Shaulin Seneta Tusioane (official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 апр 2024

Комментарии • 74

  • @user-dm5es8kt1c
    @user-dm5es8kt1c Месяц назад

    Nakukubali sana seneta nimefanya na remix ya ngoma yako ya majani naipenda sana na nataman one day tufanye kazi by mkayo theboss

  • @mchaletek2324
    @mchaletek2324 Месяц назад +1

    shikamoo shaulin na wise G

  • @gotintito4455
    @gotintito4455 Месяц назад +1

    Shaulini Mwanazuonj 🔥

  • @WakujaTech
    @WakujaTech Месяц назад +1

    Mwanazuoni

  • @Gmafic
    @Gmafic Месяц назад +2

    TUSIOANE (NAOMBA TUSIOANE).
    👉Ili uwe mmoja wa mtu mwenye uelewa wa elimu ya mazingira (elimu dunia) wanazuoni wanakutaka uwe na uwezo wa kupokea ukweli mchungu (madhaifu) na mawazo mapya hata kama wewe ni sehemu ya huo ukweli unaoambiwa. Kwa namna nyingine ni sawa na kusema, ukubali kukosolewa kwenye mlengo ambao wewe umeusimamia iwe kiimani, kabila na vitu vingine. Uwezo wa kuziona kasoro kwenye mlengo ambao wewe unasimamia basi tunaweza kusema wewe ni mwelevu kwa maana hautangulizi hisia kwenye kuliendea jambo kwani ukitanguliza hisia huwezi kuyaona madhaifu ya unachokiamini.
    👉 Mwanaume kiasili aliumbwa ili kuja kusambaza mbegu (kuwa na wanawake tofauti tofauti kimahusiano), hii ni kabla ya ujio wa imani za kidini. Mfumo wa kumtengenezea mazingira mwanaune aache kusambaza mbegu na kuwa na nyumba inayotambulika (ndoa) ulikuja baada ya kile kilichoitwa kustaraabika kwa mtu au kama waitavyo wengine binadamu (Civilization of a man kind).
    👉Ujio wa ndoa bado umekuwa na changamoto nyingi kwani inamtaka mtu afanye maigizo na mwenza wake ili waweze kuendana matakwa yao (to match interests), kama huwezi kuigiza ili usimkwaze mwenzako kamwe huwezi himili ndoa na ndio maana baada ya kushindwa kufanya kile mwenza wako anachokitaka mwishowe mtaishia kuachana na mwanaume atarudi kwenye asili yake ya kusambaza mbegu.
    👉Unaweza kukuta una msichana unapendana nae sana ila kwa vile hamuishi pamoja (kama ndoa) kuna vitu vingi sana anakuwa havijui kuhusu wewe na wewe pia kuna vitu vingi unakuwa huvijui kuhusu yeye kwa kifupi munafichana ili kuepushiana maumivu yote kwasababu mnapendana. Ila inavyotokea tu mmeoana, baada ya muda kila mmoja huonesha makucha yake na kuishia kuachana. Na ndipo linapokuja swala la maigizo, je unavumiliaje maumivu au maudhi unayofanyiwa na mwenza wako?. So muda mwingine inabidi uzuge hujaumia tu kwenye swala lililokuumiza ili uilinde ndoa yako (sanaa ya maigizo).
    👉Sasa huyu jamaa anaitwa Mwanazuoni SHAULIN SENETOR kutoka KINASAWAZI MBEYA, anajaribu kumuambia mpenzi wake anaempenda kwa dhati kuwa wasioane kwani angependa kuona wakiendelea kuishi kwa kipindi cha maisha yao yote. Anafanya hivi kwasababu anaogopa wakioana kila mmoja atajikuta akizijua siri ambazo zilikuwa zimejificha na mwisho wakaishia kuachana kitu ambacho hakitaki kamwe kukishuhudia. Yuko tayari kutoa huduma zake zote kwa mpenzi wake kama anazotakiwa kupata mke wa ndoa ila kwa sharti moja tu WASIOANE kwasababu wakioana watajikuta wanajuana kiundani na vitu kama kibuli, wivu vitawafanya wagombane na mwisho waachane wakati walishakuwa kwenye mahusiano bila ndoa kwa miaka mingi.
    👉Huu wimbo unaitwa, "TUSIOANE" kutoka kwa Mwanazuoni Shaulin Seneta Msomi.Na hii ni sanaa ya handaki na ndio mhimili wa muziki wa HIP HOP kwa kiwanda chetu hapa TANZANIA. Kuna mengi ya kujifunza huku handakini ila ni kama ubongo wako uko tayari kupokea mawazo mapya au yenye mlengo ambao hukuuamini.
    FOR THE LOVE OF UNDERGROUND HIP HOP

  • @IDPressLimited
    @IDPressLimited 19 дней назад +2

    producer aliyepiga hili beat lina hisia sana...maua yake tafadhali

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta 2 месяца назад +3

    Eti dada baby😂😂😂😂

  • @Vers456
    @Vers456 Месяц назад +6

    Dizasta family

  • @robertgagabhi8188
    @robertgagabhi8188 Месяц назад +2

    Makini Sana Shaulin Seneta
    Malogic yakuzidi mzee 🎉🎉🎉

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 Месяц назад +1

    MwanaZuoni

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper Месяц назад +2

    Shaolin Seneta hujawahi kufeli mwamba MADINI ya KUTOSHA Heshima sana kwako ✊🏿

  • @FadaBronx
    @FadaBronx Месяц назад

    Kwishaa ✊🇹🇿🏹

  • @peterLoshilo
    @peterLoshilo Месяц назад +2

    Bonge la mbupu

  • @amphotericktanzania8811
    @amphotericktanzania8811 2 месяца назад +4

    Nishamjenge Nyumba kubwa ya Kifahari akae mwenyewe

    • @BellNotification
      @BellNotification Месяц назад

      ruclips.net/video/66Qq6RjxAjI/видео.htmlsi=R31i56idKbO29Oe1❤❤

  • @uchebechata9823
    @uchebechata9823 Месяц назад +2

    Shaulini ninjaaaaaaaaa we ni mbaya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME 2 месяца назад +3

    Ngoma safi sana familia, content ❤

  • @kiondosaimon6149
    @kiondosaimon6149 Месяц назад +1

    Shaulin senetaaa... one love brother 💯💯

  • @johnmichael-zg6sd
    @johnmichael-zg6sd 2 месяца назад +3

    Sema idea inaukweli umetisha

  • @ukokolaareaplus3288
    @ukokolaareaplus3288 Месяц назад +2

    Super

  • @munixpicentertainment
    @munixpicentertainment Месяц назад +1

    WE JAMAAA N9MA

  • @dmanconscious573
    @dmanconscious573 20 дней назад +1

    Familia ✊🏿

  • @AlphaAbdallah-uv4rs
    @AlphaAbdallah-uv4rs 25 дней назад +1

    Shaulin

  • @bakarisarai2285
    @bakarisarai2285 Месяц назад +1

    Sentori ndio jina la mchezo🔥🔥💯

  • @FrancisGeorge-ez8ov
    @FrancisGeorge-ez8ov 2 месяца назад +2

    Zaidi ya SOMO 👊

  • @ItsFrankKAPANDE
    @ItsFrankKAPANDE Месяц назад

    Oya haya mangoma, yanafaaa kuuzwa kabisa ila machoko wanawapa air time machoko kwa kigezo cha ubunifu

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Месяц назад +1

    TUSIOANE CAUSE "Furaha ya uchumbani ni Tofauti na Furahaya Ndoani...✍️🔥🔥🔥 #Shaulin_Seneta 🙌🏻🙌🙌🙌

  • @stephanojofrey6757
    @stephanojofrey6757 Месяц назад +1

    Umetisha Mzee

  • @teilencedevard9431
    @teilencedevard9431 2 месяца назад +3

    Kuna madini meng sana humu kwa sisi ambao tunawza kuowa 😂😂

  • @user-gs9mt1vp7i
    @user-gs9mt1vp7i Месяц назад +2

    ohoooo!!kaliii

  • @japhetimvyombo3684
    @japhetimvyombo3684 Месяц назад +2

    Brother ngomaa kalii sanaa ni 🔥 🔥

  • @Ramjane_OG
    @Ramjane_OG 2 месяца назад +2

    repesent Kinasa wazi🔥✊

  • @emmanuelmwaipopo3039
    @emmanuelmwaipopo3039 Месяц назад +2

    Seneta🙌🙌

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 2 месяца назад +2

    Duuu! Inahitaji muda kutabakari,,,, ki2 mzee

  • @nicksonchisunga3062
    @nicksonchisunga3062 Месяц назад +2

    Mwanazuoni 🚀🚀🔥

  • @kzeflow
    @kzeflow 2 месяца назад +3

    Oii Seneta hii ni 🔥🔥🔥

  • @user-vy7zy8pb5c
    @user-vy7zy8pb5c 2 месяца назад +2

    Kali Sana mzazi

  • @wamtei
    @wamtei Месяц назад +2

    Seneta 🔥🔥🔥

  • @lucasbonface-lv5ek
    @lucasbonface-lv5ek Месяц назад +1

    Wenona tena wend noma yenyew kwenye stories ♥

  • @briandelight6776
    @briandelight6776 2 месяца назад +2

    Mamae🔥🔥🔥

  • @Pai-3.14
    @Pai-3.14 Месяц назад +2

    Senetor.... Sahihi sana..

  • @bakarisalim9372
    @bakarisalim9372 Месяц назад +3

    Naam! Concious

  • @dankirunda3368
    @dankirunda3368 Месяц назад +1

    Hahaha bonge La IDEA

  • @micshariki.africa
    @micshariki.africa Месяц назад +1

    Akili Nyingi. #MicsharikiAfrica

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 Месяц назад +1

    Goma Kali mno

  • @SelemanSwalehe
    @SelemanSwalehe 2 месяца назад +2

    Nakibal mzee

  • @edwinwilfred8343
    @edwinwilfred8343 Месяц назад +2

    Nice bro

  • @johntengete7341
    @johntengete7341 Месяц назад +2

    From Mombasa..Madini Matupu Seneta

  • @mickjizze
    @mickjizze Месяц назад +2

    Uandishi mzr

  • @richardbarnaba3976
    @richardbarnaba3976 Месяц назад +2

    Msomi

  • @HaKuNaMaTaTa101eNT
    @HaKuNaMaTaTa101eNT Месяц назад +2

    ✍️🏿💥💥💣

  • @kilimapozimuvinajr.
    @kilimapozimuvinajr. Месяц назад +2

    Back, today and tomorrow.

  • @kennethmasha5507
    @kennethmasha5507 Месяц назад +2

    mwanazuoni oooooooii oi

  • @deusnyengo9324
    @deusnyengo9324 Месяц назад

    Conscious

  • @AkAserikali
    @AkAserikali Месяц назад +2

    Macontent deilee,sema tuma na audio sasa

  • @hajikidege
    @hajikidege Месяц назад +2

    Kila likinijia wazo la kuoa,ntajitahid nwe naskiliza hii ngoma..😂

  • @abelnegongullo3175
    @abelnegongullo3175 2 месяца назад +3

    Tusioane

  • @deciphertz
    @deciphertz Месяц назад

    💥💥💥🇹🇿

  • @fredrickkakila9392
    @fredrickkakila9392 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @musambaruku6661
    @musambaruku6661 Месяц назад +2

    #Mwanazuoni

  • @NestymwampambaMwampamba
    @NestymwampambaMwampamba 2 месяца назад +1

    🔥🔥💪💪

  • @GwamakaMwandeko-qk7hy
    @GwamakaMwandeko-qk7hy 2 месяца назад +2

    Content kk 🫡

  • @clausmangula8077
    @clausmangula8077 2 месяца назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @daudmaikomwakapoma213
    @daudmaikomwakapoma213 21 день назад +1

    Tunaomba audio ambayo haina hayo maigizo ya mwanzo yaani yaani tukiplay ianze ngoma sio hayo maigizo

    • @shaulinsenetamwanazuoni
      @shaulinsenetamwanazuoni  21 день назад +2

      audiomack.com/shaulin-seneta/song/shaulin-tusioane?share-user-id=81621294

  • @iddymwambene8733
    @iddymwambene8733 2 месяца назад +3

    Seneta