Rayvann Amuimbia Paula Jukwaani SIKUPENDI Amchana Poshy kisa pesa za Harmonize wako penzini

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 156

  • @syombuatitus
    @syombuatitus Месяц назад +9

    Rayvanny anampenda sana Paula ❤❤❤❤

  • @simonfadhili4206
    @simonfadhili4206 Месяц назад +41

    Kweli nimehamini uyu jamaa anampenda sana Paula

  • @HappywWilibrodi
    @HappywWilibrodi Месяц назад

    Ila mliendana sana daaaaah mapenz mapenz 🙌🏾

  • @TeddyJosephat
    @TeddyJosephat 29 дней назад +3

    Duuh mapenzi yanauma 😢i feel sad to ue vanny😢

  • @uwaseMiracle-nr9oi
    @uwaseMiracle-nr9oi Месяц назад +2

    Ray pol sanaa Kaka yangu unampend sana paul basi punguza shoboo uachane na Paul ule niwa Mario ray vanny wangu❤❤

  • @user-hm4hk5hi1c
    @user-hm4hk5hi1c Месяц назад +11

    Paula yupo kwenye damu ya Ray mwamba ameshindwa kuchomoa

  • @user-er6fg7kv6f
    @user-er6fg7kv6f Месяц назад +5

    Unaumwa Paula Ray amakweli nimeamini fayma atalua sana nataongea sana Ila ugojwa wako ni pau🎉🎉🎉

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 3 дня назад

    Huyo fayvani unashida mine majukwaani Paula hanamda naweee

  • @VivaneMoses-pl9xs
    @VivaneMoses-pl9xs Месяц назад +6

    Bro iyo siyo vizuri ni bora uhache ku mtaja paula mbona mke wako ni mrembo sn tuh??

  • @mohmwesh
    @mohmwesh Месяц назад +5

    Umemuexa fahyma wewe chui hongera from🇰🇪

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io Месяц назад +2

    Ila jeshi anajuwa kuchangamusha umati akiwa stejini, energy sana harmonize

  • @LRomaRoma
    @LRomaRoma 21 день назад

    Broth congratulations

  • @SalamaSeif-eb4qo
    @SalamaSeif-eb4qo 13 часов назад

    amakweli mwamba umeumiyasana kuzaa Paula pole

  • @LilianJames-kg7jx
    @LilianJames-kg7jx 28 дней назад +1

    Moyo uwo❤❤❤❤❤❤

  • @ShazilMohamedi
    @ShazilMohamedi Месяц назад +12

    Jifunze kumove on

  • @VictorKamwela
    @VictorKamwela Месяц назад +4

    Umeniangusha mbeya boy

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh Месяц назад +20

    Bila paula show haibambi mbwaaa ww😂😂😂

  • @NgiseDangote-gb9ko
    @NgiseDangote-gb9ko 25 дней назад

    Love this guy.... Toboa mkuu

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад +3

    Kupenda bana noma

  • @HogaMasunga-ec2jw
    @HogaMasunga-ec2jw Месяц назад +6

    Sema ya moyoni upone

  • @kiya0910
    @kiya0910 Месяц назад +7

    Nilicho gundua chuiii alimpenda Sana Paula

  • @user-pi5rz5hp2t
    @user-pi5rz5hp2t Месяц назад +4

    Wap paula unapendwa sana shooo😂😂😂😂

  • @user-rc2ki7pn5d
    @user-rc2ki7pn5d Месяц назад +4

    Acha kuzuga Paula ni mazuri ndomana yakuish kichwan

  • @BujaBoy-rk6nh
    @BujaBoy-rk6nh Месяц назад +2

    Pole sana Paula hakutoki kichwani

  • @lydiamsheri4095
    @lydiamsheri4095 Месяц назад +10

    Mbona Paula kila mara? Kumbe ulimpenda saana yaonyesha

    • @ashrafadam4629
      @ashrafadam4629 Месяц назад +2

      Ad mwenza wake anamwambia mbona huyo Ex wako hakutoki kichwani

  • @NYENJENDEU
    @NYENJENDEU Месяц назад +2

    Huyu jamaa ni hatalii si kwa verrse hizi😂😂😂😂

  • @chany9950
    @chany9950 Месяц назад +2

    🤣🤣 nimeceka jmn

  • @user-rh4ph6fu3p
    @user-rh4ph6fu3p Месяц назад +3

    Daaah kinaumaa😢😢😢

  • @RehemaAbou-jh7sp
    @RehemaAbou-jh7sp 20 дней назад

    Mwamba anateseka Sana uyu ila hatuna chakumwambia zaidi ya pole maan pau ndo huyoooo🕊️🕊️ulizingua mwenyew bad anaenjoy tu now na watu tunakupenda couple Ile kisenge😅😅😂😂

  • @smokie2542
    @smokie2542 Месяц назад

    Hatawai pona aki
    She's shinning and trending hama tz

  • @AhmedMohamed-cb2gc
    @AhmedMohamed-cb2gc Месяц назад +3

    Ashapeeendaaaa nakuwacha haweziii

  • @lynzyjuma
    @lynzyjuma Месяц назад +2

    Zoea hiyo sauti😂😂😂😂

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 Месяц назад +8

    Unajitahidi kutunga mashairi kichwani humo😂😂😂

  • @RehemaAbou-jh7sp
    @RehemaAbou-jh7sp 20 дней назад

    Yaan nacheka natamani kulia jamaa anateseka San 😂😂😂 Paula Paula pau umempa Nini kaka wawatu bikra Gani hii😂😂😂 fahma kazi anayo mpaka asemee

  • @SaraMAVE-jt2mx
    @SaraMAVE-jt2mx Месяц назад +7

    Unachekecha mbona ex akutoke kinywani ungali unampenda

  • @wildlife5730
    @wildlife5730 22 дня назад

    Mm simuelewagi huyu jamaa 😹😹

  • @lydiamsheri4095
    @lydiamsheri4095 Месяц назад +7

    Mara utunge wimbo wa mimba.Pole zoesha moyo kuwa sio wako tena

  • @WivinaFrance-xn3mk
    @WivinaFrance-xn3mk Месяц назад +6

    Yaan huyu bila marioo uridhik kwenye shoo uwiii

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Месяц назад +3

    Achana na paullah wewe ameshakua wa mwengine😂

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 3 дня назад

    Umechanganyikiwa Paula kila ukipanda jukwaani huoni pakutafuta kiki muache mtoto wawatu

  • @LevianLevy-oi4yh
    @LevianLevy-oi4yh 16 дней назад

    Mapenzi kweli 😢

  • @belindaedung7883
    @belindaedung7883 Месяц назад

    Wow kali😊

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Месяц назад +1

    Wewe Rayvan mjinha sana yAnausu nini mambo ya poshy qeen mkome posh na hamo. FAnya yako mbona umsemi mwambimo na zuchu

  • @GladysMakombo-kx9dc
    @GladysMakombo-kx9dc Месяц назад +2

    Ni kweli ulipenda Paula wewe

  • @FatimeSada
    @FatimeSada Месяц назад +4

    Paul ulimpa nn ray😂😂😂jamani

  • @JoshuaJackson-gv9xl
    @JoshuaJackson-gv9xl 29 дней назад

    Ali ngumu kwa sasa kijana rayvan 6:54 7:06

  • @amschui
    @amschui 14 дней назад

    Nikwer kak ishi na fahyima

  • @user-mv2ou6jw7p
    @user-mv2ou6jw7p Месяц назад +3

    Kumbe uli mpenda mwanangu paula .sasa ili kuwaje uji changanye

  • @danielmkambe2206
    @danielmkambe2206 24 дня назад

    Mbona mkeo nimzuri sana tena mwenye adabu

  • @HappywWilibrodi
    @HappywWilibrodi Месяц назад

    Poleee ila ndo hvyo tena😢

  • @user-mq9vg1jb7z
    @user-mq9vg1jb7z Месяц назад +1

    Mapenzi ya natural kwa paula

  • @Zawadi-yu7ti
    @Zawadi-yu7ti Месяц назад +3

    Shenz Ako kumbe unampenda Paula ,fayma kafoce t na dawa za Tanga hata hajawah kukupenda

  • @user-ec4cq1ln4j
    @user-ec4cq1ln4j Месяц назад

    Dada pau Bado anapendwa❤

  • @user-hu1cr6gc6f
    @user-hu1cr6gc6f 29 дней назад

    Dar pole brother vanny 4:08

  • @Nasra-mv2hp
    @Nasra-mv2hp Месяц назад +1

    Ndugu imetosha sana punguzo kulia kuachwa kawaida

  • @user-ho7ym8me4y
    @user-ho7ym8me4y Месяц назад +1

    Jamani paula ulimpa nini huyo kijana mbona anakupenda. Sana

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q Месяц назад +1

    Ndo shida ya kupenda sana

  • @ByronMwangi
    @ByronMwangi Месяц назад

    Maisha yaendelee kaka ata mmi nilikua hvyo

  • @lydiamsheri4095
    @lydiamsheri4095 Месяц назад +5

    Mboona umeutoa huo wiimbo sasa usitoe wakati Fayma ana mimba

  • @AsiamandutaAsiamanduta
    @AsiamandutaAsiamanduta 26 дней назад

    Ila ww na Paula ndo mliendana sana ila marioo mhiii hata awapendezeani polee

  • @rukiawambo715
    @rukiawambo715 Месяц назад +1

    Paula sasa ya marioo bila shaka!

  • @bensonwissa5777
    @bensonwissa5777 Месяц назад

    Rayvan kapigwa panapouma

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 Месяц назад

    Anampenda paula

  • @eunicenduba-bv3xo
    @eunicenduba-bv3xo Месяц назад +1

    Bila Paula show haijaenda na kweli hakutokiiii

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi Месяц назад +2

    Ww na mke wako paula hawatoki kichwani😂😂😂alikushika pabaya😅

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад +4

    Mnafiki ww unaumia tena inakuuma

  • @eunicenduba-bv3xo
    @eunicenduba-bv3xo Месяц назад +1

    Nimecheka sana jmn ana kweli marioo anatesa watuu

  • @NazaletilutegoNazaletilutego
    @NazaletilutegoNazaletilutego 25 дней назад

    Mbona kofia kama ya mondi iliyopotea

  • @mbarakfatu1725
    @mbarakfatu1725 Месяц назад

    Magari na nyumba na watoto c mapenzi boss ndio maana utamwachanukimrudia because umemzoea si mapenzi Paula kakufunza kupenda kubali yaishe

  • @Zawadi-yu7ti
    @Zawadi-yu7ti Месяц назад +2

    Hapo anakuzuga t fayma lakin akili ipo kwa Paula Kazan kuroga dawa zishaanza kuchuja

  • @zenablonde1747
    @zenablonde1747 Месяц назад

    Ulimpenda paula kweli 😂😂

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 3 дня назад

    Paula ninyota yako

  • @JoshuaJackson-gv9xl
    @JoshuaJackson-gv9xl 29 дней назад

    Kweli rayvan nampenda Paul

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 Месяц назад +5

    MSHAMBA HUYO BADO ANA MTAKA PAULA MANA UKIONA MTU ANAMTAJA X WAKE KILA MUDA UJUE BADO HAJA MOVE ON

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 Месяц назад +4

    Hapo ulizimua kidogo

    • @RehemaAbou-jh7sp
      @RehemaAbou-jh7sp 20 дней назад

      😂😂😂😂 angezidixhiwa kidogo tungemkosa

  • @AnithaStiven
    @AnithaStiven Месяц назад

    Anampenda sana Paula sema kwakuwa anapenda kulelewa ndio maana anashindwa atokeje kwa mama watoto wake maana ndio anae mweka mjini 😂😂😂

  • @josphinenashipae9993
    @josphinenashipae9993 Месяц назад

    Sauti Iko?

  • @FrolaKilamba-ec8iw
    @FrolaKilamba-ec8iw Месяц назад +1

    Paul hutk kuMsahau hta sku moj🤣

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 24 дня назад

    Huna lolote, unaumia sana, iloooo

  • @MonicaIvan-oz1xv
    @MonicaIvan-oz1xv Месяц назад

    Kakh kiukwel mqpenz Yan Uma ad so pw

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt Месяц назад +1

    Kama lichizi vile umeshindwa kumoveone SI uneona mtoto WA watu paulah kapata WA kumstiri inaanza kumtajataja, mwache aendelee na maisha yake, ulimuona WA nini, saivi kapata mtu kashaanza kukuuma.

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 Месяц назад

    Kuwa kama HARMONIZE ukiacha imetoka. Unamchana demu halafu unampotezea.

  • @JeamarieAmani
    @JeamarieAmani Месяц назад

    Pol sasa ndo mme achana

  • @user-ez6ep4pn6h
    @user-ez6ep4pn6h Месяц назад +1

    Ray anataman paula at amrudie ata kam anamimba

  • @Gaspajerome
    @Gaspajerome Месяц назад

    Duuuh atar

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 Месяц назад +1

    Ukiona mtu bado anamuongelea mtu ujue bado anampenda

  • @JudithKigalu-ue3in
    @JudithKigalu-ue3in Месяц назад +1

    Ni atari

  • @doriskatana8395
    @doriskatana8395 18 дней назад

    Ansnogesha show uyu

  • @FistonSun2
    @FistonSun2 Месяц назад

    Rofaa

  • @latifakhalfani
    @latifakhalfani Месяц назад +1

    Kaka bd ulampend paula

  • @gabrielmiatus3886
    @gabrielmiatus3886 Месяц назад

    Mapenzi yanauma 😢😢

  • @user-xm2rm7wn6h
    @user-xm2rm7wn6h Месяц назад

    😂😂😂😂😂 mapenzi yameanza na nguvu zake😂😂😂😂😂 juzi ali kuwa hamudala dulla makabila😂😂😂

  • @JudithKigalu-ue3in
    @JudithKigalu-ue3in Месяц назад +1

    Umuowe sasa

  • @user-bk5it6pn1v
    @user-bk5it6pn1v Месяц назад +1

    Tushaga kuchoka umuache paula hakupendi tena

  • @AnithaStiven
    @AnithaStiven Месяц назад

    Unampenda sana2 ila unajitoa😂😂😂😂

  • @annabashale9410
    @annabashale9410 Месяц назад

    😂😂😂watanzaniya

  • @user-lh4bb8mm8w
    @user-lh4bb8mm8w Месяц назад

    Huyu anampenda Paula ....ukiskia MTU anasema simtaki jua yuwampenda

  • @kolethafabian2618
    @kolethafabian2618 Месяц назад

    Ulisema wa Nini wenzio wanasema ......,.......but faima pia n mzur kaa kwa kutulia,...

  • @madarakadeche305
    @madarakadeche305 Месяц назад

    Vijembe

  • @azizachungu4002
    @azizachungu4002 Месяц назад

    Hahahahhah ama kweli dunia duara jamani kumbe huwa hamsahau rey ndio nini hiki