Mwanzo Mwisho Moto wa Tundu Lissu Akihutubia Wananchi wa Ikungi Mkoani Singida

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 апр 2024
  • Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu akiongea na wananchi wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika mkutano wa hadhara wa chama hiko baada ya kufanyika maandamano ya amani.

Комментарии • 25

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Месяц назад +1

    Pole sana kamanda mungu atakulipa kwa wakati wake

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 Месяц назад +1

    Hongereni sana wana singinda kwa kuitiks❤

  • @eliudmahali3619
    @eliudmahali3619 Месяц назад +2

    Hongera sana

  • @nasramusaro
    @nasramusaro Месяц назад +2

    Njooni na Zanzibar

  • @ShukulanSilungwe
    @ShukulanSilungwe Месяц назад +1

    Wewe lisu pamoja sana❤❤

  • @user-su2si1ox5r
    @user-su2si1ox5r Месяц назад +1

    Singida very nice

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Месяц назад

    Pamoja Tundulisu na makamanda

  • @kapalatusbestsolution
    @kapalatusbestsolution День назад

    So proud

  • @MarwaNyamko
    @MarwaNyamko Месяц назад

    Wewe ndo unasifa kuongoza nhi hii unaweza unafaa kuongoza

  • @danielkanso
    @danielkanso Месяц назад +1

    Very nice

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 Месяц назад

    😂😂😂😂 soko la kimataifa

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 29 дней назад

    😊

  • @user-jx5ze9wz8e
    @user-jx5ze9wz8e Месяц назад

    Yaan wew lisu uko vizur san

  • @bonnymakuke3153
    @bonnymakuke3153 Месяц назад

    Aliekunyima wewe ndo aliempa yeye😂😂😂😂

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Месяц назад

    Pole sana.

  • @hulukasefu
    @hulukasefu Месяц назад

    hili jimbo la chalinze mbona.hanfiki kuna madudu mengi

  • @paritsaruni5019
    @paritsaruni5019 Месяц назад

    Nimepata shule kuhusu utungaji wa sheria japo siijui sheria

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c Месяц назад

    Yaaan ukipata watu kama lisu wawe hata mia moja hakika nchi hii itakua sawa ,ila wengne wa upande wa ccm wapo kimasilahi yao ,yaan wapo kiuchawa ili kupata ugali wao, ila mmbadilike maana unapowafanyia wenzio mabaya ,ujue hayo hayo hua yanamludia alieyafnya ,yaan hio ndio kanuni hata ya mungu

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 Месяц назад +1

    ✌️✌️✌️

  • @kurwanjonge4586
    @kurwanjonge4586 Месяц назад

    Hii ya tra ielezee vizr jamani tunakufa jaman

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 2 дня назад

    Lissumutuwangu miamia

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Месяц назад

    We are really going towards liberation.

  • @user-we5px7gp2r
    @user-we5px7gp2r Месяц назад

    Nina amini Mungu kabla hajakuchikua atakupa uongozi wa nchi hii Mimi na familia yangu nitakuombea usiku na mchana ipo siku tu.

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 Месяц назад

    Pamoja Sana makamanda wetu