Asalamlyuku Ustadhi kipindi nime Kuta mwisho nakila Niki sikiliza sielewi😂😂😂 nachanga nyikiwa mchumba angu herefu zake D na S Mimi pia natumia A tulikutana kwenye mtandao wa kijamii mpka Leo ntuna miaka 7 Sasa itakuwaje hapo ufafanuzi ana nifaa pia jina langu jingine Mimi J
Hii ni shirki jamani, zindukeni hakuna anaeweza kujuwa future ispokuwa Allah. Hakuna ukweli wwte kwenye nyota Allah nd anajuwa kakupangia nini na utadumu mpaka mda gani. Namuomba Allah atukinge na njama za shetani.😢😢😢😢
Wengine wanaowana kupitia ki halali, wachumba hawakutani popote, wazazi wanakwenda kuposa wakikubaliana watoto wanaozeshwa bila kujuana, na wanaishi daima milele kwa pamoja, inakuwa vipi watu hao
Sophia Hassan, nimeipenda comment yako hapo,pia nami n A mwenza wangu ni S...Sasa hapo pia nangoja jibu atuambie,tunaendana ama hapana,same to you tulipatana kupitia njia ya simu😂😂😂😂
Mm nimeota kaka yangu amekufa na mm nikalia sana nikiamka ilikuwa saa nane na nusu usiku nilipolala Tena ndoto hiyo hiyo nikaiota Tena hadi saa kumi,in ashiria nn ndoto hiyo
Sasa ndo inatokea mkanganyiko unakuta mfano huyo wakukutana Dukani sijiu atakutana nae Bara anampenda ,afu yule wa Bara nyota yake inasema atakutana na mpenzie kwenye masherehe au marafiki...😁😁😁patamu hapo sasa sijui inakuaje yule wa Bara akubali kuendelea na mambo yake au vip?
Acha uongo wewe mchawi.....haya mambo ya ulozi na vibuyu si katika uislam.....huu ni ukafiri....em muogopeni alieumba hii mbingu na ardhi......acheni kutukana uislam.....nyie washirikina
Ni sahihi mimi ni nyota yangu ni ya ndoo herufi K,nilimpata mume wangu kupitia kwa shoga yangu,alikuwa rafiki yake akatukutanisha basi mpaka sasa tupo pamoja,hujaongopa nae nyota yake ni ya punda herufi A
Mm naamini mchumba wa kweli hutoka kwa Mungu💯
Mm mchumba wangu tukikutana ndan ya gari na tunapendana Sana Sana
Asalamlyuku Ustadhi kipindi nime Kuta mwisho nakila Niki sikiliza sielewi😂😂😂 nachanga nyikiwa mchumba angu herefu zake D na S Mimi pia natumia A tulikutana kwenye mtandao wa kijamii mpka Leo ntuna miaka 7 Sasa itakuwaje hapo ufafanuzi ana nifaa pia jina langu jingine Mimi J
kwakweli nyota yangu imeendan. na mahali. nilipompaata mwenza wangu😂😂😂😔
Hii ni shirki jamani, zindukeni hakuna anaeweza kujuwa future ispokuwa Allah. Hakuna ukweli wwte kwenye nyota Allah nd anajuwa kakupangia nini na utadumu mpaka mda gani. Namuomba Allah atukinge na njama za shetani.😢😢😢😢
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun hii pia ni dalili ya kiama allah atuongoze
Wengine wanaowana kupitia ki halali, wachumba hawakutani popote, wazazi wanakwenda kuposa wakikubaliana watoto wanaozeshwa bila kujuana, na wanaishi daima milele kwa pamoja, inakuwa vipi watu hao
Pole na kazi hv i au j na n wanaweza oana
Salam sheikh unaweza ukaniambia (komesho LA usingizi)
Je Kuna tofauti gani na kufata utaratibu wa maji na udongo ama moto na upepo? Hata kama herufi hazipatani?
Sasa mbona mimi nachangia nyota na mwenza wngu je tunaendana kwer?
Asalamghaleikm MM nyota yang niyang'ombe je naendana nanyota ya Nge ? Kimapenzi au Mme namme ?
Zuu Said mnaendana udongo na maji
Nurati wew no ng,ombe
Yes
Asantee
Asalam alhekum sheikh erufu A na J wanaweza kuoana ahsante
Soma uislam wako achana na huu ushirikina kufanya ivyo utaingia Kenya ushirikina na mshikina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
uko sahihi mm nimempenda mtu anaeish.arusha
Jina langu ni t.mumewangu ni mganga.lakini sijampata ugangani
Mm n A mwenza wangu n S....n tulipatna kw simu he twaendana ?
Sophia Hassan, nimeipenda comment yako hapo,pia nami n A mwenza wangu ni S...Sasa hapo pia nangoja jibu atuambie,tunaendana ama hapana,same to you tulipatana kupitia njia ya simu😂😂😂😂
Mm ni S na mpenz wang ni A pia mmmmh
mtakuwa mnaendana
Mimi nimezaliwa tarehe 7/4 nyota yangu ni ipi?
Mm nimeota kaka yangu amekufa na mm nikalia sana nikiamka ilikuwa saa nane na nusu usiku nilipolala Tena ndoto hiyo hiyo nikaiota Tena hadi saa kumi,in ashiria nn ndoto hiyo
Kweli kabisa
Asante
Mwalimu naomba kuuliza swali hivi herufu A na S zinaenda napiya mahusiano yetu ni yambali
Nimekutana Naye kanisani
Mimi herufi yangu y nimempata mpenzi herufi A nimempata kwenye cm je anafa mali au hafayi
Jamani heluf m sijasikia
Mm ni erufi U na mpenz wngu ana erufi M na tuliptna mtandaoni je ni saa hihi huyo
Ni jina gani tunaangalia ....fast name or second name
First
Shukran sana
😂😂kam una wapenz wa wili je? Na wote umekutana nao kweny simu😂😂😂😂😂
Haaaa wewesasa niatar🤣🤣🤣🤣
Mimi nimeamini ayaa maneno
Mbona N m kwani hawana nyoto ,mfano Neema/ Maria
Me ciamn haya
Mimi nimezaliwa tarehe 7/4 nyota yangu ni ipi?
kweli umemrithi baba yako ingawajee huwez kurithi cha mtuuu Ila wewe umemrithi baba yako pureee kabisa
Safi Sana dokt hilo ni muhimu ulishawagi gusia hilo nyota flani na sehem za kukutana
Mim ndio mana kutafutiaga watu wapenzi au kutafutiwa sipendagi kumbe pia Kuna nyota nyingine haifai
Ushawai Sema hilo Kwa punda
Nyota yangu ya pili
Taasisi za feza hilo ulishawagi Sema na bara
Sasa ndo inatokea mkanganyiko unakuta mfano huyo wakukutana Dukani sijiu atakutana nae Bara anampenda ,afu yule wa Bara nyota yake inasema atakutana na mpenzie kwenye masherehe au marafiki...😁😁😁patamu hapo sasa sijui inakuaje yule wa Bara akubali kuendelea na mambo yake au vip?
Na f
Njia pekee ni kujua jina la kwako na la mamaako la asili kwa kugawa kwa miez 12 itakayobaki ni ndo nyota yako
Nikweli babu unavosema
Ss mm sijui nyota yangu ng'e au ndoo naitwa KHADIJA nisaidie
Ndoo na mimi ni Khadija
asante
Mumewangu j.Mimi t.alinipata kwenyekazi alikuwa kikazi.pia tumeachana na bado ananitaka san
Je ukikuta majina yanaanza na .a na a inakuaje
Ww mchawi kama wachawi wengine atakaye Mafata nae atakua mchawi na mchawi motoni
Ahsante Kwa maoni yako anayeamua Nani wa Motoni na Peponi ni Allah siyo wewe
Ahsante kwa maoni yako lakini ukiona mtu anamwambia mwenzie Mchawi basi ujue kuwa yeye ni MCHAWI MKUBWA maana mambo ya KICHAWI anayajua SISHANGAI
Me naitwa Irene nyota yangu nimapacha na mpenzi Wang nyota yake niya punda je tunaenda
Sasa mwalimu , kama sisi tusojua tarehe zetu Za kuzaliwa tutajuaje nyota zetu!?
NAOMBA NIJULISHE HERUFI ZIPI ZINAPATANA KATI YA J NA K AU M NA K
Ndio
Dawa ya kigugumizi
Mitandaoni 😂😂😂
Nyote ya mitandaoni jini hilo
Dah mimi nyota yangu ni punda na mke wangu ni punda kweli nilitafutiwa na rafiki
Kaaah
Co kwl
Mwongo tena ibilisi uyo tena tapeli mkubwa
Kabisa tena jizi jambazi
AHSANTE SANA KWA MATUSI YAKO KAMA UNAJUA HUU NI UONGO UNAANGALIA YA NINI WAACHIE WANAOAMINI WEWE NENDA KANISANI
Na pia dawa ya kigugumizi
Bahati Andrew m hii ninayo tuwasiliane
mimchumba angu A nami M jetunaendana kwenyesoma inaonekana ote ni punda je zinaendana
Acha uongo wewe mchawi.....haya mambo ya ulozi na vibuyu si katika uislam.....huu ni ukafiri....em muogopeni alieumba hii mbingu na ardhi......acheni kutukana uislam.....nyie washirikina
elufi E na p .sija isikia
Nyota ya simba kumpata kwa michezo na kadhalika
Kiukweli watu wanachukulia poa ila usiombe yakukute ,tujitahidi kusoma tuapte faida jamani
Ni sahihi mimi ni nyota yangu ni ya ndoo herufi K,nilimpata mume wangu kupitia kwa shoga yangu,alikuwa rafiki yake akatukutanisha basi mpaka sasa tupo pamoja,hujaongopa nae nyota yake ni ya punda herufi A
Km nyota yako ya punda na mpnz wko ya punda je inakuwaje
Muongo na mwizi mkubwa tena tapeli saana wewee!!!
We mgen ee?
Punguza madeni acha kumalizia hasira wt
.
Swadakta
Nakupenda Tunda
Nataka nisiwe na sinzia ovyoovyo
Jivunje mguu maumivu Yake yakakufanya usisinzie at a kidogo
Jamm
m
Shekhe nyota ya punda inaweza kuoana yenyewe kwa yenyewe
Mushiliki
Deograsiasi haule
Asante
mimchumba angu A nami M jetunaendana kwenyesoma inaonekana ote ni punda je zinaendana
Asante