MY FIRST DRIVING LESSON USING AUTOMATIC CAR. Siku ya kwanza kujifunza kuendesha gari Automatic.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 20

  • @byronnyongesa2544
    @byronnyongesa2544 11 месяцев назад +3

    Great job well done

  • @EmmyVenass
    @EmmyVenass 10 месяцев назад

    Ningependa kuuliza Kwan baada ya kuachia break mguu tunakuwa accelereta au vp

  • @shakurfaith
    @shakurfaith Год назад +1

    Big up sana

    • @waridiemiliani
      @waridiemiliani  Год назад

      Asante ☺

    • @ivonafrancis919
      @ivonafrancis919 Год назад

      ​@@waridiemiliani bona mi ninaogopa sana nimeanza kujifunza ila nakua mwoga

    • @waridiemiliani
      @waridiemiliani  Год назад

      Usiogope
      Mimi mwenyewe nlikuwa naogopa sana nikipishana na gari nyingine. But sijapata tena muda wa kujifunza muda nakosa but naendelea soon. So wewe pambana utaweza too.

    • @PriscaEmanuel-k6u
      @PriscaEmanuel-k6u 6 месяцев назад

      Mimi Jana nilikua najifunza naelekezwa kama wewe naona Hamna kaugumu ila tu sababu ni Mara ya kwanza😂😂😂

    • @waridiemiliani
      @waridiemiliani  6 месяцев назад

      @user-cl5le8eo9e kusema kweli hamna ugumu sema woga barabarani😲😲🤣

  • @2010japhet
    @2010japhet Год назад +1

    Unajua kufundisha bro!!unapatikana wapi?

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 8 месяцев назад

    To be continued