Hakika unatudanganya sasa,interview uliyofanya Millard Ayyo umesema Una watoto watatu na wa mwisho ndie unaishi nae,Leo unatuambia wawili wamefariki,unatudanganya Sasa
Hapana huyu hataki ajulikane màan anafanya kaz mahali hapendi kuweka vitu private Ila ana vitu vikubwa Sana huyu sema hamumjui na yeye hatak mumjue kiundan
Kaka unaitajika kupata mafundisho ya kwanza hujui kuongea au kijibu maswali kwA ufasaha pia unatakiwa uandae uongo mmoja tu ambao utautumia Maisha yako yote sio kipindi iki unasema nimesoma kenya nimeishia FM 4 tena ukiojiwa sehemu nyingine unasema umesoma morogoro utaishusha brandi yako kua makini Sana katika ILO acha uongo
Kama una fatilia interview za huyu jamaa Alisha wahi kusema ameishia form three koz alianza mahusiano mapema yakamsababisha aache shuli asa Leo education level form four mwongo brooooo
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple kwa kugusa picha yangu hapo juu nakuomba pia u subscribe I hope utaenjoy Ahsanteni Sana🙏🙏
Uyu kaka nampendaga huwa ananifurahishaga na vituko vyake adi nasahau shida zangu😙😘😍💕💕💕
Mimi nakupenda sana maana kuna saa unanichekeshaga nasahau shida zangu 😍
Mwenzenu hakika nampenda anavituko jmn
Munyalukolo.mwenzangu karibu kwetu
Ivi huyu yuko serious au maana simuelewi mbona yuko tofauti na anavyozungumza jmn😀
🤣🤣🤣Yaan huyu kk jamani Daaaah wallah unajikuta unacheka mpk matatizo yangu naya sahau unafrahisha saan Allah akuweke na akuhifadhi
Kitui kenya🙆♂️🙆♂️tutafutane basi mr handsome😃😃😃😃
Nmeangalia interview yke kwa Millard Ayo ,kasema amesomea psychology n physiology now here anasema ameishia form4🤔
Chinekeee🙌
Tena anashule , nyumba6 tn gospel singer🙄
Huyu kaka nimuongo sana
Alafu hajui kujibu maswali
Haeleweki ...mara anamiliki shule
Me too watched it jana i be like aaaaaaiiiiyaaas 🤣🤣🤣🤣
kweli ni muongo sana sanaaaa
Sam Missago TV,, respect Sana bro
Pole ndugu
Umependeza
Macho mazuri good smile na mchezo uko vipi 💘
Uhuni acha
Kashakuwa staa
Kabisaa
Uyu jamaa bwana..sasa ulikozaliwa ndo unasema upo kikazi ndo nn sasa @hakika ruben unakwama wp😁😁wewe kwen ni Iringa ata mizimu inajua hilo😁😂😂
😂😂😂 et hata mizimu
Si aseme tu mimi mnyalukolo kwani kuna tatizo gani
Hahahahha mwenyewe naona muongo Sana uyo kaka
Mkataa kwao mtumwa kwani kuzaliwa iringa si ndio nyumbani,kikazi kivipi wakati ndio ulipo zaliwa
Sijui kwann anakataa kwao hta mm namshangaa anajifanya Kama mkenya vile n Mhehe og
This man is talented.Yaani jinsi anavyozungumza🤔🤣
Sio kwa kurembua huko bro
Nampendaga jmn uyu cwez kulala bila kumuangalia hakika ncheke kidgo
Mwanzo alifanya interview na Millard ayo alisema kuwa amesomea psychology Leo anasema ana elimu ya form four
Niko na mda nimefika hapa duniani muda yani Huyu mie simuwezi
Sema ukweli tu we mkenya mamae.
Nakupendaaa snaaaaaaaa kaka yangu yani 😂 sielew
Hakikaaa bhaaana unanivunjaaa mbavuuuu kwakweliii
Anarafudhi ya kihehe japo kalegea kwasabu ya kenya huko
Ila namkubali sana mnyalukolo
Nisaidieni kunakwema kwelii simsemi vibaya uyujamaa ila duuu nimefatilia anavo ongea iladuu sielewi
tuko wengi yunaoona hvo
Hakika umesoma iringa mjini wapi wakati wa kilolo dabaga mwatasi
Kwan kumilik shule lazima uwe umesoma sana,kuna watu wameishia la saba lakin wana makampuni,mashule,maofis wameajir watu waliosoma
Me nnawas was na akili ya ruben😂😂
Mmmmh
We Msukuma bana
et kenya Tonation ya kenya iko hivyo!!
Yaan ata ungekaa kenya mwaka tu kiswahili kingebadilika.
Wa kidato ushakua star
Yan huyu kaka ni muongoo sana kila inteview anaongea kitu tofauti
Ndio maana ya uchekeshaji
Hataki mnukuu maisha yake rasmi na hiyo ndy maana ya kipaji
Hakika unamiaka ming kihivo
Video zako zinanifurahisha mno nimeipenda usimuache mung wakidato
Hahah huyu kaka anajuaga kunichekesha
Sema nn we kubal tu kuwa Mhehe bro mbn kabila zuri tu siyo et m wa Iringajivunie kwenu
Huyu vepee mara church boy mara situmii mara natumia kuwa gentlemen bas mzee tunashindwa tukuiteje
Good guy
Umeniboa tu hapo tu. Eti hela yako hainiinui... ila fara ww unachekesha sana😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣eti sikukuona maana sikahi sn iringa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko gud
Rubeni mashallah, uko unaongea vzr
Nimefik ap dunian mdaa
U look so awesome
Sasa nyie mnaosema ni muongo mnataka kila ki2 aweke adharan jaman hata kama ni ww uwezi kuweka mambo yako yot kweny mitandao ya kijamii
Shida anasem kasom kenya mara iring haeleweki asee
@@chipulavevo4441 sasa hata akieleweka mtamsaidia nn...
Wabango mna mambo
@@faustinaphilipo103 etii?
Hakika unatudanganya sasa,interview uliyofanya Millard Ayyo umesema Una watoto watatu na wa mwisho ndie unaishi nae,Leo unatuambia wawili wamefariki,unatudanganya Sasa
Nilivyo muelewa mimi hataki kuweka maisha yake wazi mtandaoni
Mkataaa kwao mtumwa unatuangusha Ruben Be real
Kumbe nimzuri hivi uwii😅🙄
Mbona anaonekana km muongo muongo hivi
hata mie naona 🤣🤣
Huyo muongo kweli....
Privacy is everything. sio lazma ujue kila kitu.
Kama muongo tupe ukweli inaonekana ww wamjua Zaid kuliko yeye anavyojijua😂😂💕
@@mariamyoyote8172 rudia kusoma comment
eti apost makaburi ndio mjue anamsiba🤣🤣🤣
Unajua unanichekesha mpk najikojolea
Heeee3eeeeee makubwa,mkojo kabisa!!!
huyu jamaa huyu duh 🤣🤣🤣🤣nikimuona nagel nicheke tu 🤣🤣🤣
Unajua utani wako unafanya mpaka hata ukiongea serious me naona utani,🤣🤣🤣🤣 Ni huzun kwakwel
Nampenda sana huyu jamaa, ahahahaha ahahahaha nimecheka jamani eti nikijiangalia eti nasema niko na mashauzi, ahahahaha isee keep it up kaka,
I'm curious....this guy might have something extra
Sure..
Huyu kunakitu kikubwa anafanya
Mara kashaanza kuongea kwa mashauzi jamani jamani
Mbona anazungumza kama mkongo
Kaka pga kaz...nakukubali
Hhhhhhhhhhhh nikimuangalia tu naceka
😀😀😀😀😀😀😀elimu sio hobby yangu
😃😃😃
Yan huyu sjui yukoje 😂😂hata simuelew
Why i doubt on this dude
Tisa kumi... Nimempenda Huyo Kaka Ngoja nikamtogoze tiktok
Sikubali mm nishamuwahi😂😂😂
@@luckyvenance4576 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣milango ishafungwa Uko shoga
@@mwanahamis5487 😁😁
Hahahahahha
Hahahaha wadada mnanichekesha uwiiiii
Napend meno yake
Uyu mkenya kwanza asituchanganye
Msikilize vizur kasema kazaliwa iringa alikaa Kwa mda mchache badae akaenda Kenya kule ndo kakulia yan kaishi miaka mingi so huku tz now yupo kikaz💓💓
1
Nimeanza kumstukia huyu jamaa kichwa siyo kizuri, mwanzo alisema ana de degree sijui za vitu gani leo tena anasema ni form4
inaonekana atak watu wajue
Huyu jamaa sio wakujionyesha kama hao mastar wengine yaani amechukua tabia za wakenya and this is great
kwakwel sna maana mbaya ila huyu jamaa anaonekana muongo kwakwel coz leo degree kesho fom 4 dah sasa hapo hatuelew
Hapana huyu hataki ajulikane màan anafanya kaz mahali hapendi kuweka vitu private Ila ana vitu vikubwa Sana huyu sema hamumjui na yeye hatak mumjue kiundan
Hahahaa
😍👌
Hapa kwa watoto hata hauna mtoto wewe
Ata kama anae basi sio baba bora
walifariki kwa kifo🤣🤣🤣🤣hakika lini unakuwa serioux et
Nimefika dunian mda🤣🤣
MUONGO SANA HUYU JAMAA
Hiyo ndio life style yake anapenda masihara ndo yaliyomtoa
Uyuu Jamaa ana ushoga shoga frani kwa umbali
Ushoga huo kwio
Mwache munyalukolo
Watu mna maneno jaman!...nadhn umeshindwa tu ku kukubali kazi zake,,ni heri usi comment broo.
Vibaya ivo
duh kuna wa2 wanaponda anavoongea anabama pua mara anachana nyusi so jamaa kakoment kama jamaa anavojiweka
Anaongea vyenye mnatumia huku utazani huku sio kwao ,
Alisemaga anaishi iringa anashule yake na mabwens leo anasema anaishi kenya hhhh
Many of the
Ndio vile anaongea kikenya
Duuu
Kaka unaitajika kupata mafundisho ya kwanza hujui kuongea au kijibu maswali kwA ufasaha pia unatakiwa uandae uongo mmoja tu ambao utautumia Maisha yako yote sio kipindi iki unasema nimesoma kenya nimeishia FM 4 tena ukiojiwa sehemu nyingine unasema umesoma morogoro utaishusha brandi yako kua makini Sana katika ILO acha uongo
Kwa @MillardAyo kasema kamalza pyschology n physilogy 😣
Jamaa huyu mbona hanyooshi maelezo? So fake
Mwanzoni nilisoma kenye sasa nilisoma ilinga
😀😀😀
Namim nilion akisem kasom kenya leo ten iringa
Saf
You made it so straight
Hana hobby na masomo na ana shule🙄🙇
Kama una fatilia interview za huyu jamaa Alisha wahi kusema ameishia form three koz alianza mahusiano mapema yakamsababisha aache shuli asa Leo education level form four mwongo brooooo
@@hakikaruben broo umarufu una mambo mengi Jarbu kuto kujibu comment ili usiponguze mashabiki Kaza na unacho kiamini
Kwingine kasema form 4
Hata mimi niliona muongo huyu jamaa
yaani we unakuwa serious kumwamini wakat yeye mwenyewe unaona kabisa hajawahi kuwa serious jmn 😆😆😆
😁😎
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duu akili kokoto naunaishi kwetu hapa Ken ww mungu akusamehe ati huruhusu huzuni mmh hayaa
Hahahaa
😂😂😂😂
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple kwa kugusa picha yangu hapo juu nakuomba pia u subscribe I hope utaenjoy Ahsanteni Sana🙏🙏
Kabame
@@ireneavelin6947 yes dear niambie
Picha ikowap sasa
@@niyonsabasaada7831 bonyeza kwenye picha yangu hapo juu🙏🙏
😂😂😂🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂