Hamna kitu kizuri duniani kama kumsifu Mungu, Yaani kuna kitu Mungu ameweka kwenye maombi na sifa, when you do it you find peace, clarity, grace n favor in it, Praiseeeeeeeeeeeee to GOD🙌🏻
Mimi naomba like za wapigaa vyomboo kwa ujumlaa najionaa kama naskiliza zile worship za majuu jamani, its so yammy in spirit ! Embuu hands up kwao basi !✋️✋️✋️✋️
Nimeuskia huu wimbo first time kwenye mkesha wa NY 2025 kwa PT! This is my song the whole of this yearrr! Asante Mungu kwa kuwatumia watumishi wako ku-minister through this song! Kila ninalolifanya mimi linafanikiwa💥🙌🏾
T🇹🇿nzania, T🇹🇿nzania my T🇹🇿nzania , Mungu wa mbinguni aendelee kukuinua T🇹🇿🇹🇿nzania kwa ajili ya utukufu wake. Tumalize kazi Yesu arudi twende nyumbani. MSINISUMBUE BWANA , Yesu ni Bwana ❤️👍🏽🙌🏾😏🙏🏿🙏🏿❤️😍
I have been listening to this since when it was new without watching it. Today after watching it I have realised it is more powerful than I thought it to be
uuuuuuuuuuuu,,,, UHALISIA WA WANA WA MUNGU, MAJITU YA IMANI, KIZAZI CHA ROHO MTAKATIFU. Pembleviankuka alabadabale ASKALETA 🕊️ YESU NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA
Wakati wengine wanasubirii mamboo yao yanyooke katika dunia hii sisi tunae Yesu anaeyanyoosha... sisi twazaa kwa majira yetu... sitaki mtu anisumbue 😂😂 nalishwa kwa manna... USINISUMBUE BHANA..😂😂❤❤❤ maana kila nalo lifanya linafanikiwa katika jina la Yesu Bwana wangu
Based on psalms 1:3 am like a tree planted besides rivers of water,I bring forth fruits on its time.am like the leaf that don't wither.whatever I do prospers. Few days ago ave been meditating on this scripture then boom Zaravo andElia dropped this.😢😢 Am so so blessed.to God be the glory
Wimbo huu siku haipoti kama sijausikiliza nalia tu nikitafakari uaminifu wa Mungu. Nina sababu ya kumtukuza Yesu kuwe jua au mvua. Amenilisha kwa Manna.❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
YESU NDIYE BWANA ina every are of my life...sema Nini I'm going to put it on repeat hadi muombe energy drink 😂😂😂 We are blessed by your ministry brother Eliya.
Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏
Hahahahaaaa nlichokiomba nmekipata......YESU AWATUNZE SANA SANA .......THIS IS MY SONG RIGHT HERE GOD BLESS THESE MINISTERS OF OUR COUNTRY WANAPOKUNGOJEA WASINGOJE WAKIWA WAMELALA BALI WAKUWA WANAOMBA🙌🙌🙌🙌
God bless, I cant tired to listen the song from the I hered live at Arusha, alaf tena baada kwa ile clip ya mama wa calvary temple nimezidi kuupenda😂😂😂😂
Mbalikiwe sana ila aisee Uimbaji wako uko sawaa kabisa na umejipambanua unajua unachokifanya ndo maana Mungu pia anahusikq kuvuvia nguvu za Mungu kwenye Huduma hii ya Mtumishi wa Mungu Eliya Mtishibi 🔥 🔥 🙌 🙌 🙌 You nail it be blessed by the al Might GOD Mungu akuinue zaidi na zaidi. Drummer🙏🙏🙏Ubalikiwe.
Hamna kitu kizuri duniani kama kumsifu Mungu, Yaani kuna kitu Mungu ameweka kwenye maombi na sifa, when you do it you find peace, clarity, grace n favor in it, Praiseeeeeeeeeeeee to GOD🙌🏻
Kaka tupo pamoja mungu akuzidishe katka huduma yako na akupandishe viwango🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰
Yeah GOD is everything ❤❤
Wimbo wa imani. Imani ni kuona kabla ya kuona. Ni kuandaa sahani na maji ya kunawa mikono kabla ya kujua chakula kitatoka wapi. I like it
Mimi naomba like za wapigaa vyomboo kwa ujumlaa najionaa kama naskiliza zile worship za majuu jamani, its so yammy in spirit ! Embuu hands up kwao basi !✋️✋️✋️✋️
Nimeuskia huu wimbo first time kwenye mkesha wa NY 2025 kwa PT! This is my song the whole of this yearrr! Asante Mungu kwa kuwatumia watumishi wako ku-minister through this song! Kila ninalolifanya mimi linafanikiwa💥🙌🏾
DRUMMER DRUMMER DRUMMER and BASSIST YOU GUYS ARE PROFESSIONAL MAY GOD BLESS YOU ELIA MTISHIBI
Surely drummer 🙌🙌🙌
Kifupi musicians wote wapo vizuri sanaa plus back vocals aiseee 🙌🙌 Eliya Mtishibi be blessed man of God
Indeed Amen Amen 🙏
Ibrahim malema drummer
Tunaomba uu wimbo Audiomack jaman
T🇹🇿nzania, T🇹🇿nzania my T🇹🇿nzania , Mungu wa mbinguni aendelee kukuinua T🇹🇿🇹🇿nzania kwa ajili ya utukufu wake. Tumalize kazi Yesu arudi twende nyumbani. MSINISUMBUE BWANA , Yesu ni Bwana ❤️👍🏽🙌🏾😏🙏🏿🙏🏿❤️😍
Wapi likes za wakenya jamen!,,huu wimbo ni🔥,,much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@danielkambi1806 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 here ,getting 🙌.
Watz Tupo Pia Ndugu Zetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Although We are Not Only Kenyan! Do You Know You That? Let unity Together achana Nayo Hizo Mambo Selfishness Ni Mbaya Inagawa Watu.
I have been listening to this since when it was new without watching it. Today after watching it I have realised it is more powerful than I thought it to be
Aisee Nimependa hili vibe la Eliya. Wimbo mkubwa sana huu
VERY POWERFUL SONG,BARIKIWA SANA BROTHER
Wapiga Vyoombooo Mungu awabariki🔥🔥🔥
Ila huyu BASE GUITARISTS😭😭🔥🔥🔥✨🙌🙌🙌 Nitamtafutia Mirinda Nyeusi ashushie.
Kwa mara nyingine tena bassist bassist hatariiii sana jamani narudia huu wimbo mara ya mia na kitu... drummist 🥁 and bassist hi👌 🇰🇪💕💕💕💕💕💕💕
Waooooooh🎉🎉🎉🎉 kama mti uliopandwa aa a random usiokomaa ninazaa kwa yangu majira ❤❤
wapi likes za watoto Mungu
Nikiwa na mawazo waga napenda kusikiliza mimbo ya dini
Kila ninalo lifanya mimi linafanikiwa usiku hata mchana ananilisha kwa mana 🙌🙌🙌 Glory be to God
😂😂wapi nduru ya Yesuuuuuuuuuu🎶🎶🎶🎶🙉❤️❤️❤️
I appreciate it God bless you 🙏
Usiniumbue bwana Yesu ni bwana
Im so blessed with this song! Great work Eliya mtishibi .... wimbo umepanda kama harufu nzuri mbele za MUNGU.❤
Amen!!!
uuuuuuuuuuuu,,,, UHALISIA WA WANA WA MUNGU, MAJITU YA IMANI, KIZAZI CHA ROHO MTAKATIFU.
Pembleviankuka alabadabale
ASKALETA 🕊️
YESU NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA
Majitu ya Imani kizazi cha Roho mtakatifu. I love this ❤️
I love the song jamanii,nahudumiwaa
Bassist amekaa vizuri sana hususan mwanzo pamoja na drummist 🥁 kazi safiiiii
MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU
Yesu ni Bwana👏🏽👏🏽👏🏽💥🔥💥..more grace #Zoravo and Mtishibi🙏🏽
Drummer 🥁 God bless your hand ...bass 🙌
Backup vacalists wako sambamba kabisaa 👍👍
Holy spirit singing through his man Mtishbi🙌...
Wonderful wonderful
This song just blessed my heart this morning
Usichelewe kutupatia audio kwenye digital platforms 🙌🙌🙌 hii imeenda ❤️🔥❤️🔥💯
Khaaaaa!! Bonge la wimbooo uuuuuuwii,, MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU🙌🙌🙌🙌🙌
Wonderful ❤❤❤
Wakati wengine wanasubirii mamboo yao yanyooke katika dunia hii sisi tunae Yesu anaeyanyoosha... sisi twazaa kwa majira yetu... sitaki mtu anisumbue 😂😂 nalishwa kwa manna... USINISUMBUE BHANA..😂😂❤❤❤ maana kila nalo lifanya linafanikiwa katika jina la Yesu Bwana wangu
Kuna raha kwenye kumsifu Bwana
😂😂🙏
@@GraceMichael-jf7pb Hallelujah Hallelujah Yesu ni bwana 🙌🏾🙌🏾
🔥🔥🔥🔥 Wimbo huu unanihudumia sana. Be blessed man of God.
Ila u guys ministering together has been our dream 🙏🙏
What a powerful prophetic ministration.May this song minister to the hearts of many
just saw this song and knew this is truly a powerful ministration song, great revelation indeed, Glory to God and more grace to this servants of God.
Amen nyimbo nzuri sana
My brother these two songs nakujia kwa jina la BWANA and this one the revelations are too deep
Kwanza ngoja ngoja yaumiza matumba bhanaa!!!! YESU NI BWANA bhnaa, msinisumbue bhnaa!!! 😂😂
Ananilisha Kwa mana hakika..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbarikiwe watumishi waungu
MASTERPIECE❤️🔥💯
Based on psalms 1:3 am like a tree planted besides rivers of water,I bring forth fruits on its time.am like the leaf that don't wither.whatever I do prospers. Few days ago ave been meditating on this scripture then boom Zaravo andElia dropped this.😢😢 Am so so blessed.to God be the glory
Yesu Ndiye Bwana
ELIA mtishibi wueh!love from KE!
Usinisumbue Banaaaaaa, 🔥🔥🔥🔥🔥 Yesu ni MWOKOZI BWANA. Tunahudumiwa kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 I love the collabo #Zoravo🔥🔥
I just love you men of God....may God bless you abundantly❤❤❤
Narudia rudia kusikiliza hii song.
Hakika Mnaubariki moyo🎉🎉🎉...
Kwa ajili tu ya UTUKUFU wa Baba Mbinguni Mtunzwe sana❤
Amazing song
Wimbo wangu Wa kila siku..natamani kila mtu ausikie Ni maneno mazito Sana ukiyatafakari
Namuona bro kusula Kwa piano anafanya yake God bless you
YESU NDIYE BWANA💯🔥🔥
Wanangoja amani ije ndipo wamsif si twamsifu vitani weee hataree na ngome za babeli zinaanguka❤❤
Yesu ndiye Bwana. Mbarikiwe vijana wa Yesu.
Wimbo huu siku haipoti kama sijausikiliza nalia tu nikitafakari uaminifu wa Mungu. Nina sababu ya kumtukuza Yesu kuwe jua au mvua. Amenilisha kwa Manna.❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
What a powerful decleration👏👏🙏and musician killed it👏👏👏
Najikuta natabasamu tu...mbarikiwe sana
Mtishibi mm nasubiri dude kutoka kwako na agape broo,..😊...
YESU NDIYE BWANA ina every are of my life...sema Nini I'm going to put it on repeat hadi muombe energy drink 😂😂😂
We are blessed by your ministry brother Eliya.
Si twangaa Gizani❤
🔥🔥🔥
Clean 🥁🥁🥁🥁. Very clean . Hakuna makelele wala unwanted arrangements. Clean and smooooooooth
Tangu kipindi unatembea na mwinjilisti GB Niko nawe kaka elia
Hallelujah hallelujah Yesu ni bwana ni mengi sana amenitendea moyo wangu umejawa na shukrani sana mpka najiona ni last born wa Yesu kila ninalolifanya mimi linafanikiwaa hii verse ni 🔥Jamaniii Jamaniii ukiwa na Yesu ni raha sanaa 😍❤️🙌🙏pongezi kwa watunzi wa nyimbo hii ni my favorite song kwa kweliii tuendeleeni kumsifu bwana katika roho na kweliii 🙏
Amen nimebarikiwa 🙏
watu huuliza kwa church nafataga nini???? 👆👆mimi sasa nikiwa cha church🔥🔥🔥
MUNGU azidi kulinda huduma za uimbaji
Be blessed jmn !!! All members of God there was hot song it has blessed me
wimbo huu unanibariki zaidi
Hahahahaaaa nlichokiomba nmekipata......YESU AWATUNZE SANA SANA .......THIS IS MY SONG RIGHT HERE GOD BLESS THESE MINISTERS OF OUR COUNTRY WANAPOKUNGOJEA WASINGOJE WAKIWA WAMELALA BALI WAKUWA WANAOMBA🙌🙌🙌🙌
Mungu awabariki sana
Powerful #Mtibilamsimu
ninyi mpungue YESU aongezeke
Nyie hii nyimbo ni tamu ❤❤❤
🙌🏾 Ninafurahia neema ya Mungu maishani mwangu
Nimependa message ya wimbo we shine nje na ndani na kwakua Mungu wetu yu nje ya mipaka yao.
Revelation on this song is outstanding… keep yielding man of God!!
Ookay, it's a beautiful arrangement and performance. Kudos.
YESU NI MWOKOZI BHANA
Amani umekosea kidogo umeandika matumba
Powerful song the message hitting
So blessed broh❤❤
Aaaah what a song🔥🔥🔥 God bless you man Of God ila drummer aaah🔥mikono yako imebarikiwa
Glory be to God 👏🏾🙌🙌🙌👏🏾🎼🇹🇿
Kazi nzuri mtumishi wa Mungu
Mixing kidogo balancing ya music haijakaa vizuri
JAMAN HUYU MUNGU ASTAHILI SIFAA SANAA,,,I LIKE THIS SONG BE BLESSED MR ELIA NA IWE KWAKO KAMA ELIA YULE ALOMDHIHILISHA MUNGU MBELE YA MUNGU BAAL
Praise God 🙏
Jamani huyo second wakati anaimba zoravo umenibariki sana hapo
Ameeen
Yesu ni Bwana
Gods Calculations *1day = 1000years *" WANANGOJA MVUA INYESHE WALIME,SISI TWALIMA JUANI"
God bless, I cant tired to listen the song from the I hered live at Arusha, alaf tena baada kwa ile clip ya mama wa calvary temple nimezidi kuupenda😂😂😂😂
Usinisumbue buana..Yesu ni mwokozi🙌🕺
I WILL WAIT FOR THE LORD AND THE FULFILMENT OF HIS PROMISES IN MY LIFE
😊
Mbalikiwe sana ila aisee Uimbaji wako uko sawaa kabisa na umejipambanua unajua unachokifanya ndo maana Mungu pia anahusikq kuvuvia nguvu za Mungu kwenye Huduma hii ya Mtumishi wa Mungu Eliya Mtishibi 🔥 🔥 🙌 🙌 🙌 You nail it be blessed by the al Might GOD Mungu akuinue zaidi na zaidi. Drummer🙏🙏🙏Ubalikiwe.
Yesu ndie Bwana🔥🔥🔥🔥🔥
USINISUMBUE BWANAA..... So blessed 🎉