Video: Wema Sepetu Akiwa Ndani ya Mahakama ya Kisutu Sakata la Madawa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 фев 2017
  • Wema Sepetu, msanii wa filamu za kibongo aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2016, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kujibu tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi, nyumbani kwake.
    Akiwa mahakamani hapo, Wema alionekana kuwa kivutio cha wengi, watu kadhaa wakitaka kupata nafasi japo ya kumuona kwa karibu.
    Wema alikuwa miongoni mwa mastaa wakubwa Bongo, waliotajwa katika orodha ya awali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakituhumiwa kuhusika na biashara au matumizi ya madawa ya kulevya ambapo wote waliotajwa, walitakiwa kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi (Sentro).
    Baada ya kuripoti sentro, Wema na wasanii wenzake walioitikia wito huo, waliwekwa mbaroni kwa siku kadhaa ambapo baadaye, wasanii wenzake waliachiwa lakini Wema aliendelea kushikiliwa.
    Baadaye alipelekwa kwa mkemia mkuu kupimwa kama anatumia madawa au la kabla ya kupandishwa kizimbani, akituhumiwa kukutwa na bangi nyumbani kwake.
    Baadaye, alichiwa kwa dhamana kwenye Mahakama ya Kisutu ambapo alitakiwa tena kuripoti Februari 22, 2017 ambapo kesi yake imetajwa tena.
    Katika video hii, Msanii wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu anaonekana akiwa ndani ya Chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu ambapo kesi yake imesikilizwa tena na baadaye anaonekana akiondoka. Kwa habari zaidi, endelea kuitazama Global TV Online.
    WEMA SEPETU| MAHAKAMA YA KISUTU|KESI YA MADAWA YA KULEVYA.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 85

  • @moyosafioriginol5549
    @moyosafioriginol5549 7 лет назад +4

    Mungu ameshakuja juu ya nchi anatenda kazi yake

  • @Hedva255
    @Hedva255 7 лет назад

    namuona elibarikiiii huhuuuu handsome boy la kichagaaa

  • @fatma2496
    @fatma2496 7 лет назад +4

    Wengi mna comment Kama kaonewa, hajaonewa acha apate funzo hio ndio itakuwa turning point, kumzuia asifike pabaya, Mungu amefanya hivo labda ili kumuokoa asifikie ukijugu

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 лет назад +1

    She is so pretty

  • @ONEOPENEYE
    @ONEOPENEYE 7 лет назад

    God is good Wema, this could have turned out bad Wema. Remember you are in Africa and the law there is not always just, I love you girl .

  • @binurarassi8156
    @binurarassi8156 6 лет назад

    Kweli mama ni mama, jamani mama anahangaika kweli na mwanae, hongera. mama Mungu akulinde.

  • @saidkhalfan1607
    @saidkhalfan1607 7 лет назад +9

    mashaallah sura unayo umbo unalo dada jicho likitizama kama vile linaita mashaallah mrembo

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 лет назад

      Said Khalfan yy ndio yy atabaki kuwa yy Hana copy

    • @saidkhalfan1607
      @saidkhalfan1607 7 лет назад

      Zeinab Omar na kweli uzuri wake utabaki vile vile

    • @ummyissa4622
      @ummyissa4622 7 лет назад +1

      Said Khalfan real she's verry beautfull 😍😍😍

    • @sabrinarashid7990
      @sabrinarashid7990 7 лет назад +1

      mashalah wema

  • @rahmasaid7747
    @rahmasaid7747 7 лет назад +1

    manshallah penda ww wema l

  • @gracekalinga5408
    @gracekalinga5408 7 лет назад

    😊😊😊msisitizo Wa Tundu lissu

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 7 лет назад +4

    Lkn tabia je!!!

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 лет назад

    chadema wamejua kutumia nafasi aiseee 2020 mtaskia wema anapga kampen za chadema

  • @nawras6517
    @nawras6517 7 лет назад +2

    WA KAWAIDA SANA MBONA! TATIZO WA TZ NI WASWAGA USHAMBA

    • @leahmathius7634
      @leahmathius7634 6 лет назад

      kabxa mwenyew sioni uajabu wakuitwa et mzurii😎

  • @neemajilo4012
    @neemajilo4012 7 лет назад

    In sha Allah kheri my love

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 7 лет назад +1

    wemaumependeza sana jalibukuvaahivotu umenifulahisha kunamavazimengineyaajabu

  • @amransalim1700
    @amransalim1700 7 лет назад +1

    mungu atakupigania wema

  • @sarahgakii5903
    @sarahgakii5903 7 лет назад

    nyc

  • @angelbwija5664
    @angelbwija5664 7 лет назад +3

    wema fanya huolewe sasa mwaka inaenda mum

  • @berylfaith4001
    @berylfaith4001 7 лет назад +1

    wema mrembo kweli

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 лет назад

    wema w ni mzuri alafu una tetemesha mahakama yani wachukua habari mavi suruwaleni

  • @sweeneygoldenladywanje8678
    @sweeneygoldenladywanje8678 7 лет назад +1

    mungu yuko na wewe dada usijali

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 7 лет назад +1

      MUNGU atupi mja wake mithiani tu lenye na mwanzo halikosi mwisho InshallAh yataisha..

    • @saidkhalfan1607
      @saidkhalfan1607 7 лет назад +2

      Mariam K kweli dadangu hakuna mwanzo usio na mwisho binadamu hupitia mitihani ktk maisha pole dada mungu akutangulie

  • @ebenezermsuya3504
    @ebenezermsuya3504 7 лет назад

    sister wema kwann atumie vilez

  • @elisariaemmanuel3737
    @elisariaemmanuel3737 7 лет назад +1

    uinuliwe

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 лет назад

    its normal jamani... alihama lowasa...dkta slaa..Bulaya na wengine sembuse wema mbona kawaida sana ...

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 лет назад +1

    Wema nimrembo

  • @malaboy4280
    @malaboy4280 7 лет назад

    wema umezidi mama unatumia had madawa ya kupevya!! punguza bac

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 лет назад

    he jamani lisu katokea wapi tenaa ila kawa mpole Tundulisu kidog aanze grm 1 tu.gram 1 siyo kilo ropoka km hujarudi keko.

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 лет назад +1

    cha muhimu tu mahakama itende haki

  • @salmasaid7254
    @salmasaid7254 7 лет назад +1

    yani hana wasi wasi na kesi kapendeza mashalwah musirudie tena na iyo kitu

  • @siamwacha5628
    @siamwacha5628 7 лет назад

    hajra nifahamishe shoooo

  • @shufaaa.4766
    @shufaaa.4766 7 лет назад +1

    wapenzi wake wako wapi anakula nao denda wamesepaaa

  • @afrankayamba5193
    @afrankayamba5193 7 лет назад

    kawa mpole chezea mjengoni

  • @maikomgwao4906
    @maikomgwao4906 5 лет назад

    Eeeh huishi matatizo mama hamorapa

  • @hannylamptey3480
    @hannylamptey3480 7 лет назад

    can someone tell me what's going on with wema because i don't understand the language

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 лет назад

    Mimi nasema kama anahusika sheria imusurubu tu hamna namna lakn kama hausiki aachiwe

  • @estherkhotencia2232
    @estherkhotencia2232 7 лет назад +4

    wote mnaocoment humu kumsifia na kumwonea huruma ni wanafkiiii wakubwa nyie...

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 лет назад +1

    Hata kama wamemkuta nabangi pia sio frexh wala sio sifa mzur kwamtoto wakike

  • @flomrembowakenya5524
    @flomrembowakenya5524 7 лет назад

    imekuwa ni Kenya wangekuwa washashikwa

    • @kingsdaughter2040
      @kingsdaughter2040 7 лет назад

      Kenya u celebrity ni mtu mwenyewe mahakama ya huku haijui hivyo no one is above the law in Kenya.

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 7 лет назад

    kadinda duuuuh hingera sana kwa kuwa karbu nawema

  • @gvextreme113
    @gvextreme113 7 лет назад

    Haha tu ni mapito usijali wataaibika wenyewe na Huyu mwenye kupeana maina wataonaa ukibarikiwa soo madawa pekee yanatajirisha

  • @thepatriot-hbk5255
    @thepatriot-hbk5255 7 лет назад

    poa vuta unga sasa panda daraja

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 7 лет назад

    Ahahaa!! tundu lissu nakukubali.. eti gram moja ya bangi!

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 лет назад

    Coment za unafiki😂😂😂😂

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 7 лет назад +1

    ungekubali kama tid yangekua yamrlekisha ona Sasa unateseka kila Leo ,,pole yataisha

    • @mariammbughi2702
      @mariammbughi2702 7 лет назад

      Khadija Wendo Mwachirenje utakubali vipi kitu sio kweli

    • @mariammbughi2702
      @mariammbughi2702 7 лет назад

      Khadija Wendo Mwachirenje yeye hapo ana kesi ya bhangi na tid ni mtumiaji wa unga ni vitu tofauti

    • @khadijawendomwachirenje3513
      @khadijawendomwachirenje3513 7 лет назад +1

      Mariam Mbughi hakuna kitu sio sawa maana huyo alitajwa na petit na nilazima alitumia petit alitaja wema na Rommy angekubali tu angekua huru coz hawakua wakikubali watafungwa no!! then Bangi ilipatikana baada ya uchunguzi kwake nyumbani na ujue hiyo pia nitaarifa waliipata ndio wakaenda kuchunguza

    • @mariammbughi2702
      @mariammbughi2702 7 лет назад

      Khadija Wendo Mwachirenje shoga angu nani alikwambia pet kamtaja wema ujue bangi na unga ni tofauti wote waliachiwa walikiri kutumia unga so huwez kukubali kama sio kweli ndio maana walipelekwa kwa mkemia kupimwa so hapo kesi ni hiyo bhangi iliyokutwa kwake

    • @miraabdullah57
      @miraabdullah57 7 лет назад

      Mariam Mbughi nikweli kesi niyabangi tuu lkn mkemia ameishatoa majibu yatakutumia dawa za kulevya ,hatumii dawa sasa nibangi hiyo ndo tunasubiri jamani

  • @siamwacha5628
    @siamwacha5628 7 лет назад

    lissu katokea wapi tena??kweli wema ni wema hatotokea kama yeye

    • @hajramtepa2000
      @hajramtepa2000 7 лет назад +1

      Sia Mwacha hahaha ww ka mm nimepigwa na butwaa

  • @amransalim1700
    @amransalim1700 7 лет назад +1

    jamani nyie mlimuona anavuta au mnapenda maneno ya kijinga isubirini mahakama itoe hukumu

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 лет назад

    gm 1c kilo haaahaa kama n gm 1nikujaribisha mwachan bana aiiii

    • @aminamussakipingu7722
      @aminamussakipingu7722 7 лет назад

      Wema soma sana dua yatakwishatu

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 лет назад

      amina mussa kipingu dua bila swalaa tano dini nyepes my shida mingi n ss wnyewe tunazitafta afwan yataisha

    • @tinalekashu1342
      @tinalekashu1342 7 лет назад +1

      hahaaa ww nakuonaa

  • @amransalim1700
    @amransalim1700 7 лет назад +2

    mungu atakupigania wema

    • @ummyissa4622
      @ummyissa4622 7 лет назад +1

      Amran Salim in shAAAllah 🙏

  • @charlesmagere9020
    @charlesmagere9020 7 лет назад

    cha muhimu tu mahakama itende haki

  • @gvextreme113
    @gvextreme113 7 лет назад

    Haha tu ni mapito usijali wataaibika wenyewe na Huyu mwenye kupeana majina wataonaa ukibarikiwa soo madawa pekee yanatajirisha