Salim Ally - Nitabaki Nawe (Official Nasheed Video)
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- Official Video for Nitabaki Nawe by Salim Ally
Audio Production: Amran Records
Video Production: Sameer
Special Thanks:
Location:
Red Tag
Pink Sugar London
Zuwena Said Mbarak
Clothes and Support:
Red Tag
Appearances:
Sharifa
Suhayfat
Salhia
Video Concept:
Prince Eddy Cool
Nasheed by: Salim Ally
Vocals: Salim Ally
Recorded: Golden Studios
Video: Director Sally 109
℗ noorzania
Copyright © 2021 Salim Ally/Noorzania Records
#salimally #nitabakinawe #lovenasheed #nasheed #zanzibar #zanzibarqaswida
Nasheed yangu ni yako sasa.
Kama umeipenda tafadhali watumie na wengine, weka comment nitaisoma inshallah na usisahau kusubscribe.
😊😊😊😊
Kazi nzuri lakini jitihada kwenye stara ya wanawake kidogo inapungua maono yangu tu hayo
Hio sio stara Ya mwanamke... sina shaka na mashairi kumuimbia umpendae, UNAWEZAJIKUTA UNASAJIHISHA ZINAAA
maa shaa Allah
Salim nashed zko Ni nzr mashaa Allah Ila unavuka mipaka tna stara ipo nyuma sana asa uyo mwanamke ndo nn kujishebedua uko hashuo tu Ni dhambi hzo jirekebishe kaka
Dahhhhhhhhh ❤️❤️hiiii nikali Sana oyaa dogo unajuwa Yani hii sema Nini uyo video Qen naona km mshamba kidogo hayuko ciriyas Ila Salim Aly hiii umetisha Dogo
Upo vizur ila jitahid Kwa star ya mwanamke
Mashallah ila mara ya pili mwanamke asijipambe avae mabaibui na mashungi itazidi kuvuta
Apo kwenye stara ya mwanamke pana tatzo haifai kudhihirisha mapambo yke wala mwili wke isipokuwa viganja vya mkono na uso tu...Allaah atuongoe sote na atupeleke kwenye njia ya haq
Au pia itabidi utafute mshauri mzuri hasa wa video unazoweka na hata mashairi ili usikhalifu sheria ya Uislamu
Hongera sana kka Kwa mashair Na Masha Allah Kwa sauti nzri Ila heshima ya mwanamke Na stara yake ipo wap
Kwa murshidi Allah (s.w) awaepushe kuwa waimbaji naona munachupa mipaka.
Kaz nzur Masha Allah Ila naomba usieke video waliikuwa hawajajistir
Mwambaaa umenifurahisha😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nitabak na weeeeee🤭
Pambee na mambo yako ruksainat ❤❤❤❤
WASIKKUKATISHEE TAMAAA WALA USIWAJIBU KAMA WAWO WANAWEZA KUFANYA WANAYOSEMA BASI WAANZE KUFANYA WAWO KWANZA MBONA KWENYE KASWIDA HAMSEMI WALA KUSHAULI NAWAKAT KULE MAADILI YA KASWIDA YAMEHARIBIKA NAMNAFURAHI ACHENI ROHO ZA MAKASIRIKO KUJIFANYA MNAIJUA DINI SANA AU
Mavazi hayaendani na anansheed, s kwa mwanmme wala mwanmke, shubha imezidi
Naaaaaam
Mashaallah Mashaallah kaz nzr❤
Salim nasheed zetu zinaheshimu Sana wanawake Kwann tunawaona Kama ivoo hlf full mapambo kumbuka wasia wa muunsheedun kutoka kwa yussuf abddi
Naaaaam swadakta
Nasheed nzury mashaa Allah na mmependezeyana km mke na mume kweli mashaa Allah ila jitahidini kwenye stara ya kike bd mnafeli
MashaAllah munshid hii ni zaid ya bulbul😍😍
Masha Allah Salim ally
Nimependa mandhar😍
Yaani mnaigiza video queen kama mondi mnajinyumburua mnarembua mimacho eti hii nasheed nyie mnajua nn maana ya nasheed
Kazi nzuri mashaallah brother salim
Nice ❤
Maa shaa Allah salim Ally kazi nzuri sana👌👌❤🌹 Allah Akuzindishie kipaji kikuwe nzaindi kazi nzuri ni Tabaki na wew😍😘👌
Kweli kabisa
❤
Wanawak jmn wasipambwe n wavae kistara zaid ila kaz n nzur
Masha jitahidi haowadada wavae vazilakisheria itambendeza san
👌
Mashallah kijana uko vizuri 👍😍 kilasiku mwanangu nasra Anasema baba kuna munsheed nampenda sana hata kukiwa na shuhuli Anataka ziwekwe nasheed nzako tu mashallah Allah Azindi kukuifazi na Akufanyie wepesi katika maisha yako
Wee kijana Allah akuongoze na akutoe huko uliko maana unazidi kupotea
Mashallah Allah akujaalie kila la kheri na akuwepushe kila lenye shari Allah humma Ammiin
maasha allah ipo bull bull asnt Sana kwa kutoa k2 kzr, asnt Sana kaka
Hii ni zaidi ya hatary🥳🥳🥳🥳🥳mashallah salim ally Allah azid kukuongoza hii ni level nyengine ya nasheed🥰unastahiki pongezi na heshima kubwa hapa💞💞💞😊
Maa shaa Allah kazi kubwa Kaka kila SIKU unazid KUFANYA vzr maa shaa Allah
Imeshangaz kuona amechagua nguo ndefu kamwmbia haiko swa alipochagua fupi na surual kasem yess😁nasheed nzur Ila hii vdeo kiupande wngu haikuw swa kdg🙏
Ni binadamu na kawaida binadamu Si mkamilifu ila biidhnillah atajirekebisha na biidhnillah hatarudia tena
Very nice
Salim ndio Shem hyo
😍😍 My arish na sabinah ❤️❤️💖💖💖💖 Mashaallah beautiful name masha Allah 💕💕💕💕
Mashallah hongera sana kaka Allah akuzidishie
Mashallah habibi hii imetisha kuliko zote allah akubariki
Mansha Allah,Hakika kaka Salim hii nasheed ni tamu Sana.
Kana kwamba kuna kitabu cha Nasheed ambacho Salim Ally anaamua tu kwa sasa atoe ipi. Kuna sehemu nchini Zanzibar hata ikipita miaka elfu moja basi hawataacha kumskiliza Salim Ally.
Imeisha ioo🙌
Swahihi kabisa
Maa shaa Allah nice💞💞
Wallah haram😭😭😭 Allah anataka sisi wanawake tujistiri
Am big fun of this guy. Kijana mwenye juhuzi sana inshaada yake yavutia sana walahi. Jazakallah
Mashaallah Allah akupe kila lenye kheri na akupe vizazi vyema.akuepushe na kila sari mahasidi washindwe.
Mashaallah kazi nzuri sana kumbe wewe do Salim Ally mie dada yake Nasra Kazana kipenzi
Maashaallah 🥰🥰 hiii nasheed ni nzur Zaid ya sana🥰🥰 naona umetaja jina unalolipenda arish😅😅Allah azidi kukuongoza kaka Salim tupo pamoja🥰
Maashaallah👏👏👏
Hongera kazi Nzur Mashaallah
Mashaallah brother ninzur San
Mashallah kaka Salim Aliy kazi nzuri sana
Maaana Sha Allah Salim ally kazi imeenda shule
Mashaallah kaka salim ally
Mashallah mashallah habbeeb
Nakbal kaz💓💓💕💕💞💞
MashaAllah kazi mzuri sana yenye mafunzo mazuri ya dini
Allah akuhifadhi N akulipeni kila la kheri nyote mliochangia hii video kumalizika ahbaab🌹🌹🌹❤❤❤
Brother ..aura hy!! Mwanamke hatakiwi aonekane hvo
Hongera kk😀😊
wowowowo jomoniii arshi na sabina mumedamshi sio pw salim aly hii ni kali mama sabina shakujuwa😂🤗
Uyoo kumbe ndo ww huku ee🤭🤭🤭
Kila siku unaonekana mdogo tu. Salim Ally una roho nzuri kama nasheed zako.
Nalo neno
Mashaallah mashaallah masha Allah
Mashallah Mashallah Penda sana hii nasheed Yaani ni Zaidi Fundi Hongera Zako Munsheed wetu Pendwa
Masha Allah masha Allah masha Allah, kipenzi salim wa.......❤️😘 Nitabaki na wee, hubby ❤️ so nicely masha Allah. Allah sw awadumishe wapendanao wote na awapatie kizazi chenye kheer😍 inshaallah kheer❤️
Aaaamin aaaaamin yaa Rabbi Mungu awadumishie furaha kwenye ndoa zao waishi miaka elfu
Allahumma amiiiiin yarabbal aallamiiiiin yarabb ❤️ inshaallah❤️
Nasheed hii hainishi hamu. Ndugu zangu wanaipenda na wameihifadhi kichwani. Kaka Salim Ally unaimba vizuri haki yako upewe hongera
الله يحفظه من كل بلاء، يا له من صوته ما أجمل. والله ما أجمل صورته💝💝💥💥
Mashallah
it has amination so much
Mashaallah
Mashallah kaka Salim 💕💕
Good focusing 💪💪💪
Mashaallah
MashaAllah Nasheed mzri bro nimeipenda Sana maneno mazuri MashaAllah ila kdgo naona bro umeteleza kakangu mwanamke wakiislamu hafai kujipambamba na kuonekana wazi wazi hivo Ni makosa sijui mybe Ni halali yako huyo lkn pia Ni makosa kuimba nae wazi wazi mitandaoni Ila tu nibinadamu huenda umeghafilika lkn usirudie me nakuomba kama kakangu
Wow
Inshallah
Mashallah kazi nzuri sana na hongera sana ila mh sheikh mbona kama umezama kwel apo kwa uyo bint nimeona jicho bhana linavyohangaika
Mashallah Barakallah.......perfect
Mh mthni
Assalamu Alaykumu warahmatullahi wabarakatuh Maa Shaa Allah ALLAH akuhifadhi nilipoisikia hii anasheed niliipenda saana na bado naipenda saana ila ninapoitazama huwa yanitia simanzi saana kwanini huchungi stara kwa wanawake nakukumbusha tuu akhy yangu kila Jambo tunalofanya tutalipwa hivyo angalia usije ridhisha watu ukamuasi muumba na pesa ina mwisho fanya Jambo kwaajili ya Allah una kazi nzuri Maa Shaa Allah ila tujitahidi Allah aturidhie na sii viumbe naomba radhi Kama nimekukwaza tumeitwa umma Bora kwa kuwa tunaamrishana mema na tunakatazana mabaya mwisho HAKUNA KUMTWII KIUMBE NA KUMUASWI ALLAH jazakallahu khayran
Walaykum salam. Nimekuelewa ndugu yangu na nitafanyia kazi uliyoyasema. Upo sahihi kabisa na Allah atuwafikishe. Bila samahani
Maa shaa Allah ALLAH akuhifadhi na familia yako na akupe hitajio la nafsi yako ktk khery@@SalimAlly
Mashallah kazi safi hii
Sijawahi kupenda nasheed ila hiii kiboko
Hata kama mamilioni hayajabonyezwa ila Salim Ally utabaki kuwa katika akili zetu siku zote. Wew ndio munsheed pekee ambae sichoki kukusikiliza.
apo si pink sugar london
Mana shaa Allah 😍😍😘
Nice kiongz
Maasha Allah
Af mashairi huwaga unapataga WAP
Mashallah! Good job, keep going bro.
Mashallah nasheed nzuri Ila jamani hii nasheed video mbona IPO tafauti
Nasheed ni nzuri ila huu ni ushauri wangu.
"Kiupande flani wa video Niseme maadili yamengua jaribu kurekebisha hapo wanawake tukienda kwenye dini wapo Uchi mana utupu (uchi) wa mwanamke ni mwili wake wote ispokua viganja vya mikono na uso jitahidi kutofautiana na wale wanaoimba music"
Nimekumbusha kwani Allah anasema Qur'an (51:55) "Kumbusha ukumbusho huwafaa walio amini.
nasheed mnaziharibu , kwani lazima muingize wanawke wari, stara yenyew mbovu full makeup, yussuph abd upo wapi liangalie hili.
Hakuna mkamilifu ispokuwa Allah. Hilo halitokei tena insha Allah
Maaasha Allah nasheed pambe sana. Naomba namba yako ninatamani kuongea na wewe💝💝💝
ماشاءالله تبارك الله ربنا يبارك فيك ويحفظك ويسعدك ويوفقك ويبارك بعمرك يارب العالمين
Recpect for Salim Aly you super 🌟
Mashaaallah
Muzid kupendan muish maish ya furaha
Maaasha Allah nice work
Kama bro nasir kidogo kidogo njoo wataelewa
🔥🔥🔥🔥
Maa sha Allah❤
Maa shaa Allah
Masha Allah
Nashed nzuri lkn jamaan munsheed wetu tuchunge sana stara Kwa wanawake nawaombea I sana
😍🌺🌹