Wimbo huu unanikumbusha kipindi hicho na hustle for life, nikipata 10k naona kama kilo hv, sikuwa hata na wazo la kumiliki hata nyumba ya vyumba viwili, choka mbaya! Mwembambaa! Eti leo nadrive Harrier namiliki mjengo wa maana, wife mzuri na watoto wazuri dah! Huyu Mungu acha tu aitwe Mungu 🙏🏽
Braza same to me nilikuwa nikila konyagi yangu pale moshi bar ukonga kwa diwani huku nakula huu wimbo na Acha tamaa kwisha habari yangu,maisha bwana😂😂😂
Fm academy henzi hizo almost 10 years more ilikuwa bend ya mjini pale makumbusho nakumbuka kipindi Niko chuo CBE (wapi Monica Vanessa ya patcho ! thanks my people patcho Mwamba Pablo Masai, itra, , nyoshi na watu Wote wa Fm Academy kwa upendo na heshima mlionipa Greetings from Germany ✌🏾❤🥂
Leo 30/05/2022 nausikiliza wimbo huu nakumbuka sana miaka ya 2007-2009 pale woodland pub kwa Jimmy fm Academia walikua wanakuja kupiga show ni hatari. Dah muziki mzuri unaishi sana. Alfa Kabeth one of the biggest vocalists kwenye rumba. Patcho Mwamba ni hatariiiii.... VUTA NIKUVUTE 💣💥
MPO VIZURI SANA, AKIPATA NDUGU YAKO NI MAFANIKIO YA FAMILIA YOTE LAKINI WENGINE WANA ROHO MBAYA HAWAPENDI MAFANIKIO YA NDUGU ZAO, MMENIGUSA SANA KWANI KTK JAMII TUNAYOISHI WAPO WATU KAMA HAO, ASANTENI SANA.
Wimbo huu unanikumbusha kipindi hicho na hustle for life, nikipata 10k naona kama kilo hv, sikuwa hata na wazo la kumiliki hata nyumba ya vyumba viwili, choka mbaya! Mwembambaa! Eti leo nadrive Harrier namiliki mjengo wa maana, wife mzuri na watoto wazuri dah! Huyu Mungu acha tu aitwe Mungu 🙏🏽
Braza same to me nilikuwa nikila konyagi yangu pale moshi bar ukonga kwa diwani huku nakula huu wimbo na Acha tamaa kwisha habari yangu,maisha bwana😂😂😂
Amen Broh
Fm academy henzi hizo almost 10 years more ilikuwa bend ya mjini pale makumbusho nakumbuka kipindi Niko chuo CBE (wapi Monica Vanessa ya patcho ! thanks my people patcho Mwamba Pablo Masai, itra, , nyoshi na watu Wote wa Fm Academy kwa upendo na heshima mlionipa
Greetings from Germany ✌🏾❤🥂
Huu ndio wimbo ambao una ujumbe ambao hautaisha utamu aisee kila sku napenda kusikiliza shukran kwa mtunzi wa huu wimbo da! Hatar sna
wee hapa ndio utamu wa muziki wa dans mashaili yamekamilka
A.Kabeza man of the game yaan anajua sana huyu mwamba watu hawajui
JAMANI MZIKI HUU NI VIWANGO VYA 4G HIVYO BABA YA MUZIKI ENDELEENI KUZIPUGA HIZI NYIMBO NI BOMBA SANA VUJANA WA ENZI HIZO BADO TUPO
Alfabbeth yupo tofauti sana uyu mtu alafu muimbaji mwenye hisia kali sana
Leo 30/05/2022 nausikiliza wimbo huu nakumbuka sana miaka ya 2007-2009 pale woodland pub kwa Jimmy fm Academia walikua wanakuja kupiga show ni hatari. Dah muziki mzuri unaishi sana. Alfa Kabeth one of the biggest vocalists kwenye rumba. Patcho Mwamba ni hatariiiii.... VUTA NIKUVUTE 💣💥
Very true yaan walikjwa hatari saana guys are real talented A.Kabeza mtu mbad anajua sana
Dah ni kweli kbsa yni
Kama umemuona jumalokole gonga like twende sawa
Hatari na nusu wazee wa ngwasuma kipindi hicho full nondo
Secreio alfabet karbezah ndo watu hawampi sifa zake stahiki anaimba sana kabisa....ukisikiliza verse take katisha sana ujumbe mzito sana
Vuta na kuvute,jasmin, acha Tamaa hizi ni best songs ever
Hili ni bonge la ngoma nalizimia ile mbaya!!
Pacho mwamba ww ni noma utendea haki huu wimbo.
part ya selasini na tatu ni moja kat ya verse bora kabisa kuwah kuimbwa hasa saut na rythim ... the best song
Sana kaka japo msikilize fundi karbezah
pacho mwamba tajiriiiiii wimbo ume utendeea hakii
Nawakubali waimbaj wote na wanenguaj wote, jitaften tena mrud kwenye kundi lenu maana Kidole kimoja hakivunji chawa
Mimi nikisikia huu Wimbo Nakumbuka mwaka 2016 Nipo UDSM Yaani Nilikuwa Siwezi kulala bila kuusikiliza Aiseee MAISHA haya MGANGA MUNGU TU
Alfhabert Kabeza ..Tisha sana..
My favorite 2022
Can someone tell me in which city this band is based in Tanzania, if they are together? I love their videos. 🔥
Iko poa Sana jamani
......love so much
Wimbo mkali sana
pachoo mwamba.....
noma sana.
hii ngoma ni Kali sana
Iko poaaa Sana ioi songs
hii ngoma ni balaaaaaa sana
Naielewa Sana ngoma Hii
wimbo naukubali sana!
Bonge la song
MPO VIZURI SANA, AKIPATA NDUGU YAKO NI MAFANIKIO YA FAMILIA YOTE LAKINI WENGINE WANA ROHO MBAYA HAWAPENDI MAFANIKIO YA NDUGU ZAO, MMENIGUSA SANA KWANI KTK JAMII TUNAYOISHI WAPO WATU KAMA HAO, ASANTENI SANA.
vuta ni kuvute penda sana wazee wa ngwasuma
nakubali sana uwo mwimbo
Respect fm academia
Nyimbo nzuri sana naipenda
Usilinganishe ridhiki na uhai wa binadamu
Habari ya mjini mzee
Naupenda sana huuu wimbo
Tukiwa mbeya shughuli ilikuwa hivi fm academia co kipolepole
Vuta ni kuvute
Tamaa
Pablo masai hatari Sana aisee
naupenda sana huu wimbo
noma san uhuu wimbo akiki maixha yawezi kwenda bila msindikizaji, nomaaa
Patcho Mwamba Tajirii
Nawakubali sana
William Joseph
namkubali sana
Bendi bora ya Tanzania ya muda wote 😅😂🤣
2024❤
🤝
Nimeipendasanabendiyenumimikutokamuscatomaniasantenisana
Uko poa Saaana huu wimbo
Pacho upo vizuri
Anyone 2022 /11/18
vuta nikuvute wimbo bora wa karne
Poa Sana Pacho!
Kabisa😊😊😊❤
Rafiki wakudu ni kifo
Any one in October 2018
Zitakuja nyingi zitapita hata wenyew wanajua hawawezi fanya tena
⛽
❤❤❤❤❤❤
bulula nikubululeeee
😅😍
chuki nichukieee chabandiii ila haki yangu unipeeee
Yupo wapi ivisasa ?
Mbona kama nimemuona Shilole humu 🤔🤔
pacho shida
33
P
gundram
Poa,
vuta nikuvute wimbo bora wa karne
Anyone 2022 /11/18
❤❤❤❤❤❤
Anyone 2022 /11/18