MARIOO NA PAULA WAWASILI KENYA WAPOKELEWA KWA SHANGWE!! || RAHA FEST ITAKUA MZUKA!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 44

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d 2 дня назад +11

    Kenya wana vibe kari sana wanajua kuinjoy great from Tanzania 🇹🇿

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 День назад +6

    Hawa hawanaga shida wenyewe wapole love them

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 дня назад +6

    Paula's haongeagi sanaaaa kwenye live ukizungumza nae lkn mitandaoni anajaza pages zote.

    • @OscarDzombo
      @OscarDzombo День назад

      😂😂😂😂eti anajaza ukurasaa

  • @teclakagai754
    @teclakagai754 2 дня назад +3

    Aki wakenya jameni tuko na mambo 😂😂😂

  • @SignorahKioko-ln1ff
    @SignorahKioko-ln1ff 2 дня назад +3

    Paula karibu kenya

  • @Purity-j5j
    @Purity-j5j День назад +1

    Nashaangaaa sanaa kuona watanzania wakisema tunawachukia na vile tuwapendaaa aki 😂😂😂😂😂our only jirani

    • @HaniffaOmary-v5r
      @HaniffaOmary-v5r День назад

      Sisi tunawapenda sana bila nyinyi hakuna furaha

  • @carolinecaroline-rs7pr
    @carolinecaroline-rs7pr 2 дня назад +3

    Wimbo za mario ambayo na pendant sana ni sirudiagi maharishi na 2025 aihi beby

    • @FatmaRashid-i3h
      @FatmaRashid-i3h 21 час назад

      😂😂😂😂😂😂😂ulipigwa tukio weww nichek San walaii

  • @Alicewanjiru-b8y
    @Alicewanjiru-b8y 2 дня назад +1

    Karibu kenya

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 дня назад +1

    Hapo kajala yupo? Duh

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 2 дня назад

    Wasirete vurugu😂😂tena wakeny

  • @KateJones-u7q
    @KateJones-u7q День назад

    Hapo sasa

  • @mercymulwa8917
    @mercymulwa8917 2 дня назад +2

    Paula kazuri sana

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 дня назад +1

    Eti mtoto wa mungu karibu kenya😂😂😂😂

  • @captainzelifilms2964
    @captainzelifilms2964 2 дня назад +1

    Huyu ana heshima kidogo kushinda hyu Diamond, Diamond ana kiburi na dharau nyingi

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 День назад

      Ni jeuri Toka kipindi Cha ruge na radio yake ,na hamna wa kumfanya lolote yule anafanya biashara hamnyenyekei mtu kwenye biashara yake

  • @SulePonda
    @SulePonda 2 дня назад

    Yuko wap pozze

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 2 дня назад

    Mbona simfahamu na simjuiiii mariiio

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 дня назад +1

      Na yeye sizani kama anakujua

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 2 дня назад

      @JeannetteManirambona-o6m atakuwa ananijua

    • @Sadock-r6
      @Sadock-r6 День назад +1

      Hata yy hakujui Wala jina lako kulitaja acha shobo chupi ww

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx День назад

      @Sadock-r6 unatombwa na kufirwa alafu huogi mkundu wewe kwaiyo Kama simjui marioo nisiseme

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 День назад +1

      Unanichekesha

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 2 дня назад +1

    Ati ali mwanga? Umekosea real name yake boi

    • @MsetoEastAfrica
      @MsetoEastAfrica  2 дня назад +1

      Kama hujui tulia ufunzwe kisha ufanye research

    • @ninjaisma7983
      @ninjaisma7983 2 дня назад

      @@MsetoEastAfrica marioo ni omari

    • @MsetoEastAfrica
      @MsetoEastAfrica  2 дня назад

      @@ninjaisma7983 Kwa heshma waeza enda kwa page yake ya You Tube uone update ya jina lake ndo uje kucomment

  • @HabibKhamis-b2x
    @HabibKhamis-b2x 2 дня назад +1

    Sasa kajala manager au aibu kweli mamamkwe kuzunguka na mkwewe mhhh

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 дня назад

      Lazima awepo kusaidia kulea mjukuu wakwe wakijivinjali .Acha majungu nikawaida tu hao ni waru maarifu hawana mambo unatowaza

    • @Mina.15
      @Mina.15 2 дня назад

      Hayupo hapa

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 2 дня назад

      Aibu ya nini ya kuwa saidia na kuwafanyie wepesi wa maisha wa kulea mtoto wao.

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 2 дня назад

      Unaumwa nini sasa?