JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI (02) Rabbi Abshalom Longan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024

Комментарии • 11

  • @rehemaliswele4101
    @rehemaliswele4101 19 дней назад

    Mungu akutunze sana kwa ajil yetu unamfunua Yesu ili tumjue kwa namna ya tofauti niko Mtwara

  • @teddysmiths01
    @teddysmiths01 8 дней назад

    Shalom mutumishi wa Mungu, Nina Ku fuata sana tena kwa umakini Ku toka Congo DRC ,aksanti sana kwa mafundisho

  • @ModesterHinju
    @ModesterHinju Месяц назад

    Shalom kutoka mbinga Ruvuma BWANA YESU Akubaliki

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 29 дней назад

    Mtumishi wa Mungu aliye hai hakika wewe unafundisha neno la Mungu

  • @jacobmahona187
    @jacobmahona187 Месяц назад

    Nakutazama kutoka nyakagwe kakola Mungu akubariki

  • @miriavagheni4480
    @miriavagheni4480 22 дня назад

    Amen Amen

  • @julianambilinyi3341
    @julianambilinyi3341 Месяц назад

    Amina

  • @EvelinWilson-zx6uq
    @EvelinWilson-zx6uq 24 дня назад

    Amen Amen.

  • @IsraelMuteulle
    @IsraelMuteulle Месяц назад +1

    Unanibariki sana pasta

  • @Chrizabizzy1
    @Chrizabizzy1 Месяц назад +1

    Tuna kusikiliza ni wengi tuwekee ndefu iliyo full ilituzidi kumjua Mungu na tulipo toka na wakati tuliopo na wakati ujao

  • @user-vy1iv1ec2u
    @user-vy1iv1ec2u 22 дня назад

    Ni Albert kutoka drcongo. Nahitaji niwe nakufuata en direct,Ila nashindwa tafadhali