Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Ubabe gani unaodhani unaweza kuufanya kwa wafanyabiashara wewe? Cheo ni dhamana kaka yangu, na uhai tulionao una mwenyewe, usitishie watu kwa mamalaka yako wewe. Alikuwepo Magufuli aliyependwa na watu alikufa, who do you think you are?!
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Ubabe wao tu police n wao, Allah atusaidie KWANZA w Tanganyika Tatizo shule,hata Farao Firaun ilikua hivhiv akaangamizwa na Allah ubabe tu
Mbona serkali ilishindwa maduka y RTC kariakoo tena serkali mnatesa watu
TRA iondolewe serikali iweke mfumo ambao kodi zitalipwa na hela itaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka wa TRA
Sisi hatufungui msitulazimishe
Shamba la serikali ni walipo kodi wake. Kutengezea, kupalilia, kuweka mbole na kumwagilia au kutunza ni jukumu la serikali la wakati wote.
Unachozungumza utakivuna baba
Yani Hadi Koo limemkauka nabado hujasema 😂
Funguo za maduka yetu tunazo wenyewe