Moja ya bendi bora kutokea katika ukanda huu wa africa mashariki Mnatukera mashabiki wenu siku hizi hamtoi kazi mpya mara kwa mara kaeni mkijua duka bila bidhaa mpya hakuna biashara mnawapa nafasi maadui ya kuwa overtake kisha msingizie mnarogwa kumbe nyie wenyewe ndo mnawapoteza mashabiki wenu Nyie ni band bora narejea kusema
Mama kama kuna kinachoitajika tuambie ili dogo rama tbs arudi band pengo lake bado lipo sana chazi naye ni binadamu akichoka kupumzika kwake kiraka mashine ni dogo rama tbs arudi jamani twanga yetu
Sema Kupaza... " Aliaga anaenda kwao Songea........"
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We're kupaza weee Asante baba
Jamani kupaza,chazi, fagasoni, dogo rama, mnaniacha hoi nawakubali mno
Twanga Pepeta itaendelea kuwa bendi bora kwangu👊🏿
Moja ya bendi bora kutokea katika ukanda huu wa africa mashariki
Mnatukera mashabiki wenu siku hizi hamtoi kazi mpya mara kwa mara kaeni mkijua duka bila bidhaa mpya hakuna biashara mnawapa nafasi maadui ya kuwa overtake kisha msingizie mnarogwa kumbe nyie wenyewe ndo mnawapoteza mashabiki wenu
Nyie ni band bora narejea kusema
im here after Asha Baraka asked us to watch it from dizzim online interview. Beautiful song
Twanga kama Twanga Na Tungo Zenye Vina.
Wimbo huu kwangu ni bora sana kuanzia message, Uimbaji, Upigaji na Uchezaji.
Big up sana Twanga pepeta Chama la wana Chama la Nyumbani Bongo 🔥🔥🔥🔥
indeed.. umesema kweli tup twanga mbeleeee
Tujuane tuliokuja kuangalia video baada ya interview ya dizzim
Mama kama kuna kinachoitajika tuambie ili dogo rama tbs arudi band pengo lake bado lipo sana chazi naye ni binadamu akichoka kupumzika kwake kiraka mashine ni dogo rama tbs arudi jamani twanga yetu
Twanga pepeta hakunaga kazi mbovu. Jamani 🔥🔥🔥🔥🔥💯💕
Twanga chama wana miaka 1000
One of the best Rhumba
.RIP Amigolas (the mustach guy)
Twanga iko vizuri
Nimetoka the JOINT KU HAKIKI
kupaza nakuelewa Sana ndan ya twanga
Kweli hii bahari ya burudani cyo kicma twanga yatupa raha sana
Jamani nawapenda sana❤❤❤ mmeaaa!!!!
Wimbo usioshuka kiwango chake, hongera sana TWANGA
I found this song by chance, and every time I hear it, this song gives me great joy.
Wamenifurahisha sanaa
ina penza sana .Mimi no kongomani kwalakini na penda twanga peteta sansa .
Baada ya kuangalia interview ya asha baraka dizim ilibidi nije hapa
Love you guys. The rythm of your songs are really great. Big hug from Colombia.
Top 10 rappers Eminem was too afraid to diss
Yuko wapi badi bakule jamani ananikosha sana
Good rhumba music right here
Simply thw greatest song to exist
Sawa Kaka salehee kupaza
RIP Amigolas babaa na sophii
Mungu aendelee kuipumzisha roho yake mahali pema peponi
RIP Amigolas😭😭
Nawakubali sana nyie
Ime tulia sana
Rip amingolas and Aisha madinda😢😢
tayari
Moto fire
Fire
Luck dube
chaz baba
4:12 Epic
Twangavisa
Hatar
Amigolas RIP
Nzembo moko monene! atalaku Fergurson ye nde suka ya makambo.
sikia solo guiter
banger
Dogo is back
Ogga Kattalog Hii nyimbo ni ya zamani ila naona video ndiyo wameipost leo
@@nassibsanga4398 ok bro asante
Salehe kupaza mwanatanga
You guys ..your on the other level🔥🔥
Nice
✌
Charles baba
im here after Asha Baraka asked us to watch it from dizzim online interview. Beautiful song