MASIHI DAJJAL ATASHUKIA KATIKATI YA IRAQ NA SYRIA// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 8 месяцев назад +15

    Nalia kwa mahaba ya mtume wetu SAW ❤SAW❤SAW❤SAW❤😢😢😢😢😢😢😢

  • @asiakhalfan4156
    @asiakhalfan4156 9 месяцев назад +10

    Allah atuepushe na fitna ya masih dajjal jamii Islam

  • @FauzaBwambale-lp1wp
    @FauzaBwambale-lp1wp 9 месяцев назад +6

    Allah atuepushe na adhabu ya masihi Dajjal

  • @AishaabdullahAisha
    @AishaabdullahAisha 9 месяцев назад +6

    Subhanallah yaraby tupe mwisho mwema na utuepushee na shari za dunia hii

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 9 месяцев назад +5

    JAZAKA ALLAH KHAIRA SHEKH OTHMAN MAALIMU ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU SHEKH

  • @AlShabh-u8i
    @AlShabh-u8i 10 месяцев назад +6

    Allaah utuepushe na hyo maisha dajjal

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 10 месяцев назад +7

    Allah a2linde na shari za wabaya wote InshaAllah

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 8 месяцев назад +2

    M.mungu tujaalie Iman kubwa juu yako 🙏🏼

  • @JohariNassor
    @JohariNassor 8 месяцев назад +1

    Mola atuepushe na adhabu za Masih dajjal

  • @wahidamohamed9404
    @wahidamohamed9404 10 месяцев назад +19

    Mwenyezi Mungu atuepushe na fitna za Masihi Dajjal. Allahuma Ameen

  • @SuleimanJasho
    @SuleimanJasho 10 месяцев назад +3

    Mwenyezi mungu atuepushe na fitina za Dajjali inshaAllah amini rabinaalamin

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 9 месяцев назад +4

    Mashallah tabarakallah amazing dawah.

  • @AminaAbubakar-hn7jq
    @AminaAbubakar-hn7jq 10 дней назад

    Allah atupe mwisho mwema na atukinge dhidi ya mass hidajal

  • @HamisiAlmasi-r1k
    @HamisiAlmasi-r1k 14 дней назад

    Allah akuzidishie kila la kheri

  • @JulaybibiJulaybibi-od1dw
    @JulaybibiJulaybibi-od1dw 12 дней назад

    Allah atuepushe na fitna za dajjal

  • @adembeza
    @adembeza 9 месяцев назад +2

    SubhanAllah, Allah atuepushe na visanga na uongo wa Masihi Dajjal. MashALLAH Sheikh mchanga sana hapa. Allah amjalie umri mrefu. ❣❤❤

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq 10 месяцев назад +4

    Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra shekh wetu OTHMAN... uhibukii fiy llah kathiyra ❣️❣️❣️

  • @jamilahissa8763
    @jamilahissa8763 9 месяцев назад +5

    ya ALLAH tujalia tuwe ni wenye kukufuata wewe tu ya Rabbi

  • @MusaSaidi-s8u
    @MusaSaidi-s8u 8 месяцев назад

    Mungu atulinde na masih dajjar inshallah

  • @RamadanRasheed
    @RamadanRasheed 7 месяцев назад

    Mwenyezi mungu atuepushe na msihi dajal

  • @Tatu-b9p
    @Tatu-b9p 7 месяцев назад

    Ndio maana mm napenda sana dini yangu ya wuislamu alhamdulillah❤❤❤❤❤❤🎉

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 10 месяцев назад +2

    Allahu akbar Allahuakbar Allahuakbar

  • @MussaSalanje
    @MussaSalanje 9 месяцев назад +9

    Technologia inaandaa ujio wake atakapokuja watu Wengi watakuwa wamepotea na watamfuata ispokuwa wale ambao Mungu atawajaalia iimani thabiti ktk mioyo yao Naomba Mungu anijaalie iimani thabiti.

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t 8 месяцев назад +1

      Allah atunusuru nae na atupe khauli thabit ya kumshinda dhalili huyu

    • @ndaisenganteze3546
      @ndaisenganteze3546 2 месяца назад

      Mungu atakuokoa lakini kwa kumkri masihi mwenyewe

  • @BakariMwayaga-q2p
    @BakariMwayaga-q2p 10 месяцев назад +5

    Mashallah Allah akuifadhi sheikh wetu minakupenda kwa ajili ya Allah S.W.T

    • @djafro8729
      @djafro8729 10 месяцев назад +1

      2🎉 z

    • @fatmaalikhalfan9897
      @fatmaalikhalfan9897 8 месяцев назад

      MashaAllah sheikh wetu Othman maalim .jazakaAllahu Alkheyr​ Mungu Akuhfadhi@@djafro8729

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 9 месяцев назад +4

    Mola atuepushe na riyaa(show off)

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 9 месяцев назад +1

    Mashallah

  • @MasudiSutu
    @MasudiSutu 3 месяца назад

    Mansaallah

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 3 месяца назад +1

    😢😢😢aki umenifungua macho ya ndani nilikuwa sijui kuna mtu kama huyu atakuja masihi dajali,,subhanalla mimi sijui ata hiyo dua ya kujikinga😢😢😢😢 inauma sheikh sijui nitaijuaje

  • @fikiri-gh4og
    @fikiri-gh4og 6 месяцев назад

    mawaidha mazuri

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 10 месяцев назад +2

    Masha ALLAH

  • @HusseinDalali
    @HusseinDalali Месяц назад

    براك الله ولك

  • @noornasir4378
    @noornasir4378 10 месяцев назад +9

    Huyu Dajjal ni hii technology iloingia duniani imepotosha wengi na binadamu wamekuwa watumwa wa hiyo technology

    • @rukiabura8381
      @rukiabura8381 10 месяцев назад +1

      0:24 0:30

    • @NandoWaUsa
      @NandoWaUsa 10 месяцев назад +2

      You made a good point

    • @zuhoor-mc7hq
      @zuhoor-mc7hq 10 месяцев назад +1

      Mola atuepushe na fitna za masikhi dajjal amiin yaarabbali ghalamiina 🤲.....ht hizo Aya kumi tu mtihani umaah muhamadu kuhifadhi 😢😢😢

    • @kazezaageneral1830
      @kazezaageneral1830 10 месяцев назад +2

      Not true ,dajjal is dajjal not technology

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 9 месяцев назад +2

      Kabisaaa

  • @AnisaOdero
    @AnisaOdero 10 месяцев назад +4

    Asalamu aleykum mtu asie mwisilamu akifariki waweza kumtolea dua.

    • @mchilohasna7190
      @mchilohasna7190 10 месяцев назад +1

      Nakutarifu kwamba kishki tv utube Kuna kipindi cha maswali na majibu kila wiki unajibiwa hapohapo

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 8 месяцев назад +1

    Mtume anaongeaje hadidhi anapotoa ujumbe kwa waumini wake maneno ya mtume yanageukaje kuwa hadidhi na anamtaja masihi sababu mtume anajua ndio hukumu yake imefika na wafuasi wake uma wa waislamu

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 7 месяцев назад

    Sheikh hizo ni hadithi za abunuwasi ni kweli Massiah Dajjal habari zake zipo lkn zilipozungumzwa na Mtume zilielezwa kwa lugha ya ishara ambazo zikitafsiriwa tunaeza kuona kwa jicho la pili vyenginevyo endelea kuwambia watu wamsubiri akinyesha mvua na kufufua watu.

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 8 месяцев назад +3

    Mtume alikuwa anamzungumzia masihi yupi Masihi ni mmoja tu ni yesu atakuwaje na fitina na kama sio kuwa na hofu kwa ajili ya hukumu yenu

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 8 месяцев назад +1

      Masihi dajal, maana yake ni masihi wa uongo, ambapo kwenu nyie wakristo mnamwita anti-christ..

    • @nash-hatali1465
      @nash-hatali1465 7 месяцев назад

      .... good response. Be blessed​@@HasnuuMakame

    • @Hasnamkame
      @Hasnamkame 2 месяца назад

      kwani wewe unamjua sana yesu kuliko sisi waislamu?

  • @JaphetMkasa
    @JaphetMkasa 8 месяцев назад

    Je huyo atazaliwa na binaadamu au huyo .?atakuwa tayali ameumbwa yupo?kama yupo yupo wapi kwasasa hivi naitaji chimboko lake nilijuwe kama ibilis ni kitoto chakijini kilichochukuliwa na malaika kulelewa je yeye masiijadali katokea wapi?

  • @SaimonKefa
    @SaimonKefa 8 месяцев назад

    Kuludi kwa yesu duniani, huyo yesu kwa waisramu ndiyo dajjal na mtume anaogopa mbaya mbovu

    • @KivandiNdivo
      @KivandiNdivo 8 месяцев назад

      Kasome Revelation, the false messiah ametajwa

    • @ednamachocho3059
      @ednamachocho3059 4 месяца назад

      Sikiza mawaidha vizuri my dear HAKUNA MUISLAMU ANAEMKUFURU BWANA YESU

    • @ZabronMagufwa
      @ZabronMagufwa Месяц назад

      Hata Mimi Huwa nafikiria Ivo, YESU wa waislam ndie dajal

  • @khamismohammed3763
    @khamismohammed3763 9 месяцев назад +2

    Masha Allah