Wimbo huu na upenda Sana,unanifariji kila ni usikilizapo na kuutazama,mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu katika utume mtakatifu, umoja wenu na upendo udumu milele
Kila nitazamapo video ya wimbo wa hamasa ya kwenda kuhiji kawekamo na kwaya ya familia takatifu nazidi hamasika, hongereni sana familia takatifu kwa wimbo mzuri sana hakika tumehamasika vyema na SS tunakuja.
Hongereni sana wanakwaya wa Familia Takatifu Katubuka hakika mmeimba vizuri...nawamisi sanaaa.
Hongereni sana kwaya ya Familia Takatifu kwa wimbo mzuri wakuhamasisha hija keep it up❤
Wimbo huu na upenda Sana,unanifariji kila ni usikilizapo na kuutazama,mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu katika utume mtakatifu, umoja wenu na upendo udumu milele
Hongereni sana kwa wimbo mzuri, Mungu awajalie katika utume wenu
Mungu awabariki sana .Nawapenda na kuwakumbuka
Hongera sana mkutubi maarufu sana ambaye nilipata pia ujuzi wa kupiga mkono tokea Makumira University .hakika unajua. Big up.
Hongereni mno jaman kwa wimbo mzuri wa hamasa twenden kawekamoooo
Pongezi kwenu Kwaya ya Familia Takatifu Katubuka, Kigoma. Mzidi kudumu katika utume. Nakumbuka enzi hizo tukipaza sauti pamoja. Safi.
Hongereni Sana Kwa Utume
Hongereni sana jamani, hatimaye hija, hii ndo familia takatifu sasa kigoma!!
Mwanangu Ludovico hukuwahi kua na kazi mbovu,,,, wimbo mzr snaa
Asante sana monsignor 🙏🙏🙏🙏
Moto umewaka tayr, safi sana ndugu zanguni. Kazi nzuri🔥🔥🔥🎶
Hongern sana kway ya familia takatifu🔥🔥
Hongereni sana Kwa wimbo mzuri
Hongereni kwa huduma ya uinjirishaji Mungu azidi kuwasimamia
Hongeni familia takatifu nawapenda❤❤❤❤
Hongereni mnoooooo Familia Takatifu
Kila nitazamapo video ya wimbo wa hamasa ya kwenda kuhiji kawekamo na kwaya ya familia takatifu nazidi hamasika, hongereni sana familia takatifu kwa wimbo mzuri sana hakika tumehamasika vyema na SS tunakuja.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥hongereni sana FAMILIA TAKATIFU KATUBUKA FTK kwa wimbo mzuri 🙏
Kazi njema
Hongereni Sana hakika nasi wa Mataifa tunakuja Kawekamo.
Kazi nzuri hii
Safi sana, Tunabarikiwa
Hongereni wapendwa
FAMILIA TAKATIFU moto moto Kawekamoooooooo kuhija.
Haya sasa twendeni
Mungu awabarikii daima
Kuna mtu simuoni