TSHS MILIONI (( 900,000,000 )) NYUMBA INA PATIKANA GOBA JUU ENEO SQMT 2200 UMILIKI HATI MILIKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 68

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 8 дней назад +2

    Dalali hakwea hakwea hunaga kazi mbovu🔥🔥

  • @tplatnumz
    @tplatnumz 4 дня назад

    Nakukubali Sana Huna Show Mbovu Kaka. 🔥🔥🔥🔥

    • @dalalihakweahakweya6662
      @dalalihakweahakweya6662  4 дня назад

      @@tplatnumz Asante sana na kuombea kwa Mungu siku moja akupe malundo ya pesa unitafute tufanye kazi nikupe mjengo wa ndoto yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @Moresa196
    @Moresa196 10 дней назад +3

    Nyumba ni nzuri ni kweli. Lakni hiyo bei muuzaji ana utani. Hiyo bei bora udodondoke Cape Town tuu. 😊

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 9 дней назад +4

    Mil 900 unaijua kweli au 😂😂😂😂

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 8 дней назад +1

    Watu wanaangalia nyumba tu, hawaangalii hilo geti, yaani ukuta wa kuzunguka nyumba hiyo. Ni pesa mingi sana kuweza kujenga huu ukingo wa nyumba. Nakubali iwe milioni 900 lkn hapo itabidi ipungue milioni 200!! Milioni 700, hapo sawa. ❤

  • @kafulirahillaryhabel6728
    @kafulirahillaryhabel6728 10 дней назад +9

    900m, nakujengea nyumba 4 kama hizo

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 10 дней назад +5

    Kupeleka mteja sh. 50 mpaka apatikane mteje ndugu utakakuwa na mamilion juu ya hapo mteja akinunua utasema wataka pasent 3% kwa bei ya kununua udalali gani huo

  • @RansMasangwa-w3g
    @RansMasangwa-w3g 5 дней назад

    Si ununue mwenyewe Kama ni nzuri

  • @mansooraziz7966
    @mansooraziz7966 6 дней назад

    We dalali fala kweli mil 900 kwa huo usenge. 😄😄

  • @Martin-lv1xw
    @Martin-lv1xw 9 дней назад +1

    Nendeni kenya mkajifunze finishing ya nyumba inakuaje. Hamna kitu hapa..labda kiwanja ndo chenye thamani..ukweli hili pagala hata 200m hakuna..eti 900???ameliwa

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 10 дней назад +1

    Tajiri mbona amekasirika sanaaa mwambie apunguze hasira milioni 900 nyingiii sana

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 9 дней назад +1

    Ahaa nimekuelewa dalali unamuuza mpaka masai

  • @MwazaniShabani
    @MwazaniShabani 8 дней назад

    Nna milion 5😊

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 10 дней назад +1

    Hatujaona jikoni

  • @Producervbaddset
    @Producervbaddset Час назад

    Kuna mchongo betpawa nausikilizia soon nakuon dalali

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 10 дней назад +3

    Eti swimming puru daah😅

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 8 дней назад

      badalaa aseme swimming pool yeye puru😂😂🙌

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 8 дней назад

    Milioni 900 alafu naifanyia finishing fensi😮😮

    • @dalalihakweahakweya6662
      @dalalihakweahakweya6662  7 дней назад

      @@drgeofreykupaza7707 HAPO NYUMBA BADO HAIJA ISHA KAMA ANAVYO TAKA MWENYEWE BADO KUNA UJENZI UNA ENDELEA HAPO FENSI SWIMINGI BADO HAIJA KUWA TAYAR BADO VITU VINGI ANA MALIZA MWENYE MALI VYOTE

  • @YUSUPHSAMWEL-c8r
    @YUSUPHSAMWEL-c8r 10 дней назад

    Mm nataka raman ya hiyo nyumba

  • @richardtom38
    @richardtom38 10 дней назад +1

    900 hizo unapata 4

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 8 дней назад +1

    Kwaiyo asilimia zako tano kwenye milioni miatisa ndo zikuwa milioni arobaini na tano
    Dalali umenenepa😂😂😂😂

  • @JumaGendeye-sv6yl
    @JumaGendeye-sv6yl 11 дней назад

    Mh amakweri watu wanaishi 💯

  • @syntaxsaintezzer5547
    @syntaxsaintezzer5547 10 дней назад +1

    Mmmh eti million 900 tuone kama kuna mtu atachukua alafu fensi upande mmoja wa ukuta haujapigwa plasta haujamaliziw still milion 900 yeni dola laki 350 mtu kwa apo alipe kirahc tu!! 😅

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 9 дней назад

    kaliakoo una pata nyumba ya biashara kulala milioni miatisa unalala chamba kimoja

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 9 дней назад

    na mwenge

  • @kiwalytv
    @kiwalytv 8 дней назад

    Kinacho sababisha iyo nyumba kuuzwa million 900 ni kiwanja kiwanja nikikubwa sana kingine mtaa nyumba ilipo

  • @Massy-g9c
    @Massy-g9c 10 дней назад +1

    900m umechanganyikiwa dalali

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 11 дней назад +2

    Hio garden yote ya nini maji yenyewe shida

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 10 дней назад

    Duu kunaasilimia 5 yako ndugu basi ndugu na fikiri utaisubiri hio pasent mpaka utaisahau njia ya nyumba

  • @section8ight174
    @section8ight174 10 дней назад +1

    900M??? Wtf? 😅 you can get a mansion in Texas for that sorta money with everything this house has plus great tarmac road and top notch landscaping, stop the cap!!

    • @MaryamSaid-id6yh
      @MaryamSaid-id6yh 8 дней назад

      I said the same the thing. I don’t see a thing that worth 350,000.00 USD in this house.

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 10 дней назад

    Kaka nitakuja nakutumia 50,000 mpesa nije nifanye window shopping lakini sinunui jengo

  • @malisaemmanuel1373
    @malisaemmanuel1373 8 дней назад

    Acha dharau wewe 900 ml we umesikia wapi

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 10 дней назад

    Tabu dalali na muuzaji na hisi hawajui uzito wa millioni 900 si wangelimalizia wakasema billioni mmoja

  • @vero57
    @vero57 10 дней назад

    Million 500 nachukua

  • @SamweliJacob-bm2ij
    @SamweliJacob-bm2ij 10 дней назад

    Hiyo 900 milioni ni nyingi hiyo nyumba haina samani ya bei hiyo

  • @AthumaniJongo-j5d
    @AthumaniJongo-j5d 11 дней назад

    2po pamoja nikizinyaka lazima nikutafute

  • @IssahNaironi
    @IssahNaironi 9 дней назад

    Ko kwa asilimia 5 ya Milioni 900 dalali anakula Milioni 45.😢😢😢

  • @kimsmcharo7540
    @kimsmcharo7540 10 дней назад

    Yaani million 45 dalali tu

  • @johnjplusfood2135
    @johnjplusfood2135 11 дней назад

    90au 900

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 8 дней назад

    Ww mzee mpumbavu tafuta kazi ufanye wakati huu saivi umuzie mtu nyumba mil900 ivi unaakili ww mtu chumba kimoja kinamshinda kujenga acheni tamaa zakisenge huwezi kuwa tajir kwakaz hiyo tafuta kazi ufanye unasifia mali zawatu utakufa hauna k2

    • @dalalihakweahakweya6662
      @dalalihakweahakweya6662  7 дней назад

      @@kassimhussain5034 YANI WEWE MSENGE UNGE YAJUWA MAISHA YANGU NINAYO ISHI NA MATUMIZI YANGU YA KIFEZA KWA KILA SIKU AU UNGEJUWA VITU NINAVYO MILIKI KWA KUPITIA HIKAZI YANGU YA UDALALI MWABWA WEWE SIZANI KAMA UNGESUBUTU KUONGE UFALA YAN HATA MAISHA YA WAFANYA KAZI WANGU AMBAO WAPO OFSINI KWANGU KWA JIR YA KUPOKEA WATEJA SIZANI KAMA UNA YAFIKIA YAN HATA GAR ZANGU NINAZO FANYIA KAZI SIZANI KAMA UNANDOTO YA KUJA KUMILIKI MBWA KOKO WEWE

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 9 дней назад

    tatafuta sinza kinondoni magomeni

  • @Omaryngitu
    @Omaryngitu 10 дней назад +1

    Kuna watu wanauza vitu kwa tamaa bila kuangalia thamani ya pesa,nyumba hiyo ilifaa labda shilingi milioni 500,hiyo milioni 900 utawauzia wajinga.

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 8 дней назад

    Narudia tafuta kazi ufanye ww dalali mpumbavu

    • @dalalihakweahakweya6662
      @dalalihakweahakweya6662  7 дней назад

      @@kassimhussain5034 🙏🏻🙏🏻

    • @dalalihakweahakweya6662
      @dalalihakweahakweya6662  7 дней назад

      @@kassimhussain5034 YAN WEWE MBWA MSENGE MSENGE HUWEZI FIKIA MAISHA YANGU HATA KIDOGO KUANZIA KIMUONEKANO MPAKA NINAVYO VIMILIKI MPAKA WANA WAKE WAZUR NINAO MILIKI HATA GAR ZANGU NINAZO MILIKI MPAKA PAKULALA SEHEM NINAYO LALA MM WEWE MBWA HUWEZI FIKIA HATA SIKU MOJA SHULE WANAZO SOMA WANANGU SIZANI KAMA MBWA BABA AMESOMA HIZO SHULE PUNGUAZA MAKASIRIKO TAFUTA PESA MBWA MMOJA WEWE

  • @izack9191
    @izack9191 11 дней назад

    Mbona bei ni kubwa kuliko nyumba Jamani

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 10 дней назад

    900 m no ghorofa bwana

  • @bagaileshabani3179
    @bagaileshabani3179 10 дней назад

    M 900 unaijuwa wewe !?? Au unaisikia pumbavu wewe

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 10 дней назад

    Fungu la kukosa wanyamaze kimya. Nani kati yenu anayo hata 1,000,000/-kwa haraka

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 10 дней назад

    Tabu dalali na muuzaji na hisi hawajui uzito wa millioni 900 si wangelimalizia wakasema billioni mmoja