@@Yourshaban Ukiyauliza Hilo swali yale majini yatakujibu vizuri sana. Maana wengi tunajiuliza hivyo hasa si tu majini kuvaa hayo mavazi bali kujiita Kwa majina ya kiislamu. Halafu hata nayo hayapendi Kabisa kula nguruwe.
😂 😂 Majina ya kiislamu sio uislam. Uislam ni kitu kingine na majina ni kitu kingine, kwenye mafundisho ya uislam tumeambiwa tuitane majina yaliomazuri so Jina lolote zuri unaweza kumuita muislam NB uislam hauna majina ni kiutamaduni cha watu flan wachache ila sio uislam epuka matapeli.Kama ilivo kwenye mavaz uislam sio kanzu wala kofia, nguo yoyote inayozingatia sheria za vaz la kiislamu inaruhusiwa kuvaa. Kama ilivo uislam sio uarabu basi uislam hauwez kuujaji kwa mavaz au majina. Kuhusu majini hayali nguruwe ilo sijui ila haiwez kua fact ya uislam na majin ni kitu kimoja, mbona majini wanakula nyama za watu lakin waislam hawali nyama za watu 😂. Uislam sio majini
Tuko hapa boss.....tunasikiza vituz Oooh huyu mama niliomba sana kumsikiza akiwa hapa najua Davistar atamuuliza maswali yale tunataka kuyasikia majibu yake. Karibu sana Dada ama Mama kwa Davistar
hawa watu wanaosema walikuwa Waisalamu mbona hawana hata dalili kama kama walishawahi kuwa waislamu ? labda Omar Mnyeshani ndo anaonesha kweli alikuwa Muislamu ila huyu mama na yule Kanyerere ni waongo tu mimi nahisi wanatangaza tu ukristo na kuuchafua uislam ila nawaambia tu uislam hamjaanza nyie kuupiga vita na upo mpaka leo
Hawa watumishi wa hapa matapeli sana meshak alienda wapi kwani story iliisha yule wa iringa mwizi mwingine hapa kwa hizi mikasa fwata story peke hio ingine ni utapeli mtupu kama vile yule mkude vile qnaiba watu nyota akionyesha wanawake uchi wake
Wanadamu wacheni kuwa na mioyo migumu tambueni alama za nyakati mwenye dunia amekaribia kurudi(YESU)
Vepe mr facts?.hongera kwa kazi nzuri
Weka muendelezo kaka hii Kali Sana
Tupo Mr everything 💪 pamoja saana dm 🙏
Inna lillah wa inna ilayhi rajiun.ulikuwa hawuna imani ulikuwa mwisram kwa jina
Muislamu jina imani kwa sheirwani
😆Mvua njooo...Katarina usije😂
Hongela kwa kuacha mapambo nakusuka hayampendezi Mungu endelea kufunga lemba
Sure🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Inna lilah waina elehi rajioon
Nimefika hii ni 🔥🔥
Number one
Mungu atusaidie
Mr dm yupo pamoja
Hapa Niko kwa ajili ya kujifunza mambo ya ulimwengu usionekana
Ndio walewale
Muulize huko kuzimu alikutana na Kanyerere, Meshack na chief Gikalo a.k.a Zabron Mwita🤣🤣
Angewajuaje akati kuzimu kuna watu kibao tu??
Dah noma sana
Kwan tarakea ameishia wapi🙄🙄🙄
Mtumishi jina lake nani
Tuko pamoja ndugu tuendree
Story za wachungaji ni zakutunga
Endeleeni kuamini hivyo IPO siku mtabaini ukweli wakati mmechelewa
@@edwardsamwel5084 sidanganyiki ng'oo
Kweli kbs wanatengeneza njia ya kupiga pesa
Safi sana dada
Alivaa Kibarakeshea na Kanzu nyeupe. Lohh wenye masikio na wasikie. Dini tunazofuata hizi
Kwan kanzu na kibagarashia ndo uislam
@@Yourshaban Ukiyauliza Hilo swali yale majini yatakujibu vizuri sana. Maana wengi tunajiuliza hivyo hasa si tu majini kuvaa hayo mavazi bali kujiita Kwa majina ya kiislamu. Halafu hata nayo hayapendi Kabisa kula nguruwe.
😂 😂 Majina ya kiislamu sio uislam. Uislam ni kitu kingine na majina ni kitu kingine, kwenye mafundisho ya uislam tumeambiwa tuitane majina yaliomazuri so Jina lolote zuri unaweza kumuita muislam NB uislam hauna majina ni kiutamaduni cha watu flan wachache ila sio uislam epuka matapeli.Kama ilivo kwenye mavaz uislam sio kanzu wala kofia, nguo yoyote inayozingatia sheria za vaz la kiislamu inaruhusiwa kuvaa. Kama ilivo uislam sio uarabu basi uislam hauwez kuujaji kwa mavaz au majina. Kuhusu majini hayali nguruwe ilo sijui ila haiwez kua fact ya uislam na majin ni kitu kimoja, mbona majini wanakula nyama za watu lakin waislam hawali nyama za watu 😂. Uislam sio majini
😭
Ndio naanza nayo sasa nilikuwa busy sana tuko pammoja Mr dm
Mr faxts DM MEDIA
Hallooo Rais wa nchi ya kenya alisimamaisha speech aliposkia mwadhini inakuaje ndugunyie musistopishe kidogo ili mwadhani uishe
Duh
Wapili💪
Je naomba umuulize alikuwa anampapesa ? Na alihitumia kawaida
Tuko hapa boss.....tunasikiza vituz
Oooh huyu mama niliomba sana kumsikiza akiwa hapa najua Davistar atamuuliza maswali yale tunataka kuyasikia majibu yake.
Karibu sana Dada ama Mama kwa Davistar
🙆♀️🙆♀️🙆♀️
hawa watu wanaosema walikuwa Waisalamu mbona hawana hata dalili kama kama walishawahi kuwa waislamu ? labda Omar Mnyeshani ndo anaonesha kweli alikuwa Muislamu ila huyu mama na yule Kanyerere ni waongo tu mimi nahisi wanatangaza tu ukristo na kuuchafua uislam ila nawaambia tu uislam hamjaanza nyie kuupiga vita na upo mpaka leo
Ngoj tuendelee na wat waliofk uko
Kisha dav umulize hayo majini kwa nini wale binadamu na damu ya mtu kwann hawali vyakula kama va sisi wanadamu
@@ikabako2454 imagine wangekula matembere washezi sana
Neysan Abi Part 3
Hawa watumishi wa hapa matapeli sana meshak alienda wapi kwani story iliisha yule wa iringa mwizi mwingine hapa kwa hizi mikasa fwata story peke hio ingine ni utapeli mtupu kama vile yule mkude vile qnaiba watu nyota akionyesha wanawake uchi wake
Kwanini uja wambia wazazi wako mambili unatokewa namtu wa miujiza nakupotea alafu wewe unanyamaza au umetunga stoli yako?
Hii ni story ya kutunga ndiomana hata vitu vingine hakumbuki ilikua nn
Muhuni tu huyo hajui lolote