Ee Bwana fadhili zako zikae nasi
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- Composed by John Mgandu
Ee Bwana, ee Bwana, fadhili zako zikae nasi
Kama vile tulivyokungoja wewe
Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana lina adili
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu
Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu
Nchi imejaa fadhili za Bwana
Tazama jicho la Bwana, li kwao wamchao
Wazingojeeao fadhili fadhili za Bwana
Nice. It should hv been longer for at least 4 stanzas. We could hv used it as a Karioke music to sing along with. Anyways, Thankyou very much.
I am from India.