Ruby - Alele (Official Music Video) Sms 8662153 to 15577 Vodacom Tz

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2019
  • A Brand New Music Video Ruby Africa - Alele [Official Music Video]
    Stream / Download on all streaming platforms
    Get The Song Now👇🏻
    Boomplay : www.boomplay.com/artists/1306088
    For Bookings/ Collaboration / Interviews / Performances
    Email: hellenmajeshi@gmail.com
    Mob: +255653554410
    #Alele #MajeshiMusicGroup
    #StreamFromAllDigitalPlatforms
    Catch Up With Ruby Africa:-
    Instagram: / iamrubyafrica
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @tadeonkonya1656
    @tadeonkonya1656 5 лет назад +291

    Msanii Pekee mwenye jeuri ya kuimba anachojisikia bila Kujali Mziki gani unatrend na anatusua Kama Kawa, one more like to Ruby.

  • @franksanofu3365
    @franksanofu3365 5 лет назад +340

    Nakuelewa sana kama unamuelewa ruby weka like apoo

  • @fadhilimagambo9110
    @fadhilimagambo9110 5 лет назад +93

    Niseme ukweli tyu, yaani haipiti siku sijasikiliza huu wimbo. Naukubili sana🤛🤛🤛👍 kazi nzuri Ruby.

  • @emmyabouy5814
    @emmyabouy5814 3 года назад +5

    pole sana moyo eeh
    mwaya eeh
    najua amekuumiza
    ila yupo Mungu
    Baba eeh Najua atalipiza
    I wrote this verse a way back kweli Mungu analipiza🙏🏻
    fev song always ❤

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 5 лет назад +59

    Wimbo mzuri sana, hongera sana umeshoot ukiwa mjamzito, Mungu akujalie mtoto masharaaa

  • @monicahmis1150
    @monicahmis1150 5 лет назад +93

    Kadada kanajua aka Jmny 😍😍 Helen u killed here tunakuombea tyu ushushe Salama, like Kama na ww unaombi Kama langu

  • @costantinerichard2095
    @costantinerichard2095 5 лет назад +7

    Hata niandika najua ntamaliza kurasa zote kW kukusifia Ruby hakika ww ni nuru kama ulinigusa mule mule kwa wimbo huu 😘😘😘😍😍😍👍👍👏👏👊👊👑👑👑

  • @reshykimosa2767
    @reshykimosa2767 10 месяцев назад +13

    2023 and still playing this on repeat 🔥😘

  • @kedmondkepha2249
    @kedmondkepha2249 4 года назад +4

    Ruby hiyo sauti inanikunaga mama duuuu hii siichoki kuisikiliza mpaka 2025

  • @aimelynn4535
    @aimelynn4535 5 лет назад +1010

    Kama kanyimbo haka kamegusa moyo wako basi nipe like yako hapa

  • @rhodaakello1870
    @rhodaakello1870 Год назад +2

    Ruby all the way...2023 still in❤️❤️❤️❤️❤️

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 8 месяцев назад +1

    Weka ngoma zako RUclips watanzania tunakusapoot achana na hao mabosi wapenda ngono ruby weka nyimbo mpya hapa kama tunavyowasapoot wasanii wengine na wew tuko na wew toa ngoma post Instagram weka RUclips sisi tunasapoot tunakupentaah ruby unajua kuimba🔥🔥🎶🎶

  • @linahnicodemus3169
    @linahnicodemus3169 5 лет назад +296

    Wimbo umeningusa sana moyo wangu kama nawe umekungusa like hapa

  • @lissakaritu754
    @lissakaritu754 5 лет назад +44

    Wimbo mzuuri huu... I love it. Kenyans 🇰🇪 come show some more love to Ruby.

  • @user-nc1nr8uh2w
    @user-nc1nr8uh2w 9 месяцев назад +1

    Rubi mi ni shabiki ako sana nakupenda napenda nyimbo zako sana pambana dada usirudi nyuma mungu akusimamie

  • @nehemiah.games.6339
    @nehemiah.games.6339 3 года назад +1

    Game ya muziki kwa watoto wakike imekuwa ngumu Sana watu Wana watumia vbaya mpaka wanakata tamaa ya kuwa wasanii tusipoangalia na Ruby ataachana na muziki coz hata media hazitoi soport inayoitajika kwa wasanii

  • @begaca
    @begaca 5 лет назад +549

    GONGA LIKE KWA SANA KAMA. NAWEWE UNAMKUBALI SANA RUBY

  • @jamilayusuf2096
    @jamilayusuf2096 5 лет назад +3

    Sauti ya Ruby unaskia inazungumza na nafsi

  • @qotajaymaestro1090
    @qotajaymaestro1090 5 лет назад

    Daaah, umenigusa sana Ruby, nawewe kama umeguswa basi fanya unagonga likes nyingi

  • @sneiperstz4800
    @sneiperstz4800 Год назад +3

    2023 my c6 nakupenda bure

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 4 года назад +53

    WCB. sign this talented queen. Lets her dreams come true... Love u ruby

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад +1

      Kweli kabisa

    • @rebeccasarah7764
      @rebeccasarah7764 3 года назад +1

      ❤❤❤❤❤

    • @uplinktvke
      @uplinktvke 3 года назад +2

      Not a must to be WCB furthermore Ruby tayari ameimarika

    • @geraldgerrytrump254
      @geraldgerrytrump254 3 года назад +2

      Ruby anahitaji support ya mafans sio kusigniwa

    • @junglelaw9733
      @junglelaw9733 3 года назад +1

      Who said dreams comes to pass while on wcb...? Don't be limited...... She just needs fans support

  • @kedmondkepha7707
    @kedmondkepha7707 5 лет назад +18

    Yaaaan hii sauti chatu anatoka kweny pango lake na kuja nje

  • @kakamasai9724
    @kakamasai9724 5 лет назад +106

    I love ruby. Wowww her voice and creativity... Nice music always 😄😄😄😄💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪 254 with love

  • @annajosy2977
    @annajosy2977 5 лет назад +74

    kama unampenda ruby like

  • @Anonymouspodcast254
    @Anonymouspodcast254 3 года назад +52

    2021, still playing this on repeat. Feeling the heartbreak that never was😆

  • @erickphilipo6058
    @erickphilipo6058 Год назад +1

    2023 nauangalia tena

  • @puritypendo6472
    @puritypendo6472 5 лет назад +193

    My fav female artist dropped another hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 You are so so talented wallahi... My role model when it comes to vocals cause you are on your own level 💖💖💖 Kudos... Nice video 😍😍😍

    • @UduduComedy
      @UduduComedy 5 лет назад +1

      ruclips.net/video/mC1Hxs2r2BY/видео.html

    • @saidybakary1415
      @saidybakary1415 5 лет назад

      🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷♥♥♥♥♥

    • @mwakayawawa5932
      @mwakayawawa5932 4 года назад

      What does song talk about

  • @steivanjean8804
    @steivanjean8804 5 лет назад +26

    All de way frM AmercA I likE dis s0ng of rub🔥🔥

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 4 года назад +3

    Ruby na Kusah wameshavurugana kwenye uhusiano wao. Nyimbo ndo tunaijua uzito wake sasa... Pole sana moyo.

  • @madhabaufamily
    @madhabaufamily 4 года назад +4

    Huu wimbo ukisikilizaa mara mbili au zaidi ndio utajua hit vipi nice song kama umelewa weka like twende sawa 🎃🎃🎃

  • @bwaihbakari7095
    @bwaihbakari7095 5 лет назад +357

    kama umeona rubby ana mimba gonga like

  • @gladysnyokabi1939
    @gladysnyokabi1939 5 лет назад +32

    Omg, she's so underrated. Love her music

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 4 года назад +3

    Daaah. Kuna nyimbo zinagusa mioyo jamani.... Ukimaliza kusikiliza alele sikiliza zaidi ya jux. Big up bongo flaver.... 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @kashiali9773
    @kashiali9773 7 месяцев назад +2

    2023 anyone?

  • @merisianapius4663
    @merisianapius4663 3 года назад

    Moyiwangu tulia nikikumbuka nilivyo kataliwa na wakwe bila kosa lolote inauma sana pole sana moyo ila yupo mungu baba najua atalipiza

  • @dastanbufe2436
    @dastanbufe2436 5 лет назад +102

    Kama na wew unamkubali ruby gonga like twende sawa

  • @phonest233
    @phonest233 5 лет назад +20

    Thank you #RUBY,umenikumbusha vile nilivyoachwa na ma #Ex.. with the form of #silents. This song took me back 2017.. I wish if you can allow me nitowe #cover ... She was ma begining na ma end but now I mean nothing to her... ''''Jamani mapenzi yamekuwa hadithi #History'''' ##ALELE

  • @tibapaul6396
    @tibapaul6396 5 лет назад

    Kama ipo ipo tu hata wafanyeje ww ni mkali bana Alie kalia kiti chako akiachie tu maana naona anatumia nguvu Sana... Ila yupo mungu najua atalipiza yote yatakaa sawa . Love you deeply

  • @joekorgtz
    @joekorgtz 5 лет назад +1

    Hii nyimbo imenigusa coz ishawahi kunitokea ishu kama Hii big up sana Ruby

  • @ishihabweramazani4341
    @ishihabweramazani4341 5 лет назад +47

    Ruby Queen of the best melodies. Gonga like kama unamkubali Ruby 🤔🤔

    • @UduduComedy
      @UduduComedy 5 лет назад

      ruclips.net/video/mC1Hxs2r2BY/видео.html

  • @shazdelacruz9800
    @shazdelacruz9800 5 лет назад +9

    Who watching this song more than five time awwww love you ruby

  • @user-wn9ud1nx6r
    @user-wn9ud1nx6r Месяц назад

    Ruby wewe ni motoo wa kuotea mbaliii ,chukua maua yako mama 💐💐🌹🌹🌺🌺🌻🌻🌻

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 лет назад +1

    Rubiiiiiìiiiiiiiiiiii unajua sanaaaaaaa

  • @zainabwafula5503
    @zainabwafula5503 4 года назад +10

    Sauti jamani yanimaliza✨❤️💯👌

  • @sharifaismail1936
    @sharifaismail1936 5 лет назад +50

    This song really spoke my mind i don't even know y am crying while watching it 😭😭😭😭😭ruby i love u from Uganda 🤦‍♀️🙇🏿‍♀️🙇🏿‍♀️

    • @winniebitelu4831
      @winniebitelu4831 4 года назад +1

      Going through what she singing. 7years of marriage gone down the drain. But love this beautiful song😘😘😍

    • @allyhafidh4283
      @allyhafidh4283 4 года назад

      Ogambotieyo sharifa

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 4 года назад +1

    WCB ... Hebu tupeni karata kwa huyu dada.. Mbona inalipaaa. Anajua sana, anakwama padogo tu.

  • @sophiasocpetrr9816
    @sophiasocpetrr9816 4 года назад +1

    Utabak kua juuu mama lao🥰🥰🥰🥰🥰

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 5 лет назад +28

    Waliomzima huyu dada chamoto watakiona
    Diamond platnumz please save this #AngelicVoice from fading away

    • @allykassim9826
      @allykassim9826 4 года назад +1

      Upo pamoja na mm. WCB sign this talented queen if possible. 🙏🙏🙏

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      @@allykassim9826 kweli kabisa

  • @musaamuj
    @musaamuj 5 лет назад +100

    Kweli mapenzi mabaya, ni kama nyimbo ina lenga mie, jamani moyo

  • @Girldensiahh
    @Girldensiahh 10 месяцев назад +2

    10th August 2023🎉❤❤ Am never tired of this song 🔥🔥💯💯👌👌🇰🇪🇰🇪@iamrubyafrica

  • @clementzambia9603
    @clementzambia9603 2 года назад +1

    Ruby she is responsible at her work

  • @nyapambasango7606
    @nyapambasango7606 5 лет назад +1

    Unajua sana my dear nakuombea uzima na mafanikio uzidi kutuburudisha

  • @Don_abujay
    @Don_abujay 5 лет назад +41

    KwA Wale tunaojua kupendana hii ndio nyimbo yetu... Ebu gonga like twende sawa Eeh wapenda nao

  • @rachaeltindi9694
    @rachaeltindi9694 5 лет назад +17

    Love from Kenya 🇰🇪❤️

  • @tonykambutu9706
    @tonykambutu9706 3 года назад +1

    Whitney hauston....nakupenda rubby yur fan from Nairobi Kenya

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 года назад +1

      U know #WhitneyHouston too???😭😭😭🤯

  • @Erick2011ization
    @Erick2011ization 5 лет назад +1

    FAN FROM KENYA HERE. NAMKUBALI RUBY KABISA. NIPENI LIKES PLIZ

  • @athumaniswalehe614
    @athumaniswalehe614 4 года назад +3

    Kama na wewe umekuja huku kwa sababu kaupafomu huu wimbo muleba gonga like

  • @hydotz3456
    @hydotz3456 5 лет назад +22

    mambo yenu yakusema gonga like.. mmesababisha cm yangu imeweka klecki.. namimi Ngojea nilipizee gongeni like hapo 🤔🤔

  • @bashirumohamed8073
    @bashirumohamed8073 5 лет назад +1

    #BONGE MOJA LA VIDEO YANI HONGERA DADA RUBY WW NI MWISHOOOO💥🔥🔥🔥🔥

  • @saidbakar2400
    @saidbakar2400 5 лет назад +1

    Rubby penda sana dada wwee

  • @damianshemzigwa8243
    @damianshemzigwa8243 4 года назад +5

    Never give up ruby one day utatusua tutasahau Yale ya unakwama wapi coz shabk zako tuko nyuma yako ndo maana unatoa ngoma inaenda slow BT mtaani iko maskioni mwa watu na views sio wa kkukatisha tamaaa "" I love u & thanks for my song writer of this song

  • @michaeljohn6381
    @michaeljohn6381 5 лет назад +251

    Wakwanza mie weka like yako apo kama wampenda ruby

  • @mayanikwetu7401
    @mayanikwetu7401 9 месяцев назад +1

    Wimbo naupenda sn

  • @kisamobakarikamringo8574
    @kisamobakarikamringo8574 5 лет назад +1

    My hurt breaker ....uko poa inagusaaa mpakaaa❤💋💔💔💔💞💝💘💗

  • @rahmawazir7324
    @rahmawazir7324 5 лет назад +177

    Kwan hamuez comments bila kutaka like? Kila mtu like like kiruuuuu napita mie baada ya kuona video

    • @thebestmanever4903
      @thebestmanever4903 5 лет назад +2

      Hohohohoh hiv hiz like zinalipwa Rahma😂😂😂😂 maana kila mtu gonga like🤣🤣🤣🤣🤣

    • @UduduComedy
      @UduduComedy 5 лет назад

      ruclips.net/video/mC1Hxs2r2BY/видео.html

    • @reconizeagermerboy719
      @reconizeagermerboy719 5 лет назад

      rahma wazir umeona ee mpk waombe like waache kujaza like kwa mwenye nyimbo wanataka wao kila mtu like like

    • @rehemaibrahimu7527
      @rehemaibrahimu7527 5 лет назад +1

      Rahma mwanzo nilifikilia ukimpa mtu like anapata mb za buleee !???😄maana mtu anaomba kabisa nipeni like jamani utafikili anaomba kazi🤣🤣🤣

    • @UduduComedy
      @UduduComedy 5 лет назад

      @@rehemaibrahimu7527 haha

  • @salmashabaan4877
    @salmashabaan4877 4 года назад +5

    Anyone still listening to this song in 2020?

  • @halifasaid8343
    @halifasaid8343 5 лет назад

    Ruby katisha sana kama na ww unamkubali like hapa

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 5 лет назад +11

    Ruby unajifungua wen😂😂
    Hope she/he will b cute just like you😍😍😍....

  • @terrygabby8976
    @terrygabby8976 5 лет назад +26

    God will continue to bless this voice of yours Ruby

    • @salvadoralessandro8863
      @salvadoralessandro8863 2 года назад

      I know I am kinda off topic but do anybody know of a good site to stream newly released tv shows online?

  • @newstartz7880
    @newstartz7880 5 лет назад +2

    We we ni nouma

  • @bratherdully1064
    @bratherdully1064 5 лет назад

    Hiii nyimbo huwa cchok kuickiliza kabxa yan ujumbe wake una nkoxha moyon #Ruby ukonjema kwakwel

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 5 лет назад +7

    Which Devil Dislikes Such a Precious Song !!!

  • @MacHarveyCollections
    @MacHarveyCollections 5 лет назад +60

    international since day one...may you have great breakthrough Ruby😍😍...

    • @neiamvanneima1593
      @neiamvanneima1593 5 лет назад +1

      @mercymuigai the sweetest part is the last bit of the song how Ruby pulls up the vocals from deep with in aaahkk this gal is so talented

    • @ayubusossy2893
      @ayubusossy2893 5 лет назад +1

      Fire

    • @zuwenahfloznat2654
      @zuwenahfloznat2654 5 лет назад +1

      🙏🙏🙏Kametulia viSmart👏 Just feeling te Song

    • @MacHarveyCollections
      @MacHarveyCollections 5 лет назад

      Naim Vannellz very gifted indeed....when she did NA YULE I loved her instantly....She will Shine and Never fall...my wish for you Ruby💯😍😍

    • @chiconinde8135
      @chiconinde8135 5 лет назад

      Amiiin

  • @winfridamunisi9413
    @winfridamunisi9413 4 года назад +1

    Jamani kwli mapenzi ni upofu

  • @chefamos4422
    @chefamos4422 5 лет назад

    ..ahh nipe like tuimbe wote ..alelee..+254...

  • @davidmarick4257
    @davidmarick4257 5 лет назад +23

    Dada sauti yako yakumtoa nyoka kichakani

  • @madammadam6816
    @madammadam6816 4 года назад +4

    Wimbo uko vizur sana

  • @titorybkenyamusic3984
    @titorybkenyamusic3984 2 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥kali sana ruby bidii sanaa

  • @trizaolalo4102
    @trizaolalo4102 3 года назад +1

    Penda wewe..mob love from 254

  • @mitchelomondi1777
    @mitchelomondi1777 5 лет назад +15

    Yaaaaaaas,this song so beautiful,touches the core of my heart.

  • @salehedaudidaudi5992
    @salehedaudidaudi5992 5 лет назад +8

    Kusema ukwer huyu mdad nilikua cmfuatlii kabisa nyimbo zake lakin nahisi kaniimbia mim dah

  • @amonmgaya1123
    @amonmgaya1123 4 года назад +1

    Imegusa moyo wangu

  • @Rudeboy_47
    @Rudeboy_47 5 лет назад

    Nilikuja kutofautisha na Alele ya Mbosso.....kazi nzuri dada.......

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 5 лет назад +4

    nani mwingine anamkubali Ruby kuliko Nandy? wacha nipate likes za kutosha hapa

  • @innotarimo5566
    @innotarimo5566 5 лет назад +130

    Tulionaa chuchu ya ruby tuna like hapa 😃😃😃😃😃

  • @officialatrozyne7604
    @officialatrozyne7604 5 лет назад +1

    Mi namwaminia Sana Ruby ...254 tuko nyuma yake Ruby kufa kupona , mwanadada anayeamini kipaji chake.,ndugu zangu Toka 255 nipeni like hata moja tu

  • @saidindaro5858
    @saidindaro5858 5 лет назад +1

    Ruby!!! ni shida

  • @thomasstanley2125
    @thomasstanley2125 3 года назад +3

    Nimependa sana idea ya video .. inaendana kabisa na mazingira ya kwetu + melody 100%

  • @hassancnde7196
    @hassancnde7196 5 лет назад +4

    Mimi wa mwsho kukomert naomben like zenu

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 5 лет назад

    mashaalah huyu bint huwa hakoseagi anajua kuimba saaaaana mashaalah Rubyyyy

  • @dullydullahsenior756
    @dullydullahsenior756 5 лет назад

    UNajua mama kabisa bongo nzima unaongoza kwa kina dada

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 5 лет назад +6

    Jamani nakitumbo chake natamani kingekuwa changu

  • @featurebillionaire5464
    @featurebillionaire5464 5 лет назад +110

    Hadi walioguswa na haka kanyimbo mtaninyima like au

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 5 лет назад

    Kipaji cha Ruby ni level ya juu sana ila hapa Bongo kuna visirani wengi sana wanaweka block kwa makusudi alafu wanasingizia mjeuri.

  • @Mrbado-ur7xw
    @Mrbado-ur7xw 5 лет назад +1

    Bila unafik ruby mkali kipaji bila mfano ila tusaidie ku achieve ndoto zake video imeachwa na audio,promotes come out OKOA talent kubwa,video is good but I wish ingekua kubwa zaidi ya hiyo.Good work Rubby.gonga like kama una kubaliana nasi.

  • @eceron1
    @eceron1 5 лет назад +4

    The best female vocalist in the bongoflava industry...

  • @emanuelmgogo5384
    @emanuelmgogo5384 4 года назад +3

    Unajua

  • @junewahu8183
    @junewahu8183 8 месяцев назад

    2023 thinking of covering this song

  • @kibibimwege6244
    @kibibimwege6244 4 года назад +2

    Nakupenda sanaaaa Rudy

  • @OphoroTube
    @OphoroTube 5 лет назад +16

    Nimekapenda ka Video Queen.Anae mfahamu pls animabie anaitwaje