Mwenzio nimekumisi (Siwezi ishi bila wewe)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 192

  • @egideniyonkuru9705
    @egideniyonkuru9705 3 года назад +13

    Daaaah hili funzo kubwa kwa wanawake nawapenda mno🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💓💓💓💓💓

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 3 года назад +7

    Huyu dada jamani😂😂😂😂😂😂kilakitu kuita mashoga zake hhhmm🤣🤣

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 anajifanya anawapenda Sana shoga zake

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      @@janethnyakato8159 kweli kabisa janeth

    • @marymoyo46
      @marymoyo46 2 года назад

      Hajakutana na majanga ya mashoga

  • @leilasadick5477
    @leilasadick5477 3 года назад +3

    Bichwa lake LA mwendo kasi kumbe ndio Hua mna tuambia hivyo mkiwa mbali🤣🤣🤣🤣🤣

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 Hapana leila ni Alex huyo sio sisi

    • @leilasadick5477
      @leilasadick5477 3 года назад +1

      Kwenye msafala WA mamba na kenge wamo🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      @@leilasadick5477 ni kweli lakini sasa hivi wanaume tunajiheshim Sana

    • @leilasadick5477
      @leilasadick5477 3 года назад +1

      @@SwahiliAnimation hahahaha wewe Embu niache mimi usi nivunje mbavu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      @@leilasadick5477 🤣🤣🤣 kwa utulivu tulionao wanaume tunaomba ulinzi wa serikali

  • @mwenibabaz4372
    @mwenibabaz4372 2 года назад

    😂😂😂Good 👍 acha waende...hapo kwa Bridge kuruka umeniua

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 3 года назад +3

    Hz katuni ndo safi sasa,,wengine wajipange kidogo

  • @janethmakoye6464
    @janethmakoye6464 3 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂ety nimekaa tumbon kwamama,🤣🤣🤣🤣

  • @rifloanimations1182
    @rifloanimations1182 3 года назад +5

    Amazing animation, 🔥🔥🔥

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 3 года назад +3

    Alex Alex Alex 😀😀😀miez 9 tumbon bila kuoan nguchilo yoyote🤣🤣🤣

  • @blandinagodfrey9825
    @blandinagodfrey9825 3 года назад +3

    😂😂😂😂😂hatar na nusu et miez 9 bila kuona nguchiro 😂😂😂😂😂

  • @lucasjohnmabanda5858
    @lucasjohnmabanda5858 2 года назад +3

    Amazing animation. I like the videos of this kind

  • @shredor9986
    @shredor9986 3 года назад +4

    Nimekamyez tisa tumbon 😄 🤣 🤣 😂 😆 😄

  • @Emmy-ol7ex
    @Emmy-ol7ex 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimekaa tumbona kwa mama miez9 bila kua na ngucilo yeyote

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 3 года назад +3

    Wanawake bhn akili zetu tunazijua wenyewe🤣🤣

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 3 года назад +3

    😀😀😀😀hapo Mapenzi ya kihindiiii ni. Atari sanaaa😅😅😅😅

  • @latifaabdy5878
    @latifaabdy5878 3 года назад +5

    😂 umekosea namba....wakwanza leo

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      💖💖💥💥💯💯
      Asante Sana Latifa kwa kutufungulia comments leo 🙏

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 3 года назад +3

    🤣🤣🤣 jaman huyu Alex huyu

  • @laliakiza7351
    @laliakiza7351 3 года назад +4

    Eti nimekaha tumboni mwa mama miezi tisa
    Haaaa nimecheka kwa sauti 😀😀

  • @annastaziadaniel2308
    @annastaziadaniel2308 3 года назад +2

    Aki nimecheka sana,,bichwa kama mwendokasi

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 kaambiwa bichwa kama mwendo kasi kesho ameshasahau anaomba warudiane mapenzi ni noma

    • @annastaziadaniel2308
      @annastaziadaniel2308 3 года назад

      @@SwahiliAnimation 😃😃😃😃

  • @zainabmalya1552
    @zainabmalya1552 3 года назад +4

    Unabeep fire wakat nyumba inaungua🤣🤣mmemisiana halafu mna vunga 🤣

  • @neemaibrahim679
    @neemaibrahim679 3 года назад +7

    Alex katisha et Kwan tunaenda kwenye kikao Cha harusi😂😂😂😂

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 Yani mpenzi wako anataka mtoke mkaenjoy wawili unataka kuleta marafiki zako hapo inakuwa kama mmeenda kwenye kikao cha harusi

  • @glorykamenya2543
    @glorykamenya2543 3 года назад +2

    Kwani tunaenda nao kwenye kikao cha harusi Hahahahahah

  • @saromemaneno355
    @saromemaneno355 3 года назад +3

    Hahahahahaaaa wanawakeeee sieee hatufaiiiii

  • @agnesmwigune8625
    @agnesmwigune8625 3 года назад +3

    Alex wewe akili zako unazijua mwenyewe 🤣🤣🤣

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 2 месяца назад +1

    Chausiku habo alikua na umrigani

    • @Salumu-wm5lt
      @Salumu-wm5lt 2 месяца назад +1

      Alikuwa bado binti mdogo yaan bado children 😂😂😂😂

  • @romanavarentine8755
    @romanavarentine8755 2 года назад +3

    I like this character known as Alex 😇😇😇

  • @emmysimon1362
    @emmysimon1362 3 года назад +3

    Nmejikuta nacheka kwa nguvu na hlo bichwa lake la mwendokasi

  • @ummusuleimansumeya1012
    @ummusuleimansumeya1012 3 года назад +2

    Bichwa la mwendo kasi

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 2 года назад +2

    Alex you so funny 🤣 by the way girl if your boyfriend call you just stop taking all you're friends because you don't know why is calling you some times you miss your luck and your friends come and take over. 8n swahili we say mkataa wito ukosa yote waitwa wewe wewe but wataka take all group. Ujajua baget yake. What's if was want to papoose you and change his mind and take your friend. Baati mwatupa wenyewe jamani 🤣🤣🤣🤣

  • @nasratanzania1690
    @nasratanzania1690 3 года назад +1

    Nguchiro na bichwa lake la mwendokasi😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 года назад +4

    Leo cha usiku amepatwa 😂😂

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 leo tunasherehekea kupatwa kwa chausiku

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 3 года назад

      @@SwahiliAnimation
      Wapige hawa wanawake wachunaji

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 3 года назад +6

    Alex mwenyewe kichwa ngumu

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 года назад

    Mashoga zako hao sasa 😂😂

  • @chudexamatz9125
    @chudexamatz9125 2 года назад +2

    Respect Swahili animation japo Kuna watoto kibao wanacopy kutoka kwako 🙏🙏🙏

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 года назад +5

    😄😄😄shukran kuna muda nikiangalia hivi vikatuni na enjoy kwa kweli naondoa mawazo

  • @nbmax1405
    @nbmax1405 3 года назад +2

    Ceko z mashoga sasa zinanimaliza

  • @tinamsengi570
    @tinamsengi570 3 года назад +1

    Ww umeitwa mwenyewe unataka namashoga waende

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      Hii ni hatari hata ningekuwa mimi nisingekubali nimekuita wewe unaniletea na watu nisiowafaham

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 3 года назад +2

    Gwuchilo tena 🤣🤣🤣

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 года назад +3

    Nguchiro yoyote

  • @ireneotenyo8321
    @ireneotenyo8321 2 года назад

    Alex weee 😆😆😆😆

  • @kzk111
    @kzk111 3 года назад +5

    Alex alex Alex, nimekuita Mara Tatu

  • @nalolaamaby8717
    @nalolaamaby8717 2 года назад +1

    Nawakubal balaa sina ujanja wa kuwakwepa

  • @leahkaishoz3410
    @leahkaishoz3410 3 года назад +2

    Hapo ndo tunapo haribugi sisi wanawake na kukosa kabisa daa

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 mtu anawajali na kuwasikiliza mashoga zake kuliko mpenzi wake

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 3 года назад +4

    Nenda na malafiki zako sasa😅😅

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 mtu unataka umtoe out anakuja na rafiki zake wa nini?

  • @emmyjessuorene6565
    @emmyjessuorene6565 3 года назад +2

    Khaaa ety nimarafiki siwezi kuwaacha so hapo kwa mapenzi sio pesa nimepapenda maana ndo ukwer wenyewe kwa mana mapnzi sio pesa zikikosekana yanapungua

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад +1

      Emmy nakukubali Sana itabidi uelimishe na wasichana wengine kuwa mapenzi sio ungekuwa TZ ningekuoa 🤣🤣

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 года назад +1

      @@SwahiliAnimation asanteeee so mimi kweri kwa mwanaume na thamini upendo wa dhati kutoka kwake hilo2 vinginevyo Mungu ndo mtowaji pia pesa ni majaliwa si kila mwanaume kaumbiwa kua tajiri hapna kama kijana mwenyew nimempenda kwer na moyo umelidhika kua naye yni siwezi kumchukia kisa hana pesa noo kikubwa awe naupendo wa dhati pia na mwenye hekima na busara yni nampnda kima kawaida kuhusu maisha tutapambana sisi wte pia maisha ni taratibu ukitaka ya haraka unaweza kupitia njia zisizokua sahihi badae ikakugalimu

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад +1

      @@emmyjessuorene6565 dah umebarikiwa kuwa na upeo mkubwa wa akili mungu akuongoze na akupe mafanikio na akutimizie kila hitaji la moyo wako 🙏🙏❤️😍

    • @emmyjessuorene6565
      @emmyjessuorene6565 3 года назад

      @@SwahiliAnimation amina pia asante kwa maombi yko kwangu na imani kua Mungu atanipa hitaji la moyo wangu 💗🙏🙏😘👌 kikubwa aniletee mwenye kuijenga ndoa adi pale kifo kitakapo tutenganisha2 tuijenge kwa amani na furaha na hekima kubwa

  • @mcalphamedia2245
    @mcalphamedia2245 2 года назад +2

    lit💥

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 3 года назад +2

    Kweli kabisa mapenzi siyo pesa

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад +3

    Safi sana

  • @masamasa2387
    @masamasa2387 3 года назад +2

    Aaah Alex unataka nife😅😅😅

  • @cuthbetdavid3144
    @cuthbetdavid3144 3 года назад

    Kwema o

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 года назад +2

    🤣🤣🤣Alex bwana

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 3 года назад +2

    dawa ya ngono zembe hhahah

  • @rahemaheri1615
    @rahemaheri1615 3 года назад +2

    Nguchiro jamn dunia hii

  • @ashaalawe5664
    @ashaalawe5664 3 года назад +2

    Eti kichwa kama cha mwendo kasi

  • @alphaxardjubeckwa-ndahibha8725
    @alphaxardjubeckwa-ndahibha8725 3 года назад +2

    Nakubari kaka

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 года назад +2

    Mh kwenye mapenzi yangu shoga apana😆😆

    • @SwahiliAnimation
      @SwahiliAnimation  3 года назад

      🤣🤣🤣 mwenzio chausiku anawapenda shoga zake kuliko mpenzi wake

  • @firstladybeutfull4246
    @firstladybeutfull4246 3 года назад +1

    Mwendo kasi

  • @rashidimahwa3161
    @rashidimahwa3161 3 года назад +1

    Wasap

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 года назад +3

    Ovyoooo, mashoga mashoga

  • @abushirsulleiman4270
    @abushirsulleiman4270 3 года назад +2

    Nilikuw naipit bt taanz kuwafutila

  • @salmarajabu5579
    @salmarajabu5579 3 года назад +1

    haha umekosea namb Hahahaha napita ty mm

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 года назад +1

    jaman hatare😃😃😄

  • @ndegezndechez1734
    @ndegezndechez1734 3 года назад +2

    Alexis umetisha🤣🤣🤣

  • @marycharles6889
    @marycharles6889 3 года назад +1

    Maria

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 года назад +2

    Nimecheka uwiiii

  • @MRdaniel06
    @MRdaniel06 3 года назад +2

    😝😝😄😄😂😂

  • @jillicious6800
    @jillicious6800 3 года назад +1

    Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮I need to see your faces aki

  • @nestonjue1192
    @nestonjue1192 3 года назад +1

    Oyeah!!!!!!!!!!!!!!!!!!??!

  • @barakakiula8909
    @barakakiula8909 3 года назад +2

    Swadakta

  • @wisegenanimationtv3612
    @wisegenanimationtv3612 3 года назад +2

    For sure men can relate..

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 2 года назад +1

    Hahaha...

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад +5

    🤭🤭🤭🤭🤭🤭

  • @mwanamvuasalimu1038
    @mwanamvuasalimu1038 2 года назад +1

    😟

  • @emmanuelkashasha1929
    @emmanuelkashasha1929 2 года назад

    Mazishi ya mwasasu

  • @Abraahfx30
    @Abraahfx30 2 года назад

    Bahat serials

  • @eunicesimion4890
    @eunicesimion4890 3 года назад +2

    🙆🙆🙆

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 3 года назад +4

    ❤️❤️❤️

  • @mariageorge4729
    @mariageorge4729 3 года назад +3

    Ruka

  • @azizaomary7779
    @azizaomary7779 3 года назад +2

    🤣🤣🤣

  • @dogoside1284
    @dogoside1284 3 года назад +1

    Luka

  • @latifayassir3267
    @latifayassir3267 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @mashaurimatogolo1658
    @mashaurimatogolo1658 3 года назад +1

    Monica

  • @nationboy1063
    @nationboy1063 3 года назад +1

    Guchu

  • @mamiwilondja7737
    @mamiwilondja7737 2 года назад

    haaaaaaa

  • @lilianjoseph5290
    @lilianjoseph5290 3 года назад +2

    😂😂😂😂

  • @nerymasudi1589
    @nerymasudi1589 2 года назад

    Neri

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 года назад +2

    Hahahaha

  • @WinnerMsigwa
    @WinnerMsigwa Год назад

    ❤❤

  • @keidasalum8271
    @keidasalum8271 2 года назад

    🤣🤣🤣

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 3 года назад +3

    😂😂😂😂