MAMBO MANNE YA KUFANYA KUPONYA MAJERAHA YA MOYO - Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии •

  • @LatifahNungu
    @LatifahNungu 2 месяца назад +1

    Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana na mafundisho yako, Mungu azidi kukutunza na kukutumia ktk kazi yake❤❤❤

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 4 месяца назад +4

    Bwana YESU niponye moyo wangu kwa ni ninayopitia. Hakika tumaini langu ni wewe.

  • @DorcusSaul-wv9rd
    @DorcusSaul-wv9rd 3 месяца назад +1

    Amina Amina,,, Mungu wangu niponye jeraha la moyo wangu,,, nashukuru kwa mafunzo nkiwa 🇰🇪🇰🇪

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 3 месяца назад +3

    Asante kwa mafundisho mazuri ubarikiwe na Bwana.
    Ulizo ni utofauti gani kati ya Moyo na Roho

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 5 месяцев назад +3

    Bwana yesu njoo shuka mwenyewe njoo unitibu majeraha ya moyo wangu na uwasamehe madhambi yao wale walionikosea. Bwana yesu upo ambaye upo uonaye sirini. Ameen

  • @MelisaJamesy-je6fw
    @MelisaJamesy-je6fw Месяц назад

    Bwana yesu niponye we ndo msiri wangu Ameeeeeeewn🙏🙏🙏🙏🙏

  • @KaumbyaCyprian
    @KaumbyaCyprian 18 дней назад

    Asante kwa neno mtumishi naomba uwe baba yangu wa kiloo❤

  • @pytchenJmsBSK
    @pytchenJmsBSK 4 месяца назад

    bwana ndiye mponyaji wa moyo wangu asante bwana kwa wema ulionao juu yangu amen🙏🙏

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo 2 месяца назад

    Bwana Yesu niponye jeraha la moyo wangu nisaidie bwana

  • @EvaEzekiel
    @EvaEzekiel 4 месяца назад

    Ameen nimefunguliwa kabisa Mungu akufunulie zaid tuendelee kupona nakusonga mbele katika safar ya wokovu

  • @SabinaKimolo
    @SabinaKimolo 3 месяца назад +1

    Mungu wambingun akbariki sana mtmishi

  • @MARIAMMKIWA-s7p
    @MARIAMMKIWA-s7p 5 месяцев назад +1

    Asante sana mtumishi kwa mafundisho yako.maana hayo yote umesema,mm pia nilikuwa nimeumizwa moyo katikati ndoa yangu.na nimeskia mafundisho Yako kusema kweli nimesikia kufarinjika moyoni mwangu maana nilikuwa nimerudi nyuma nikawa Sina amani.sahii Nina imani mungu ataenda kunisaulisha hayo yote.asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri mungu akubariki sana.

  • @estherwanjalanyongesa
    @estherwanjalanyongesa 3 месяца назад

    Asante kwa mafundisho yako mtumishi wa mungu...... Maana haya yote umesema , Mimi pia nilikuwa nimeumuzwa Moyo katika ndoa yangu. Nilitaka kijiua lakini nashukuru mungu nilipona jeraha Kwa Sasa nko sawa !!

  • @JestinaNkusa
    @JestinaNkusa 4 месяца назад

    Mungu muumba mbingu na nchi akubariki saana sana, mtumishi, hakika nimeponywa kupitia somo hili, ❤

  • @janeturio7414
    @janeturio7414 3 месяца назад

    Asante sana Pastor nimepokea uponyaji wangu kamili kwa mafundisho haya yaliyojaa hekima na maarifa na Roho Mtakatifu akazidi kutufariji wote. Hallelujah Amen and Amen 👏👏

  • @patiencemwende4451
    @patiencemwende4451 2 месяца назад

    Wow that teaching 🙏

  • @RaymondLemanya-m3b
    @RaymondLemanya-m3b 2 месяца назад

    Mtumishi nimempokea Bwana yesu leo

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 5 месяцев назад +1

    Asante kwa neno mtumishi limenigusa mm nilikua na maumivu anayo nifanyia mumewangu lkn nimemsamehe ili na mm MUNGU wangu anisamehe

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 5 месяцев назад

      Na Mimi jee,,, dada Nelly weeee, mpaka nasikia kuchoka na hii ndoa kabisaa, ila Wacha Mungu wetu atuponye

  • @PriscaKihiyo
    @PriscaKihiyo 5 месяцев назад

    MUNGU akubariki sanaaaa Mtumishi wa MUNGU kwa somo nzuri sanaaa

  • @SaraphinaSadala
    @SaraphinaSadala 5 месяцев назад

    Yesu ulie nifia msalabani naomba unigange moyo wangu maan unavuja damu

  • @machozikasimu
    @machozikasimu 28 дней назад

    Mungu akubariki sana

  • @Sally1to
    @Sally1to 5 месяцев назад +1

    Amen 🙏 Thank You Lord

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 5 месяцев назад

    Eeh Mungu Wew uponyaye na kutibu waliovunjika moyo na kutibu majeraha hayo ukapite na kwangu ukaponye Moyo wangu na kuuganga Amen 🙏

  • @irenemwenda6374
    @irenemwenda6374 5 месяцев назад

    Amen

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 5 месяцев назад

    Ee Bwana Yesu mizigo yote niliyonayo ndani ya moyo wangu ninakuletea wewe

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg 5 месяцев назад

    Amen Amen Thank you lord for this servant of you he give us daily bread word of God

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 5 месяцев назад

    Ahsante YESU WANGU 😢😢

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s 5 месяцев назад

    Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @JenifferShikuku
    @JenifferShikuku 2 месяца назад

    Bwana nponye.majeraha. Yamoyo

  • @farijisibanilo
    @farijisibanilo 5 месяцев назад

    Nabarikiwa na mafundisho MUNGU azidi kukuinua mtumishi

  • @KaumbyaCyprian
    @KaumbyaCyprian 18 дней назад

    Bwana yesi niponye moyo wangu uliyo umizwa

  • @Nkezimanajoserina
    @Nkezimanajoserina 5 месяцев назад

    Eee Mungu nifaliji ndani yamoyo wangu

  • @Elizabeth-ds7yk
    @Elizabeth-ds7yk 5 месяцев назад

    Hill neno ni langu ooooh yesu niponye moyo wangu

  • @jemimalove-fl6ft
    @jemimalove-fl6ft 5 месяцев назад

    mungu uniponye moyo wangu 🙏

  • @IbrahimSamwel-r9k
    @IbrahimSamwel-r9k 5 месяцев назад

    Asantee Yesu🙏🙏

  • @BahathNditu-t2o
    @BahathNditu-t2o 5 месяцев назад

    God bless you pastor I am enjoyed.❤

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 5 месяцев назад

    Ameen ameen ameen 🤲🤲

  • @SalomeUmazi-i1u
    @SalomeUmazi-i1u 3 месяца назад

    Emeni

  • @janethmlacha6177
    @janethmlacha6177 5 месяцев назад

    Mwenyezi Mungu ww wajua

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 4 месяца назад

    Amene kubwa nabarikiwa saaaana

  • @estangande8164
    @estangande8164 5 месяцев назад

    Mungu akubariki mafundisho yako ni mazuri mno

  • @joycesule4700
    @joycesule4700 5 месяцев назад

    Amen Amen and Amen Thank you mtumishi kwa mafundisho yako imetenda mambo makuu katika maisha yangu

  • @josephinemihambo3154
    @josephinemihambo3154 5 месяцев назад

    Mtumishi Asante

  • @ChristineEketo
    @ChristineEketo 5 месяцев назад

    Amen 🙏 thank you 🙏

  • @NiceAkundael
    @NiceAkundael 5 месяцев назад

    Mungu ni mwenye rehema

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 5 месяцев назад

    Amen Mungu Akubariki mutumishi

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 5 месяцев назад

    Ni kweli ni Mungu tu atakae ganga mioyo yetu heri tumuishie Yesu

  • @AminaCharles-e5q
    @AminaCharles-e5q 5 месяцев назад

    Amen mtumishi wa Mungu.

  • @OnesimoJapheti
    @OnesimoJapheti 4 месяца назад

    Bwn naomb unisaidie sana sana kusahau yaliyotokea ktk maish yangu naomb nafs nyingine ten ktk maish yangu pekee yangu siwez naomb ukuu wak uwe sehemu ya maish yangu mm ni mwanadamu nisiwez nilalal niamk nikumbushe kusahau haya yote

  • @MatindeManga
    @MatindeManga 5 месяцев назад

    Nabarikiwa❤

  • @NiceAkundael
    @NiceAkundael 5 месяцев назад

    Asante Yesu

  • @oman5875
    @oman5875 5 месяцев назад

    Amen🙏🏿

  • @AdrotheaJoseph
    @AdrotheaJoseph 5 месяцев назад

    Asante mafundiko yako yanafundisha mtumishi

  • @henryrichard255
    @henryrichard255 5 месяцев назад

    Hallelujah Hallelujah Jesus is Great

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 5 месяцев назад

    Amen Amen

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 5 месяцев назад

    GLORY GLORY TO OUR MOST HIGH GOD

  • @Barakajrnkwabi
    @Barakajrnkwabi 5 месяцев назад

    Amen nimebarikiwa sana

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 5 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @gdgbdb3149
    @gdgbdb3149 5 месяцев назад

    Asante mungu 🙏

  • @leahjames1481
    @leahjames1481 4 месяца назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @Elinah-w8d
    @Elinah-w8d 5 месяцев назад

    Nikumbuke kwa maombi mwoyo wangu upone

  • @GraceMoraa-n1h
    @GraceMoraa-n1h 5 месяцев назад

    Bwana asifiwe mtumishi nikumbuke usiku wa Leo napitia machungu Moyo wangu

  • @salomeluhindi9717
    @salomeluhindi9717 5 месяцев назад

    Neno hili nimejua nikilosikiliza kila wakati hakika limwnivusha pakibwa sana

  • @BahatiJohn-zd9px
    @BahatiJohn-zd9px 5 месяцев назад

    Thank you

  • @AdrotheaJoseph
    @AdrotheaJoseph 5 месяцев назад

    Amiina

  • @OnesimoJapheti
    @OnesimoJapheti 4 месяца назад

    Mtumishi naomb ukion sms yangu usinisahau ktk maomb yako

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 3 месяца назад +1

    Asante kwa mafundisho mazuri ubarikiwe na Bwana.
    Ulizo ni utofauti gani kati ya Moyo na Roho

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 месяца назад

      Kibiblia, moyo haufananishwi na kiungo cha mwili tu, bali unaelezea sehemu ya ndani ya nafsi ya mwanadamu inayohusisha hisia, nia, na fikra.

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 месяца назад

      Roho ni nafsi isiyoonekana ya mwanadamu inayotoka kwa Mungu. Kibiblia, roho ya mwanadamu ni kipawa cha Mungu ambacho humruhusu kuwasiliana na Mungu. Ni sehemu ya asili ya kiroho inayomfanya mwanadamu kuweza kuhusiana na Mungu kwa njia ya ibada na maombi.

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 4 месяца назад

    Amen

  • @FurahaSimwanza
    @FurahaSimwanza 4 месяца назад

    Amen

  • @doricemtungi277
    @doricemtungi277 4 месяца назад

    Amina

  • @DamarisSheet
    @DamarisSheet 4 месяца назад

    Amen

  • @KaumbyaCyprian
    @KaumbyaCyprian 18 дней назад

    Amen