NILIFUNGA NDOA MIEZI MICHACHE BAADA YA KUKUTANA MTANDAONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Maisha ya UHOLANZI, Ndoa, malezi ya watoto na maisha ya kusaidiana.
    Ametufunza namna ya kuwasiliana na mwenza wako na kujituma.
    Tabia za wa Dutch na upendo wao.
    Recording ya Video hii ilikua inachelewa sauti, na sio kama nilikua na katisha kuongea Editha.
    Pia anasaidia wale wanaohitaji visa, unaweza ku subscribe kwa Channel yake kujua mengi ‪@reindersfamily8280‬
    Thank you to Editha fow allowing it to be online

Комментарии • 78

  • @irenekasonga7970
    @irenekasonga7970 6 месяцев назад

    Kumbe kuwa na mzungu ni ndoto nilijua kuwa na nyumba nzuri gari nzuri kazi nzuri .Maisha ni kujifunza 😂

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 3 месяца назад

    Hongera sana dada.yangu

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 3 месяца назад +1

    Mimi naishi Amsterdam mwaka 40 hapa Holland wanawake wa ki Africa wamewafanya wazungu wabadilike sana juu dada zetu wanaomba sana sio vizuri

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 месяца назад

      Ujumbe mzuri,
      Karibu sana kwa kipindi upate kutufunza vijana
      WhatsApp +4367764790884

  • @MsMasola
    @MsMasola 6 месяцев назад

    Ubarikiwe sana Editha wewe ni mke mwema hakika ndoa yako itafika mbali. Mungu wa mbinguni akutunze na upendo wenu udumu daima.

  • @jescamongi3583
    @jescamongi3583 Год назад +2

    Wow nimefurah kumuona Mwanafunz wangu machachari kabisa Stesheni Editha! Hongera mama

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 Год назад +4

    My sister shena shurkn sana nimekupeta sana daa shena

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy Год назад +13

    Hii channel ipo hot sana, mrembo Shennah tunashukuru kwa upendo mrembo wetu,jaman tukumbuke kusubscribe kazi hii,kama yeye kaamua kutupa madin na cc mchango wetu ni kusubscribe jmn na hako kakengere basi.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад

      Ahsante sana sana, tujitahidi kushare na kusubscribe.. watanzania wagumu kusubscribe 😁

    • @juliethkereth8911
      @juliethkereth8911 Год назад

      Mambo mamy, Mimi ni msichana Niko arusha tanzania

    • @Alinyambere-tu4dy
      @Alinyambere-tu4dy Год назад

      ​@@OfficialDatingAssistancembona sisi hatupati nyie mnawatoa wap?😂

    • @Lizzyktd
      @Lizzyktd Год назад

      ​@@OfficialDatingAssistance😅😅😅😅😅😅

  • @abuumwichumu5520
    @abuumwichumu5520 6 месяцев назад +1

    Daaa Kweli dada , niwe mkweli nimeanza kukufutilia kitambo na kufanyia ushauri wako unaotoa, namimi niko na mpenz wangu WA KIZUNGU MDADA KATOKA MALAYSIA MPAKA TZ NIKO NAE NIKAMA NDOTO NIMDA WA MIEZI 5 leo Niko nae Asante kwa darasa zuri👏🔥🔥👍

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  6 месяцев назад

      Woow Hongera sana sana
      Glory to God 🙏
      Karibu sana kwa kipindi +4367764790884

    • @abuumwichumu5520
      @abuumwichumu5520 6 месяцев назад

      @@OfficialDatingAssistance asante dada ntakuchek soon , don’t worry soon TUNAELEKEA MALAYSIA

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 10 месяцев назад

    Hongera shena

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 Год назад +3

    Beatiful chanel

  • @willymonyo8701
    @willymonyo8701 Год назад +4

    Edita anaongea vizuri sana

  • @janengowi2724
    @janengowi2724 Год назад +5

    Dada ameongea vizuri sana

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 Год назад +1

    mm nimgeni hapa nimeipenda mazungumzo mazuri

  • @willymonyo8701
    @willymonyo8701 Год назад +4

    awe mwembamba ivi model flani,mkristo,mwenye hofu ya Mungu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад

      Kwa uwezo wa Mungu utapata kabisa

    • @hamidahnassoro-12
      @hamidahnassoro-12 Год назад +1

      @@OfficialDatingAssistance mungu ni mwema ,naomba dua zako shen unapo sali na mimi naomba nipate mume mwema kupitia dating site yako ,siku moja uje unifanyie intervew ishaalah

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog Год назад +2

    🔥🔥

  • @pmpaga1063
    @pmpaga1063 9 месяцев назад

    Eeey mama Zoe❤

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 Год назад +5

    Naomba kujua jinsi ya kujiunga

  • @RoseJakandango
    @RoseJakandango 3 месяца назад

    Connection problems shena

  • @fahadmkumbwa
    @fahadmkumbwa Год назад +4

    Naomba mawasiliano yenu@Editha @Shena nahitaji msaada regarding VISA application.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Atakusaidia Editha, RUclips chaannel yake ni @reindersfamily utaweza mcheck kwa contact

  • @witnessfelix3336
    @witnessfelix3336 Год назад +1

    Habar mamy.nmechelewa kidogo ila naomba contains za uyu dada maana namm anaishi uholanzi

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz Год назад

    Shena nakupata

  • @alicedavis5154
    @alicedavis5154 Год назад +2

    Ameongea ukweli jamani na vizuri sana about 50/50 its mumeo sio danga lako

  • @ameirhemed210
    @ameirhemed210 Год назад +1

    Asalamualaykum dada NAOMBA huwo mtandao NAKUOMBA hilojinalake

  • @WemadJuma-fj5ku
    @WemadJuma-fj5ku Год назад +1

    Dada najiungaje

  • @freelancerhafiz
    @freelancerhafiz Год назад +3

    Hello mam, Can I make suggestions to grow your channel?

  • @janetmtweve5590
    @janetmtweve5590 Год назад +2

    Nipo hapa lakin sijajuwa namna ja kujiuga nafanya je ili nijiuge au una app

  • @aminajuma4743
    @aminajuma4743 Год назад

    Dada anaongeza viruses sanatorium kwakwel

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le Год назад

    Kwel uvumilivu ni muhim ila Kuna wat wanauz kwel olne date wanapnd ujinga wa picha
    Mbov akusubtu nawablock tu

  • @ruthmashambo373
    @ruthmashambo373 Год назад +1

    Natamani kujiunga, inakuwaje?

  • @salimkapilima4305
    @salimkapilima4305 Год назад

    2:29 Why don't you wearing hijabu?.

  • @IreneMuro-sk2dj
    @IreneMuro-sk2dj Год назад

    He nimtandao gan aliyokutana na mume wake

  • @mariamahmad8261
    @mariamahmad8261 Год назад +1

    Wataki gani mnakuwa online