JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI? - Rabbi Abshalom Longan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024

Комментарии • 19

  • @annak6738
    @annak6738 Месяц назад

    Ubarikiwe sana Mtumishi kwa Mafundisho Mazuri sana.Ila Ombi langu naomba huo Mziki usiwepo kabisa maana Unatuondoa kwenye Uwepo Wa Mungu.

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 Месяц назад

    Ombi langu mziki usiwepo tusikilize mafundisho tu. Ili kuwe na utulivu mkubwa tafadhali, mafundisho mazuri sana

  • @godfreygitanga4331
    @godfreygitanga4331 17 дней назад

    Kupiga gitaa kwenye mafundisho ya mhimu kama haya, mtumishi yanakwaza hata nasikia kukereka isivyo kawaida. Komesha hii tabia tafadhali.

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do Месяц назад

    Amen
    Kwa kweli lazima mahandiko yatimie
    Na sisi tupo maeneo Chicago IL 🇺🇸
    Lazima tuwe makini .

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Месяц назад

    Amina ubarikiwe Mchungaji

  • @leahmungure6538
    @leahmungure6538 Месяц назад

    Amen Amen Amen 🙏

  • @helenatarimo3643
    @helenatarimo3643 Месяц назад

    Amen mtumishi

  • @miriavagheni4480
    @miriavagheni4480 Месяц назад

    Amen

  • @RegnetaKinyunyu
    @RegnetaKinyunyu Месяц назад

    AMEN

  • @user-ts5ce9ps7q
    @user-ts5ce9ps7q Месяц назад

    Amina

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 Месяц назад

    Am

  • @abrahammarress8947
    @abrahammarress8947 Месяц назад

    Mwalimu je hata sasa wakati kuna msikiti MUNGU anaendelea kupatumia kama lango. Au yatosha YESU KRISTO NDIYE LANGO.

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 Месяц назад

    Saa inakuja na saa ipo ambayo waabuduo halisi hawatamwabudu MUNGU ktk mlima huu walia kule uYerusalemu bali ktk riho na kweli

  • @Bisengimana-ezekiele
    @Bisengimana-ezekiele 28 дней назад

    Muwemacho wanabi wauongo niwengi
    Huyu bwana mumuchunguze

    • @christophenkurunziza7208
      @christophenkurunziza7208 27 дней назад

      Nabi wauongo hawezi funuliya watu kurudi kwa YESU CHRISTO huyu ni mtumishi wa Mungu

    • @AgnesKalinga-if3uf
      @AgnesKalinga-if3uf 24 дня назад

      Ni nabii wa Bwana kabisaa

    • @user-yy8ox4ig1v
      @user-yy8ox4ig1v 24 дня назад

      Aliye rohoni na kusoma biblia anamuelewa, lakini aliye mwilini wala si msomaji wa neno hawezi kumuelewa. SOMA biblia utamuelewa vizuri sana.

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 Месяц назад

    Am