NJIA 5 ZA KUISHI NA MTU MKOROFI (kutambua Mtu Mkali, Mwenye Hasira) | LENZI | Teacher Gonza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 сен 2024
  • Watu wengi wamejificha nyuma ya ukali wao. Wameficha madhaifu yao nyuma ya ukali unaoonekana kwa watu wengine. Wata hawa wanaweza kuwa wazazi, wenza, wenye nyumba au wakubwa wetu wa kazi (mabosi)
    UNaweza ukakuta anagombana na watu au mara nyingine kuwatoa kauli za vitisho kwa jambo dogo sana lengo lake likiwa kuwafanya watu hawa wamtii na kumheshimu.
    Waathirika wa hii hali wamejikuta katika mazingira magumu ya kushindwa kabisa kufanya kazi au kuishi na watu wengine.
    Jinge na Teacher Gonza kupitia kupitia channel ya ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ ili ujifunze na uweze kujua sababu zilizoko nyua ya ukali na ukorofi wa baadhi ya watu. Pia utajifunza kuhusu jinsi ya kuishi na watu wa namna hii.
    Ukishawajua basi utapata namna sahihi ya kudeal nao bila wewe kuingia kwenye mgogoro nao.

Комментарии • 5

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 месяца назад

    Tupo wengi lakin mie ni kidog hasir inaisha ila ukizidisha ibada itapunguw hasira mie yakwangu inaishia

  • @frankjonas7704
    @frankjonas7704 8 месяцев назад

    Haujatoa sasa njia namna ya kufanya ili kuepukana na Mtu mkorofi yaani umeelezea jinsi walivyo wakorofi

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 11 месяцев назад

    Hapo maha pa kuweka vitu moyoni ni mimi
    Nifanyeje

  • @adidjaAlfonse-zh5yk
    @adidjaAlfonse-zh5yk 10 месяцев назад

    Daaaaah nikwl mm nayapitia san ayo

    • @teachergonza2841
      @teachergonza2841 10 месяцев назад

      pole.sana ndugu yangu.. tunapita ili tujifunze na kuimarika. basi ukishayajua fanyia kazi unayoweza kuyaacha au ukanitafuta nikakupa ABC za kufanya kushinda hiyo hali unapitia..