Shukulan sana maalim masomo yako nisahihisana hakika tunajifunza vituvikubwa sana kutoka kwako. Allah akupeumli mlefu ilitupate kujifunza zaidi na mafundisho haya insha'allah🙏🙏🙏
Shukrani maarimu lakini samahani naomba kuuliza nyota ya mizani anavaa ringing gani na kito chake ni kipi na kidole gani inavaliwa nakuomba nifahamishe
Mwalimu a salaam aleykum, nashukuru darasa Lako, jina langu Ramadhan Teikwa, nyota yangu ni ipi, na ninapaswa kuvaa madini gani, natanguliza shukrani
Shukulan sana maalim masomo yako nisahihisana hakika tunajifunza vituvikubwa sana kutoka kwako. Allah akupeumli mlefu ilitupate kujifunza zaidi na mafundisho haya insha'allah🙏🙏🙏
Santee maalimu mungu akujalie kwa kila jambo mimi nimejifunza huwa nafaa bila maarifa🙏🙏 Natamani siku moja nikuone insha'Allah
Shukrani maarimu lakini samahani naomba kuuliza nyota ya mizani anavaa ringing gani na kito chake ni kipi na kidole gani inavaliwa nakuomba nifahamishe
😮
Ahsante maalim , nimekuelewa binafsi nahitaji Pete nianzie wp?