Well explained Engineer, we've to follow procedures in building construction & specification of materials. Fundi Maiko's hawawezi kuelewa structural design, structural analysis & materials test
Boss unatuelewesha vizu ila ni swali huo ujenzi wa magorofa unaofanyika kwa sasa unazingatia kuwa maeneo makubwa ya majengo hayo hutumika kama magodauni ya kuhifazia mizigo je hayo majengo yanajengwa kwa uimara wa kubeba mizigoo
Wananchi. Tafadhali jiongezeni. Uhai wa mtu nimuhimu kuliko chochote. Kama uko kwenye gorofa au undeground shops na kuna issues za uchakavu,. We hama tuu mara moja.
Shida nyingine ya maghorofa ya Kariakoo ni kutumika kwa matumizi tofauti. Ghorofa liko designed kwaajili ya makazi lkn linatumika kama godown. Maghorofa mengi Kariakoo yanatumika kama magodown
Mafundi yunakutana na hizi situation sana Changamoto ni pale unataka kupeleka malalamiko sehem hisika halaf hzo mamlaka znakuja kumfata muhusika wanayamaliza kimyakimya na wewe fundi uliotoa hyo taarifa kibarua kinaishia hapo either unafukuzwa au hata kuuwawa, Kwa kuhofia hayo na hali zetu duni za kimaisha inabidi ukae kimya ili uendelee kupata kazi hapo na familia iishi. Siyo kwamba hatujui kuwa ni hatari hilo tunajua kabisa sie mafundi na ni maeneo mengi nmeona mengine ni miradi kabisa ya Serikali na mainjinia wanakuja kila siku😢
Yaaani Kariakoo Kipindi Kile Limepiga Chini ilikuwaga Hivi Hivi Weeee ikapotezewa ila Kiukweli wazoefu wengi wanasema Mle Magorofa Mengi Ni Mungu Saidiaa Tu🚶🚶🤔Mfano Hili lililo angauka Zile Nondo za Kwenye Lenta ya Nyumba Ndio Za Kuweka Kweli..?
Engineer , sio tatizo la wananchi kutoa taarifa Kwa vyombo husika, sisi wananchi tunatoa taarifa nyingi tu na sio majengo tu but tunavunjika amani ya kutosikilizwa na sehem husika ya wale tunawapelekea taarifa, Kwa mfano unaweza kutoa taarifa akaja huyo manispa engineer but akipewa rushwa hajali na anajua matokeo yake inakuaje, in short hatuna uzalendo
Huyu mtaalam ameongea mambo makubwa na mazito sn ya kweli kbs,yaani jiji au manispaa zinasimamiaje majengo wkt hawana wanachokiweza zaidi ya kutafuta wakandarasi wa kubeba taka tu,angali k,koo watu wanakarabati na kujenga nyumba za chini wkt sheria inakataza,wkt fulani utawala wa Mzee JK alikuja mkuregenzi mkali ht ukijenga paa zikaingia barabarani ilivunjwa,jiji likapendeza muda tu akavunja paa za wenye nguvu ya kisiasa akaondolewa Dar cjui alipelekwa wp,uchafu ukaanza tena Dar mpk leo,Dawa ya hili tatizo sugu waziri anaweza kupambana nalo ni kijana Jerry Silaa tu,maana toka atoke wizara km haipo kbs
Engeenia umesema wewe umeshiriki majengo mentioned tunaanza uchunguzi wa majengo hapo kariakoo business kukuta na wewe umo kwenye walioshiriki kusimamia majengo mabovu broo
Wananchi. Tafadhali jiongezeni. Uhai wa mtu nimuhimu kuliko chochote. Kama uko kwenye gorofa au undeground shops na kuna issues za uchakavu,. We hama tuu mara moja.
Engineer upo vizuri sana na serious.
Shida nadhani jengo ni Mali ya nani katika uwajibikaji
Well explained Engineer, we've to follow procedures in building construction & specification of materials. Fundi Maiko's hawawezi kuelewa structural design, structural analysis & materials test
Mi fundi maiko, ila jamaa kasema ukwer,
Boss unatuelewesha vizu ila ni swali huo ujenzi wa magorofa unaofanyika kwa sasa unazingatia kuwa maeneo makubwa ya majengo hayo hutumika kama magodauni ya kuhifazia mizigo je hayo majengo yanajengwa kwa uimara wa kubeba mizigoo
Huyu si ndiye alitoa taarifa za kuchangia ununuzi wa helicopter ya mgombea urais wa CCM?
Bibi wa kizungu ameona hiyo kipara akawa haielewi😂😂(utani)
😂
Shida ni Moja hatamkipewa talifaa mnaendaga kupiga mpunga tu na kusepa hata balabala zetu za lami kunazingine zinachekesha sana
Je ukaguzi wa majengo unafanyika kwa usahihi , ukichunguza hilo jengo utagundua rushwa ilitumika
Hiyo ulosema ni rushwa tupu
Ko baada ya tukio ndo nmainua vichwa
ebu kakaguweni lile la mwijaku ninamashaka nalo lisije likaleta maafa
pesa sio kila kitu watu tunao waita maskini na vibaka ndio msaada kwetu mungu tujalie mwisho mwema inshaallah
Injinia mmejenga family apartment sio cargos godowns,,tusidanganyane hapo,nyie wataalam mlijie hili,mbona magari yanapimwa uzito,kwa nn usipimwe uzito
Asante sana kwa elimu nzur sana engineer ila fanyeni utafiti mkague magorofa Tena upya ili huu uzembe usijitikeze Tena tumepoteza ndugu zetu
Tatizo tunaishi kwenye mfumo wa Ujamaa. wakati nyakati za Ujamaa zishapitaga. Wizara ya ujenzi ni lazima watoe elimu na kukemea ujenzi ulela.
Eng saf sana ww mtu hupendi umbea muwazi safi gentleman
Uzembe wa serikari ndo unagharinu maisha ya wananchi ngoja tuisome namba
Msiilaumu serikali tu. Hivi amuoni hii ni mitihani inawapitia ata Watu wa Gaza na Israel.
Wananchi. Tafadhali jiongezeni. Uhai wa mtu nimuhimu kuliko chochote. Kama uko kwenye gorofa au undeground shops na kuna issues za uchakavu,. We hama tuu mara moja.
Shida nyingine ya maghorofa ya Kariakoo ni kutumika kwa matumizi tofauti. Ghorofa liko designed kwaajili ya makazi lkn linatumika kama godown. Maghorofa mengi Kariakoo yanatumika kama magodown
Mafundi yunakutana na hizi situation sana
Changamoto ni pale unataka kupeleka malalamiko sehem hisika halaf hzo mamlaka znakuja kumfata muhusika wanayamaliza kimyakimya na wewe fundi uliotoa hyo taarifa kibarua kinaishia hapo either unafukuzwa au hata kuuwawa,
Kwa kuhofia hayo na hali zetu duni za kimaisha inabidi ukae kimya ili uendelee kupata kazi hapo na familia iishi.
Siyo kwamba hatujui kuwa ni hatari hilo tunajua kabisa sie mafundi na ni maeneo mengi nmeona mengine ni miradi kabisa ya Serikali na mainjinia wanakuja kila siku😢
Yaaani Kariakoo Kipindi Kile Limepiga Chini ilikuwaga Hivi Hivi Weeee ikapotezewa ila Kiukweli wazoefu wengi wanasema Mle Magorofa Mengi Ni Mungu Saidiaa Tu🚶🚶🤔Mfano Hili lililo angauka Zile Nondo za Kwenye Lenta ya Nyumba Ndio Za Kuweka Kweli..?
Engineer , sio tatizo la wananchi kutoa taarifa Kwa vyombo husika, sisi wananchi tunatoa taarifa nyingi tu na sio majengo tu but tunavunjika amani ya kutosikilizwa na sehem husika ya wale tunawapelekea taarifa, Kwa mfano unaweza kutoa taarifa akaja huyo manispa engineer but akipewa rushwa hajali na anajua matokeo yake inakuaje, in short hatuna uzalendo
Hapa naona watu wakikimbia maghorofa kwenye kupanga
Na kweli matajiri wengi hawajasoma,wanaona wataalamu hawana maana,ndio matokeo yake,elimu kitu cha muhimu hata Kama una el a l kiasi gani
Huyu mtaalam ameongea mambo makubwa na mazito sn ya kweli kbs,yaani jiji au manispaa zinasimamiaje majengo wkt hawana wanachokiweza zaidi ya kutafuta wakandarasi wa kubeba taka tu,angali k,koo watu wanakarabati na kujenga nyumba za chini wkt sheria inakataza,wkt fulani utawala wa Mzee JK alikuja mkuregenzi mkali ht ukijenga paa zikaingia barabarani ilivunjwa,jiji likapendeza muda tu akavunja paa za wenye nguvu ya kisiasa akaondolewa Dar cjui alipelekwa wp,uchafu ukaanza tena Dar mpk leo,Dawa ya hili tatizo sugu waziri anaweza kupambana nalo ni kijana Jerry Silaa tu,maana toka atoke wizara km haipo kbs
Engeenia umesema wewe umeshiriki majengo mentioned tunaanza uchunguzi wa majengo hapo kariakoo business kukuta na wewe umo kwenye walioshiriki kusimamia majengo mabovu broo
Kwa Zile Nondo lazima lipige chini
USHAAMBIWA JENGO LIMETIKISWA HUKO KTK BASEMENT ,HALAFU PIA LINABEBA MIZIGO YA KUTOSHA UONI NDIO TATIZO HILO,TUACHE SIASA ANGALIA SOURCE
Watuite tujitolee kufanya structural analysis ya majengo iwe kama audit
We nani hadi uitwe?😂😂😂😂