Mashaalah sheik osman Allah akujalie Maisha marefu inshaalah kwa kutupa ilmi ya dini shke osman Allah akupe zaidi inshaalah sheik osman wabilahi taufig inshaalah sheik osman my dia bro nakupenda sana shke osman kwa ajili ya dini.❤❤❤💕💕💋🎉😭🌹🙏👍🥰💞🖐️😅😊😢
Mashallah, Allah atakulipa shekh vijana wanaropoka Tu hawajui maana Allah atakulipa Kwa kuonesha haki ya Allah mbora katika watu sio rangi ila ucha Mungu
Allah Mtukufu akulipe kheyri wengi tunazidi kunufaika kwa fawaiyda ya ilmu yako,Allah awadumishe sana MASJID MTORO ONLINE TV wafike mbali ktk kufanikisha fawaida kama hizi Umma wa kiislamu unanufaika sana kwa programme hizi.
Wa llah,walimu wangu popote mlipo mwenyezi mungu akujazen kher kwa kutukumbusha,na awajaze huruma na mapenz kwa ajili ya Allah,usije ukatishwa tamaa kwa udogo wako utakapoambiwa wajifanya unaelimu,so mlezi,mlinzi you pamoja na watu wema wanaopenda kukumbusha wengine ,barrak llah fiika.
Mashaaa Allah Sheikh wetu unapendeza unapotoa darsa hii. Tunafurahi Allah akufurahishe. Nafurahi unapo tumia jina kidume. Sheikh unatufunza, unatufrahisha unatutibu vile vile unatulea ki ungu. Allah akulipe mema duniani na Akhera. Tunakupenda sanaaaa Sheikh wetu.
Assalamu alaikum sheikh Sukran mada nzuri sana Mungu akuzidishie nuru kifuani mwako amiin tupendane tusibaguane alie m bora kwa allah ni mcha mungu pekee wakunu ibadallahi ikhwana yaallah tujaalie tupendane amiin
Kweli mtu mweusi najizarou wenyewe hajimini,hajisamini,kwakupenda Watu weupe watu hujipenda hujiheshimu wapenda asiliyo lakini si watu weusi hawapendi asli yao sasa unapokwenda posa unakataliwa kwa nini ujuwe kuwa mungu hajandika
This goes beyond the popular religious themes.No wonder the igbos in Nigeria know that they are jews, while the Ashkenazi Jews in Israel were just converts in to Judaism from ancient khazar,turkey.No wonder the nilotes, Luo tribes in East Africa traditionally know they came from ancient Egypt.Historically speaking there has bn several black popes before Rome overrun them.And the tribe of Dan resides in Ethiopia,Haile sellessie one of the great grandsons of David.So unfortunate how they made sure the blackman's history is suppressed or almost erased.And Abraham was of the sub saharan nilotic tribe.The arabised and westernised religious interpretations needs to be revised so that the first man of creation can occupy his right place.I never heard before that Adam was a Blackman.This is a bombshell
Afwan yaa shaykhanaa ukisema kanakwamba mtu mweupe amekuja kumsatarehesha mtu mweusi wakosea kwasababu usisahau mtume pia kando nakuwa nimtume alikuwa mtu mweupe nayeye ndio mbora wa viumbe vyote vya allah ubora ni kwa uchamungu sio kwa rangi
Iyo stor ilitokeya pemba wete uyo mwari aliyeposwa na mtu mweusi mpaka leo hajaolewa wakati huo ss tuwadogo twaskiya watu tu wa kizungu za na uyo mtu wakiume alikuwa nimuislam muadilifu uyo binti alimtaka kufa lakini alufosiwa na babaako ikawa amsikilize baba
Mashaalah sheik osman Allah akujalie Maisha marefu inshaalah kwa kutupa ilmi ya dini shke osman Allah akupe zaidi inshaalah sheik osman wabilahi taufig inshaalah sheik osman my dia bro nakupenda sana shke osman kwa ajili ya dini.❤❤❤💕💕💋🎉😭🌹🙏👍🥰💞🖐️😅😊😢
Mashaallah hakika mm ninakupenda kwa ajili ya Allah na akujaalie mwisho mwema ww na familia yko🙏
Mashallah, Allah atakulipa shekh vijana wanaropoka Tu hawajui maana Allah atakulipa Kwa kuonesha haki ya Allah mbora katika watu sio rangi ila ucha Mungu
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 me nalia tu yarab nijalie nife katka uislam
Allah Mtukufu akulipe kheyri wengi tunazidi kunufaika kwa fawaiyda ya ilmu yako,Allah awadumishe sana MASJID MTORO ONLINE TV wafike mbali ktk kufanikisha fawaida kama hizi Umma wa kiislamu unanufaika sana kwa programme hizi.
Masha Allah Masha Allah sheikh Othman mawaidha mazuri na lecture hii Muhimu sana.. mungu akubariki afya,furaha and emaan Ameen yarab
Amiyna
Inshallah Mungu akujaalie makazi yako peponi yawe pembezoni mwa mtume wetu muhammad s.a.w
Wa llah,walimu wangu popote mlipo mwenyezi mungu akujazen kher kwa kutukumbusha,na awajaze huruma na mapenz kwa ajili ya Allah,usije ukatishwa tamaa kwa udogo wako utakapoambiwa wajifanya unaelimu,so mlezi,mlinzi you pamoja na watu wema wanaopenda kukumbusha wengine ,barrak llah fiika.
Mashaaa Allah Sheikh wetu unapendeza unapotoa darsa hii. Tunafurahi Allah akufurahishe. Nafurahi unapo tumia jina kidume. Sheikh unatufunza, unatufrahisha unatutibu vile vile unatulea ki ungu. Allah akulipe mema duniani na Akhera. Tunakupenda sanaaaa Sheikh wetu.
ALLAH akujaalie neema zake mbalimbali, sheikh Wang nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Asante
@@mussamahmoud5221 ahsante pia
Asante ustazi Allah akubariki
Allah akujaalie kila la kheri 🙏🙏
Mashaallah sheikh Othman mungu akuzidishie akupe kher nimefaidika mengi kupitia kipindi chako
ALLAH akufanyie wepesi katika mambo yako na pia akuzidishie elmu na akujalie miongoni mwa waja wa peponi
Assalamu alaikum sheikh
Sukran mada nzuri sana
Mungu akuzidishie nuru kifuani mwako amiin tupendane tusibaguane alie m bora kwa allah ni mcha mungu pekee wakunu ibadallahi ikhwana yaallah tujaalie tupendane amiin
Allah kuzidishie Sheikh hakika tunafaidika pakubwa na elimu yako
Anta kadhaalika
Masha Allah nakupenda.san
Mashallah barakallahu feek
Mashaallah Allah akuzdishie yenye kher
Shukran
Masha Allah Allah akupe Afya njema we pamoja na family yako tunafaidika Sana kwakweli sheikh
MASHAALLAH MASHAALLAH ELIMU MUHIM SANA ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHER.
Jazzakal kheri Qethiraan sheikh.
Shukurani shekhe
Shekh, allah akupe maisha marfu yenye heri na furaha, ili uendelee kumtukuza yye na kitujuz mmbo ya heri na yenye neema tusiyoyajua kihus uislam
MashaAllah Sheih Allah akupe kila la heri
Mashaallah sheikh jazakaallahu khaira
Maashallah...baaraka llahu fiik....
Mashaallah sheikh Allah akuzidishie
MashaAllah jazzakAllah kheir
Allah akuzishiye Elimu zaid na zaid
Shukran my brother Allah akudjaze kila lakher
ALLAAH akujaalie kheri
na mwenyezi mungu amekuvaa ili tukumbushane
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh MashaAllah may Allah almighty shower you with his blessing always we love you sheikh 🤲🤲
nakupenda shekhe mawaidha yako yananijngia hadi moyoni
Salaam aleykum sheikh, twakuomba utembee mombasa kenya angalau tukuskie live! Swalluuu alaa sayyidnaa muhammad!
MAshaa allah shukrn Sana shekh
Mashaallah shukuru 🙏🙏
اسلام عليكم ورحم تللةولركاتة. أنا أحبك في الله يا شيخ.
Mashaala 🙏 🤲💯
Nahitaji kijifunza elimu ya Dini wallah napenda uwe mwalimu wangu,nakuomba sana
mashaaalah mb zangu zinaenda kikhali uko vizuri
Hakika mwenyezi Mungu ni Mkubwa.
jazakallahu khayra...
Lahaula walla kuwatta illabillahi
Mashallah
Shukran wajazaka llahu heri
Shukran Sheykh
احسنت شيخنا
Allah Akbar
mashallah nice
Kweli mtu mweusi najizarou wenyewe hajimini,hajisamini,kwakupenda Watu weupe watu hujipenda hujiheshimu wapenda asiliyo lakini si watu weusi hawapendi asli yao sasa unapokwenda posa unakataliwa kwa nini ujuwe kuwa mungu hajandika
This goes beyond the popular religious themes.No wonder the igbos in Nigeria know that they are jews, while the Ashkenazi Jews in Israel were just converts in to Judaism from ancient khazar,turkey.No wonder the nilotes, Luo tribes in East Africa traditionally know they came from ancient Egypt.Historically speaking there has bn several black popes before Rome overrun them.And the tribe of Dan resides in Ethiopia,Haile sellessie one of the great grandsons of David.So unfortunate how they made sure the blackman's history is suppressed or almost erased.And Abraham was of the sub saharan nilotic tribe.The arabised and westernised religious interpretations needs to be revised so that the first man of creation can occupy his right place.I never heard before that Adam was a Blackman.This is a bombshell
He's not only a blackman but he's a prophet too
radi ya mashia hiyo
😢😢🙏🙏
Afwan yaa shaykhanaa ukisema kanakwamba mtu mweupe amekuja kumsatarehesha mtu mweusi wakosea kwasababu usisahau mtume pia kando nakuwa nimtume alikuwa mtu mweupe nayeye ndio mbora wa viumbe vyote vya allah ubora ni kwa uchamungu sio kwa rangi
Mashallah
Huyu shekhe ni mwanafunzi wa shekhe Othman Maalim ?
Soma historia Yake hii hapa 👉ruclips.net/video/D1w7AJc-3EY/видео.html
Kama edekuwa niwakati saivi ende kwenda kwa kadhi kuolewa lakini kipindi kile watoto waskilize sana wazee wao
Iyo stor ilitokeya pemba wete uyo mwari aliyeposwa na mtu mweusi mpaka leo hajaolewa wakati huo ss tuwadogo twaskiya watu tu wa kizungu za na uyo mtu wakiume alikuwa nimuislam muadilifu uyo binti alimtaka kufa lakini alufosiwa na babaako ikawa amsikilize baba
MashaAllah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah