Huu ni wimbo bora bora sana. Katika watunzi wenye kuuenzi Muziki Mtakatifu wa Kimapokeo Tanzania ni Maestro Venant Mabula. Vijana hawa wamenikosha sana katika kila idara I hope hata tukitoweka wataturithi kama tulivyorithishwa.
May the Almighty God continue blessings you despina and the group not forgetting the production team the good work of evangelization through singing...you are doing an amazing job ❤
Mfalme wa utukufu aweze kuingia Asante sana wanakwaya mmeupiga mwing Kwa bwana wetu yesu kristo
Huu ni wimbo bora bora sana. Katika watunzi wenye kuuenzi Muziki Mtakatifu wa Kimapokeo Tanzania ni Maestro Venant Mabula. Vijana hawa wamenikosha sana katika kila idara I hope hata tukitoweka wataturithi kama tulivyorithishwa.
MUNGU azidi kutukuzwa milele na milele!!!
Dominika ya matawi napenda hii pamoja na ile ya Fr.Kayetta hosana kwa mwana wa Daudi na Mgandu ni mwl.mkuu wa nyimbo za moderato
,Nikweli kabisa mwalimu wamefanya kazi nzuri sana
Kaka, tungo zako hasa Bwana alikuwa tegemeo langu na nirudieni mimi hunibariki sana
Wimbo huu niliusurbiri Kwa Muda sanaaaaaa. Asante Sana sanaaaaa
Asanteni sana kwa wimbo huu, na hongera kwenu nyote
Mungu awabariki sana kama ambavyo Wimbo huu utawabariki wote watakaousikiliza na kuyaishi maneno yake.
👏👏👏 mungu azidi kuwatia nguvu katika kazi yake🙏
Mbarikiwe sana,na siku moja mtuletee nyimbo ya "Shinda Nami Ee Yesu wangu" by G.Masokola
Hakika utume na uendelee, hongereni sana Sacred Choral Singers team for the preaching work you are doing, God bless you. Watching from Vatican.
I'm here again palm Sunday
Woooooow I really love this song u have made my day congrats wakuu
Wow wow sauti nzuri kweli kweli nawapenda sana Mwenyezi Mungu Awabariki milele
Kazi murwa kongole ndugu zangu👏👏👏 Utunzi wa Hali ya juu pia Mabula. Simple and sweet 👍👍
Que Dieu vous bénisse.Je vous heureux de vous revoir encore et d'entendre vos belles.Depuis Kinshasa
Kazi nzuri ya kumsifu na kumtukuza Mungu kupitia utume wa uimbaji. Mungu azidi kuwabariki
Wimbo mzuri hongera sana Despina na kundi lako
Napenda sana wimbo huu, na mmeuimba vizuri. Kazi nzuri Mungu awabariki.
Wimbo mtamu. Tafadhali imbeni wimbo wa Joseph Makoye wa Aleluya sote twimbe aleluya.
Hongereni sana Patiu kwa kuimba na kucheza vizuri👏👏👏
Mwenyezi Mungu awajalie Kila lililo jema ktk utume huu.
Niliwasubiri sana kwa huu wimbo finally woooow aaw.
Very good, mmeimba vizur saanaa but pia nimempenda mpiga kinanda yupo vizuri
First to comment 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥..Beatiful voices . Thanks for blessing us 🙏 🙏🙏🙏
Hello despina and team, thanks for giving us this song for the parm Sunday, god bless you all.
i can never get enough of your songs!!! they are such work of art!!!
Asante sana kwa kutuinjilisha kupitia uimbaji.
Mbarikiwe
Hongereni Sana naona marianus abatendea haki bass
Despina huchuji A girl of God you Deserve it
Ninawapenda sana. Mubarikiwe milele !
Great song.May God bless you.
Beautiful song.Barikiweni🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘😘😘😘😘
Amina sana.Da.Despina...ni kweli Mfalme apate kuingia
May the Almighty God continue blessings you despina and the group not forgetting the production team the good work of evangelization through singing...you are doing an amazing job ❤
Mpaka nikatokea goosebumps. Wimbo mzuri sana!! ❤
Amazing work🎉
Mbarkiwe sana waimbaj kwamajitoleo yen ya kuitangaza habar njema ya wokov
Again...on auto-repeat here this morning. Thanks!
Amen amen
Ninawapenda sana
Wimbo.mzuri sana,sauti za waimbaji nzuri ❤
Thanks for blessing us with another harmonious song. Keep up with the same spirit.
Ameni Mama kwa kutubariki na wimbo mzuri
Huyu Despina huyu! Salute kwake
i just love listening to these voices🥰hongereni sana
Ahsante sana desipina tunakupenda sana
Mbarikiwe sana🎉
❤❤❤ndo penyewe
Mungu awalinde milele
hongereniiiiiii
God bless you
Master Patiu kaucheza kwenye Ufunguo E Major badala ya F Major ulipotungiwa.🎉🎉❤😂
kwa kweli u makini sana hehe
Asanteni sana hakika nabarikiwa
Yaaan huu wimbo mzuri sana
This is beautiful
wow wonderful
despina ❤💗
Amazing
Amazing
mkuuuu hatari saaanaaa
Muziki Mtakatifu 🙏🙏🙏
Palms Sunday
Hongerenii sanaaaa vipenzii vya munguu
Dah huo wimbo,
lovely lovely lovely
🤩🤩
🕊🕊🙏🙏🙏
Wow♥️
Dumunikatika imani yakuinjilshanasitunafulaikusalikwakuimbapamojananyi
Safi
Asanteni sana kwa wimbo mzuri Mungu awabariki
🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Kazi imetii🔥🔥😂😂ruclips.net/video/Re7bFDGCSvE/видео.html
Amazing