Nakukubali mkalii wajua nlikua nawambiaga tu watu kuna ngoma naixkia kali inabamba kitaaa ila cmjui nani kaimba axee kumbe janja dah good xana man kunta...💪
Tumekuwa wabaya sana wabongo atupendi ku support KAZI nzuri wa mazuri tumekuwa watu wa vitu vya kijinga tu tunapenda kiki za kijinga MTU akijituma hivi atunfwatilii kweli nimemjuwa huyu Dogo baada tu ya kiki yake ya kufa ila si mlaumu nikwasababu kaangalia afanyeje ili tumjue so akaamua kufanya ujinga ndo tunavyo penda pole kunta kwa kiki yako hivyo ni tatizo sisi wenyewe
Singeli inahitaji vichwa kama hiv ili kusonga mbele,anajua hadi anakeraaaaaa pia anaimba vitu vinavyoeleweka.😊
Fundi Bakari jiioiolo
Fundi Bakari nakubaliana na wew
Kabsa asee
Naomba show na wewe
Nakubal sana unacho kiimba chaeleweka sio kama wengine hata maneno mengine hhuskii vizur big up sana kwako 💪💪💪
Tumeisha mpata wakuwakilisha mzick wa singer bongo kufamika nje kikubwa namuomba brather mondi ampe sapot Kunta aupaishe huu mzik
Nakukubali mkalii wajua nlikua nawambiaga tu watu kuna ngoma naixkia kali inabamba kitaaa ila cmjui nani kaimba axee kumbe janja dah good xana man kunta...💪
nakukubali xn yaan meja mkali km naww unamkubali gonga like kma zote
Namkubal xn
Nakukubal xn mej
December 2023 naamka na hiki chuma 2024 ❤
😂😂😂😂
Kama unamkubali kunta gonga like apo
Nyota kam inawaka hakuna wa kuizima...,Mzee Baba nyota yko inawaka wacha iwakeeeeeeee
Nakupenda buree meja kunta penda sana wew unajua unankosha na nyimbo zang
Dakika Nane bila kupumzka hii kichwa ni nyoko baba akooooo Mejaaaaaaa kuntaaaaaaaaa ...hz kazi ni walioptia madrasaaaa peke ake haha
Sana kamanda. Dogo anaweza asee
Nice xana ongeza juhud👏👏👏👏
Daaah hadi raha yupo safi sana kipaji anacho sana 😍😍😍😍😍😍mwanya huu tuu mm umeniua naupenda sana na unasauti nzuri sana asantee kwa kazi nzur
Is very very fantastic nice one
unajua had unakera unavoko matata sio wale wanaochuniwa wew unaweza ata ukarikod kwa cm ngoma ika yeyaaaaaa
oyoooo mkali waooo unajuwa ndugu
Nakukubariiiiiiiii meja
Watu wa mikoa ya Moro pwani na dar ndio wanaekewa anachofanya wengine awajui big up brooooooo
Meja maufundi uko vzr sana dogo makuswa nipo Moro shabiki yako namba 1
Kipaji kakupa mungu mkali....! an unaimba adi rahaaaaa
Mwaaaaaa penda sanaaaaa
Dogo anajua xana daah km recording Dada dina mxalimie
Mnyamaaaaaa sanaaaa....
Dogo unajua sana so kaza ipe heshima singeli .
CT
Namkubali Sana uyo jamaaaaaa Atari 🔥
We kunta nomasana kimbiza kijana
Jamani nimekupenda bulee hongela Sana huchoshi kukusikiliza
The kid is talented...
🤝 upo vzr broo
Waoooooooooooooooh it's oky
anajua sanaaa jamaa
Upo vizur nakukubali sanaaaaaaaa
Umetisha sana unajua kuchota watu kihisia balaba
Mwehu wee. Unaleta kiki ya kufa. Mtizame pengo lake kama pango
Ashuuu Aisha hahaha msenge sana huyu dogo
@@amosiluka8233 ndio vijana wa bongo. Kazi zao na kiki
Ashuuu Aisha haha nakweli mdada
😀😀
Unajua my dea had unakulaaaa yaaan
Love you meja
Nakukubali sana Meja kaza dogo upo vizur
Dah anajua sanaaaaa big up boy never give up one day utatoboa tu
Vizur dogo
Meja umesoma madrasa sana nilitegemea ulimi wako utakua lain Sasa mbona unakaza ulimi bhna sio arooo ni alooo acha kua kama wabara
Sio wa bara ni wa mara ndo wanatumia sana r
Hiyo tu na ishakua kasoro yake hata mm nimeiona lkn ana kipaji sana,sauti na anaandika mashairi yanaeleweka tumkubali tu kwa hayo..
Kuimba singeli sio sport sport...nahisi..kukremisha mistari yote hayo hiyo duh...inabidi walipwe zaid na waheshimike..
Seleman manila fazaaaaaaa Meja kunta kilenga 💪
Dah ujua hadi unaboa kaza brother
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✨
oay
Bigap kijana
Duuhhh ivi mmesha gundua kama jamaa anajua sana
2020 mko wapii
Dah unajua san
Official Macho kipaji dg
That mamu song made me his fun...😂
Unajua sn mzee bb konk sn
Hongera sana meja kunta unajua ile mbaya
Meja noma ssana
Dah! ebwanaeee noma
Hatali nimempenda
uyu fundiii xanaaa bhanaaa
Noma sana gonga like apa down kama unamkubali uyu buda
Faza sipingi Huna baya mpk ss
Uko vzr dg
Nakupendaga Sana Yani.,
Mwendomwendooo2
Anajua adi anaboa uyu jamaaaa
meja kunta u are the bext
Nomaaaaaaaaaaaaaaķ
Kumanina uje useme ilikuwaje ufe na kufufuka hahahaaaaa tunakupenda ujue
😆😆😆😆
woza woza meja kunta ukovizuli sanaaaa
Mariam Rashidi mhh saw mamu
Washindani wanafos kushindana na Mimi naona kelele
Unaweza meja
nakukubar mnooo
Namkubaliii hatriii hatrii
Nakupenda jamani
Inaonekana unaishi kwa bahat mbaya wewe achia nafas waish wengine
Nakukubaliii sanaaa meja m2 hatariiii
Jojo Qn mpeee
R.i.p kunta kipenz chetu tulikupenda ila mungu amekupenda zaid
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumania zake,anajua paka anakera
Huyu meja anajua hakika
Nitafute nikubemende jaman sauti konky
Hanifa Kinongo kahabaaaa
sadikiiiiiiiiiiii
Ataliiiiii
Hatari sana huyu jamaa
Divoic kitonga
Safi meja
huyu jamaa anajua kuimba ile mbaya
Tishaaaaaaaa sanaaaaa
Hatar keep it up ma nigga wakimbizeeeeee haaoooooo
Konk
Mmmmmh xi kwa mama dulah uyooooooo
Lugano Charles 😂😂😂
🔥🔥🔥🔥
Dogo noma sana
Tumekuwa wabaya sana wabongo atupendi ku support KAZI nzuri wa mazuri tumekuwa watu wa vitu vya kijinga tu tunapenda kiki za kijinga MTU akijituma hivi atunfwatilii kweli nimemjuwa huyu Dogo baada tu ya kiki yake ya kufa ila si mlaumu nikwasababu kaangalia afanyeje ili tumjue so akaamua kufanya ujinga ndo tunavyo penda pole kunta kwa kiki yako hivyo ni tatizo sisi wenyewe
IPO vxr xana meja kuntu
Big up
Ametishaaa
nakubali meja
Nipooooo
Sielewagi singeli lkn umenifanya naelew
Arie
Mtukana
Meja
R,I,P mwamba
Amefufuka voo
Rahma Mohammed ha ha ha ni hatar ujue
Hajafa jamaa yupombona
Dogo unajua sana hongera
Kali
Unajuwa kk
Nice
Nice
meja ni konki balaaa
💪💪💪💪💪
Mbona hodari sana , yaan balaaa zitooo , kiufupi unajuaa
Fireeeeee
🍔🍔