 месяцев назад

      Usijali kaa Makao wa kula mwezi wa tatu mwishoni kupokea hiyo ,ipo pia.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 8 месяцев назад

      Ni tofauti kabisa. Hii ni kama ya diesel

  • @jospehinekinna3652
    @jospehinekinna3652 8 месяцев назад

    Nauli shs ngapi

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 8 месяцев назад

    mbaaa mzigo umekata😂😂😂😂

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 8 месяцев назад

    Usafi sasa

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 8 месяцев назад

    Mama oyoool🎉🎉🎉🎉

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 8 месяцев назад

      Hii siyo video ya Tanzania na UTALII…hii ni kazi ya Magufuli, Noemi HESHIMA yake kapuku NYIE. Wanafiki wakubwa

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 8 месяцев назад

    Naona umevaa kimasai

  • @Brasolebasoto
    @Brasolebasoto 8 месяцев назад

    Vichwa mbna sio vya nyokaaaa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 месяцев назад

      Hiyo ni moja wapo ila za vichwa vya nyoka nazo zipo

  • @matheobaha773
    @matheobaha773 8 месяцев назад

    Kwann lazima wajikombe kwa mama?

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 месяцев назад

      Punguza Makasiriko

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 8 месяцев назад

      WANAFIKI WAKUBWA. Hii siyo video ya Tanzania na UTALII…hii ni kazi ya Magufuli, Noemi HESHIMA yake kapuku NYIE. Wanafiki wakubwa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 8 месяцев назад

    Huja amini nini sasa
    Acheni kuwa na mawazo madogo yaani unashangaa treni ya umeme badala ushangae kwamba kiwanda cha kutengeneza treni kimejengwa Tanzania eti unashangaa treni ya umeme.
    Zungumzieni viwanda .

  • @maselejonathan8452
    @maselejonathan8452 8 месяцев назад

    Mbonaa 🤔 tofauti na zile zilikuwa zinatagazwa enz za magu

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 8 месяцев назад

    Abubakari milaji??? Sijawahi kuona masai mwislamu

    • @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
      @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 8 месяцев назад

      kweli wewe huna akili mbona wapo wengi sana

    • @shedadiabdul654
      @shedadiabdul654 8 месяцев назад

      ​@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608kwanini Umtukane xaxa Ndugu yangu?Usipende kutukana Ndugu yangu

  • @ManofValor73
    @ManofValor73 8 месяцев назад

    Tanzania haikupata uhuru!.....Tanzania ni zao la muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnamo mwaka 1964.....kuna kijana mwanzo wa video amejichanganya!!😅😅😅

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 8 месяцев назад

    Nyau😂traders

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 8 месяцев назад

    Utaona tu komenti za wajinga wajinga wanaleta komenti za makasiliko