PART2:WATOTO WALIOMUUA BABA YAO ILI WARITHI MALI BILA KUJUA MALI ZENYEWE BABA YAO ALIZIPATA KICHAWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 185

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 года назад +1

    sikuzote katika maisha yangu napenda sn furah Aman ht nikiishi maisha ya kawaid bila pes sion faid ya kuwa tajir bila raha wal furah mateso majuto yakazi gn watu wanauwan kisa pesa utasem unakufa nazo kumbe waziacha

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 года назад +2

    pole sana
    dogo tubia kwa mola wako Mungu n mwingi wa kusamehee na utaponywa maradh yakooo! biidhin Allah

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 года назад +3

    Mwana kulitafuta mwana kulipata na mtegemea cha ndugu ufa masikini pole sana kaka mludie mungu wako Inshallah atakusamee 🙏🙏🙏

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    Poleni mm baba yangu anijali na tafuta mimi kama mm nashukuru n

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 4 года назад +3

    Nenda kwa watumishi wa Mungu kweli ukiombewa utapona. Usikate tamaa tubu kwa kweli ya moyoni Mungu niwa huruma atakusamehe na utapona kabisa.

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 4 года назад +1

    Davista hongera kwa kazi nzur tunazid kunufaika na kujifunza kupitia wewe mungu akupe umri zaid

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 года назад +2

    Dah inauma sana baba kafa, kaka nae kafa mali zimepotea wewe pia maisha yamezid kuwa magumu bora hata kaka yako angekuwepo mngekuwa mnafarijiana ona sasa umebaki kujuta...

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 года назад +1

    All in all...mrudie muumba wako...naamini mungu wetu ni nwenye moyo wa huruma na ukimuomba msamaha atakusamehe...

  • @habibizainab7300
    @habibizainab7300 4 года назад

    Ooooooo pole sana ila tama zenu lkn hamkujua nni kitatokea poleni sasa baba hamuna mali hakuna daah matatizo juu ya matatizo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 года назад +7

    Tamaa sio nzuri ukimtegemea Mungu utapata vyote, tubu na umrudie Mungu atakusamehe na atakugungulia ukurasa mpya katika maisha yako, pole sana kakangu utapona

    • @beatricekweka6683
      @beatricekweka6683 4 года назад +1

      Kabisa kwa sasa amrudie Mungu wake atamrejeshea furaha na amani

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 года назад +1

      @@beatricekweka6683 kabisa kwa Mungu pekee ndio atapona na atabarikiwa

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 года назад +1

      @@beatricekweka6683 kweli kabisa dadangu,kwa Mungu kuna vyote

    • @farhadhassansaid1297
      @farhadhassansaid1297 4 года назад

      Ila yote hayo ingelikuwa baba anawaangalia hao watoto hawangelifikia huko

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 года назад

      @@farhadhassansaid1297 shida yy pia alikua yuatimiza sharti ndio maana

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 года назад +3

    Daaah duniani ubaya upo mwanao mwenyewe Anakutoa Roho kwa tamaaa hujui Mali kaipata vipi

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 года назад

    Uyu Mtoto anasauti nzuri

  • @zubedakilenza9998
    @zubedakilenza9998 4 года назад +5

    Da!wanashukuru mungu baba yao kufa!mwenyezmungu ninusuru na Mali za watu nitafute zangu

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 4 года назад

      Mwisho wa dunia una karibia wanashukuru kufa kwa baba yao kisa mali😔😔

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 года назад

      Yani boraa mtu akomae atafute zake zaurithi siwezi shobokea

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 года назад

    Mr Davista nakubali Sumulizi nzori mafunzo👍👍👍

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 года назад +1

    Tamaa mbaya sana tafuteni jembe mkalime!.Mtumaini cha ndugu hufa masikini.!.

  • @johnnelson5089
    @johnnelson5089 4 года назад +2

    Tamaa mbaya!!!!

  • @monicamonica4597
    @monicamonica4597 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣eti mijicho imevimba 🤣🤣duuuu lkn pole Sana mwaya kaka angu nimefurai mijicho jamani daaa pole

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 года назад +2

    🙄😂😂Kama umesikia mganga vipi mbona mzee anadunda

  • @latifaabdulla1429
    @latifaabdulla1429 4 года назад +4

    Duuu acha nisugue tu vyoo vya waarabu nitafuta za kwangu kwa jasho langu

  • @alifadhili6056
    @alifadhili6056 4 года назад

    Safi davistar pamoja ka shuka chafu na kunguni

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 года назад +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 года назад +3

    Ohh my God...mrudie Mungu wako utapona!...Pole Sanaa Sana😭😭

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 года назад +1

    Waooo mr fact kaz nzur tpo naww

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 года назад

    Mmhhh ngumu kumeza chungu kutema dooo ushilingina ni shida sana AISSEEH

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 4 года назад

    Mungu tunusuru

  • @habibizainab7300
    @habibizainab7300 4 года назад

    Hahahaha 😂 😂😂🤣🤣 inakuaje baba akakohoa daah 😏😏😏 😳

  • @chynabongoo405
    @chynabongoo405 4 года назад +1

    Duh hii kali saana🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @faithlondo2347
    @faithlondo2347 4 года назад +2

    Majicho yamekuwa makubwa unajua makubwa hahahhaha

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 года назад +1

    Yessss leo na mm nimewahi aiseee

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 года назад +6

    Ma jicho yamevimba yamekuwa makubwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 года назад +1

      yaaa
      kama binti churaaaaaa

    • @monicamonica4597
      @monicamonica4597 4 года назад +1

      Duuuuu kumbe nawewe umemsikia jamani nimecheka mijicho imevimba imekua mikubwaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 года назад +1

    BabaEnuu kakohooa 😲 kakohoajee na wakati amekufaaa 😆😆 duh dogooo mlikuwa Mashetanii 🔥🔥

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 года назад

    macho yatachaa kuvimba wkt umeon yasio kuhus pole sn ila tamaa mbay jaman ss na huyo baba izo Mali zilikuwa naman gn bila kuwasaidia wtt wk kwaiyo pesa ni zamajiran na ndugu lkn so kizazi chako

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 года назад +4

    Ata woga hamna kweli Dunia imeisha mtoto wako mwenyewe anakumaliza

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 4 года назад

    Mungu anajua mi sijui

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 года назад

    Tamaa baya sana heli kufanya bidii n God I'll bless the work of our hands now yu I'll regret the whole of ur life pole

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 года назад

    Ahsante Davistar

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 года назад

    Leo nimechelewa Sana wamia moja na moja

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 4 года назад

    Doh hii nayo ni kali sana wacha tumtegemee Mungu

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 года назад +1

    Tangia kuzaliwa sijawah fikilia mali za mwenzangu ata siku 1...Mungu nisaidie kizazi changu kiwe cha maharifa

  • @magdalenamagdalena8263
    @magdalenamagdalena8263 4 года назад

    Mwanakulitafuta🤣🤣🤣🤣kuua kazi jamani khaaa!!! Polee

  • @georgebugangazpoa4975
    @georgebugangazpoa4975 3 года назад

    NENDA KANISA LOLOTE LA WALOKOLE UMPOKEE YESU KISHA UOMBEWE UTAPONA KWA JINA LA YESU

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 4 года назад +4

    Duh Mali hizi noma sanna badala mtafute zenu mnatka za rahis rahis tuu

    • @farhadhassansaid1297
      @farhadhassansaid1297 4 года назад

      Sio noma, ingelikuwa anawasaidia watoto wao hawangelifikia huko

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 года назад +1

    😂😂😊😊hao vijana hawafai kabisa mali ya baba sio yakoooo

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 года назад

    Mmh hatari sana sheytwan ananguvu sana

  • @sherrymamakeboiz2256
    @sherrymamakeboiz2256 4 года назад +1

    Funzo kwa vijana .....tamaa inaua

  • @marthamshana9050
    @marthamshana9050 4 года назад +1

    My dear hebu Jamani tafuta story za tofauti kila siku za ushirikina tu 😭😭nimechoka 😊

    • @khatwabisadathil3423
      @khatwabisadathil3423 4 года назад

      Bbw gal kweli a change story kila cku story za ushirikina.

    • @marthamshana9050
      @marthamshana9050 4 года назад

      Khatwabi Sadathil mwenzangu Hana kitu cha tofauti 😃😃😃

    • @marthamshana9050
      @marthamshana9050 4 года назад

      Davy Magzee we chaumbea sija kuambia wewe ni mhusika mxiuuu🤣🤣😉 kione

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 года назад +1

      Mm naona bora amuhoji tena mfaume tujue mam karudi ntwara au vipi😀😀

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 года назад +1

    Utajirii una siri nyingi jamani tuache tamaa

  • @annastivin5606
    @annastivin5606 4 года назад

    Daa tunazaa lakini mungu atusaidiy

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 года назад

      Anna ndugu yangu kuzaa sio kupata. Na kama hujazaa shukuru Mungu kakupenda sana kakuepushia watoto kama hao

    • @annastivin5606
      @annastivin5606 4 года назад

      @@susanejd7775 yan inatakiw tuviombe vizaz vyetu maan unajua upo na watot kumbe wanakuwaziy kukuuwa mung nakukabiz watot wang mikonon.mwaka

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 года назад

    Dah!! Jmn tamaa mbaya uwiiiii🙆🙆🙆🙆🙆,asa ndio mmepata nn zaid ya kujutia jmn

  • @salvatorykyakwe8606
    @salvatorykyakwe8606 4 года назад

    Daaaah balaaaa

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 года назад +3

    Wakwanzaaaaa

  • @didatratranee2531
    @didatratranee2531 4 года назад

    Naendelea kujifunza

  • @didatratranee2531
    @didatratranee2531 4 года назад +1

    Yani huyu. Ni mtoto mdg sana jmn yani Mali hizi

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 4 года назад

    Mwambie atubu na ajute makosa aliyofanya na kuswali sana

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 года назад +1

    Wa 5 hapa nasema ivi tamaa mbaya tukomae Kama broo davista hapo 😀😀😀
    Team like before ku comment

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 года назад

    Aki tamaa mbaya Wallah.

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 4 года назад +1

    Et tunashukuru Mungu 😀😀😀

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Год назад

    Simsnzi imenipata yaani Mali mnamuua baba yenu? Mngetafuta Zenu jamani kwa nini mlikuwa na Tamaa

  • @najimyahya7901
    @najimyahya7901 4 года назад

    All the way from 🇨🇦🇨🇦

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 4 года назад +5

    Wakwanza like hapa twende sawa 😀😀

  • @petersume2780
    @petersume2780 4 года назад

    Mkuu présenter, unakutana na visanga mpaka nakuonea huruma.

  • @hadija846
    @hadija846 4 года назад

    Hatari sana mtu hawezi kuwa na mari nyingi bila kujikinga eti unafikia kumtowa roho mtu kwa ajili ya mari iyo mari utaitumia kwa raha kweli? Kweli hakiri ni muhimu sana kuliko mari iyo pesa ya kwenda kwa waganga si mngefanya hata biashara ya kuuza hata korosho au karanga mukajitegemea kimaisha zaidi.
    R.I.P. baba
    Na pole sana kijana🙏🏼

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 4 года назад +1

      Wangemwach tu huo utajir ucngefka popote

    • @hadija846
      @hadija846 4 года назад

      @@sharonchristian3711 Ni kweli kabisa

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 года назад

    Dunia imeisha. Watoto wako mwenyewe wanakutoa Roho!??. Mwenyezi Mungu utunusuru sisi na Vizazi vyetu. Kwanini msitafute Mali zenu mpaka muuwe Wazazi wenu!?.Yaarabi tukijaaliwa tuwe na mwisho mwema.

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 4 года назад

    Iyo ndioa shida yakutamani mali usizojua jasho lake ndio maana tunaambiwa tusinganganie na urithi

  • @pendomwahalende4869
    @pendomwahalende4869 4 года назад

    Chamsingi ni kumuomba tu mungu maana sasa ivi tunaishi kwa kuviziana mzazi kumuua mtoto na mtoto kumuua mzazi kisa mali

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 года назад

    Usitegemee vya ndugu wala mzee wala rafiki tafuta kwa jasho lako na usipende vya mteremko au vya bure- mwisho wake utaharibikiwa

  • @tatukizunga1191
    @tatukizunga1191 4 года назад

    Daah..dunia hii

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад

    Pumbavu unauwa baba yako kisa mali, tamaa mbaya sana inabidi uokoke,

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 2 года назад

    Shetani hapeani vitu vya bure, akikukopesha ni lazima utalipa. Mali ya kishirikina haidumu, wacha kuwa na tamaa.

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 года назад

    Yani davistar unavyofatilia kwa makini nikikuangalia uso wako nacheka sana😁😁😁😁asante sana kwa story za kutuelimisha

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 4 года назад

    Mali zilikutokana na Mama yenu alikuwa humo

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 года назад

    BABA kaondoka na mali zake na hizo mali siyo za halali mmekosa wote na hasara juu

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 года назад

    Mzee konki watu wanajua kakata moto kumbe jiwe linalopumua

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 2 года назад

    Heeeh janami ira yanatisha

  • @mwananassor1415
    @mwananassor1415 4 года назад +2

    Pole bro but mafundisho ya dini yanasema "Dhulma haidumu, na ikidumu inadamirisha" nadhani uthibitisho wa ilo tumeuoa kupitia story yako.
    👏sana DM kwa kututhibitishia kauli nyingi za kiswahili na kidini pia👍

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 года назад

    Noma utajiri wa kitonga

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 года назад

    Yeeeh najitahd kuwai uwiiii😂😂😂😂

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 4 года назад

    Da watu wanapitia changomoto mbona hampendi kujituma

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 года назад +3

    Daah eti baba hajafa kakohoa 😂😂😂:: jmn pole sana kaka yako nae alifariki huo ni uchawi wa baba... tuache tamaa tutafute mali zetu za halali 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 года назад

      Kweli kabisa Mungu humbariki mtu anae tafuta so tutafute kwa bidii tutabarikiwa

    • @aminaismail4221
      @aminaismail4221 4 года назад

      Hizo mali zababako alizipata kwa njia ya ushirikina ndio maana alipokufa nazo zikapotea

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 года назад

      @@aminaismail4221 nashangaa hivo wamejua km mali za ushirikina hazidumu
      Allah ampe afya amsameh makosa yake

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 года назад

      @@hebronsdaughter1661 ushauli wangu huyu ndg yetu angeenda kwenye maombi ili apone macho..huo moshi ni nguvu za giza na kaka nae angemuwahisha kanisani angepona.

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 года назад

      @@nooor1120 amen

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 года назад

    Tamaa imekuponza ilapole

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 года назад +1

    Unazaa halafu watoto wanakuua.km hatoi pesa shukuru mmungu tafuta zako sio unadhulumu nasfi

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 4 года назад

    Akafanyie maombi maaalum huyu

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 4 года назад

    🙄High wickedness!.. Kweliiii.. Mali ya mutu🤔.. Si mufanye zenu??? Laana ya kudjitafutiya..

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 4 года назад

    hivi mtoto kama wewe mali zanini?, chakarika upate zako, pumbavu zako, ila itakua umejifunza tamaa mbaya sana.

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 4 года назад

    Baba ako mchawi hawezi kuwa mzito na pesa zake nyie hamuwezi kutumia alipewa masharty asitumie pesa na nyie agawe njee tuu ndomna kila mkimroga harogeki kwasababu naye pia anajifanyia hayo mambo

  • @bacwaadyeeri5887
    @bacwaadyeeri5887 4 года назад

    Ya'rabbi mungu?!

  • @christinawallasch5228
    @christinawallasch5228 4 года назад

    We Davista mbona tukikutafuta kwenye simu haupatikani?

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 года назад

    Ntumeee mfaume njoo uskilize hii😂😂😂😂😂

  • @didatratranee2531
    @didatratranee2531 4 года назад

    Majicho yamevimba ahaaahaaaa

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 4 года назад

    Doh kweli tamaa iliua fisi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 года назад

    Subuhanalla🤗🤗

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 года назад

    wah usitamani cha wazazi😢😢😢

  • @muaminhakizimana1671
    @muaminhakizimana1671 4 года назад

    Jameni tuwapende watoto wetu

    • @shalamwanayusuph8008
      @shalamwanayusuph8008 4 года назад

      Sana yani ukiangalia mzazi ndio chanzo cha ayo matatizo yote yani na wazee kama ao wapo wengi sana leo ndio nimefunguliwa macho

  • @shadyaally1537
    @shadyaally1537 4 года назад

    Neno lait ningejua hujamwisho wa safari, ewe nafsi rizika na kilichochako

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 года назад

    Mzee alikuwa na utajili wa kichawi na Vitu vyake alikuwa ameviwekea kinga mtu mbaya ashindwe kufanya vyake

  • @dullamburu1718
    @dullamburu1718 4 года назад +1

    Baba hujampoteza umemuua na bado zamu yako kufa mpuuzi wewe

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 года назад +2

    Wapiliiiiii

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 4 года назад +1

    Jamani mtu anafurahi baba akifariki?? Dunia inakwenda bali kwakweli

  • @aishamustapha7381
    @aishamustapha7381 4 года назад

    Maskini pole!et unajua anatoka magamba kama nyoka. Duh!! Kweli usitaman cha mtu.waswahil wanasema cha mtu mavi ukikiona kiteme.

  • @francispatrick6737
    @francispatrick6737 4 года назад

    Mwanakulitafuta