Nilichogundua kwenye hii dunia ni kwamba sisi sote tutabarikiwa kila mtu kwa mda wake na hatujui njia ya mafanikio yetu itakua je ispokua Mungu peke muhim kua na subra na kumtegemea Mungu
Kwa kwel kupitia ww kaka davistar kuna mambo mengi sana nimejifunza ,harafu nimejifunza kuwa sio kila tajiri ana laha kumbe ni majanga matupu.loh ww kaka barikiwa
Leo nimewah Sana jaman naomben like zenu ...ila Davistar simuliz zako nyingi unapenda kujishika mdomo kwa nn au na ww mganga wako ndo kakwambia ukifanya ivyo utapata watazamaj wengi maana Kila ukiweka video mpya lazima niangalie au ndo ushaniroga 🤔🤔
Acheni tuu nikomae huku🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭nikiafuta halali yangu Halafu unapelekwaa namtu kwamganga je yy alikuwa nitajiri??amaniwale tuu anasikia kule kuna mganga ndokama hivyo unapelekwaa pasipojulikana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpka mr facts anacheka Haha hisia zimekuja mana alishikwaaaa akashikwaaaa naakaingia box jamani AMA ni mamamtu?????? jamani mana nijitu kama halina sura yakujua huyu nifulan😪😪😪😪😪😪😪
Aisee kwanza kitendo cha kusema liliniangalia hadi naogopa make jinc anavyosema yanamacho makubwa na kichwa kikubwa duh make naona kama linaniangalia mm aisee
Huyu jamaa kapelekwa uchawini (Giningi). Maana huko kuna vitengo vingi wanaotaka utajiri, (freemason) uongozi (madaraka) hawa kazi yao ni kutoa kafara (damu). Na hawa waganga wengi wao ni mawakala wa wachawi (wanga) mtihani.
Kumcha Mungu (Yesu Christo)ni kitu chamuhimu Sana mtu anaepuka mabaya mengi
This things do happen in the society,many need our Lord Jesus Christ,for sure.
Mungu akulinde Davister... Nazid kujifunza mambo mengi mapya. Mungu ndie mtoa riziki ya kweli sio shetani.
Ya Allah Tunusuru🙏🙏
The presenter never seen before....🔥🔥🔥 Duuh mmh duniani Kuna MAMBO
Mengi na yakutisha
@@hebronsdaughter1661 Acha tuu
Asante Kaka davistar nmejifunza ktu
Thanks Davistar kwa maswali uko vizuri sana hata sisi tunapata jibu kamili kupitia mswali yako big up my Bro
Hii iko powa Safi davista
SubhanaAllah?! Was waiting for Part 2
Hii ndo 2
Amenichekesha sana japo inasikitisha eti lile lidude nilifanya nalo bwana 😂😂😂😂.
🤣🤣🤣
Ndoo maisha
Hahahaaaaaaa
Yaani watu wana roho ,jameni! Pesa! Pesa. Aky Mungu tusaidie
Allah Akueke Divester mata appreciate you story zako coz bila ww hizo story hatungejua nakufatilia sana divester mata story zako 💯🔥
Et lile lidude nilifanya nalo 😂😂😂🤣🤣🤣 kwel mapenz uchiz unaweza kufanya kitu bila kujijua kisa mapenz tu afu badae ndo ukabak unajuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃
Mungu atustiri atupe mwisho mwema. Asante Davistar kwa part 2
Amiin yarabby
Na yale mamtu sasa!😂😂😂
Hizi pesa ridhika nazo2 kama unapata kula,kuvaa na una pakulala ridhika2 maana uneza ukakutana na ambavyo hujawahi hata kuviwaza😂
Mmmh mnawahii sahivi tuu
Nilichogundua kwenye hii dunia ni kwamba sisi sote tutabarikiwa kila mtu kwa mda wake na hatujui njia ya mafanikio yetu itakua je ispokua Mungu peke muhim kua na subra na kumtegemea Mungu
Kwa kwel kupitia ww kaka davistar kuna mambo mengi sana nimejifunza ,harafu nimejifunza kuwa sio kila tajiri ana laha kumbe ni majanga matupu.loh ww kaka barikiwa
Umechelewa Aki but Ahsante
😥😥😥jamn mali!! haukumbuki kuna kufa nahata kuacha hzo mali jmn
Allh tunusuru na tamaa
Amiin
Jamaa anachekesha sana
Dunia na maajabu yake Ahsante my Davistar kwa part 2 tunaendelea kujifunza kupitia story zako
Kwel mamb
@@mamskiumbe4057 powa
Niambie
Subhanallah ayo yote yako kwaiyi iyi dunia tunayoishi
Duniani kuna mambo ya kutisha asante Davistar bila wewe tusingeyajua haya tunajifunza mengi
Kweli
Kabisa
Haaah,hii stor tamu inachekesha na msimuliaji nimempenda anavyoongea,davist umetisha
Hii story inaniskitisha na kunichekesha pia Allah tusulu waja wako
Lete part 3 nipowa sana
Ahaa Leo nmesongahadi Arobaini na Nane hoyeeee
Hongera Baby
Asante
U are welcome
Mhh jamani humu duniani kuna mambo.
Mungu atulinde jaman 🤗🤗
ehehee.hii part 2 ni noma.utapataje hisia na lijitu kweli haiwezekani heri utoroke😂😂😂uuuuiiiii😂😂😂ushetani huo.
Ndugu zangu tutoshe nahali tulionao tuacane namamba yatamaa
Part3 jamani
Ukiona davistar ana cheka kua story kakolea
Hatari sana.
Hahahaha eti wanashikashikana Mata eeee bn muulixe kabisa wanashikana kivip🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗hisia pap nina zako wewe mtoto wakiume unataka vyakunyongwaa
Au tunaanza kuzoeana sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha! Lile dude bana nilifanyanalo!! Hahahaha! Mama wewe! Mbavu zangu ,YESU nipe pesa za halali!.
Tunajifunza vitu kwako pamoja sana broo
Wee... Davista unataka mpaka kujua style aliyofanywa lijitu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Nimecheka sana yan
Jaman jaman hizi tamaa zitatupeleka wapi?
Limtu lidude ma mtu na huko kutamka nihukohuko kwahao ma mtu 😄
Dunia ina mambo
Lile li dude😁,jamani hii dunia tutasikia mengi na tamaa ya pesa huo ndio mwisho wake..ewee mwenyezi Mungu atunusuru
duuuh!!! uyu jamaa ana bonge moja la episode ya kutishaa sanaaa.. mmmhhhh!!!
😭😭😭😭😭mungu wangu msitamani utajili wakwa mganga😭😭
Kabisa
Nimecheka kama vile mazur eti lilikuwa linanishika nikafanya nalo
Ndanii🇰🇪🙌
Dunia ina Mambo.....
Cjachelewa sana...
Wakwanza
daah watu wengi wanatafuta utajiri wa mafundo
Subhanallah jamani hatar 🙄🤔
Ikizu Nyamswa hm kwetu huko
Episode 3 leta kaka mjomba bado anahuzunika fundisho hiyo fanya utani na pesa .pesa sheyeitani
Nipeleke Mimi jamani😣😣😣nautaka uo utajiri
Wa kwanza
Mhh hatariii nimecheka hivo alivosema amelala chaliii
Dhuuuu unaona vitu vya pita juu ya anga😂🤣🤣🤣
Leo nimekuwa wa 70 kweli wkend tamu
Hongeraa mm wa 121
Aiseee yani kk huko kama umetoka bac unafaa kutubia sana na umlilie Mola wako na uwende muomba mamako mzazi msamah pia
Ulifanya ndio ukawa na mazoea na wao dhuuu balaa aiseee
Kifo cha mende 😂😂😂
128 kusikiliza story
Mhuuuuu Jamaniii nihatali
Leo nimewah Sana jaman naomben like zenu ...ila Davistar simuliz zako nyingi unapenda kujishika mdomo kwa nn au na ww mganga wako ndo kakwambia ukifanya ivyo utapata watazamaj wengi maana Kila ukiweka video mpya lazima niangalie au ndo ushaniroga 🤔🤔
Apana bana ajapewa masharaiti ya kushika mdomo isipokuwa anasitajabu na aya anayosimuliwa na wasimuliaji ua awaoni shida kabisa
Moja ya pozi pale unapo sikiliza vitu vya kutisha ukisikiliza kwa makin
Yaan uyu jamaa duuh anainama ataki hata kuonekana kabisa davistar pole na kaz
jang'ombe boys
jangombeboys1999
53 nikae wapi
Heeeeeee🙄🙄dunia mbaya hiiiii duh
Apana dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya
Lile lidude hahaaaaaa
Leo wa1 from🇧🇮
🇧🇮😍
Hi zainabu
Duuuh Leo wa miasita🤣🤣😂
Weka na 3 kabisa
😁😁😁😁😁😁eti lile lidude woooiiiiii
Acheni tuu nikomae huku🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭nikiafuta halali yangu
Halafu unapelekwaa namtu kwamganga je yy alikuwa nitajiri??amaniwale tuu anasikia kule kuna mganga ndokama hivyo unapelekwaa pasipojulikana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh duniani Kuna mambo .....🙄🙄🙄
Kwa nini watu wengi ni wavivu hawataki kuchoka,yani wanataka kula tu na kuishi vizuri bila kufanya kazi
Uvumilivu kafika ugumu wa maisha
Tena awa kaka zetu wanaongoza kwa kutaka shoti kati mtu kijana mdogo bado unataka utajili wa lazima
wana habari hatari sana mnachimbua kujua kila kitu😁😁😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣mbona kama wa nyumbani😂😂kondoo wa mzee huyuuu
Duuuh ya mungu mengi
Mungu wangu kuna balaa duniani jamani kila mwenye ngoma yake anacheza 💔
Mpka mr facts anacheka Haha hisia zimekuja mana alishikwaaaa akashikwaaaa naakaingia box jamani AMA ni mamamtu?????? jamani mana nijitu kama halina sura yakujua huyu nifulan😪😪😪😪😪😪😪
Davister hebu tuletee muendelezezo haraka jamani....hata tigopesa tutachanga sisi ili story iendelee Leo Leo...Maana mtu kaishalala la Jitu huku🤣🤣🤣🤣
😀
@@ericalexandre2166 tamaa bin tamaa kashakula jitu hukuu🤣🤣🤣
@@tayanabenard4392kwenye hilo tunda hua hatuna ujanja😀
@@tayanabenard4392 naomba fcb yako, yangu ni Eric daniel na picha ni meli ikiwa baharini
Daaah 😥😥😥😥nimesubilia weee then nakua wa 7
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulizimiss hizi story... Maajabu ya dunia 😞😞
Hiyo yote ni kupata na kutafuta hela
Dunia kuna mamb ya atr sna
mi lugha yako tuuu hoi😀
CHANEL SAFI, NASHAURI UONGEZE MICE ZIWE MBILI
Dunian kuna mambo kuna sehem zipo dunian watu wanafanyia mambo yao ila hazionekan kwa kawaida duh
Misukule Iyo Ndugu Zao Waliona Waliwazika Kumbe So Kweli Wako Utumwani
Aisee kwanza kitendo cha kusema liliniangalia hadi naogopa make jinc anavyosema yanamacho makubwa na kichwa kikubwa duh make naona kama linaniangalia mm aisee
Nilivyoitafuta hii clip
Lafudhi yake inafurahisha inakufanya usichoke,ila anatia sana huruma anaonekana kujuta i believe hata Mungu kamsamehe kaonekana kujutia kosa lake
Huyu jamaa kapelekwa uchawini (Giningi). Maana huko kuna vitengo vingi wanaotaka utajiri, (freemason) uongozi (madaraka) hawa kazi yao ni kutoa kafara (damu). Na hawa waganga wengi wao ni mawakala wa wachawi (wanga) mtihani.
Waganga wengi wanga shirika moja na wachawiii
🤔🤔