Hii kitu imepenya kitu alaf nime click tu baahati nzuri nikawa niko na dem ninaye mpenda kweli kwhy nimejikuta na enjoy san yan uku na mtach tach hii ngoma imepita.
Brother ngoma Kali sana Aisiei yani umepita vizuri sana vas 1 vas 2 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥yani fundi brother ila mahali kwenye hukunifanyia Haki chorus na bringt usingeweka hizo sauti nyingi ungetisha ila kazi moja kubwa sana bro keep moving forward Kenya tumekukubali brother
Twende na hii list basi ya vijana wanaenda kusumbua mtaani 1: mavokali 2: bruce africa 3:mattan 4: fabi 5: treyzah 6:bossgia nitawaongezea mmoja amenipita kama unakubaliana na mimi hit like NB production video + audio % marketing pamoja na creativity tu kwenye utunzi kwisha habari baada ya miaka miwili mje mnitafte hawa madogo wasipo kuwa wasanii wakubwa
Hujawahi niangusha dam yangu
Nilkuaga Hadi Nishakusahau Ulikuaga Wapi Kaka
Wew ni mshindii ngungaa huigiii unajuaa pia ni kipaji
❤sio kwa ubaya but song ziko sawa kuliko za modi ashaa harimbu zake we need cool song kma hizi sasa
Hujawahi fanya niuchoke mziki wako pindi nikiusikiliza nipo nawe kaka naamini sikumoja ipo🙌🙌🙌🙌🙌🎤🎤🎤
Hii kitu imepenya kitu alaf nime click tu baahati nzuri nikawa niko na dem ninaye mpenda kweli kwhy nimejikuta na enjoy san yan uku na mtach tach hii ngoma imepita.
*Oyah kitambo sn kk.!!!*
UKISKIA PUUU UJUE IMEKUKOSA KULA CHUMA ICHOOOO MAZA FANTA MATTAN 🙌🙌🙌
Hii ni kali sana 🫡
Wakwanza jamani nipeni like zanguu
Za Nini
🇰🇪 🇰🇪
Nime ipenda Hii blood unajua KUIMBA Kama unakubali Hii gonga like natumai mshikaji ni Tunduma one ❤❤
Simwoni mwingine namwona yeye tu my favorite 🥰❤
Hujawahi feel Baba ✍️✍️✍️🙌🙌👊👊
Moto sana ❤❤
🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💓nzur sana
FiyAaah...,,
Ngoma kaliiiiii mnooooo
Miaka yote unaishi Kaka
Daaaaah nimechelewa sanaa 😢 ila ni motooooo tuish umo broo
Nilikumiss sana my teacher 🔥🔥🙌🙌
Bloody 🌴🌴🏌️ Kenya hapa
Kijana wangu anafanya kazi nzuri Sana sijui bona mnamnyima nafasi ya kutosha, amazing talent
Mtoto wa kanjenje C9 ujawai kosea sem kollabo muhimu mwanangu mattan mzee wwng tuuwe
Brother ngoma Kali sana Aisiei yani umepita vizuri sana vas 1 vas 2 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥yani fundi brother ila mahali kwenye hukunifanyia Haki chorus na bringt usingeweka hizo sauti nyingi ungetisha ila kazi moja kubwa sana bro keep moving forward Kenya tumekukubali brother
Umeupiga mwingi ❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mdogo wangu uko sawa
Oya kuna mziki afu kuna huuu mziki mtamu oyaaa ❤ mama ex anataka turudiane ety kisa kaskia hiii UNATOSHA
😂😂
Oya wanangu mchawi like 7 ty hapa
Mattan
💥💥💥💥💥
My blood hujawahi niangusha
Wee n star 💥 niamin mm 🔥🔥🔥
Sawa mzee najua unajua 🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mashairi mazuri, Melody umeuuaah.. hii imeenda
Kila siku nakesha kuziskiza kazi zako baba yaana ata channel yako Yani jua njina
Nimeitengea sana bro hatimaye umesababisha bro#Mattan forever big up bro mooh loves 💘 from Kenya 🇰🇪
Niupendo ty broo nakukubali kuliko unavyo jikubali #Mattan
Dogo namukubali sana anaweza,Mattan anaweza hata sauti anaipangilia.
We sumu wewe
Siku nyigine swezi Toka uku
Bro umetisha sana kwakweli
Mattan ww nimsanii wangu Bora wa kiume siku wa zote
He is one of the Best with good voice, all time good music,hajawai niangusha binafsi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aww 🥰 I love this song finally I got it 🙏
😍😍
Mziki mzuri from Africa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Everything is good
Audio good
Video good
Voice amazing
🥰
Kimewaka 👏👏
MSANII WAngu no 1 tz unavocal sana melody kaliiii
mattan umeuwa 🔥🔥🔥❤
❤❤❤
daah kweli unajuakubembeleza mana so kwa songs iroo muhun Sanaa kwenye mapenzi mm nlisikilizaga adi demu wangu alilia
SAY AWOUTEEEEE KWA MATTAN WEWEEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Tunduma yote asaiv n mattan mtupu 2meanza nawew toka shulen kaka tutamaliza nawew mpak superstar ❤❤❤ believe
Thanks sana
kakaah ulipotea
Super 🥰🥰🎶🎶🎧🎧
Bro fundi🔥🔥
Wkt wa kusikiliza vitu vzr km hv mzk usiochosha kusikiliza 🎤🎤🎤
Twende na hii list basi ya vijana wanaenda kusumbua mtaani 1: mavokali 2: bruce africa 3:mattan 4: fabi 5: treyzah 6:bossgia nitawaongezea mmoja amenipita kama unakubaliana na mimi hit like NB production video + audio % marketing pamoja na creativity tu kwenye utunzi kwisha habari baada ya miaka miwili mje mnitafte hawa madogo wasipo kuwa wasanii wakubwa
Mwanangu hii list unyama sanaaa🙏💥🦍🚀💯🔥🔥🔥
@@navie8758 pamoja sana ndugu yangu kwa kuiamini play list yangu of the year #wasanii #wakuangaliwa #zaidi #2023
@@navie8758 pamoja sana ndugu yangu kwa kuiamini play list yangu of the year #wasanii #wakuangaliwa #zaidi #2023
Ila mwanangu haujahesabu Genius Jini x66, Dayoo....
@@holykingmedia2429 kwa mtazamo wangu dayoo tayari kasha enda mjini labda jini anakuja vizuri sana na yeye pia tumpe jicho la kuangaliwa
Mwanangu hatareeee sana ....ngoma kubwa balaaa tu
Ucjuli baby sawa 🥰🥰♥️♥️♥️🤣🤣✈️
Nice song jitaidin kutoa videos
😭😭❤ I’m in love mattan
Kaka u killed it
sema kama mixing haijatulia kakaah
🔥🔥🔥🔥
Ushama Sana🔥🔥🔥🔥
My best love song ❤ currently
Sanaaaaaa
Chumaa 🎉
Umetisha sana hongera umeua kinoma noma
Gd music 🎧❤❤❤❤
Huu ndo Mziki wako
Daah 👑Mattan
Nasubiri kwa bingwa languu mattan 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka🔥🔥🔥🔥
Kaka mattan shukurani sana kwa kutuletea muziki mzuri maana asaivi nyimbo nyingi zinakosa melody kama hizi
No one better than mattan 🥹🔥
Mattan x Bruce Africa is all we want 🤭love from 🇰🇪
Kazi nzuri sana❤❤
Its jam ....so hot hit
New Hit Song
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mattan ngoja tumalizane na maandamano alafu ngoma tupitie baadae
Woow 💯🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mattan 🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up king🇰🇪
Lit Sound🔥 Melody🔥
Mattan mkali💥
Mattan 🔥
Poison🔥🔥🔥🔥
ku❤❤❤muacha mi ndo siwezi
Big tune
Hii ni zaidi ya hatar too much feeling
Fundi💥💥💥💥
Wow😊😊😊 keep it up😊
Kaka fanya promu unaweza from Rwanda
Huu mziki greatness tupu🔥👌