I think this alions and premios are too overrated gari kcc na kcn mita? Less than kcx ata hazifai kufika mita😄we unaangalia tu model ya gari uoni mileage imechapishwa
Hizi magari ni mikebe...yaani unatoa that kind of money alafu unaenda tena kuspend pesa ingine kufix...ata headlamps kwa zingine zinaitaji new ones...no one but a mad man atanunua one of the cars na hizi bei tumepewa...hii ni rip off.
Kuna time nilipata emergency nkauza fielder 800k by time zilikua zinaenda 1.4 watu wakasema ni scam mwenye niliuzia hakuamini ju after a week aliuza 1.2
@@billypepsmotors do exactly what you are doing one person is not two persons whoever ako na Shaka ni kawaida ya mwanadamu ni mwingi WA kujadili Kila Hali...so do what you got to do.
Billy I cant stop watching these videos😂hata kama zinanipea stress ya kuwa na gari😂as a student
nikiskia ..Offer.!! Offer.!!
Ipo siku bro
Dreams comes true
2:58 mlango Shida. Ime haribika, ati utafunga badae😂
Ok
Si lazima ununue hio
One day I'll own cars I'm manifesting ntakua customer soon 😊
Karibu
I am looking for a pickup. Double cabin. Any offers?
Deal is mouth watering
Good job. Hiyo V8 mazee! 😮
Billy vipi bana waeza kutafuta prado tz.g white colour
I have it …I recently did a video on it
Yangu Toyota wish nitachukua kwa Billy God willing
Sawa bro
Mungekua mumepost kitambo nianze kujenga,ningekua nalala kwa gari saa hii😂😂😂
Can one buy with installment?
Billy hapo kwa suzuki escudo ya 1.2M na 800k ya Nissan sylphy nime kubali ..good work bro
Asanta
Escudo inakuanga very thirsty 3500 cc
Where is this auction.
❤ You just got a New subscriber Billy. 😂😂 Mwabie Peter sihami uku sasa..... ❤❤❤ I just got the Channel i wanted.
Nataka vitz ni how much
Hello . Where is this place ??
Good work bro....am visiting you very soon
Most welcomed sir
Do you have motorcycles 🏍️ especially Yamaha xt600,750 or tenere 700?
Nop
Nyumba za offer je??
Cash ama???
Ukitaka stress nunua hizo gari mzee and you’ll spend most of your time kwa mechanic 😂 cheap is expensive
Acha mauchungu bro...,as a car buyer u know what to do b4 buying...kwani unanunua ngua mitumba???
Caravan??
Matatu?
Kila mara tu ni "peter njoo"😅
🤷♀️🤷♀️🤷♀️
I think this alions and premios are too overrated gari kcc na kcn mita? Less than kcx ata hazifai kufika mita😄we unaangalia tu model ya gari uoni mileage imechapishwa
Hizi magari ni mikebe...yaani unatoa that kind of money alafu unaenda tena kuspend pesa ingine kufix...ata headlamps kwa zingine zinaitaji new ones...no one but a mad man atanunua one of the cars na hizi bei tumepewa...hii ni rip off.
Hizo box ni xpee sana
Were ar u Nairobi au mombasa
New subscriber I am here
Those panel gaps in the v8 are betraying u😢
Are the prices true?
This guy's are not scammers sure deals
Best prices in town
I'm coming for the V8
Kwani hujui billy peps?!
Ukweli mnasema na kama ni ukweli mko wapi
interested in a probox
Next time, sema milage na age.
Tufanyie reviews ya tududus pekee
Noted👍
I need a pickup single cab
Available
What cheapest car do you have
390k
6th viewer 🎉🎉🎉🎉🎉
Thanks
Hizo toyota hiace muna uza pesa mingi
Boss na pikipiki uko nazo
Mmechota magari za watu ndio mnauza
Yako ilipotea? We hate ppl like u.....c uende Kwa polisi??!!? We hate u, na I dnt know even that car bazaar bt the way ur talking..., ur jst a shit
Where are you located
Mombasa cbd
Good Job Bill. How can i get that V8.....
Visit our yard in Mombasa
Great @@billypepsmotors
For now sisemi kitu nitakukujia very soon
Nilikukal nikitaka probox ukaignore
Hiyo j95 best price
Kwani hio ndio price yake
manual diesel 14seater ineed it
Weka nr yako
Tida 400k apana kb
WAPI Isuzu 4.3
V8 here i come
Welcome
Iyo 110 nmeikubali
Iko 🔥🔥🔥
🙆🙆😋😋 hizo offer acha tu, najua siku Moja nitafika hapo
Karibu
Aty 2.8m v8😂😂😂 deal sounds too good to be true
If I put the price high..u guys will still complain..if I give out offers..u start doubting..so wat do I do?
Its 1st Gen LC 200 facelifted, price iko fair
Kuna time nilipata emergency nkauza fielder 800k by time zilikua zinaenda 1.4 watu wakasema ni scam mwenye niliuzia hakuamini ju after a week aliuza 1.2
@@billypepsmotors do exactly what you are doing one person is not two persons whoever ako na Shaka ni kawaida ya mwanadamu ni mwingi WA kujadili Kila Hali...so do what you got to do.
It’s like your old body, with new clothes …., in the car world it’s called face lift
Nataka pick up
V8 here I am 🖐️
Bt u smtmes luk expensive
Agree
If it’s expensive…jst leave them bro..we have serious buyers
These are prices for people who write properly.
I think if they expensive you cannot go buy where is cheap.
I just subscribed now from gulf i must drive my own car from your company i need for UBER
hiyo 2.8 ningekuwa nayo ningekujia hiyo V8
Nice one
❤❤ Billy Kindly share with me your Email. ❤❤ How can i reach you?
Leo maoffer nzuri. Naja in 2 weeks
Most welcomed