Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hongereni sana dada zetu
Huku ndo kuupiga mwingi sasa. Hongereni mabinti zetu kwa kumtangaza vema mama Tanzania
Hongera sister zetu kutuwakilisha vizuri
Samia hana binti mwenye jina hilo. Usimkane mwanamke aliyebeba mimba yako na kukuzaa na kukulea.
Nachukia sana kama wewe ni Mtanzania alafu unaongea Kiswahili kama wewe ni Muingereza...
Usitumie hisia, tumia akili, Tanzania ni ya kiswahili na tutakikuza ila ni ujinga kushindwa kujifunza lugha kubwa duniani (English) China wana zungumza kichina ila wanajuwa kiingereza❤
@@BadoMartense ni vizuri kujua lugha zingine lakini isiwe sababu ya kuiharibu lugha yako, Kiswahili ni kitamu sana kama hukichanganyi na kimombo...